HIKI NDICHO M23 WANATAKA, BALOZI MULAMULA AANIKA CHANZO KIZIMA CHA VITA DRC NA M23

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Tembelea Tovuti yetu kupata habari zaidi: habari24.co.tz
    Jisaili hhapa leon bet: c1li7tt5ck.com...
    Ads: rugbymentalads...
    Tufollow mitandao ya kijamii
    Tiktok: / assengaonline
    Facebook: / habari24tz
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
    Email us on assengablogtz@gmail.com

Комментарии • 129

  • @muj-c6p
    @muj-c6p День назад +4

    Mama heshima yako, alakini ungeanzi mwaka wa 1845 mkutano wa Berlin germany, walipo amua kuchuwa sehemu kubwa ya Rwanda noth kivu na raïa wa rwanda watutsi na wahutu na kuipa Congo, mzizi wa machafuko ni huo, hawo wanafunzi mnawapa historia ya uongo kwa faida gani.

    • @josephmwabange9633
      @josephmwabange9633 12 часов назад

      Ooh , na hii ndilo tatizo kubwa sana , na kama Kongo hawataki hawa Watutsi basi abadilishe mpaka wao uwe Rwanda , maana huo mpaka ukiwekwa na wazungu bila kujali asili zetu !

  • @ingodwetrust.239
    @ingodwetrust.239 День назад

    Maman iam munyamulenge this so amazing 👏 tell them more please ..people they just talk without know the cause of Eastern TUTSI why they're fighting on their lives good explanation maman how you can tell people who lives in the country more than 500 hundred years that are foreigner?👍 👏

  • @DavidMuikia-l7w
    @DavidMuikia-l7w День назад +1

    Very impressive analogy.

  • @mountolive8297
    @mountolive8297 День назад +1

    Uyu Mama anaelewa historia kweli🎉

  • @josephmwabange9633
    @josephmwabange9633 12 часов назад

    Da yaani , TZ tuna Vichwa , huyu mama apewe wizara ya Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa , hiyo wizara inamfaa kabisa , ni Kichwa kilichoenda shule , ni hazina kubwa sana katika nchi yetu jamani

  • @BalimaFrank
    @BalimaFrank День назад +1

    Thank you ambassador shida iko kwny DRC government na sio Rwanda , Head if state wa DRC atumie demokrasia kuendesha nchi na swala la minorities group mipakani haliepukiki kila nchi mipakani inachangamoto ya wageni wenyeji na sababu ni namna ya mipka waliogawa wakoloni so DRC watambue hilo na wawe na demokrasia waendeshe nchi yao

  • @AnacletNshimirimana-e5o
    @AnacletNshimirimana-e5o День назад +2

    Tunakushuru sana mama kiongozi kwa kutowa ufafanuzi kwa mugogoro uliopo bayina Congo na m23.

  • @afrikacele5901
    @afrikacele5901 День назад +1

    The banyamulenge is one part of kinyarwanda speaking which is a large group in Eastern drc. Banyamulenge leave in an aria called mulenge.

  • @ChebusBakari
    @ChebusBakari 6 часов назад

    Asante sana mama

  • @RugabirwaGabriel
    @RugabirwaGabriel 23 часа назад

    Huyu mama ni mukweli sijawahi kuona. Tunaitaji wanasiasa wakweli congo.
    Tatitizo ukisema ukweli congo unaitwa munyarwanda.
    Ukweli umeanza kuwekwa hazarani.
    Be blessed

    • @harounmaarufu3241
      @harounmaarufu3241 16 часов назад

      Umeona .sasa Mobutu na hawa watawala wa sasa na waliopita wanakana uraia wa watu wakongo mashariki.wao wangefanyaje.ni kupigana kulinda uraia wao.kwa M23 sio wa kulaumiwa.na kama hawatapewa uraia wao ni kudai Kwa nguvu.halafu huyu mama na mama Anna Tibaojuka wanapaswa kutumika vizuri,lakini Kwa roho mbaya zetu wamewekwa pembeni.mamalamula na mwenyewe anaweza kutumika kutoa mawzo yao ya nini kifanyike kuhusu mgogoro wa congo kwamba siku zile walifanyaje

  • @oscarmunini8295
    @oscarmunini8295 День назад +1

    Mama Anasema ukwrli tunamiaka miyaine 400 rakini unasikiya huyu akisema eti banyamurenge niwageni nandiyo maana vita haitaisha kwanini watanzaniya Hawaiti wasayi wageni ? Naniwatsti ?

