1) LAAA ILAAAHA ILLA ALLAHU WAHDAHUU LAA SHARIKA LAHUU LAHUL MULK WALAHUL HAMDU YUHYII WAYUMITU WAHUWA ALAA KULLI SHAY IN QADIR 2) SUBHAANA ALLAH 3) ALHAMDULILLAH 4) WALAAA ILAA HA ILLA ALLAHU ALLAHU AKBAR WALAA HAULA WALAA QUWWATA ILLA BILLAHI! huo ndio uradi wenyewe! Mkamilifu ni Allah🙏🙏🙏
MashaﹰAllah ❤ sheikh nimeenda Somaliland hargeisa nimezaliwa tz hii suna ya kujeweka kwenye mvua nimeikuta huku kuna siku nilkuwa kwenye tx basi ikaja mvua yule dereva akapaki gari pembeni nikajua labda anashida zake lakini nikashangaa kaenda kasimam katanua mikono anakinga manyunyu na kujipaka nikamwona wa ajabu nikamwuliza mbona umeenda kujiroeka naumevaa nguo za kazi alinijibu ni nzr nidawa bac nikamwona wa ajabu kadata
1) LAAA ILAAAHA ILLA ALLAHU WAHDAHUU LAA SHARIKA LAHUU
LAHUL MULK WALAHUL HAMDU YUHYII WAYUMITU WAHUWA ALAA KULLI SHAY IN QADIR
2) SUBHAANA ALLAH
3) ALHAMDULILLAH
4) WALAAA ILAA HA ILLA ALLAHU ALLAHU AKBAR WALAA HAULA WALAA QUWWATA ILLA BILLAHI!
huo ndio uradi wenyewe!
Mkamilifu ni Allah🙏🙏🙏
Ubarikiwe umetusaidi sisi tusio jua
@@MichelleMobasa Tuko pamoja sister🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ya rabb nifanye miongoni mwa Wacha mungu uniongoze Mimi na kizazi changu na jamii muslimin
Amiin🤲🏻🤲🏻🤲🏻Amiin Amiin
Jazzakallah khaillah shehe Lusaganya Allah akujaalie mwisho mwema
Mashalha Allah akujalie tunakupenda Kwa ajili ya Allah ❤❤❤
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Jazzaka Allahu Khairan
mashaallah Allah akulipe pepo
شكرا الله يعطيك العافيه
Aslm alkm ww.... Masha Allah. Jazakallah kheir 🙏
Asnte kwa ukumbusho
Shukran shekh
Masha Allah TabarakaAllah sheikh
Mashalllah❤
Maashaallah
Ahsante
Shukran
Amiin
اللهم صل علی نبیینا محمد واله
Shekhewangu mungu akilipekheri tumefaidikasana namawaidhayako naitwa bos kombo
MashaﹰAllah ❤ sheikh nimeenda Somaliland hargeisa nimezaliwa tz hii suna ya kujeweka kwenye mvua nimeikuta huku kuna siku nilkuwa kwenye tx basi ikaja mvua yule dereva akapaki gari pembeni nikajua labda anashida zake lakini nikashangaa kaenda kasimam katanua mikono anakinga manyunyu na kujipaka nikamwona wa ajabu nikamwuliza mbona umeenda kujiroeka naumevaa nguo za kazi alinijibu ni nzr nidawa bac nikamwona wa ajabu kadata
❤
😂😂 eet hamna ki2
Maahaa Allah