SWALAT HAJA || UKIISWALI KWA MPANGILIO HUU TEGEMEA MAJIBU NDANI YA SIKU 2 TU INSHA_ALLAH || SHARIF I

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 141

  • @SaidiiMlokaa
    @SaidiiMlokaa 14 дней назад

    Asante Sheikh, niliifanya hii sala wakati nipo jela Allah alinifanyia wepesi nilitoka Shuklan kaka, Allah akufanyie wepesi.

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 4 года назад +15

    Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh .Allahumma Amiiyn kaka yetu naweye Allah akupe umri mrefu wenye kheri na baraka uzidi kutuelimisha .pia akupe mwisho mwema.

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 3 года назад +3

    Shukran sheikh wetu naww Mwenyez Mungu akukizie maitaji yko

  • @tongatheo6916
    @tongatheo6916 3 года назад +7

    Mashallah ALLAH akupe afya njema INSHAALLAH

  • @jafarimwikalo8145
    @jafarimwikalo8145 10 месяцев назад +2

    Ahsante shekhe imenisaidia saana 😊,nilipopatwa na magumu nakutojua pakutokea hii ilinisaidia

  • @watibf5731
    @watibf5731 2 года назад +2

    Shukran sheikh ALLAH (SW) akujaalie mwsho mema akujaalie ilmu yenye MANUFAA

  • @mwantumjaff2589
    @mwantumjaff2589 3 года назад +3

    Mashaallah,,,
    Shukran sheikh ALLAH akulipe kheri

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 3 года назад +2

    Masha'Allah ama sheikh wangu umetupa matamu ya Mola wetu
    Ameen ya Rabbi tuongokewe sote na wana wetu.

  • @yussufkarim7432
    @yussufkarim7432 4 года назад +5

    Inshallah shekh Allah akulipe ujira ulio mkubwa hapa duniani na kesho akhera akulipe jaana pamj na walim wak na wazazi wako.allahu amin

  • @halimamwakucha2637
    @halimamwakucha2637 4 года назад +6

    Shukran jazillah allah akulipe mema ktka dunia wal akhera n akupe umr mrefu uzid kutuilimisha

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 года назад +2

    Amiina amiina nawewe pia tunakuombea sana mungu akuzidishie elimu na uFaham akuepushie nahasad na kijicho akuandalie pepo filidaus inshaallah

  • @aishayahya5212
    @aishayahya5212 3 года назад +3

    Alhamdulillah 🙏 jazaka Allah

  • @shenuromussa4813
    @shenuromussa4813 4 года назад +3

    Maashallah kwakutupa elimu hii kwa uweza wake Allah atufanyie wepesi katika maajmbo yetu inshaallah na allah atufanyie wepesi na atupe mwisho mwema mbele ya mwenyeazimingu

  • @kijangwazay7711
    @kijangwazay7711 4 года назад +4

    Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
    Shukran sheikh Allah akupe umri mrefu

  • @jamalyaqub6411
    @jamalyaqub6411 3 года назад +2

    Allah akukubali ,umetupa free solution

  • @nyihajjialiy2287
    @nyihajjialiy2287 4 года назад +2

    Waalaikum Salam wa Rahmatullah wabarakatuh.... Alhamdulillahi, Alhamdulillahi Wal Hamdulillah.... Jazakallah kheir....

  • @muhimpundunourah6438
    @muhimpundunourah6438 3 года назад +3

    Shukran shekhe,ntafanya kwa njia hii,naaamini kujibiwa insha allah

  • @aminajumanne3292
    @aminajumanne3292 2 года назад +1

    Shukran jazirah Allah akupe afya tele na mwisho mwema inshaallah

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 года назад +2

    BISMILLAH MAASHALLAH Sheikh.. Jazakallahul khair.

  • @kalundemalale8837
    @kalundemalale8837 3 года назад +2

    Alhamdulillah, Jazaka Allah

  • @mename6020
    @mename6020 3 года назад +2

    Jazakallah kheira Allah akulipe ujira mwema..