  • @deogratiassugira8434
    @deogratiassugira8434 День назад

    Mama umefuata historiya vizuri sana,alakini wengine watazamaji au wasomaji wa nawambiyeni mkitaka ku mjuwa mtusi au myamlenge na sababu hawashindwi kamwe musomeni bibliya Yesayi 18:1-7 Roho mtakatifu awafafanuliye Asante.

    • @DavidMuikia-l7w
      @DavidMuikia-l7w День назад

      If you really desire to learn you listen. There was nowhere issues religion was discussed. The problems of congo are not sectarianism at all.
      RIP Mwalimu Nyerere, He stated that the government has no business into one relationship with faith or religion beliefs.Ukitaka kuswali na kwamini jua ni mungu wako, kazi kwako!!

  • @jeannyiridandi4724
    @jeannyiridandi4724 День назад +1

    Huwo Maman ndo wagutatatuwa Mugogogoro vizuri mujyasiri sana jameni

  • @benonkalenzi1969
    @benonkalenzi1969 День назад +1

    Habari yako ndugu mutangazagi nirikuwa nasikiriza muheshimiwa muramura arivyokuwa anaongea hakutaka kuongea ukweri arivyongea ni uogo nafikiri hajui histori ya Kongo
    Amekwepa kusema ukweri

  • @nzizavincent3542
    @nzizavincent3542 День назад +5

    Mana huu anasema kweli alakini kunavitu hataki kusema vizuli ,wanyamurenge siyo watusi wenyewe wanyanyaswa hapa congo,kuwawinine watusi wa Masisi na Rucuro wanayitwa wagogwe nawo niwatusi wazamani hapa congo hawasasa walinyanyaswa sana na interahamwe kutoka Rwanda wakauwawa nkombe zawo zikaliwa ,Hawa Sasa ndiyo wameamuwa kugombowa eneo lawo kwajili wazazi wawo mpaka Sasa niwakimbizi Rwanda ,Uganda,kenya.wako wengi. hata inchi za inje kama USA zinawapatiya kimbilio Sasa .shida si Rwanda,ama Uganda.shida ni wale wacolon waliyo kata mpaka ya congo na Rwanda .kama munataka ukweli mno tafteni yaliyo zungumza na mzehe mwalimu Nyerere kuhusu mipaka ya Rwanda na congo .axante nawapenda wa Africa wenzangu tusibaguwane tuwe mumoja Mungu awabaliki amina

    • @snks4dh
      @snks4dh День назад

      Ukweri

    • @EtoOlebene
      @EtoOlebene День назад

      Wewe ni mutusi acha hongo, Kongo akuna kabila la munyamulenge, nyinyi ni wanyarwanda. Mupande mu shuke sisi wakongomani atuwezi kuwa kubali kwa lolote lile

    • @barnabaslushenshe523
      @barnabaslushenshe523 День назад

      Watu wanakufa anaongea utumbo. Hii inasaidia nini

    • @barnabaslushenshe523
      @barnabaslushenshe523 День назад

      Hawa ni wakupumzika tu.

    • @barnabaslushenshe523
      @barnabaslushenshe523 День назад

      Wengi ni watusi wa wapi...mashariki kuna makabila yote

  • @PlickaChacha
    @PlickaChacha День назад +1

    Yaani ile nchi haitawariki kwa sababu ya ukabila shida sio ukubwa wa nchi ila kama iwezekana hiyo nchi iongozwe kama ulaya kwa mfumo wa state

  • @refugeesKenya
    @refugeesKenya 15 часов назад

    Madam anasema uongo kiasi kwamba hajui historia ya DRC. hakuwa nafasi Wanyamulenge wanaingilia kwa historia ya DRC.

