THE STORY BOOK: UBABE WA KIM JOUNG UN | KIDUME ANAYE TIKISA ULIMWENGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 сен 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 726

  • @SalmaHussein-pc9xo
    @SalmaHussein-pc9xo Месяц назад +15

    Jamal inafaa upewe tuzo ya mwandishi msimuliaji wa africa mashariki🎉🎉❤❤ kama unamkubali gonga like

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 года назад +13

    Km umegundua Proffesal Jamal nae ni general ana nyota 4 km kim jung Un kiduku tujuane kwa like🙏

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 2 года назад +79

    Waoooo waooooo waoooo leo nimeiwah mapema like kwak.jaman jaman love this giant ❤💞💞❤❤❤

  • @dadyshunaydah9421
    @dadyshunaydah9421 2 года назад +301

    Tunaomkubali Professor Jamal Na Tuliokua Tunasubiri Kwa Hamu Story Ya Huyu Mwamba Kutoka North Korea Tujuane Kwa Likes Kwa Kuua Ndege Wawili Kwa Jiwe Moja..,📌📚👍🏿

  • @derrikdesertman4564
    @derrikdesertman4564 2 года назад +11

    Jamal unajua kusimulia story vizuri..Wala kina Ananias Edgar wanakkera sana huwa nawatukanaga. Lakini huwa Jamal anajua sana Story...

  • @slyvestermagori220
    @slyvestermagori220 2 года назад +26

    Hii story inabidi nimtafte yeye mwenyewe KIM JONG UN nimtafaslie kwa kikorea alafu sikie yeye anasemaje🙈🙈🙈🙈🏃🏃🏃

  • @26eleven35
    @26eleven35 2 года назад +11

    Alafu hamjatuambia kuhusu familia ya Kim je ana mke au watoto

  • @aminasaid8462
    @aminasaid8462 2 года назад +20

    Nilikujua be4fore ukiwa unaitwa #JAMAL BISHOO u doing gud brooo

  • @burudanionlinetv9975
    @burudanionlinetv9975 2 года назад +47

    Professor Jamal Unatisha Bro Here We Go🔥🔥🔥

  • @naslee1010
    @naslee1010 2 года назад +47

    Tuletee Historia ya #JPM Mana Nae Ni Mbabe Wa Africa Insha Allah🙏

  • @michaelian947
    @michaelian947 2 года назад +22

    Who else has watched more than once

  • @hamisreegan3738
    @hamisreegan3738 2 года назад +7

    Aliyesikia neno la za ndani kabisa agonge like😀😀

    • @jujukajuju6496
      @jujukajuju6496 4 месяца назад

      ruclips.net/video/62qXNGj-d_Q/видео.htmlsi=SSw7qC4lV1GN1EfM

    • @jujukajuju6496
      @jujukajuju6496 4 месяца назад

      skiza hiyo story kwanza

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 2 года назад +12

    KIM JOUNG UN genius like MAGUFULI 💪❤

  • @allykibabendingo8496
    @allykibabendingo8496 2 года назад +10

    Kiduku mwamba...!!!

  • @gasparmpangaa8329
    @gasparmpangaa8329 2 года назад +10

    mtinga Nisha msahau Jamal April hukosei kazi zako nakuelewa Sana mwamba Hadi Sasa hivi wewe namba moja

  • @muhammedkipande3986
    @muhammedkipande3986 2 года назад +1

    Professor tunaomba xtory book yakwako kama unakubaliana na mm gonga like

  • @amosedward4326
    @amosedward4326 2 года назад +3

    Hakika huyu mwamba MUNGU amulinde 🙏🙏

  • @Nyimbozamani
    @Nyimbozamani 2 года назад +20

    watching this from Washington DC,
    wewe mkali babu

  • @finest8105
    @finest8105 2 года назад +5

    Sema jamal ujatuambia kma uyu jamaa ana mtoto au familia

  • @allfootballscoreliveworld8055
    @allfootballscoreliveworld8055 2 года назад +25

    Leo nimekupenda bule 😭😭😭😭nilikuw nakuchukia Jamal kwa Strory ya Leo Respect na unisamehe kwa kukuchukia bila sababu wew ni king of the Story book

  • @AbdulIsmail-ie4hp
    @AbdulIsmail-ie4hp 2 дня назад

    JAMAAL APRIL WE JAMAA NI FUNDI SANAAA..YANI UKITOA MAKALA FULANI BASI UNADESIGN HADI MAVAZI INAYOENDANA NA MAKALA... UMEPENDEZA NAHAYO MAVAZI BRO.. IM YOUR BIG FUN...
    brother you are talented

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 2 года назад +18

    🚬💣 balaaaa utam utam , no body can stop Jamal

  • @fatumamsangi479
    @fatumamsangi479 2 года назад +15

    Huyu dogo anajua wasomi tunamuindorse,Ana research za kotosha kabla ya kuongea

  • @margretratemo
    @margretratemo 2 года назад +3

    Nataka historia ya Rais wa
    Russia vildmir putin
    Na nataka watu wajue zaidi kuhusu jeshi la Antilantika NATO
    Asante kwa historia tunataka watu kama hawa kim jong un Africa.

