I was introduced to Lowki by one of my Gs, hii ndio ngoma tungechunisha mamid night wakati tuko zoned mbaya.... I don't care whether he ever goes big or not, ill be jamming to him all my lifetime. Lowki is goated, too bad industry itakufanya uskize matope pekee upass great lyricism na top level artistry kama hii. Keep the focus my G, success iko kwa horizon. Lowki to the world
I was introduced to Lowki by one of my Gs, hii ndio ngoma tungechunisha mamid night wakati tuko zoned mbaya.... I don't care whether he ever goes big or not, ill be jamming to him all my lifetime. Lowki is goated, too bad industry itakufanya uskize matope pekee upass great lyricism na top level artistry kama hii. Keep the focus my G, success iko kwa horizon. Lowki to the world
Sikuizi industry is all about promoting sexual behaviours tu
But atleast the one on top is the GOAT
Hii aliperfom TUK Wueeehhhh 😂🤣 ilibidii tumeitisha tena😂🔥🔥nigga is fire
This guy is gonna reach great heights mazee👑Lowki is King👑
Thank you fahm
True 🔥🔥🔥🔥
Definitely
Fiiiiinaly the algo thing is working 🔥🔥🔥great work
Thanks 🔥
Ati rap sikufunzwa iko kwa damu kama plasma💯💯
😎
eeeeiiiiiiiiiii🙌🙌🙌
Hii Ngoma manze imetii joh😎🔥respect🫡
underrated asf!!!!! on repeat 🤩🤩🤩🤟🤟🤟
Underated but style iko top🥳
Discovered this gem today waah boyz akona talent
The greatest 💪💪💪💪💪🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
💯👊🏽tell them
Moves ni Mejja so hamwezi ni Kansoul🔥🔥🔥
Legendary kama legacy ya e-sir🔥📌
🤝🏽💯
The great 🔥
I heard this song in a podcast came straight up to support this young kings 👑....... Vibes on Vibes 💯. 🇰🇪
Baba yao kwa hii game hakuna P2😂🔥🔥🔥Lowki yuko vizuri sanaa...dogo ana talanta🔥💯
Nashukuru bro👊🏽🔥
Hodari
The lyrics are amazing and real
Mbona sikua namjua🔥hizi tracks🔥🔥
#LOWKI NI ILE SWALI HAKUNA MTU AKONA ANSWER🌪⚡...Eeeeiii😭🤙🏼❤
❤️✨
Nmeskiza hii wimbo na nkaplug all my friends siko choo but this is good shit💥
Matime tukistep ni mavibes na inshallah♨
Washanitambua na ndo career inaanza🙌🙌
Hio chumvi waliongeza tulipika nayo...Kenya needs to hear this one such a banger
Hii nayo ni legendary 🔥🥵
Utajulikana bro.....matime tu🔥
Mehn msee izo punchline ni genje💥💥💥🔝🔝
Thank you fahm
Inafaa kuhit🔥🔥🔥
Waaaaaaaah big vibe bana uko wapi?💥💥💥
King👑
Hauna vision ndo maana unapewa za macho👀
😅😅
💨🔥pure greatness here manzee
Matime uko zone huh? We see you Lowki
lowki to the world
big up bro!!