  • @HamzaFamily-sw4td
    @HamzaFamily-sw4td 19 часов назад

    Mama unaijuwA historia na ukweli❤

  • @selohtv8774
    @selohtv8774 23 часа назад

    Mama MULAMULA Asante sana kwa kueleza dunia Mimi nimemaliza miaka 27 Out of my country But still hope my country itakuwa salama but that is like dreaming

  • @RuganzagAimable-m5l
    @RuganzagAimable-m5l День назад

    Asanteni Maman balozi kwa wale wakisema wanyamulenge ni wakimbizi juweni yakwamba hii ndilo tatizo mpaka sasa 1885 njo wamefika congo wakitambulikana watusi wa itombwe jina wanyamulenge wame jiita kwa ku ondowa confusion na wakimbizi kutoka rwanda lakini mpaka sasa wamoja hawaja itika hiyo

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 День назад

    Leo ndo nimeelewa maana ya M23 ( March 23)
    Asante balozi

  • @BAGARUKAVicent
    @BAGARUKAVicent 4 часа назад

    Kwa nini viongozi maraisi hawajui historia hii ? Mm mulamula mwenyezi mungu skubariki kusema ukweli

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 День назад

    Asante mama Sasa Mimi niurizee wanaosema eti tatizo nikagame wakati huyo kagame amkua hayupo raisi IRA vita imkuuwapo kwanini muomea

    • @josephmuta8235
      @josephmuta8235 11 часов назад

      Hawo wanatao mushutumu Kagame waongo sana

  • @newafricahorizontv1984
    @newafricahorizontv1984 День назад

    Wewe mama juu ya nini unadanganya generations ya watu ivo?

  • @unclepwechnov1381
    @unclepwechnov1381 День назад +2

    Bravo mama kwa kuongea ukweli, wabaguzi waliojaa roho mbaya ya ukabila hawapendi ukweli. Nyerere alifanya jambo la maana sana kutuondolea ukabila hao wapenda ukabila vita kwao havitaisha.

  • @muj-c6p
    @muj-c6p День назад +1

    Tafautisheni Banyamulenge asili yao ni south kivu huko minembwe mbali na noth kivu.
    Wakina Laurent Nkunda, Willy Ngoma, Makenga
    na wenzao asili ni noth kivu mpakani na Rwanda nigependa upekuwe vitabo upya uelewe vizuri historia ya watu wa Minembwe south kivu inapishana na historia ya watu wa noth kivu
    asanteni kwa kunielewa vizuri japokuwa kiswahili changu
    kina matatizo mengi.

    • @justinbuseruka5631
      @justinbuseruka5631 День назад +1

      😂😂😂 sasa unamaanisha nini Wakati unasema eti “ historia inapishana”. Wa Tusi wa North-Kivu na wale wa South-Kivu ni wamoja na shida zawo zinafanana.

  • @Neema935
    @Neema935 День назад +1

    Mama, ongea ukweli wanyamulenge ni wakimbizi kutoka Rwanda. Na Mobutu ndiye aliewapa uraia wa Kongo.

    • @josephmuta8235
      @josephmuta8235 11 часов назад

      Wewe unayo yaongereya yanakuzidi acha kueneza ujinga kwenye mtandao, wanyamulenge wa kongo sio wanyarwanda.

  • @RutambweespoirKisimba
    @RutambweespoirKisimba День назад

    Uyu mama anaongelea wanyamulenge kutupo kujuwa mulenge niwapi naomba mama ongeya hambacho unajuwa

  • @Muta-m4m
    @Muta-m4m День назад +1

    Ukweli uweka watu huru ❤️

  • @Neema935
    @Neema935 День назад +1

    Mama, hakuna haskari wa Zaïre .Wote ni watutsi walikuja na mzee Laurent kutoka Rwanda na Uganda ndiyo wanao ongoza jeshi la kongo. Wasalititi wote.

  • @EDSONKAJUNA
    @EDSONKAJUNA День назад

    Mama tunashukuru kwa historia nzuri ya M23

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 День назад +1

    Mamangu ni munyamulenge na anauraia wa congo but family yake iko rwanda

  • @NdahiromugungaErnest
    @NdahiromugungaErnest 17 часов назад

    yaani Mama mmeangaza kilichopo ukweli ndio huo

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey День назад +2

    Hakika kama maelezo ni haya ndio maana mgogoro hakuishi Kongo
    Usuluhishi una taratibu na njia zake
    Huwezi kujisifu kwenye jambo ulilofanya likashindwa ni aibu hata kutajwa kuwa ulihusika
    Kukosekana kwa viongozi wenye maarifa, busara walio wazi na wakweli na msimamo ndio shida
    Afrika ni aibu tupu ina viongozi wachumia tumbo, wabinafsi, wasiokuwa na upepo, maarifa wala ubunifu
    Ni kama madebe matupu hayamtishi chura kwenye Maji
    Yani watu wanauawa miaka nenda Rudi kazi Yao kutoa pole na kulaani na kukaa vikao visivyo na tija aibu kwao

  • @DattoNgukwa
    @DattoNgukwa День назад +1

    Nice

  • @gustavodany4170
    @gustavodany4170 4 часа назад

    Mama huu, anayo yasema ni kweli kabisa. Kwenye comments, nawaona wale wasio penda ukweli huu usemwe kwa sababu akili na roho mbaya vinawazidi.

