JINSI ya kufungua DISABLED account ya Facebook
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- published on 22 June 2022
By Richard Chitumbi
Digital pro
Tumia taarifa zilizotolewa kwenye video clip hii kwa ufupi sana , kuhakikisha unafungua account zako za Facebook zilizozuiliwa Kufanya matangazo ya Sponsored Ads.
Kumbuka kuna permanent disabled na Temporary disable. Hivyo ukifuata steps zote nilizozieleza kwenye darasa hili fupi, itakusaidia kuzifungua hizo Temporary Disable kabla hazijafikia hatua ya kuwa permanent disabled.
SUBSCRIBE channel hii, pia usisahau kushare na rafiki zako na kulike na kucomment pia.