  • @mariamhakizimana5103
    @mariamhakizimana5103 2 года назад +1

    Shukran Allah akulipe kila lakheri

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 года назад +5

    Shukran saana shekhe wetu insha Allah

  • @zulekhasuleiman9197
    @zulekhasuleiman9197 4 года назад +3

    Masha allah ustdh Shukran kwa ilmu nzuri

  • @aminaally5436
    @aminaally5436 Год назад

    Maaashalah hyu shh jaman nampendagakwaajiri ya Allah yup vizuri mnooo

  • @mhjgkgjfjzuzu9545
    @mhjgkgjfjzuzu9545 4 года назад +5

    Waalaikm msalam..Ameen

  • @azmaryspain7853
    @azmaryspain7853 3 года назад +3

    Ameeen yaa rabbal alaamin

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 3 месяца назад

    Amen yarabilAlmin 🙏😢

  • @ayshanassor2144
    @ayshanassor2144 4 года назад +2

    Amin yaraby laalamin kwa sote

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад +2

    Amiina yaarabbi

  • @mamamariam8331
    @mamamariam8331 Год назад

    Masha Allah .....shukran Shehe...Allah akulipe heri kwa kutujuza na kutupa faida kama hii

  • @nasraiddy3252
    @nasraiddy3252 2 года назад

    Jazaka llah kher sheikhe wetu ...jee naweza kuiswali hii swala kila siku usiku ..au mala moja

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 3 года назад +1

    Walaikum.salam warahamatullah wabarakatuh
    Amiiin shukran Allah akuhifadhi daima

    • @مريمااتاا
      @مريمااتاا 3 года назад

      Waaleykumu saaalamu warahmatullah wabarakatuh masha allah

  • @missindependent1893
    @missindependent1893 2 года назад

    Wallah nimekua na mitihani mingi sana ktk maisha yangu na nimeswali swalatul Hajjah mara nyingi sana lkn wapi bado mitihani inazidi kuniandama yani bt naamini ipo siku yote ha ya yatapita insha Allah 🙏🙏🙏😍😘

  • @allytembo8204
    @allytembo8204 4 года назад +2

    Mungu akufanyie wepezi katika Mambo yako inshallah

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 года назад +1

    ameen Asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik

  • @zaitunimrisho4307
    @zaitunimrisho4307 Год назад

    Amina rabbilalamin jazzakulmukhair

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад +1

    Waalaikumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh

  • @ziadanirere4457
    @ziadanirere4457 Год назад

    Shukrani yaa Allah

  • @zainabumsuya842
    @zainabumsuya842 4 года назад +10

    Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
    Shukran sana kaka wa mie Allah akujaalie kheri katika maisha yako

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 4 года назад +4

    Walkumsalam warahamatulilah wabarakatu allahuma amiin

  • @ayubwazzir5264
    @ayubwazzir5264 3 года назад +2

    Insha Allah

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 4 года назад +1

    Maashallah shukran Sana Kaka Jazakum llah hailla Anyn

  • @salmayasini2617
    @salmayasini2617 Год назад

    Masha Allah allah Akulipe kheri

  • @jumajembe3570
    @jumajembe3570 4 года назад +3

    Jazaka Allahu kheir

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 4 года назад +1

    Manshallah kweli kabisa asant Allah akipe kheer

  • @KhairoonYussuf-zh9rb
    @KhairoonYussuf-zh9rb Год назад

    Inshaa Allah 🙏

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 года назад +5

    Mashaallah tabarak allah

  • @haithamjuma2472
    @haithamjuma2472 3 года назад

    Shukraan sheikh jazakallahu lkhair

  • @aminamwinyi5528
    @aminamwinyi5528 2 года назад

    Jazakallah kheir

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 года назад

    Amina ustazi

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 года назад +3

    Masha Allah sheikh wetu.. Ahsantum

  • @mwanakheirkihambwe6824
    @mwanakheirkihambwe6824 4 года назад +5

    Allauma Amin

  • @rehemaahmed2227
    @rehemaahmed2227 4 года назад +1

    Jazakallah khary🤲🤲🤲

  • @sabrasabra1179
    @sabrasabra1179 4 года назад +2

    Ma sha Allah

  • @rizikisebe890
    @rizikisebe890 4 года назад +1

    Shukran jazzakhallah kheir

  • @ziadamaulid9089
    @ziadamaulid9089 4 года назад +1

    Allahuma amiina

  • @yussarsaleh5760
    @yussarsaleh5760 4 года назад +3

    Shukran

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 4 года назад

    Ameen yaarab

  • @ayshaaisha7630
    @ayshaaisha7630 4 года назад +1

    Amiin

  • @husnashaibu6312
    @husnashaibu6312 4 года назад

    Walykum salam warahmatullah wabarakatu
    Shukurn
    Amina amina amina yarab kwasote

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 4 года назад +1

    Shukrani

  • @fetyaly6477
    @fetyaly6477 4 года назад

    Shukran Allah akubarik

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 3 года назад

    Asalaam alaykum sheikh shukulan sheikh kwa mafundisho mema

  • @issampukila7219
    @issampukila7219 Год назад

    Imekaa vzr sana

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 4 года назад

    Jazzak Allah khayra

  • @abushirihemed8283
    @abushirihemed8283 2 года назад

    Asant shekhe kwa darasa zur

  • @زينبمحمد-ث9ق
    @زينبمحمد-ث9ق 4 года назад

    Waalekum.salam kk ytu.