  • @abcdefgger
    @abcdefgger День назад +1

    Tatizo la msingi lawakimbizi watusi wacongo mliongelee nalo sababu serekali haijataka warudi nyumbani kwao?

  • @AsumaniOmari-o7p
    @AsumaniOmari-o7p День назад +1

    Wewe mama hongoa unachokifahamu vizuri. Maelezo yako yanaegemea upande na pia hayajitoshelezi .

  • @FrancoisButere
    @FrancoisButere День назад +1

    Madame balozi usaidizi kwa DRC si peke kuwasaidia kujenga jeshi ila jambo la kwanza nikuambia DRC na viongozi vyeke waache ukabila wanabaguwa sana wacongomani wasema kinyarwanda eti si wacongomani na lile ndilo tatizo kubwa kwani wakikubaliwa sawa wengine wanainchi vita haviwezi kuwa, na ninawaza wakati wamakubaliano hayo unayoyazungumuzia ya muhimu haikuwa kuingizwa kwa jeshi kwa vikundi vya kumiliki siraha tu hapana, kitu kikubwa ilikuwa kurejesha wakimbizi ( wazazi na ndugu za wale wapiganaji wenye wanaishi kambini kwa inchi mbali mbali) basi viongozi vya Congu hawakuyatimiza, je wewe unawezi ukabaki kwa jeshi ndani ya inchi isiyo heshimu familia yako?

  • @RutambweespoirKisimba
    @RutambweespoirKisimba День назад +1

    Ila kwa Leo Shida wala fujo iko north kivu ambapo hakuna wanyamulenge, tunajuwa kama kagame na mseveni ndio wana ibiya na wazungu....

  • @ChristopherKayera
    @ChristopherKayera День назад

    Kwenye kubwa siyoo kwamba haitawaliki siyoo kweliii : Mbona China na Marekani zinatawalika tena kwa Miaka mingi

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 16 часов назад

    Nadhani warudi kwenye makubaliano hayo ya 2009 23 march.kama kuna vipengere vya kurekebiaha kwa sababu ni muda mrefu warekebisha.

  • @mwalimubarakajustin745
    @mwalimubarakajustin745 День назад

    😂😂 walimu wafarisayo hawana aibu machoni, ila zamiri zao zawashuhudia kwamba wafundisha uongo kwa faida za mwili. Muamuzi wa haki yuko juu sana.

  • @AFC-M23
    @AFC-M23 День назад

    Balozi ameongea vizuri na kutupatia haki kabisa. Ila tatizo moja ambalo hakuligusia ili tujuwe kweli ni upande gani tuusimamie ni kuwa hatuambia ni nani alikuaga responsible kutekeleza decidions ambazo zilikamatwa March 23, 2009. Na ni nani hakupenda kuzitekeleza decisions hizo kati ya M23 na viongozi wa DRC? Kingine tungependa atuambie ebu CNDP kazaliwa vipi juu wengi hukamata CNDP au M23 kama kundi la waasi bila kugusia sababu ya kupigana kwao, sio makundi yote mashariki mwa DRC yanapigania tu kupora madili.

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 16 часов назад

    Sasa hivi watu wanatplewa nje eti wanabaki peke yao.hakuna ushirikiahwaji.ubinafsi

  • @kananisarafe8582
    @kananisarafe8582 День назад

    Mbona ukisema wanao saidiya kupigana munawabelo.

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn День назад

    Tatizo ni wa Congo wenyewe kumbe

  • @rizikikabeya1474
    @rizikikabeya1474 День назад

    Uko Mongo tatizo la Congo siyo ukabila ,institutions zote ziko amo kabila zote zote tatizo la Congo sasaivi ni minerals wengini wanataka wachukuwe kiharamu .