  • @AudaxEmilian
    @AudaxEmilian 17 дней назад

    Mungu akumpe maisha malefu uenderee kutu erimisha mambo tusyo yafahamau tuna yafahamu kupitia wwe

  • @yudasrsakitwe7515
    @yudasrsakitwe7515 2 года назад +21

    Jamal ww n zaid ya professor
    Uko deep sana
    Keep it up bro

  • @jonathanphestondaiga4996
    @jonathanphestondaiga4996 2 года назад +22

    Professor Jamal upo vizur story zako zinavutia pia zinafundishaaa mungu azidi kukupatia maarifa zaidiiiiiiiii

  • @SwahiliSkills
    @SwahiliSkills 2 года назад +21

    Fuatilieni simulizi yake kwa kiingereza"evolution of evil" utajua kwamba kim ni mwamba kama ilivyo kwa Gadaffi na wageni wengineo.tofsuti yake na miamba mingine ni kubwa ameishi mda mrefu madarakani na ana ulinzi mkali sana muda wote

  • @saddyvunjabei5814
    @saddyvunjabei5814 2 года назад +35

    MashaAllah mungu awe pamoja nawe kwa kutuelimisha kwayale tusie yaelewa

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 2 года назад +4

    Kazi Saffi Ila Huyu Jamaa..Ngao No More Bullsh*† About Westernera Komesha:-🙌🏾

  • @HusseinKagesho
    @HusseinKagesho Месяц назад

    yuko sawa wavae kiheshima kwanini munatomboa masikio nyinyi wanaume.❤❤❤❤❤🙏🖐

  • @baltazarmushi4109
    @baltazarmushi4109 2 года назад +20

    siku zote naamini katika ELIMU, ELIMU uliyopata na kipaji cha ku narrate story kaka, ungekuwa mwanamke ningefanya kila niwezalo nikuoe Mr. profesor

  • @denisladislaus3296
    @denisladislaus3296 2 года назад +6

    Nataka historia ya John Pombe magufuri .Rais kupita maraisi wote TANZANIA . Like mpaka himfikie mr simulizi

  • @mussakirete9328
    @mussakirete9328 2 года назад +5

    Nakubal xan, viongoz kam kim wanatakiwa Africa

  • @noeldickson6616
    @noeldickson6616 2 года назад +42

    Watching this from UK keep doing Good brooo

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 Год назад +3

    Mwandalizi wa aridhio ana sauti laini na mwororo mithili ya asali. Pongezi kwa kazi nzuri ya usimulizi.

  • @romanmagati6769
    @romanmagati6769 2 года назад +31

    Napenda Sana story zako beans +254 tunafwatilia

  • @deejayhezzybiz2548
    @deejayhezzybiz2548 2 года назад +8

    Inafaaa uandae ya Jalisco new generation

  • @piusundisputed
    @piusundisputed 2 года назад +8

    Napenda Sana hiki kipindi, it's the best tv show ever

  • @josephatmbena8886
    @josephatmbena8886 Год назад +2

    P1 sana kaka ,,, ✌️ unastsjir kuwa professor ✌️✌️🥂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 года назад +5

    From saudia mola apatite nguvu

  • @abdikanzu5261
    @abdikanzu5261 2 года назад +4

    Tunaomba story book ya maalim seif

  • @kulwachacha1478
    @kulwachacha1478 2 года назад +14

    Wacha sisi tuenjoy tu maan the stry book inazunguka ulimwengu wote

  • @saidrajabu635
    @saidrajabu635 Год назад +1

    Nataman sana siku moja uwe na kipindi Azam Tv

  • @domidaremo6783
    @domidaremo6783 2 года назад +13

    Professor iyo safi sana nakuombeya maisha malefu

  • @innocentjohn8520
    @innocentjohn8520 2 года назад +12

    Bro Jamal ,Mimi cna neno kbsaaaa
    Ila big up sana bro

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 года назад +4

    Dah! Yupo powa huyu mtu, Mimi namkubali Sana aiseeeeee huyu dogo!

  • @donomar6876
    @donomar6876 2 года назад +10

    Proffessoooooorrrrrr 💪💪💪💪

  • @kanyastv699
    @kanyastv699 2 года назад +3

    Watu weng wame toa story ila wew umejua kuichimb san km vp mwz huu uongezew mshahara

  • @raisimseveni1955
    @raisimseveni1955 2 года назад +14

    This oga #jamalapril is very amazing🏁🏁

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 2 года назад +8

    Jamarii ❤❤💪💪 natamani pia usimrie kuhusu china nayo tuierewe zaidi 🙏🙏💪💪❤❤🔥🔥

  • @godsonlaizer738
    @godsonlaizer738 2 года назад +6

    Edgar Mbogo is my favorite! Tembele LA uani,nitamtembelea mzee Maabud snipe dawa!

