MIUJIZA YA AYATUKURSIYU ( 7 ) || KATIKA KULIPA NA KULIPWA MADENI || SHEIKH YUSUPH DIWANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 72

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 5 месяцев назад

    Mashallah! ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI SANA

  • @زينبال-س9خ
    @زينبال-س9خ Месяц назад

    Inshaallah shukran sheikh

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 2 года назад +4

    Masha'Allah sheikh fundisho zuri
    Allah ibarik

  • @pilikipengele963
    @pilikipengele963 6 месяцев назад

    Shekhe Allah akuongoze Kwa darasa zuri Dua zuri Allah amekupa kipaji kikubwa sanaa!!!! 😊

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 6 месяцев назад

    Amen Allah akuzidishe fikira

  • @lucy.m.samwel6698
    @lucy.m.samwel6698 Год назад +4

    Amen ishaallah

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 Год назад

    Shukran shekhe Yusuf nimeisoma ayat kursiyu baada ya siku mbili nimelipwa deni japo si kubwa sana lakin miaka mitatu ananizungusha.Alhamdulila Allah akujaze kheri shekhe wetu.

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 года назад +6

    Shukran ALLAH awalipe kwa faida mnazotugaia wallahi tunafaidika na kuipenda dini yetu

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Год назад +2

    MashaAllah tabarkallah.

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 года назад +8

    Inshaallah ungetunga Kitabu ili watu tujifunze kwa wepesi. Pia InshaAllah ufundishe na dua za kumfanya mdaiwa aweze kulipa deni kwa haraka maana deni ni baya.

  • @hamisomurunga4081
    @hamisomurunga4081 2 года назад +2

    Maashallah,naomba utufundishe namna wenye madeni yani wadaiwa DUA yao ya kuwafanyia wepesi kulipa madeni Sheikh tafadhali

  • @abdulmbaruku9177
    @abdulmbaruku9177 2 года назад +2

    Ebu weka vizur shekhe wetu hesabu imegoma naomba rudia Tena huku sisi tumesoma shule hiohesabu inaenda kinyume

  • @afric01
    @afric01 3 года назад +1

    Wlkm slm ww..... masha Allah!!!! Shukran sanaaa Sheikh. Jazakallahu kheir.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 года назад +3

    Waalleykum Salaam Warhamathullah wabarakaatuuh,Shukran Sana Sheikh.

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 2 года назад +1

    Amin insha Allah

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 года назад +2

    shukran sheikh Alah akujaze kila LA kheri

  • @khaithamsihaba4841
    @khaithamsihaba4841 Год назад

    Mashallh ustadh shukan kwa kutufundisha

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 Год назад

    Kheri inshallah

  • @buyingocatherine5699
    @buyingocatherine5699 3 года назад +3

    Shukuran 🙏🙏🙏🙏

  • @dusilaabuock8060
    @dusilaabuock8060 4 года назад +1

    Je ukitaka kuisoma kwa ajili ya kufungua ridhki na wepesi wa maisha

  • @lailashabaani8683
    @lailashabaani8683 4 года назад +4

    Mashaallah

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 года назад

    Walaikum salam warahma tuwahi wabarakat

  • @hadijakabona955
    @hadijakabona955 4 года назад +2

    Jazaka llahaau haira niko makini kukutatilia Asa kwa hili la haki naumia sn mtu anadeni langu si China ya milion 3 ananizungusha miaka nilitoa kwa huuma yng 2

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 года назад +3

      Fuata utaratibu Ukhty ‘ atalipa atake asitake....siku zote dua ya mwenye kudhulumiwa haina kizuizi ‘ ni moja kwa moja kwa ALLAH TABAARAK WATAALA...!
      ...IN SHAA ALLAH...!

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 3 года назад +1

    Jazaak Allah khair. Sheikh Mashaallah Tabarak Allah

  • @zubedadahalgould8809
    @zubedadahalgould8809 2 года назад

    Manshaallah Alhamdulilah

  • @mangidetvtv4436
    @mangidetvtv4436 2 года назад

    Inshallah Allah Ameen

  • @mwanaidiramadhan3919
    @mwanaidiramadhan3919 4 года назад +5

    Ungetufundisha shekhe na duwa za kulipa madeni kwa haraka

  • @princebabu6977
    @princebabu6977 4 года назад +1

    Jazakallah Kheiri Maalim wangu

    • @saidnassoro2357
      @saidnassoro2357 4 года назад

      Mimi nimezumiwa na jamaa jangu

    • @husnamohd3779
      @husnamohd3779 3 года назад

      Sheikh kubwa fua y'a kulipa cc déni la watu nayo ni ishu kubwa tunakuombabkwa hili

  • @hajihaji908
    @hajihaji908 4 года назад +4

    Shukrn Ustadh Allah akuzdishie na tuna subiri darsa ya kupata utajir kupitia ayarul kursiyy na darsa ambayo mtu mipngo yke iende sawa kama anavopnga