  • @dennislihepa2247
    @dennislihepa2247 День назад

    Sasa kama mashariki ya kongo ni banyamulenge wengi hii vita haitaisha kwani bado Rwanda na uganda wana interest na mashariki ya kongo na wamechanganganya damu sasa wakongo wakubali kuwa na banyamulenge au waaondoe wote wawarudishe rwanda kwa nguvu ya kijeshi na batalion kubwa ya kijeshi ikae mashiriki

  • @MuhindoWasi-k3j
    @MuhindoWasi-k3j День назад +2

    Huyo mama anasema kweli mimi nimu kongomani halisi yani gesi letu limeharibiwa nawaasi

  • @JEANTAMBWETambwe
    @JEANTAMBWETambwe День назад

    hapo wakati wa 1960 shida ya wanyamulenge hajakuwa sasa mubutu kabadili jina kwa nini ?kwa sababu jina lolote halibadilishwi bure . kama tanzania leo inaitwa hivyo kuna sababu ,zamani haikuwa tanzania mimi kama muafrika napenda tujue adui wa afrika ni yupi?

  • @EricDaniel-do5rw
    @EricDaniel-do5rw День назад +1

    Congo inapakana na inchi 9 sio inchi 8

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 День назад

    Huyu mtu huyu kuna jambo

  • @nzizavincent3542
    @nzizavincent3542 День назад +1

    Please soma hii comment yangu ya kwanza utajuwa ukweli.

  • @Neema935
    @Neema935 День назад +2

    Huyo, kaongeleya tu ukubwa wa Kongo na utajiri wa nchi. Afunguwe box ya Rwanda toka 1994 kuusu mauwaji ya raisi wa Rwanda na Burundi. Sisi suo wajinga.

  • @ShishishiMohammed
    @ShishishiMohammed День назад +2

    Sisi wafrica wausi twajifanya twajuwa kuongea lakini akuna kitu kila siku tunahambiwa congo imejaa utajili kweli kweli mbona watu wake wateseka sasa cha m23 wainyohoshe

  • @rafikindugu4674
    @rafikindugu4674 17 часов назад

    Mbona huyy mama nu muongo sana, balozi asiye fahamu historia. U aongea mambo kama utani ukiwaambia watu historia ya uongo.hivyo ndivyo munasababisha vita. Chuki yenu kwa jamuhuri ya congo haita suluhisha matatizo yanayoendelea.
    Umepewa historia ya uongo ao unakusudia kupotosha watu.

  • @Neema935
    @Neema935 День назад +4

    Huyo mama, anapotosha wanafunzi huo siyo ukweli. Hamna point .Ni mfuaasi wa wavamizi wa Congo.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 День назад

      Tena Algeria ni kubwa kuliko DR Congo.

    • @muj-c6p
      @muj-c6p День назад

      Huna akili sawa

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 День назад +1

      Hapotoshi, unataka kulazimisha uongo unaoujua wewe. You don't know anything, just cut your bull💩.

    • @gustavodany4170
      @gustavodany4170 4 часа назад

      Kama hujui, kaa kimya na ujifunze kwa wengine. Roho chafu tuu.

    • @gustavodany4170
      @gustavodany4170 4 часа назад

      Wewe ndiwe hujue, sasa kaa na ujifunze. Na kama sivyo, yaonekana ni ule ubaguzi wa wa Kongo na akili kama watoto.

  • @IsaacRutaha
    @IsaacRutaha День назад

    Mama hongera hapo mchawi ni ruwanda

  • @jeannyiridandi4724
    @jeannyiridandi4724 День назад

    Anajiwa bizuri sana

  • @Neema935
    @Neema935 День назад +3

    Chanzo ni mwaka wa 1994 toka mauwaji ya kimbari ya Rwanda. Wakati kongo ilipokeya wakimbizi kutoka Rwanda.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 День назад

    Ukubwa wa CONGO sio sahihi. Hio TAKWIMU haiko sawa

  • @OmariLuendo
    @OmariLuendo День назад

    Ubwege wawa tusi kweli na mahuwaji munayo fanya kwaziya rwada burudi congo mutashidwa vibaya kwajina la yesu daganya haho virofa vyakwako havijuwi congo

  • @FrancoisButere
    @FrancoisButere День назад +3

    Nawaza munaonaka namna waongozi wa Congo wanavyo shawishi yengine ma Kabila kuuwa Kabila la watutsi kwenye mitao? Kula nyama ya watu na mengine sasa mwe munapenda ile Kabila linyamanze limalizike tu?