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 2 года назад +34

    Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajacomment chochote humu ndani 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kawawamamaya8543
      @kawawamamaya8543 2 года назад

      😂😂😂😂😂

    • @amazingvideo1075
      @amazingvideo1075 2 года назад

      🤣🤣had huku wapo kwan

    • @kingcicero1708
      @kingcicero1708 2 года назад

      @@amazingvideo1075 wapo hadi akina Aisha mtamu 🤣🤣🤣🤣

    • @amazingvideo1075
      @amazingvideo1075 2 года назад +1

      @@kingcicero1708 M najuaga wapo fb tyu kumbe had hku😂😂

  • @26eleven35
    @26eleven35 2 года назад +8

    Kuna mkanganyiko wa kifo cha mjomba wake Kim mwanzon bom mwishon mbwa

  • @vuriankar5019
    @vuriankar5019 2 года назад +6

    Mbabe wa dunia huyoooo 💪💪💪

  • @denisladislaus3296
    @denisladislaus3296 2 года назад +81

    Nataka historia ya John Pombe magufuri .Rais kupita maraisi wote TANZANIA

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 2 года назад +33

    The King Kim,the real leader and confidence

  • @HimidiSaidi
    @HimidiSaidi 7 месяцев назад +1

    Tunakukubali professor broho makini san

  • @user-hw2vk9ml9d
    @user-hw2vk9ml9d 8 месяцев назад

    Ongera kwa Kim jong un napatikana rd-congo

  • @murtazamwinyimkuu9232
    @murtazamwinyimkuu9232 2 года назад +4

    Unafany story inakua nzur sana mr professor well done

  • @josegashiko3111
    @josegashiko3111 2 года назад +16

    From kenya God bless you

  • @princemercury5824
    @princemercury5824 2 года назад +30

    Fantastic professor

  • @africangirl9317
    @africangirl9317 2 года назад +6

    Mapema leo

  • @dianahemedy7239
    @dianahemedy7239 2 года назад +8

    Atar sana sana🔥🔥🔥

  • @kenrop7047
    @kenrop7047 4 месяца назад +3

    And I'm not tired to watch again and again,,,,@wasafi this man need to come back

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 года назад +30

    Aaahh Jamal April we love you so much, you are the best of the story book, much love, from Tanzania 🇹🇿❤️❤️😭🙏💜💜♥️ all the best of your life and your family

  • @simonchambo1230
    @simonchambo1230 2 года назад +66

    You're talented indeed #story teller in east Africa

  • @hamadimajura3711
    @hamadimajura3711 2 года назад +2

    Huyu mwamba mimi binafsi namkubali sana ila umesahau kuwa anapenda mziki sana tena mziki wa hasiri ya taifa lao pia anapenda kuogelea sana

  • @ipyanamwansasu8567
    @ipyanamwansasu8567 2 года назад +36

    Am the third one to listern a story today... ♥️♥️ The story book

  • @costamwambagi2337
    @costamwambagi2337 2 года назад +11

    Sema jamaa unamotivate sana jamalii kuwa kwenye kusomq unaweza ukajua vituu vingii na kujifunza vingii big up to you broo....

  • @AnethKapingaInventoryControlle
    @AnethKapingaInventoryControlle 9 месяцев назад

    Ndouvae na nguo za jeshi kabisa aya bwana umetisha boy

  • @antonipius3401
    @antonipius3401 2 года назад +14

    Next week tunaomba utuandalie story kuhusu kibuli cha wamarekani,,,,,. 🤏

  • @bidonimwakingwe2007
    @bidonimwakingwe2007 2 года назад +6

    Jamali mstapha 🔥🔥🔥

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 2 года назад +2

    Naomba ulete history ya magufuli

  • @tilastobias_africanlion9002
    @tilastobias_africanlion9002 2 года назад +14

    Receive Kenyan Love🇰🇪

  • @piusundisputed
    @piusundisputed 2 года назад +28

    Being honest I like this guy, Kim Joung UN ,he is very confident, radicalist, optimistic!!

