MAKAME YANGA AKUBALI YAISHE KWA TABORA UTD "LEO TUMEINGIA KWENYE MFUMO | TIMU IMEATHIRIKA SANA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 21

  • @chamyluna8030
    @chamyluna8030 4 часа назад +2

    Kwani mnacheze pekeenu ukweli hamna timu

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 4 часа назад +1

    Alafu kocha kama vile boya yani anamtoa pacome na wakati ndio mchezaji aliekuwa anawapa presha mabeki wa tabora pale alitakiwa atoke aziz na msonda aingie mzize na chama...
    Uyo dube nae boya tu bora hata baleke

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 4 часа назад +2

    WAMEWAZIDI MBELE???😂😂

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 4 часа назад +1

    Aisee leo nimeumia sana kama makolo miaka yote walikuwa wanateseka ivi basi hawa jamaa wanaweza kuishi hata kwenye moto

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 4 часа назад +1

    Kwa hali hii mpaka baka arudi tutakoma aisee

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra 3 часа назад

    Heee imekua ratiba tena. Si mlisema mna kikosi kipana. Naona kikosi kipana kimepanuliwa

  • @EdwinCharles-o8f
    @EdwinCharles-o8f 4 часа назад +1

    Kocha anazengua yani ovyo

  • @TheresiaMhagama
    @TheresiaMhagama 4 часа назад +1

    Acha ujinga na Tabora wanaokoja na mabasi waseme nini?

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 3 часа назад

    Mbeleeee😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AyubuRamadhani-ci8ds
    @AyubuRamadhani-ci8ds 4 часа назад +1

    Kikosi kipana maana yake nn?

  • @AlbertLambert-b4p
    @AlbertLambert-b4p 4 часа назад

    We hujioni kama kichaa beach sio bleach. Hata una ongea kama mlala njaaa.

  • @OmarAli-zz5sl
    @OmarAli-zz5sl 47 минут назад

    Pumbavu kwan hao wengine wanachenza na nyie tuu huna lolot hvi yanga bingwa anafungwaj

  • @NIAJr-ue8ys
    @NIAJr-ue8ys 3 часа назад

    Mimi Toka nakua ukimuacha ally yanga Huyu jamaa ni miongon mwa mashabiki wanaoijua yanga yao

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 4 часа назад +1

    Niliwahi sema huyu kocha sio kocha ni ubora wa wachezaji ndio unambeba angepewa timu ya simba si angekuwa anabatuliwa kila ck😅😅
    Alafu wanakuwa wananong'onezana na yule msaidizi wake mweusi unatazani wanaongea vya maana kumbe wanadiscus kufanya sabu za ovyo

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 4 часа назад

      Asante kwa taarifa nenda ukakokie ulalee team lenu linawazee wengi

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 2 часа назад

    Hili alinaga akili linaongeaga kishabiki tu

  • @Kelvin-u3f
    @Kelvin-u3f 2 часа назад

    Mabasi ya mama ako kolo

  • @willypatrick8589
    @willypatrick8589 2 часа назад

    Mnachez peke yenu

  • @haidarngoyogo-wi8wu
    @haidarngoyogo-wi8wu 2 часа назад

    Mzee baba yako mzazi falawee weee ulifimgwa una wazee kakojoe

  • @haidarngoyogo-wi8wu
    @haidarngoyogo-wi8wu 2 часа назад

    Ubingwa upo palepale

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 4 часа назад +1

    Changamoto nikwamba,(1)hamna kikosi kipana(2)wachezaji ni wazeee 75%