  • @JeanclaudeMunderere
    @JeanclaudeMunderere 4 часа назад

    Kwanini hazungumzie namna Mobutu alivyo msaidia Habyarimana kwa kumtumia Askari na vifa kwa kupiganisha RPA???? Na pili Habyarimana kushindwa vita FDLR ikapokelewa DRC na Mobutu na vifa vyao Bada yakufanya génocide nawakawekwa Karibu na mpaka, a ceni kuwa mnaruka vilivyo muhimu

  • @uzimajazir6096
    @uzimajazir6096 День назад +1

    Huo mamã ni mufuasi wa Kagame na hilo kundi linalo pigana kwanza wewe ni mutusi hão

  • @sophianabintu6666
    @sophianabintu6666 День назад

    Maman kweli ni ukweli
    Rwanda tu ni wauaji sana kagame ni mlonzitu

  • @RutambweespoirKisimba
    @RutambweespoirKisimba День назад +1

    Wanyamulenge niwakimbizi kutoka Rwanda na kuishi Congo kwenye kijiji kya mulenge ndani y'a south kivu

    • @gustavodany4170
      @gustavodany4170 4 часа назад

      Mpumbavu wewe. Kama hujui, kaa kimya na ujifunze. Labda wewe Muhutu kutoka Rwanda ao Burundi, na ile riho mbaya mnao ninyi. Ukweli unajukikana

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 16 часов назад

    Mtangazaji iwlewa wako ni mdogo halafu wewe ni GNZ.huyo mama ktk hotiba yake yote hakuitaja Rwanda sasa wewe unaiyaja unajua nini.kwa uelewa wangu matatizo ya congo ni ya wacongo wenyewe

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin День назад

    Huyo mama ni mtz. Au she speak poor kiswahili

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 День назад +1

    Mulamula Anajuwa Mpango mzima wa kuongea Kongo hatimae Tanzaniania Kwa maslahi ya wahima wanataka kuitawala Afrika Kwa maslahi ya wahima ambae na ni muhima Kwa mujibuvwa kauli ya ndugu Kabudi alivyo wachambuwa kuwawahima ni kina Nani hapa Tanzaniania.Tatiza sio uhima Tatizo ni roho zao mbaya na kiburi na dharau ya wahima dhidi ya wabantu Kwa neema ya Mungu vijana wazalendo wavantu wa DRC wanejitambuwa na Wameamuwa kujipambaniavkyoinga huu utumwani wacNusevwn na Kagame kutakavkyjimilikusha mashariki mwa DRC Leo DRC Kesho Tanzaniania mwisho wa ndoto ya wahima na mbingu za wazungu kuwatumia kama vibaraka wao na hili Mulamula unalijuwa Acha kuwadanganya vijana Tatizo sio uhima Tatizo ni roho zenu mbaya

  • @Neema935
    @Neema935 День назад +2

    Utadanganya wasiyo juwa historia . Hakuna chenye unaongeya , umeficha ukweli wote. Sasa kwa kuwa kongo ni kubwa ndo inaruhusu Kagame na Mseveni kuja kufanya mauwaji ????

  • @shukurukaheja8605
    @shukurukaheja8605 День назад

    Mhuuuu uyu Mama ni mjasiri kweli kweli unaongeya uwongo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉😂 weye Mungu anakuona kabisa

  • @RamazaniAmisi-ns5mf
    @RamazaniAmisi-ns5mf День назад +1

    Mbona kiswahili chake kama wale wale Hawa wata rizika Africa Wana imiliki wao

    • @amanimanase8799
      @amanimanase8799 День назад

      Washenzi hao watusi wa rwanda

    • @jeanpaul9800
      @jeanpaul9800 День назад

      Wewe aca upumbavy wafatira anaco zungumuza ruga siyo shida,nawee unataka kureta ubaguzi

    • @jeanpaul9800
      @jeanpaul9800 День назад

      Wewe aca upumbavy,ruga siyo shida unataka kureta ubaguzi?fata anaco ongeya

    • @jeanpaul9800
      @jeanpaul9800 День назад

      Assante sana mama Afrika tunayitaji watu kana nyinyi

  • @Mwesi75
    @Mwesi75 День назад

    Uyu Mama anaongea anayoyajua au katumwa aongee nn anachanganya mambo hii hizi vita zimeanzia uganda watiopigana vita ya kumuweka Musevin madarakan ndo waliopigana kumuweka kagame ndo waliopigana kumgoa Mobutu na kumuweka Kabila na ndo wanapigana kumgoa Kisekedi hao nikina nani wajue hao ndo utajua kinachoendelea DRC na kitaendelea badae Burundi na sisi tuwe macho