Koddi this guy great for sure....it's a jam🔥
Damn bro..nmeskia hii song kwa status ya mtu ikabidi niishazam..ni ngoori waa🔥hope u make it in music
Moves ni Mejja ju hamwezi ni Kansoul🙌🙌😂😂😂🔥🔥🔥...calm the fire brigade this needs to be put off coz it's on fire🔥....salute
lowki is just on top bana
Kitu legit big up bro
Ati mistari zenu bado mnarecycle na bado ni trashh.... Brooo igweeeeee
Good night love 🎉🎉
yooow mahn international
🥳🥳🥳🥳
Tulipita nyuma ju tilichoka kubisha 🚪🏃💨 .....bang🌋
Huku naona Kuna Catalogue Nafaaa Kupitia 💯
💯💯🍁Dope my G
Shukran 🙏🏾
🔥🔥🔥bruh umetoa hii song on the righ time....barz ziko set🔥🔥
I appreciate bro👊🏽
ati rap iko kwa damu ka plasma🙌.......big up manze you going far
Another HIIT 🔥🔥na kuna matime utakuwa recognized
My only competition kwa hii industry
shieet mazee lowki ana spit bars zingine c za kenya mazee ..how are you not on top mazee... surely this is pure gold mazee
💥💥💯...... Sababisha ndugu
Kaa msee anafanya saf naeza wauzia lines🔥🔥🔥🔥🔥🔥maaaaad lyrical game 💯💯💯💯 keep pushing G
Kenyan juice wrld, finally,lyrical genius
chumvi waliiongeza tulipika nayo🔥🔥🔥🔥naroll na mababi na pia wanati😂🙋🏾♂️🔥🔥🔥💥nomaaaa
Bless up 💯🔥
uyu bazenga akaeza work na Kaiga, wueh tutatiii👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Walai 😄 Joo.
Your reallyyyy the best in the game man 🤝🤝
Again😇💃...wow,,🔥🔥Lowkii🔥🔥💃
Thanks ✨
Hii ni legendary kama legacy ya E-sir🔥🔥
Bars na flow damn🔥
Big tune my G🔥👏👏
Vibez na inshallah 😅🔥🔥
Bro ulifanya 10/10 great,,,to more heights
Legendary🐐
Let it be the best 💯🎶
This song is pure greatness 💯
Phenomenal !!!
🔥🔥🔥🔥mad stuff izo bars ziii🔥
🚒🚒🚒
broman ua Bars zitamaliza watu Kwa Bar🔥🔥🔥🔥Matime inafika watakupigia salute..na wengine wapige mpaka flute...ua just super talented....No forcing
Yaaani kila line yako ni bars bro .
Lazima wakujue . 💥🚀
👑👑👑nomaaa
Eka hii ngoma spotify🔥🔥🔥
Nimecheki umefanya kweli🔥✅✅maaaaad
Lyrical 🔥🔥🌪️🌪️
Kama kawa G😁💯
Lowki the great🔥🔥🔥🔥
One of my favorite 😊😊
Tunasababisha!!!!!
😤😤👏🏾
Washa nitambua na career ndio naanza aiyayaya🥵🥵🥵🥵
Washatii😅
The great, manaspitter🔥
This guy is a lyrical genius mehn an his Flow is on point..I think you are my new favorite hip hop artist bro...We need more music bro
ni heri usibonge kama lugha si cash🔥🔥
Wueeeh Buda manze u r the lyrical Master manzee😂💯
kaliiiiiiiii
Waah Barz After Barz🔥🔥🔥
Another banger G 🔥🔥🔥🔥
Thank you sir 🤝🏽
Buuuuuuddaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wanati wamekubali ni vibes na inshallah
Certified🔥💯
Eish!
I swear lowki is hands down one of the best rappers
Been bopping to Lowki since Kigeng! Major vibe curator! Big up from 🇺🇸
this guy gonna be big time in kenya
The vibes on another level 💯 the flow🔥
Nmeona ii ngoma mahali na imenileta RUclips i tell this guy @lowki Hes talented✌Keep rocking hii inafaa kua hit
Bro unakuanga mnoma thanks for speaking for us through music
This was so good. Kama si TikTok I'd still be in the dark. Great song.
Sijui ni describe aje kitu nafeel nikiskia hii song🤩🤩🥰😁
Moto tena sana ukiwa unamedi
bruuh .. you going far 🙌🔥🔥
I appreciate 👊🏽🔥
Lit 🔥 Making the headlines bruv💪
I donno why but every time I'm down i listen to this and i feel okey.... This song is like an assurance of what ur going throu is normal...
Lowki is King💯🔥