  • @shushu8105
    @shushu8105 3 года назад +2

    Mim nina swal sheih wetu kama hujuw sur ndefu ndefu inakuwaje unaweza kusoma sura fup na Allah akazikubali swala zako naomba plz

  • @mahijamwwchaga7864
    @mahijamwwchaga7864 4 года назад

    Allah akbar

  • @zawadikambi80
    @zawadikambi80 4 года назад

    Alihamdulillah

    • @hasnaahmed6877
      @hasnaahmed6877 3 года назад

      Mashaall sheh allh akulipe sunatuhaj eti

    • @hasnaahmed6877
      @hasnaahmed6877 3 года назад

      Man asahiv ni mwezi wa ramadhan kwenye kufuga yan nifuge kwajili ya swalit sun

  • @khalifamagambo7832
    @khalifamagambo7832 4 года назад +1

    Mungu akuongoze jitihada zako

  • @shamilahmsoffe3518
    @shamilahmsoffe3518 4 года назад +1

    Mashaallah ,nimeelewa pote ila hii alamshara ndo siijui,wengine wagen ktk din

    • @mustaphjmwambere4605
      @mustaphjmwambere4605 4 года назад +1

      Mtafute mtu wa jiran yko uweze kukusaidia ndg yng ktk iman

    • @shekhaissa9154
      @shekhaissa9154 3 года назад

      Alam nashrah ni sura iliyopo katika juzuuu amma. Zaidi mtafute muislam yeyote akuelekeze

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 года назад

      @shamilah je umeshaijua alam nashraha?

  • @IMRANSTORIES136
    @IMRANSTORIES136 4 года назад

    Aamiin

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 года назад +2

    Shukraan Jazilaan.
    Lakiin hakuna Swalattul Hajjah katika Uislamu.
    Kikubwa ni Kuswali rakaa mbili na kumwomba Allah Akukidhie Hajjah yako.

    • @khalidtv6200
      @khalidtv6200 4 года назад +1

      Una ushahidi au unasema tu Ukhty?

  • @salimbaus4147
    @salimbaus4147 3 года назад +3

    Waalykum salaam, shukran shekhe, naomba kuuliza je kwa mtu ambae ana maradhi kama madonda ya tumbo anaweza tu kuswali swalat hajja hali ya kuwa hakufunga swaum hiyo siku?

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 3 года назад

    Allah akulipe pepo

  • @ashawanjiro562
    @ashawanjiro562 4 года назад

    Ni zamani maalim

  • @IddyHemedi-p9v
    @IddyHemedi-p9v Месяц назад

    Je hz rakaa waswal kwa saut ya juu au unasirisha na hz rakaa 4 waziunganisha au waswal mbil mbil

  • @mamawewe4241
    @mamawewe4241 4 года назад

    Shukkuran

  • @princesdidak1063
    @princesdidak1063 4 года назад +2

    🙏🙏🙏

  • @aminaally5436
    @aminaally5436 Год назад

    Nilikuwa na hh saiz ninde waap daah shh kituo chk kip wap nj siku ulikuwa unakujaga albayanu na baytu mbagala ukijaga nilikuwa nafurahig mno hkk ww ni mfano wa kuigwa

  • @nyllamnshimirimana2996
    @nyllamnshimirimana2996 4 года назад +3

    Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh Nna swali. Je unaswali raka nne kw pamoja kama vile swalatul dhuhri ao asri ao ishaa??? Ao unaswali raka mbili mbili???

  • @mtumwaburhan8658
    @mtumwaburhan8658 2 года назад

    A'alaykum apoomba dua zako lazima uombe kwa kiarabu au kiswahili pia inafaa

    • @aminaally5436
      @aminaally5436 Год назад

      Ata kiswahil hkk Allah anajua kl lugha

  • @SharifaOmary-n1v
    @SharifaOmary-n1v Месяц назад

    Tofaut na surat almnashiraka nawez soma sura gan man mm niliishia surat watini wazaituni hii sijui nisaidie

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln 4 месяца назад

    Mbona hatukuoni saiv online??? Tunakosa mengi

  • @azzehassan2432
    @azzehassan2432 4 года назад

    As ante sana kea zawadi

  • @mulhatame9714
    @mulhatame9714 4 года назад

    rakaa ya3

  • @khadujifuad9360
    @khadujifuad9360 4 года назад +4

    Naomba kuuliza kwani swala za sunnah si inatakiwa kila baada ya rakaa 2 utoe salam.. ama je ufanye kama faragh??