    • @yumrecipes4461
      @yumrecipes4461 2 года назад

      He is not a good guy ata ameban mothers day 😭he is a pychopath

  • @masturafadhil8634
    @masturafadhil8634 2 года назад +8

    Nakupenda sana ❤❤❤ professor

  • @rosemaryjoseph1947
    @rosemaryjoseph1947 Год назад +6

    Jamal your talented

  • @immaculatejohn9906
    @immaculatejohn9906 2 года назад +2

    Bwana we lipua tu dunia bhana

    • @fahmijuma5711
      @fahmijuma5711 2 года назад

      😆😆😆😆😆😆😂🤣😂🤣🤣

    • @fahmijuma5711
      @fahmijuma5711 2 года назад

      😆😆😆😆😆😆😂🤣😂🤣🤣

  • @GetrudeMarco-ny6in
    @GetrudeMarco-ny6in 7 месяцев назад +1

    Kila siku nafikilia kuhusu story zako may God bless de work ov ur hands🙏 love u

  • @anoldjoseph2947
    @anoldjoseph2947 2 года назад +19

    Bravo! Tunaomba utusimulie historia ya Kali max

  • @nurddinmahmud5052
    @nurddinmahmud5052 2 года назад +6

    Professor ni mmoja tu🔥🔥🔥🔥

  • @ericdiseteh8111
    @ericdiseteh8111 2 года назад +5

    Kuna mafala wanasema we muongo yan kuna watu mapimbi sana, professor we piga kaz

    • @edwardgistave2221
      @edwardgistave2221 2 года назад +1

      Kwli jmaaa mi kunawatu nawaona machizi akili hawana ujue wamekalili kua kilastr et uongo

  • @bakilawetz9175
    @bakilawetz9175 2 года назад +22

    🙌🙌🙌..i really appreciate

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 2 года назад +9

    Jamaaaaallllllllyyy 🙌🏻🙏🏻

  • @nasirmusa4581
    @nasirmusa4581 6 месяцев назад

    Mdogo wangu huwa unanifunza mengi tena huwa nakukubali uko vizuri dogo

  • @shadrackkamosobin7515
    @shadrackkamosobin7515 2 года назад +14

    Napenda sana video zako bw. Professor 👏👏👏👏

  • @user-ey5nz7bg3o
    @user-ey5nz7bg3o 6 месяцев назад +1

    Saafi Jamal💛

  • @shabanimadega9640
    @shabanimadega9640 2 года назад +7

    Namkubali sana huyu kiongozi ndy maana nimeipenda nickname ya Kim. Mungu amuweke labda mpaka mimi nisiwepo duniani tenaaa

  • @manjemugoodlucky8777
    @manjemugoodlucky8777 2 года назад +16

    Big up broo

  • @JonathanKebaso-yk8le
    @JonathanKebaso-yk8le 4 месяца назад

    Huyou ndio mwanaume kiongozii ambaye Anapenda injiyake🙏🙏🙏🙏

  • @youngsamalo1156
    @youngsamalo1156 2 года назад +10

    Nilimsikia Jamal anasema miongoni mwa simulizi alizopata shida kuziandaa ni kafara za Freemason na uchawi

  • @starasuleimanjokolo4469
    @starasuleimanjokolo4469 2 года назад +13

    the best story teller ever,let the talent do the talking

  • @athumanmwandzephe2488
    @athumanmwandzephe2488 2 года назад +44

    Professor I tink itakuwa bora zaidi ukieka subtitle ya kizungu kwa izi clips zako for growing your market!!!

    • @sanjeynicks2927
      @sanjeynicks2927 2 года назад

      Nop kishwahili mimeweza kwa hiyo sioni maana

    • @athumanmwandzephe2488
      @athumanmwandzephe2488 2 года назад +2

      @@sanjeynicks2927 Huja nielewa bradhe ndo mana...
      Yeye aendelee kuelezea kiswahl,bh kuwe na kma subtitle coz nko na uhakka kuna watu wanahaja ya kutaka kutazama ila haelewi kiswahl so na yeye atakuw yuasoma translation tu,dat's wat I meant...

    • @sanjeynicks2927
      @sanjeynicks2927 2 года назад

      Nimekupata sasa brathee

    • @ramadhanmakame1328
      @ramadhanmakame1328 2 года назад

      Nice idea

    • @tsumaantony251
      @tsumaantony251 2 года назад

      I second you

  • @jescabrown8952
    @jescabrown8952 2 года назад +2

    Prof uko juu the best narrator I know in East Africa

  • @billskeez92
    @billskeez92 2 года назад +14

    Genius 🔥👌🙏🇧🇮

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 2 года назад

    Unajua sna jamal tulete kwa ulefu sna ili tufaidike na elimu hii ya mkomonist Kim jom un . Alikua magufuli mkomonisti na mpenzi wa kweli wa Tanzania still I love u jpm naishi maono yako .Kim naishi maono yako

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 2 года назад +1

    Unajua sana mkuu nakubari

  • @stanslauselias9002
    @stanslauselias9002 2 года назад +2

    Nakubali mkari wangu we ni mashine nyingine

  • @user-vl5ew2yf3m
    @user-vl5ew2yf3m 3 месяца назад

    Napenda sana hadithi zako prof