Asante sana my dear, pia nakushukuru kwa kuangalia... Naamini umeshasubscribe kama bado naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Dada wali wa nazi km Huo uliopika inafaa nazi ya kukuna?? Wengine tumezoea tunapika wali wa nazi kuanzia maji yake tunatumia Nazi I mean tui likichemka ndo tunaweka mchele naona wako umekuwa tofauti au kwa vile unatumia nazi ya pakiti??
Anything you want.... Thanx for watching, please don't forget to subscribe and hit that notification bell so that you'll know whenever i upload... Also follow me on insta @bmagickitchen thank you👏
Ukishabandika ukaanza kuchemka unapunguza moto kidogo halafu maji yakianza kukauka unashusha unakuwa mdogo sana. Naomba usubscribe to kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen karibu uangalie na zingine.
Asante kwa kuangalia dear, vipimo mumy inatokana na wingi wa mchele wako. Unaweka vipimo sawa sawa na unavyopika kawaida, mimi huwa naweka maji mpk wali unaiva kwa asilimia 80 halafu 20 zinazobaki naweka nazi mpz.
Tatzo kwenye Ku-punguza moto apoo au kukadiria maji Ktk jiko la ges banaa wengi wana teseka 😂wal unatoka kama tope...na apo kesha unguza chini..ani...unasaidiaje apo..?
😂😂😂😂 ninachoweza kukushauri uwe unaweka maji kidogo kidogo, wali ukishaanza kuchemka huo ndio wkt wa kupunguza moto kdg hlf maji yakikauka zaidi na wewe unapunguza moto zaidi halafu unauacha uive kwa mvuke.... Nimejitahidi kuelezea sijui kama umenielewa🤔 jaribu halafu utaniambia😂 Asante kwa kucheck channel yangu, usipotee tafadhali nakukaribisha sana pia check na video zingine👏
@@MsBupe Yanii nime kuelewa na screenshort ya hii sms nime piga😂😂Tatzo hilo ila apo Dop sana Nisha Subscribe pia..leta vitu Bibie naona wadada mambo mengi kuoa bado sanaa... wacha tujipikie kisela tu😂😂
@@Hovyoo 😂😂😂😂 pole sana, wewe fanya hvyo tena km una foil paper ndio nzr zaidi maana mvuke hautatoka nje kbs. Asante sana kwa subscribe, mavideo yanakuja km yote vile😀
Nimeweka dear 1:30 sema nilivyokata na yenyewe ikatoka lakini nimeweka dear, asante kwa kuangalia, naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia karibu kuangalia na video zingine.
Video ya muda hiyo mumy wakati naanza anza, vitu sikuwa najua sana mumy. Angalia za sasa hivi utaona utofauti kwenye sauti. Asante sana kwa kuangalia, naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Kijiko kimoja chakula, asante sana na karibu uangalie na zingine. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Anza na wewe kurecord halafu utaelewa ninachosema, hata hivyo nakushukuru sana kwa kuja kwenye channel yangu na kuangalia video zangu na kucomment, karibu tena dear😘
nimependa sanaaa...... tofauti yako na wapishi wengine, wewe unatumia viungo vinavyopatikana kwa urahisi zaidi. good work, keep going!!!
🤗🤗🤗 asante sana ndugu yangu na pia nakushukuru sana kwa support yako🙏🏾
Nimependa unatumia viungo hata kijijin vinapatikana kiuarhis
@@MsBupekabisaaaa
Asante bidada ,napenda sana mapishi yako ,ungekuwa mwl wa darasani hakuna mtoto angefeli labda awe na utindio wa ubongo.
Aise dada asante hii nimeipika leo hadi Mr kasema upike wali kama huu kila siku
Dada ,,,, Safiiii kabisaaaa ,,,, WALI WAKO RAHISI....
