Mwaisumo am sharing your song to more than 20 groups ... Have started doing it already..... One day we shall sing together... Mary's husband. Have loved the song
MUNGU mkuu sana nakumbuka zamani ndugu zetu walikua wanakuja na zawadi wanaitana wanapeana zawadi halafu si tunakuja kuitwa tukachukue mabaki😢 na saiv MUNGU kanishika mkono🙏
❤❤❤❤❤ I love this song sababu penye nimetoka NI mungu Tu na najua naenda mbali ndogo yangu lazima itimie ,in Jesus name ,I have to brake poverty chains in our home lazima niwe WA kwanza kwenda majuu kwa uko wetu
Ukweli Mungu wangu una sababu niwe jinzi nilivyo na waitambua haja ya moyo wangu na uliko nitoa ni mbali kubaya na mahali wanipeleka ni mbali kuzuri.ningekuwa wakutegemea binadamu angelichoka na aseme niuawe mie lakini kwa neema zako nilisema ubaki kuwa wewe maana niliona na bado naona na nitaona ukitenda Yesu
Hakika ni Mungu tu,,kati watu wanatuonea na kututupilia mbali ..tulowajua wanatupa visogo na hata wanatufuta kwenye kurasa zao ila Mungu atufungulia kurasa mpya na kututambulisha ..hakika kama sio yeye Mungu wetu sijui ningeitwa nani leo..hata na kuwepo duniani sijui nani angenijali mimi ..Ashukuriwe Mungu wa wote kwa kweli 🙇♀️🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢
Acha Mungu aitwe Mungu.. Kama sio wewe Mungu ningekua wapi ? Asante baba yangu🙏🏾🙏🏾🙏🏾. Hongera sana mama, nyimbo zako zinatubariki sana. Mungu akuzidishie daima ❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸
Listening to this song just smiling, one day my step mum threw me out of our house,nowhere to go,our God is a Faithfull .......Kama si wewe Mungu nani angenisaidia
Wow be blessed sana my favorite song 🎵 my daily song 🎵 .nmepita kwa kipindi kigumu since mwezi wa sita hadi wa saba wote ,ila mungu amenisaidia ,kama si yeye mungu walai sijui nani angenisaidia, be blessed sana❤ Glory to almighty God 🙏
Wonderful song ♥️♥️♥️♥️♥️♥️ Congratulations mama piga like kama unapenda nyimbo za mama yetu.
Barikiwa sana
❤❤
Mwaisumo am sharing your song to more than 20 groups ... Have started doing it already..... One day we shall sing together... Mary's husband. Have loved the song
Hongera kwa hii wimbo wenye ujumbe mwafaka .. umeniguza sana mama...from Kenya's Capita Nairobi
MUNGU mkuu sana nakumbuka zamani ndugu zetu walikua wanakuja na zawadi wanaitana wanapeana zawadi halafu si tunakuja kuitwa tukachukue mabaki😢 na saiv MUNGU kanishika mkono🙏
Hakika ni MUNGU wa kuinua
@vailethmwaisumo amina
Moja ya watumishi bila mbwembwe very serious with God.. Ndoa Yako ijae amani❤❤
Nanyenyekea
Hakika huu wimbo unanizungumzia mimi mwezi uliyopita,,kwa kweli kama si Mungu sijui ningelikuwa wapi❤❤from Kenya 🇰🇪
Barikiwa sana
Totally hata familia haikuwa na wezo wa kunisaidia,ni wewe MUNGU PEKEE,MAHALI NIMEFIKA HAPA NI WEWE
Amen
Kabisa 🙏🤞🤞🤍🤍
In love with this song.... Now I am in the spirit ..... Naaani angenisaidia..