  • @kamanzicrouch3881
    @kamanzicrouch3881 День назад

    Uyu mama anaongea point sana kwa kweli yuko sahihi

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 День назад +1

    Mama ni muogo mashari mwa congo watusi ni asilimia ya watu wachache sana. Hapo rwanda bado ni nijamii ya watu wa chache. La pili kabila kabla ya mapinduzi kumpindua mobutu waliwekeana mkataba lemera agrement ambapo jeshi la rwanda na uganda walitaka wapewe nafasi jeshini na kugawa mashariki ya congo. Ukweli ni kwamba hata wakijitenga bado patakuwa na shida wanao pambana na serikali sasa hawapiganii utaifa kama wacongoman wanacho pigania ni ukabila tu. Ikiwa mipaka jamii ilikuwa moja inamaana jamii ya wanyarwanda walio kongo hivyo watutsi, twaa, na wahutu nao wapo congo lkn tujiulize wao wanasemaje kuhusu ikiwa nao wapo congo. Kuna kitu kinacho piganiwa ni madini tu mwanaadam ni mtu wa ajab sana

  • @byamunguemmanuel4302
    @byamunguemmanuel4302 День назад

    Watusi Congo walitoka Rwanda 🇷🇼 mwaka1959 wakawa wakimbizi lakini baadaye wakanogewa wakatamani kubaki Congo ndiyomaana wanapigana ili wapate sehemu ya Congo waishi Kama raia wenye inchi yao wajitegemee wenyenyewe Mula Mula hajui ukweli kwasababu na yeye ni mtu wa ukoo huo anaishi Tanzania

  • @wiczrabin4039
    @wiczrabin4039 День назад +2

    Kwanzia apa 9:37 ni wongo mtupu. Mashariki mwa Congo kuna kabila zaki congomani +- 80. Mobutu ndo amewapa tutu ya kwanza awo wa kimbizi kutokeya rwanda ukabila waki congomani 1964. Mama huyu ana ongeza mambo yake.

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 День назад +1

      Wacongo mnapenda ubaguzi wa kikabila, huyu mama anaongea ukweli na anaijua historia ndiyo maana amepewa platform aongee wasiojua wajifunze.

    • @gustavodany4170
      @gustavodany4170 4 часа назад

      Riho mbaya mnao ninyi. Kwa nini hayo mambo yenu ya ubaguzi kwa kabila wa Watusi wa huko Kongo. Inafahamika kwamba walikuepo Kongo myaka mingi sana kabla wazungu hawajafika barani Afrika.

    • @gustavodany4170
      @gustavodany4170 4 часа назад

      ​@@unclepwechnov1381Hayo ni kweli kabisa

  • @musalaben9080
    @musalaben9080 День назад

    Huyu Mama hajui kintu hata kidoko kuhusu Congo

  • @markodaniel2662
    @markodaniel2662 День назад +1

    Msichokijuwa ni kwamba; rais Ruto Kagame na Museveni awa ni watusi na nia yao ni kuitawala Africa mashariki ndio maana walipanda watusi nchini Congo na Burundi pia na Uganda kwa lengo la kuwafanya wao waingie serekalini.
    Sasa hii vita wanayoifanya M23 nda ya Congo leo wanaoifadhili ni Ruto Kagame na Museveni wakisaidiwa na mataifa ya magaribi ulaya ili kwaamaana Congo ndo nchi pekee inayoweza kuwashinda wao kuliko nchi zingine zote, ndio maana mumeon Rais wa Burundi amestukia mchezo huu akafunga mipaka yake na Rwanda na kuwatuma majeshi kwenda kusaidiana na Congo bado adui angali mbali.
    Kwaiyo watanzania iwezi makini hii vita inaweza kuingia nchini kwenu, watusi ni kabila mbaya sana lisilo na uruma ya kumwaga damu za wautu

  • @KisshirugaEmmanuel
    @KisshirugaEmmanuel День назад

    Wewe acha upumbafu ,kiswahili siyo tatizo, wewe sikiliza anacho zungumza.