  • @mustaphalee5357
    @mustaphalee5357 Год назад

    SHEKHE UNAONGEA SANA

  • @ramadhanathumani8661
    @ramadhanathumani8661 2 года назад

    SoMo lako mzuri

  • @abdulhashim2705
    @abdulhashim2705 4 года назад +1

    Asante

  • @kinekelefaridu5404
    @kinekelefaridu5404 7 месяцев назад

    Ntaisoma marangapi kuipata 191maana hesabu zangu zimefeli

  • @muhamedwardah2539
    @muhamedwardah2539 4 года назад +1

    Nic

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 4 года назад +2

    Jazzaka Llah khayrah Shekhe wangu kuna mtu nime mtumana kwa Jamaa yangu nika mpa pesa awapelekee hakuwapa na baada yapo akanitukana vibaya na aka ni block ku mitandao yote inakaribia kufika mwaka

  • @yahayawadi8913
    @yahayawadi8913 4 года назад +2

    najaaa

  • @KaraniSalimu-so7fb
    @KaraniSalimu-so7fb Год назад

    We sematu watu wakufwatwe huna Nia ya kufundisha bwana

  • @Calis2451
    @Calis2451 4 года назад +2

    Dua ya kuomba na kutaja kina unaye mdai

    • @shersaid7988
      @shersaid7988 4 года назад +1

      Shukran sheikh Mungu akubariki kwa kutupa ilmu

    • @shersaid7988
      @shersaid7988 4 года назад +1

      Asante shekhe Mungu akubariki

    • @mdkfilmtz7037
      @mdkfilmtz7037 4 года назад +3

      Allah the best ewe mola nakushukuru kunionyesha mashehe wanaonionyesha sili za mafanikio katika kitab chako tukufu. Jazaka llahu shekhe!!!

  • @aydaabbas9580
    @aydaabbas9580 4 года назад +3

    Sasa sheikh hio duwah umeianza Allahuma hujaimaliza umesema kwa kiswahili sasa inafaa ?

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 2 года назад

    Una maneno mengi yanayompoteza msikilizaji

  • @abdulmbaruku9177
    @abdulmbaruku9177 2 года назад +1

    Hesabu mbona ni ya mchongo

  • @mwanatumungenya9672
    @mwanatumungenya9672 2 года назад

    Asalm Alaykum

  • @tauhidaswaleh4796
    @tauhidaswaleh4796 2 года назад +1

    A a sheikh uko na stori nyingi sana hata hiyo faida ukisema watu hawaelewi

  • @mohammdsaid2981
    @mohammdsaid2981 Год назад

    Shekh maneno mengi tpe hyo mada uliokusudia wengine mb ni chache

  • @fatumahassan8834
    @fatumahassan8834 2 года назад

    Cna kaz nisaidiyenipate kazna mm Niko qtari na china kaz nisaidie

  • @amootimai490
    @amootimai490 4 года назад +3

    Sasa mdaiwa akiwa hana pesa atanilipaje

  • @Calis2451
    @Calis2451 4 года назад +1

    Salam alk mbona ustadh hio dua hujaimaliza

  • @salemshaban2413
    @salemshaban2413 4 года назад +1

    Sheikh jee kuhusu wepesi wa kulipa hapo ndio kuna uzito wakulipa

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 года назад +2

      Yaani ukifuata utaratibu huo weye subiri majibu tu’ huna haja ya kumtafuta’ atakutafuta mwenyewe’ ALLAH TABAARAK WATAALA atamtia wepesi utashangaa...!...unaweza hata kumpa tena nusu mtuhumiwa kama zawadi...!
      ...IN SHAA ALLAH..!

  • @saidnassoro2357
    @saidnassoro2357 4 года назад +1

    Naam tupekk

  • @majidsaid08
    @majidsaid08 4 года назад +2

    sheikh hiyo hisabu imetutatiza, 39 mara nne ni 156 itabaki 35 ndio ikamilike 191, sasa tutasoma vipi??

  • @bbynuu2612
    @bbynuu2612 4 года назад +2

    Je mtu tapeli atalipa pesa zako ukifanya hvyo

    • @shersaid7988
      @shersaid7988 Год назад

      Shukran Sheikh Yusuf mie nimeisoma siku mbili tu nimelipwa deni la miaka 3 .Allahu Akbaru hakika quraan ina miujiza.Alhamdulila

    • @fatumakassim7449
      @fatumakassim7449 Год назад

      @@shersaid7988 unasoma ukiwa unaswali au unasoma wakati gani?

  • @awalimustapha7242
    @awalimustapha7242 Год назад

    Tatzo unaongea sn wala huna huwezo wakumfundsha mtu km anataka kujua kutu

  • @awalimustapha7242
    @awalimustapha7242 Год назад

    Tatzo unaongea sn wala huna huwezo wakumfundsha mtu km anataka kujua kutu

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 5 месяцев назад

      Ndugu hapo anafindishwa mtu ambae tayr amepitia darasani (Madrassa) mtu ambae hakuwah kupitia huko Hawez kuelewa kitu hapo