Dr Slaa Mungu akulinde kwa kusaidia wanyonge. Watu wanateseka sana kwa dhuluma. Tanzania ni nchi ya haki, lakini kuna majambazi wachache waliiteka haki za watanzania kwa kutumia mabavu.
Kuna madalali pia matapeli wanao uza viwanja vya watu, na wanaonunua ni mwenye pesa, unapokuja kufuatilia unaonekana huna haki, sababu huna pesa, hii inaumiza Sana, Ungekuja na Dodoma
Ivi kuna kitu sijaelewa vizuri, Wakati mimi nimeuziwa kiwanja na sijui kama kiwanja alitapeliwa mtu au alizurumiwa mtu, nikaja kuuziwa mimi, nimejenga nyumba yangu kwanini kabla ya kumkamata aliyeniuzia mimi kiwanja mnakuja kuvunja nyumba yangu?
Jukumu la kuhakikisha uhalali wa kiwanja ni lako mkuu, jitahidi sana kufanya vitu kihalali. Yani waanze kufukazana na watu wakati haki ya mtu imekaliwa?!...haki huinua Taifa.
Hongera wazili hiyo kazi inakufaa sana mingu akutangulie Kwa Kila utendalo kwa kutenda haki
Huyu mtoto Jerry tunamuombea sana MUNGU akulinde jerry
Pongezi kubwa kwa wazir wetu kwa kazi nzuri anayofanya
Viongozi wa mama samia hogereni kwa kazi mzuri 👏🙏👍
Dr Slaa Mungu akulinde kwa kusaidia wanyonge. Watu wanateseka sana kwa dhuluma. Tanzania ni nchi ya haki, lakini kuna majambazi wachache waliiteka haki za watanzania kwa kutumia mabavu.
Hivi naye huyu ni Dr?
Pambana mungu yupo karibu yako
Mungu akulinde kwa kazi nzuri unayoifanya kwa kutetea haki za watu
Kazi nzuri,sana
Kiongozi huyu nimekubali Sana tukimpa nchi tutafika mbali Sana acha tumuandae🤗
Ipo siku na mimi mtanifkia nipate haki yangu,
Mheshimiwa hongera sana nataka kujua dodoma mnaanza lini operation hii
Naipenda serekal ya tanzania inatetea haki ya wanyonge burundi watapeli ningi sana
Safi sana waziri silaa
Ananikumbusha Uncle MAGU kipindi alikuwa Waziri wa Ujenzi. No-nonsense Leader, ila ajilinde kweli, kudili na watu WAZITO ni Hatari.!
Utashangaa waziri mtenda haki kama huyu anahamishiwa kwingine.hii nchi
Dodoma mtaa wa mndani kata ya Ndachi,ulisema utarudi kutatua mgogoro wa ardhi,tunakusubiri Mh.Jerry Slaa
Kuna madalali pia matapeli wanao uza viwanja vya watu, na wanaonunua ni mwenye pesa, unapokuja kufuatilia unaonekana huna haki, sababu huna pesa, hii inaumiza Sana, Ungekuja na Dodoma
Weka namba ya simu muheshimiwa hata za wasaidizi zako
Nakupongeza kwa hilo
Saf sanaa
Ivi kuna kitu sijaelewa vizuri,
Wakati mimi nimeuziwa kiwanja na sijui kama kiwanja alitapeliwa mtu au alizurumiwa mtu, nikaja kuuziwa mimi, nimejenga nyumba yangu kwanini kabla ya kumkamata aliyeniuzia mimi kiwanja mnakuja kuvunja nyumba yangu?
Jukumu la kuhakikisha uhalali wa kiwanja ni lako mkuu, jitahidi sana kufanya vitu kihalali. Yani waanze kufukazana na watu wakati haki ya mtu imekaliwa?!...haki huinua Taifa.
Mheshimiwa sasa umeanza kunifurahisha
Matapeli wa ardhi mza ni shoham developers property.kwa majina yake ni Godson Somanga.
Huyu mtangazaji anaongea kama mama SSH
Saf sana
Kwanin hao watumishi walio ghushi hati mushi hawakamatwi
🙏🏻
Wazili unajitoa sana kufanya kaz Anza nakushugulika na watendaji wa selikali wanao shilikiana nao nao muwape azabu kali
NJOO NA MWANZA, KUNA MAGURU WA WIZI HUKU WA VIWANJA VYA WATU
INATIA MOYO SANA
ira kaka mushi unamuogopa sana maana naona uwezi sema bira kumutaja inaonekana mushi ninoma yani naona kakisiri saaana
Ila Sio ira
Nani kakudanganya mushi anaogopeka
Mushi ni msumbufu na ndiyo akiyevamia kwa nyerere, msasani na kufyatualia matofari
Mushi mchumba tuu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉@@syliviakente9460