ALICHOKISEMA SHEHE YAHAYA KUHUSU URAIS WA SAMIA SULUHU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 26

  • @kayn2756
    @kayn2756 Год назад +4

    Kwa wale Wenye mashaka. I met the great Sheikh Yahaya Hussain in the 90s. I was a teenager. I was friends with one of his kids. He predicted my whole life. I'm in my 40s as I'm writing this. Everything has happened as he predicted. Some things have not happened yet. I believe they will because he was so accurate. 😢😢😢😢😢😢. He even gave me his personal cell phone number so I could keep in touch with him over the years. But I was too skeptical. He later died. But he was on point.

  • @nemambelwa142
    @nemambelwa142 3 года назад +2

    Allahumma Amiyn Yaa Rabbi Mama Samia Allah akulinde na utuongoze vyema Kama Magufuli alivyokufunza IN SHAA ALLAH UTABIRI UMETIMIA

  • @EmanuelSamwel-d1o
    @EmanuelSamwel-d1o 2 месяца назад

    Mungu mbarik jpm tunamkumbuka

  • @suma643
    @suma643 3 года назад +2

    Aiseeh vizuri havidumu Mungu awaweke mahali pema

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 года назад +4

    Magufuli wetu daa 😭😭😭😭najikuta nalia sijui kwanini magufuri

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 8 месяцев назад +1

    Nipo pamoja na wahariri 😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌🙌

  • @AllyASalum
    @AllyASalum 3 года назад +2

    Ni kwa vile labda vilikosekana vya kurekodi Video na Sauti... lkn kwa hili marhuum Yahya wakati huu angekuwa nambar one Trend!! RIPs

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 года назад +1

    Amina

  • @moodyhassany8928
    @moodyhassany8928 7 месяцев назад

    video ipo wapi

  • @wastambuli8039
    @wastambuli8039 3 года назад +1

    Ungeniambia ningemleta huko Sheko]

  • @rahelsimon2014
    @rahelsimon2014 2 года назад +3

    Mwamba wetu ngome yetu pumzika kwa amani

  • @mohamedmkape698
    @mohamedmkape698 8 месяцев назад

    Yahya Hussein huyo

  • @mudykai4950
    @mudykai4950 3 года назад

    Hii taarifa ni kwel kabsa

  • @mr.majeni5817
    @mr.majeni5817 3 года назад +1

    Innalilah wainnailaih rajiun tangulia chuma nasi twaja

  • @latifeyjamal1626
    @latifeyjamal1626 3 года назад +3

    Magufuli wetu...!!

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 3 месяца назад +2

    Mtangazaji ujamalizia alisema na baada ya kutoka rais mwanamke bas. Ndo chama pinzani kitachukua madaraka

  • @spantonsamba6191
    @spantonsamba6191 8 месяцев назад +1

    Weka video acha porojo

    • @ahmadmussa8745
      @ahmadmussa8745 7 месяцев назад +2

      Nakumbuka hii kitu nilisikiliza Redio uhuru

  • @malkiawavijiji4652
    @malkiawavijiji4652 4 месяца назад +1

    Ni kwel nilikuwa namfatilia sana huyo mzee chanel 10 miaka hiyo na ilipotoke niliyakumbuka maneno yake na nilitaman angekuwa hai kuushudia utabiri wake mkuu ukitimia ,.aliku mnajim kuu A.mashariki mengi ya mambo aliyokuwa akitabir yalikuwa yanatimia

    • @ahmadmussa8745
      @ahmadmussa8745 3 месяца назад

      Hata mimi nilisikiliza hicho kipindi.

  • @PAIN_961
    @PAIN_961 Месяц назад

    Mzee huyu alijitabiria hadi kifo .

  • @rashidkhalifa35
    @rashidkhalifa35 3 года назад

    Huu ni ukweli kbsaa

  • @nomamatata754
    @nomamatata754 3 года назад

    Uongo tu

    • @wastambuli8039
      @wastambuli8039 3 года назад +1

      bisha kwa ushahidi, mimi nilikuwepo, tumzushie kwa faida gani?

  • @mohamedmkape698
    @mohamedmkape698 8 месяцев назад

    Yahya Hussein huyo