Huu wali hadi nimeutamani, waonekana ni mtamu sana😋
Asante kipenzi😊😊😊 mtamu kweli, hiliki na nazi ni best combo👌
We na ww dada yangu njaa tu hizo punguzeni njaa nyie wenyewe ndo wapishi hamtosheki kudokoa huko majikoni duuuh!
Hiyo inaitwa kula kulaaa ila tuache utani nimeshameza mate
Asante mumy kwa support👏🏾❤
mashaAllah, I like it❤
Very nice description 🥰🥰🥰
Unapika vzuri sana pia ni mkarimu mno kwa watu wako ubarikiwe
Asante sana, nimejifunza mengi
Wooow
Watching i like coconut rice. It looks nice and delicious. Am new in your channel ❤❤
A must try 😋Asante
Acha ni jaribu dada
Umetisha
Asante sana ndugu yangu🙏🏾
Jamn hzo hiliki hazibondwi bondwi
Mbon sijaon unatia kitungu maji au hakiitajik??
Santeee
BILA SAMAHAN. SHUKREN DADA
What’s the green thing called
Nimependa Huna mambo mengi
Sijataka kupitwa jaman nami nimejaribu duh utam had mister kapenda jaman,
MaashaAllah🥰🥰
Dada eliki hauitwangi
Nmependa sanaaa
Asante sana ndugu yangu na karibu tena🙏🏾
Yan nauckia unavyonukia kabisaaa na nimtam balaa😋😋
😃😃😃 hatari sana, asante kwa support👏
Mhhh! Kali hio we njaa tu hizo zinakusumbua dada yangu
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Haya bwana
Ngoja nikajaribu dada
I love your cooking
Thank you my dear👏🏾❤
Asante dada i wish ningekuja kulaa😂😂😂😂
Asante sana napenda video dako
Asante sana my dear, pia nakushukuru kwa kuangalia... Naamini umeshasubscribe kama bado naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Halafu mbona hujaweka kitunguu??
anayetumia rice cook inakuaje sasa ?
Unaanzia kwenye jiko hlf muda wa kuweka maji unahamishia kwenye cooker, i hope nimejibu swali lako. Nashukuru kwa support yako🙏🏾
Nice❤❤❤❤
Naweza tumia nazi ya azam zile za mia8 na kama ndiyo niweke ngap kwa mchele kg1?
Ndio unaweza kuweka, mimi huwa natumia moja tu.
Asante dear
Dada wali wa nazi km Huo uliopika inafaa nazi ya kukuna?? Wengine tumezoea tunapika wali wa nazi kuanzia maji yake tunatumia Nazi I mean tui likichemka ndo tunaweka mchele naona wako umekuwa tofauti au kwa vile unatumia nazi ya pakiti??
Nazi yoyote inafaa my dear, na upishi siunajua tena kila mtu ana namna yake mpz. Asante sana kwa support yako🙏🏾❤
Safi
What do you eat this rice 🍚 with
Anything you want.... Thanx for watching, please don't forget to subscribe and hit that notification bell so that you'll know whenever i upload... Also follow me on insta @bmagickitchen thank you👏
Rost of meat is yummy with this kind of rice
Sanaaa😋😋😋
You can eat with anything ranging from meatstew, beans, fish, gravy or casserole
Kupika wali kwenye gesi nashindwaga Cjui kwa nn?
Ukishabandika ukaanza kuchemka unapunguza moto kidogo halafu maji yakianza kukauka unashusha unakuwa mdogo sana. Naomba usubscribe to kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen karibu uangalie na zingine.
@@MsBupe asnte nitafanya ivyo
@@tausihasheem5051 asante mumy👏
Hizo ni iliki mbichi naona ni za kijani, je zile iliki kavu zinafaa?
Sio mbichi my ni kavu.
Mimi niko America nawezaje kupata nazi?
Uto tunato onekana kama tuaharage ni tunini
Umepika vizuri sana
Je hiriki unaeza ukazitwanga?