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 День назад

      kuna mahali mama haja weka sawa...kuna mahali mama ana chemsha

  • @ismailntigashira7821
    @ismailntigashira7821 День назад

    Aksante saana Mama
    Lakini naomba mtuelezee mkataba was M23 kunanini ndani mbona ni kama sili we've Mama kama Mwenyekiti wa mazungumzo na mkataba kwa nini msituambiye?
    Jet ni kweli Kila Inchi husika ilipewa 300km kuongoza na kutumia lasilimali ndani ya Congo zikiwa(Uganda, Rwanda, na Burundi)?

  • @uzimajazir6096
    @uzimajazir6096 День назад +1

    Mbona husemi kama aliekuwa mkuu wa jeshi kipindi hicho chá kabila mzee alikuwa munyarwanda wewe umewahi kuona wapi mkuu wajeshi kutoka inchi nyingine

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 День назад +1

    ANAYESEMA KWAMBA CHANZO CHA MGOGORO WA CONGO NI KUWANYIMA URAIA WANYAMULE, HUYO NI MUONGO WALA HAJUI HISTORIA NA SABABU CHA MIGOGORO YA CONGO ISIYOISHA.
    SHIDA NI RASILIMALI ZA AJABU KATIKA NCHI YA CONGO. KILA NCHI DUNIANI INAZITAMANI.

  • @GeophreyMsomba
    @GeophreyMsomba 7 часов назад

    😂pumbavu

  • @Neema935
    @Neema935 День назад +1

    Na wewe ni mtitsi. Ungeya ukweli chanzo ya mzozo tuelewe. Sasa Kagame kafata nini ndani ya Kongo. ?

  • @JeanNelly
    @JeanNelly День назад +1

    Ni mtusi huyo mama

    • @jeanpaul9800
      @jeanpaul9800 День назад +1

      Wewe waca ukabira,iyo mawazo Yako ndio anaharibu afrika

  • @EtoOlebene
    @EtoOlebene День назад

    Wakati Kikwete ali fukuza watusi una fikiri ali wafukuza ki ivi tu, ali juwa kwa nini aliwafukuza. Acha kupotosha wana funzi, ukweli tuna ujuwa sisi Wa Kongomani.

  • @OmariLuendo
    @OmariLuendo День назад

    Kamama kazima kana sema uhongo bila haya kweli

    • @alicedusabe7510
      @alicedusabe7510 День назад

      Mama anasema ukeri ijapo wewe hupendi wanaeesema ukweri ndiomaana unasema kamama wewe wewe hunata eshima mama yako nawee unamuita kamama? Hahu mama ?

    • @mwalimubarakajustin745
      @mwalimubarakajustin745 День назад

      POLE MAMA KWA MAFUNDISHO MAPOTOVU, UNAHARIBU UFAHAMU WA KIZAZI. ZAMIRI ZAKO ZAKUTAMBULISHA UONGO WAKO, ILA WAUNENA KWA FAIDA ZA MWILI. Enyi wanafunzi, mafundisho ya kweli hayatazamiwi kwa wenye mavazi ya samani ao vyeo, bali vitabu vya kale na mababu zetu wenye hekima, ndizo chemichemi za ukweli wa historia.

  • @EtoOlebene
    @EtoOlebene День назад

    Kwanza uyu maman ni mtusi ndugu yake na Kagame una fikiri atu hongea nini kuhusu Kongo.
    Na nyinyi ndugu zetu Watanzania mumesha ingiliwa zamani sana, watusi ni wengi kwenye upande wa serikali lenu muwe makini nao

  • @didasndangayire8149
    @didasndangayire8149 День назад

    Huyu mama mongoo sana

  • @bisimuatoamudwanga2577
    @bisimuatoamudwanga2577 День назад

    Ongeya historia vizuri ao itafute Mtu wakukufasiriya😂unacheka cheka kama Mjinga😂bila kuelewa😂background ya the really problem, it’s not fanny young girl

  • @OmariLuendo
    @OmariLuendo День назад

    Hacha uhongo wewe nimtusi kumalako wewe

  • @TimotheoWabawili
    @TimotheoWabawili День назад

    Anaongea uwongo hana aibu akuna wanyamurenge wakongomani ni wanyarwanda wakimbizi wa wakimbizi wa BURUNDI NA WAKONGO wawe je kupokonya eneo kwa BUNDUKI PASIPO IZINI YA WENYEJI WA TANZANIA……