Sio dhambi wala sio makosa.Pombe imeruhusiwa pia imekatazwa. Hususan imeshauriwa sivyema kiongoz akanywa,akalewa akaipindisha sheria. "Akanywa akalewa" Imeandikwaga Tangia sasa kunyweni kwa maradhi ya tumbo yawapatayo kwa muda. Imeandikwaga Mnadhiri wa Mungu samson hakuruhusiwa kutumia pombe kwasababu hataweza kutimiza agano na Mungu. Inatufundisha nini?. Jesus alitengeneza Wine kule kana. Wine ilitumika pia kama dam ya yesu na mpaka sasa hakuna kanisa linatumia soda kunywesha watu meza ya bwana inatumika wine. Nimeongea kwa uchache sana lakini biblia ipo neutral ktk swala hili na imeeleza kuwa na kiasi ktk matumizi ya wine. So nisahihi watumishi kuwaonya watu ili kuzuia watu kujiachia lakini sio dhambi ila inapaswa kunywewa kwa kiasi.
AMEN👏🏽👏🏽👏🏽
Barikiwa sana Man of God
Amen 🙏🙌
Hatuchoki kujifunzaa 👏🏽👏🏽 ubarikiwe sana
Hongera Mtumishi wa Mungu
Asante kwa mafundisho
Sande Kwa mafundisho mazuri
MUNGU ATUSAIDIE SANA
Ubarikiwe Sana mtumishi
Mungu akubariki sana Handsome boy wa Yesu
Somo zuri sana
Naendelea kujifunza
𝐻𝑎𝑙𝑙𝑒𝑙𝑢𝑗𝑎ℎ 🙏🏽
Ku Shiba ya kunywa pombe ni ulevi, na hakuna ku kunywa pasipo ku Shiba ,tena ulevi ni fungulo ya Shetani kuingiya mtu.
Sio dhambi wala sio makosa.Pombe imeruhusiwa pia imekatazwa.
Hususan imeshauriwa sivyema kiongoz akanywa,akalewa akaipindisha sheria.
"Akanywa akalewa"
Imeandikwaga Tangia sasa kunyweni kwa maradhi ya tumbo yawapatayo kwa muda.
Imeandikwaga Mnadhiri wa Mungu samson hakuruhusiwa kutumia pombe kwasababu hataweza kutimiza agano na Mungu.
Inatufundisha nini?.
Jesus alitengeneza Wine kule kana.
Wine ilitumika pia kama dam ya yesu na mpaka sasa hakuna kanisa linatumia soda kunywesha watu meza ya bwana inatumika wine.
Nimeongea kwa uchache sana lakini biblia ipo neutral ktk swala hili na imeeleza kuwa na kiasi ktk matumizi ya wine.
So nisahihi watumishi kuwaonya watu ili kuzuia watu kujiachia lakini sio dhambi ila inapaswa kunywewa kwa kiasi.
Wewe unamatatizo. Ila unaweza kusaidika kwasababu hujawa sugu kam mtu akinywa hawezi kutimiza agano na Mungu kwanini unywe?
𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑎𝑡𝑢𝑠𝑎𝑖𝑑𝑖𝑒 𝑠𝑎𝑛𝑎🥹
𝐴𝑚𝑒𝑛 𝑚𝑎𝑛 𝑜𝑓 𝐺𝑜𝑑🎉
Karibuni sana wapendwa tujifunze pamoja Neno la uzima.