Unaweza kabisa haina shida, ht km unayo ya unga pia unaweza kutumia
B's Magic Kitchen Dada Mungu akupe umri kutujuza mingi
@@fatmaomar7463 Amina dear👏, nashukuru sana nawe akupe maisha marefu uzidi kuenjoy mapishi mengi mpz😘
Asante dda
Jamn natak ku pika wali wa nazi nimeamuwa kuyirudiria kuyion Ahsante dada
Asante sana my dear, kila la kheri na pia nashukuru sana kwa kuicheck na support yako👏🏾❤
Vipimo vya maji na nazi hukutuambia...asante kwa video tho
Asante kwa kuangalia dear, vipimo mumy inatokana na wingi wa mchele wako. Unaweka vipimo sawa sawa na unavyopika kawaida, mimi huwa naweka maji mpk wali unaiva kwa asilimia 80 halafu 20 zinazobaki naweka nazi mpz.
Huo msosi dada nikila mwezi nanenepa balaa!!!
😂😂😂
Hizo hiliki wakat wa kupakua unazitoa au ?????
Ndio.
@@MsBupe asanteeeee sana. Nimejarbu kupika usiku wa leo ni balaaaaa harufu kama nipo hotelini. Asaaaaante saaaaaana nimepika na kuku wa naz & mchicha
@@MsBupe ingekuwa ni WhatsApp ningekutumia picha uone. Ubarikiwe saaaana
Hongera sana, huu wali ni mtamu sanaa. Nafurahi kujua kuwa umetoka vizuri👏
Amina, Ubarikiwe na wewe na ninakushukuru sana kwa support yako👏 unaweza nifollow insta @bmagickitchen
Nami tapikaa
Michele was boiled ? Or just washed ?
Just washed my dear, thank you very much for your support🙏🏾❤
Hayo maji umeyachemsha kwanza au
Ndio.
Yanachmshwa kwanza
❤❤❤❤
Simple like that😘😘😘
😘😘😘
Je kama una Nazi ya kusaga mwenyewe unawekatui tu au
Tatzo kwenye Ku-punguza moto apoo au kukadiria maji Ktk jiko la ges banaa wengi wana teseka 😂wal unatoka kama tope...na apo kesha unguza chini..ani...unasaidiaje apo..?
😂😂😂😂 ninachoweza kukushauri uwe unaweka maji kidogo kidogo, wali ukishaanza kuchemka huo ndio wkt wa kupunguza moto kdg hlf maji yakikauka zaidi na wewe unapunguza moto zaidi halafu unauacha uive kwa mvuke.... Nimejitahidi kuelezea sijui kama umenielewa🤔 jaribu halafu utaniambia😂 Asante kwa kucheck channel yangu, usipotee tafadhali nakukaribisha sana pia check na video zingine👏
@@MsBupe
Yanii nime kuelewa na screenshort ya hii sms nime piga😂😂Tatzo hilo ila apo Dop sana Nisha Subscribe pia..leta vitu Bibie naona wadada mambo mengi kuoa bado sanaa... wacha tujipikie kisela tu😂😂
@@Hovyoo 😂😂😂😂 pole sana, wewe fanya hvyo tena km una foil paper ndio nzr zaidi maana mvuke hautatoka nje kbs. Asante sana kwa subscribe, mavideo yanakuja km yote vile😀
Ngoja nikusaidie ndugu yangu vipimo vifuatavyo ukivifata utokaa upike tope😂
Mchele robo maji vikombe viwili vya chai vikombe vidogo vile vya mpira
Nusu vinne
Kilo vinane
Kama umesahau kuweka chumvi vile?
Nimeweka dear 1:30 sema nilivyokata na yenyewe ikatoka lakini nimeweka dear, asante kwa kuangalia, naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia karibu kuangalia na video zingine.
Oh okay, tayari nimesuscribe. Napenda sana video zako
@@nurathmbelwa6597 Aaaaww!! Jamani😊😊 asante sana dear😘😘😘 nashukuru kwa support yako mpenzi.
