Masha a Allah Tabarakallah... subscribing to your RUclips channel was a decision I have never regretted.. You have taken my cooking to another level. I really do appreciate you. Jazakallahumma kheyran!!
Mashallah nakupenda sana we dada mungu akuzidishie kila kukicha maana familia zetu zina enjoy tunapika sasa hivi vyakula mural kwa ajili yako barikiwa sana dada
Asante sana dada, tunakupenda sana. Kuna siku nyingi ninaamka sijui nipike nini, kisha ninakuja kwa chaneli yako na ninapata jibu la swali langu. Asante
Maashallah napnda sna mapishi yko, na alhamdulillah nakuw najitahid kipika chakula kitam sana kupitia hii chaneli Yako na ya Farha yummy na shuna's kitchen Allah awape barka zake
Thank you and welcome to my channel, please note that my videos come in both languages here's the English version ruclips.net/video/gGYoc0LYnc4/видео.html
@@aromaofzanzibar oky dear am young gel from tz I nakuona Kama mom angu ananifundisha kupika I will be the best after following ure videos walahi unajua kupika Sana takuletea subscribers ishirini
Nayakubali vizulisana unapika adi laa unajua kutuelakeza Asante mungu akulipe Pepo dada
Shukran
Asante sana, na ishi Congo, nilikuwa na tamani ku jua jinsi ya ku pika wali wa nazi, merci beaucoup
Masha a Allah Tabarakallah... subscribing to your RUclips channel was a decision I have never regretted.. You have taken my cooking to another level. I really do appreciate you. Jazakallahumma kheyran!!
Naima thank you so much for your support , you are so kind I promise you will not be disappointed coz have more coming your way! amin
Mashallah nakupenda sana we dada mungu akuzidishie kila kukicha maana familia zetu zina enjoy tunapika sasa hivi vyakula mural kwa ajili yako barikiwa sana dada
Mama Hamida Shukran, Amin kwetu sote
Nakuomba uandae Mkorogo na urojo. Nipo Nakuru Kenya nakupenda
hiyo sijafaham ni kitu gani
Woow mashaallah napenda vyanazi mie jmn shukran daa
Tamu sana dad angu asanteeee
ubarikiwe nijifunza vitu vingi sana kwako mpaka naona raha. ubarikiwe Sana
Shukran, kwa kua nami
Asante sana dada, tunakupenda sana. Kuna siku nyingi ninaamka sijui nipike nini, kisha ninakuja kwa chaneli yako na ninapata jibu la swali langu. Asante
Ahsante sana kwa support
Daaah asante mumy kwa somo
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa Muruwa.
Nzuri xana
Mpenzi, namna Gani Kupika wali bila mafuta 🎉🎉
Utachemsha tu na maji
Wow! Vp kuhusu test🤒🤒
Masha'allah, nzuri sana...
am so impressed with your channel
Thank you, am trying my best
I like your work
Thank you for your support 😘
Nampenda sana wali wanazi
Assalam Alaikum...mbonga ya mchicha hapa ulaya inaitwaje.mie nipo canada jirani yako.
Inaitwa spinach jirani
i love zanzibar,i love u kuwa wanyumbani voo😍😍
Shukran, thank you for your support mean alot to me
Mashallah nice job
Hapo umezingua 😂😂😂Halafu unaonekana una udini na ubaguzi sana kwakuongea tu
Sawa hayo ni maoni yako wewe, kwa hakika hunijui Mimi ni mtu wa aina gani. Ahsante sana kwa support yako
Maashallah napnda sna mapishi yko, na alhamdulillah nakuw najitahid kipika chakula kitam sana kupitia hii chaneli Yako na ya Farha yummy na shuna's kitchen Allah awape barka zake
Shukran dear, amin kwetu sote.
Tunaomba uturetee mapishi ya maandazi ya donati tujue?
assalamu alaykum.thanks soooo much for ur help i appreciated u sooo much love u.💝
Thank you for your support dear, love you too
Chakula bado kimependeza, hata kama tui ilikuwa nzito sana. Umefanya kazi mzuri.
Ahsante sana , mara ya kwanza to record 3 dishes at the same time lol
Hai!!! Hapo ulijaribu sana. That was really pushing it my dear.
Never again!!! now when I look at the video am not very happy with the quality...lesson learnt!
Asante mamy hongera naupenda sana huo wali wa nazi
mapishii mazurii mmwaaah penda cna
Habari dada mim naomba mchaganyiko wa bizari mai
Nzuri dada , bizari za kitu gani humu impo ya pilau na ya biriani pia sijwaeka ya mchuzi bado
Aroma of Zanzibar za mboga bizari mamy
Inategemea mboga za aina gani mami mapishi yapo aina nyingi nyingi zinahitaji bizari nyengine hazihitaji ,
Aroma of Zanzibar ok sawa mamy
Nikiweka mapishi ya mboga nitaweka na bizari pia
Asalaam waleykum naweza weka mafuta kwa mchele
Unweza kama unapenda mwenyewe
hyo naz uliichemsha jikon kwanza au macho yng ndo yamensalit
Ndio nilichemsha tui
amechemshia na maji
Hi, You dnt put oil?
Its personal preference I dont but you can if you want to
Aroma of Zanzibar Thanks
Asalaam alaikum
Aroma utaniuwaa aaaah
Pole sana
mashaallah mzuri sana
Hautumii mafuta?
Sio lazima
Asalam Aleykum naomba number ya Husna Ajmy please
Aleikum musalaam Mimi sijui
Naic mashalllah
👌
mashaallah nimeipenda upishi wak
Nimepend asante
mambo
Asante my dear today I'm so happy nilikuomba kweli be blessing
Saraphina Luhwago
I like ur cooking dear could u speak in English plz
Thank you and welcome to my channel, please note that my videos come in both languages here's the English version ruclips.net/video/gGYoc0LYnc4/видео.html
Thank you!! You are spoiling us today dada!
Thats the whole idea! nothing like food for the soul
Thank you
Unakaa wapi? Si nikuje nikuone? Ngai fafa!!!
Christopher Nelson mie nipo US
Ukweli? Wacha nikulipe unifundishe. Unakaa? Watu awa wana wazimu na popeye chickens zao.
Wanazipenda sana hizo bila kiasi
Thnk u
Mimi sijaelewa bado, hiyo nazi uliyotumia ni coconut 🥥 au?
Nazi ndiyo nimetumia ya kopo
@@aromaofzanzibar Nawezaje kuipata? Niko America!
Tamu sana
Yummy 😋
So mwaaa
kwanini mchele unalowekwa?
Mchele unarowekwa upate kulainika na pia kunyooka wakati wa kupika
Ahsante dada
What is nazi in English
Coconut
Thx dear
hello mama,
did you get my email?
Anatholia Njoka Yes dear I got it
U didint put chumvi
May be I missed to t=show it
@@aromaofzanzibar oky dear am young gel from tz I nakuona Kama mom angu ananifundisha kupika I will be the best after following ure videos walahi unajua kupika Sana takuletea subscribers ishirini
MashaAllah
ma shaa Allah
mambo
so mwaa
Huweki mafuta ya kupikia
sio lazima
Nazi kiasi gani
Nimeeleza hapo dear inategemea na nazi utakayo tumia na michele wa kiasi gani
❤️❤️❤️❤️
Thank you