  • @wardasultan4424
    @wardasultan4424 4 года назад

    Tumekukumbuka jamatulkhery

  • @mwanakombo3799
    @mwanakombo3799 3 года назад

    Assalamu alaykum shekh nakuuliza vp unanuia hii sala

  • @musahassan1106
    @musahassan1106 3 года назад

    Shekh hapo sijakuelewa hizi raqaah waswali mbili ama raqaah nne zote

  • @daruweshbikes
    @daruweshbikes 3 года назад

    Huyu jamaa ni mpotoshaji mzushi mkubwa.

  • @emedmagampela308
    @emedmagampela308 2 года назад

    Shee nomba namba zako

  • @hajihaji908
    @hajihaji908 4 года назад +1

    Shekh mbn hujasem kuhus raka ya3 umeongelea raka ya1 na2 na4
    Au umemnsh rakaa zinakua 3

    • @moussabumbor2658
      @moussabumbor2658 4 года назад +1

      Angalia vizuri
      Amezungumza uzur tuu rakaa ya 3 unasoma Surat fatha thumma wasoma Surat inshirah 1 kisha ikhlas Mara 33

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 4 года назад

      @@moussabumbor2658 ni kweli nami nimemsikiliza.
      Amesema

    • @mchofuomuwingajini2786
      @mchofuomuwingajini2786 4 года назад

      Huyu Hana ithbati kwa anachokisema hajui usuli wa dini na anachomekea vitu ambavyo havipo kwenye uislamu utaratibu uwo kaupata wapi

    • @mahaditasilima1027
      @mahaditasilima1027 4 года назад

      Rakaa ya tatu ajasema. Bt rakaa ya nne amerudia mara mbili nadhan ndoo rakaa ya tatu

    • @khalidtv6200
      @khalidtv6200 4 года назад

      Hamjaelewa wapi? Mbona kasema unaswali rakaa nne.Rakaa1,11,rakaa 2,22.rakaa 3,33.rakaa 4,44 (Surat Ikhlas.)

  • @hajrahmauka5416
    @hajrahmauka5416 2 года назад

    Nilazm ufunge ck y j 3 alhmc

  • @abdulshabani6870
    @abdulshabani6870 4 года назад +2

    hakuna hadithi yoyote ya mtume swala na salamu ziwe juu yake iliyokuja katika kueleza ibada hiyo
    na kama ipo tupewe ushahidi, hatutaki paukwa pakawa...
    huku ni kuzusha na kuongeza katika dini hii...

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 4 года назад +1

      ? !

    • @saumjengi8915
      @saumjengi8915 4 года назад

      Ibada ni nia. Allah anakuona hivo

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 4 года назад +3

      Kwenye kila Jambo l khery huwa hapakosekani mfuasi w ebilis

    • @moussabumbor2658
      @moussabumbor2658 4 года назад +3

      @Abdulshaban
      Acha kupinga kilicho wazi c Kira kitu kiende na hadithi za mtume akili tuh anaeombwa hapo allah na c zaidi ukihitaj kira kitu kiende kwa dhama za mtume bac hata maisha unayoish c kam ya mtume na kaa tambua hao ndio warith wa bwana we2 makosa kujifanyia wajua...kwan ubaya upo wap hapo

    • @abdulshabani6870
      @abdulshabani6870 4 года назад +2

      @@moussabumbor2658
      ndugu yangu unatakiwa ufahamu jambo moja, ukisoma vitabu vya usuli utajua kuwa mambo yote ya kiibada hatutakiwi kuyafanya ispokuwa kwa maelekezo ya bwn mtume swala na salamu ziwe juu yake, na lau ingekuwa kila mtu anaruhusiwa kuleta lake katika ibada basi hii dini ingeharibikika na ndomana ukisoma mwanzo wa sahihi Muslim utakuta maelezo ya mwanawachuoni Abdullah ibn Mubaarak Al Maruwaz akisema " الإسناد من الدين ولول الإسناد لقال من شاء ما شاء..

  • @theonestensengiyumva6759
    @theonestensengiyumva6759 3 года назад +2

    Amiin thuma amiin

  • @alawiabrahman8222
    @alawiabrahman8222 4 года назад

    ALLAH akbar