Izo hiliki azimenywi?
Mimi huwa simenyi my dear.
Nice food
Thanx my dear🙏🏾❤
Asante
Asante na wewe kwa support yako my dear🙏🏾❤
Dada ongeza sauti kidogo
Video ya muda hiyo mumy wakati naanza anza, vitu sikuwa najua sana mumy. Angalia za sasa hivi utaona utofauti kwenye sauti. Asante sana kwa kuangalia, naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
Dada hujaweka chumvi
Kaweka
Wow
Hiyo Nazi umechanganya na Maj au
Ndio my dear, nashukuru kwa support yako🙏🏾❤
Huo ni mchele wa batman yaan wa India
Jasmine Rice.
Nazi inauzwa bei gan
Kwa Tz sijui ndugu yangu.
Huk kwet nazi kuazia 200nakuendelea mwsho 800 hiy ndo kubwa balaaa dar uk
Dada eeh kweli unajua..
Sasa pale kwenye mafuta unaweka mafuta kiasi gani?
Kwelii napenda nijifunze kupika
Kijiko kimoja chakula, asante sana na karibu uangalie na zingine. Naomba usubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
@@MsBupe haha usijali nakufollow. Kweliii unajua..
Nakuomba unifundishe na Kupika ugalii. JTAG rahi kujua
Mashallah
👏😘
Mafuta ya nn Wakati tumesema wali wanazi
Wali wa nazi huwa hauwekwi mafuta?
@@veeJesus ujui kupika
@@veeJesus upo wanaz na hauwekwi mafuta ata kidogo na nimtam
Bitam
Hiyo iriki uimenyi unawek vile vile Zima zima
Ndio.
Nimependa
Asante sana, pia nakushukuru kwa support yako🙏🏾
Maana wakat wa kula ukitafuna hiliki inakuwa sio poa
Kweli kabisa.
We dada muongo kweli camera ilizima au umezingua tu jikoni🤣🤣🤣🤣
Kila video..amesahau kurekod alijua inarekodi😂😂😂but she knows...
Anza na wewe kurecord halafu utaelewa ninachosema, hata hivyo nakushukuru sana kwa kuja kwenye channel yangu na kuangalia video zangu na kucomment, karibu tena dear😘
Sawa baby mama
Iliki Nini kwa kigerza tafazali
Cardamom/Cardamon.... Vitu kama hivi unaweza ukaangalia Google.
Ukitak tumia iliki ya unga je unafanyaje
Unaiweka wakati unaweka mchele.
@@MsBupe xw mamy
kipimo cha maji ndo huwa kinanishinda nipen i dea jmn
Pole sana, pima kwa vikombe, ukiweka mchele vikombe viwili basi na maji weka vikombe viwili. Nashukuru sana kwa support yako👏🏾 na karibu tena.
@@MsBupe asante sana tupo pamoja
👏🏾
Hiyo iliki yanukia Sana 😄
Sanaaa😂
Naweza kuweka iliki bila nazi
Unaweza kabisa wala haina shida, asante kwa support👏🏾❤
Umeeleweka sana
Asante sana, naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante.
Jamani dada mbn ivo
Nini jamani? Tena naomba usubscribe na kubonyeza kengele halafu naomba unifollow insta @bmagickitchen Karibu uangalie na zingine.
Naomba nije kwako nikalipe unifunze
Unataka kujifunza kitu gani my dear?
Wali wa nazi aupendezi kuwekwa hiliki unatakiwa usikie test na harufu ya Nazi
Sawa my dear.
Wali wa nazi unatumiaje mafuta ...
Sijakuelewa my, ila kama umemaanisha mafuta hayawekwi ukipika wali wa nazi basi wewe usiweke my dear wala sio shida.
Dada hujaweka chumvi
🤣🤣🤣u r so keen