❤❤
Kama si wewe mungu singekuwa nilipo Sasa hivi,,Wacha mungu aitwe mungu
Amen
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunabarikiwa zaidi Mommy Mtumishi mpakwa mafuta
❤❤❤❤❤ I love this song sababu penye nimetoka NI mungu Tu na najua naenda mbali ndogo yangu lazima itimie ,in Jesus name ,I have to brake poverty chains in our home lazima niwe WA kwanza kwenda majuu kwa uko wetu
This song aki 😢😢😢my best so far..Hata maneno ya mekosa God bless u for this song
Amen
Tumainio langu liko kwako Mungu, peke yako ni wewe wa kunisaidia 🙏🙏
Amina
Can you imagine everyday I listened to this song like 1000 times ❤❤❤❤
Thanks
Were it not for the most high,who else could have rescued my soul .
All the best vaileth mwaisuma, inkenya watching, welcome upcoming gospel musician, keep fire 🔥 burning always
Ukweli Mungu wangu una sababu niwe jinzi nilivyo na waitambua haja ya moyo wangu na uliko nitoa ni mbali kubaya na mahali wanipeleka ni mbali kuzuri.ningekuwa wakutegemea binadamu angelichoka na aseme niuawe mie lakini kwa neema zako nilisema ubaki kuwa wewe maana niliona na bado naona na nitaona ukitenda Yesu
Moto kama pasi,,good job my good people from INGOOOOOO,,
Hii nyimbo inanitia Moyo Sana ,mamangu akaaga nikiwa gulf Yani kama Sio Mungu hakuna angenisaidia ❤❤❤❤❤❤
🥰
Thank you Lord, i am alive today because of your mercies
Amen
Ukoo ulitutenga,,lkn Mungu alitusaidia🎉,,katenda ishara machoni pa watesi wetu
Amen
Hakika ni Mungu tu,,kati watu wanatuonea na kututupilia mbali ..tulowajua wanatupa visogo na hata wanatufuta kwenye kurasa zao ila Mungu atufungulia kurasa mpya na kututambulisha ..hakika kama sio yeye Mungu wetu sijui ningeitwa nani leo..hata na kuwepo duniani sijui nani angenijali mimi ..Ashukuriwe Mungu wa wote kwa kweli 🙇♀️🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢
Amina barikiwa sana
Kweli my dear,ni Mungu tu Kama si yeye tu ametufikisha tulipo,wimbo mzuri sana,ujumbe hata sauti
Shukrani sana
Kama sio wewe Mungu singekuwa hai😢what a wonderful song ❤❤❤❤
Thanks
Nani mwengine ametoka tiktok hadi hapa kuangalia hii video nzuri,nipeni likes basi ❤❤❤
Barikiwa
𝐌𝐢𝐦𝐢 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐤𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐧𝐢𝐚𝐧𝐠𝐮𝐤𝐞 𝐧𝐢𝐤𝐢𝐤𝐢𝐦𝐛𝐢𝐚 𝐮𝐭𝐮𝐛𝐞 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚😂 𝐦𝐮𝐜𝐡 𝐥𝐨𝐯𝐞 𝐟𝐨𝐫 𝐨𝐮𝐫 𝐪𝐮𝐞𝐞𝐧@ 𝐯𝐚𝐢𝐥𝐞𝐭𝐡
Mimi fb
mimi the music is awsome
Mimi nimetokea fb yaani
A very powerful and blessed song👏🙏🏻,
with the best and sweet voice🙏🏼🙏🏼👍
Thanks
Much love from Kenya mummy❤❤❤🇰🇪...but kama si wewe mungu ngesaidiwa Na nany surely😢
Amina
Thank you so much mum your songs always giving me hope 🤲🤲in Gulf may God bless you forever and ever mum
Amina 🙏🏼
Amen kama sio Mungu nani angenisadia wakati napitia mambo magumu, barikiwa sana mama❤❤
Amen
Amen
Barikiwa Sanaa Mama.
Amen
Kama sio wew mungu hakika nan angenisaidia❤️❤️🙏🙏🙏
Hayupo
Acha Mungu aitwe Mungu.. Kama sio wewe Mungu ningekua wapi ? Asante baba yangu🙏🏾🙏🏾🙏🏾. Hongera sana mama, nyimbo zako zinatubariki sana. Mungu akuzidishie daima ❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸
Shukrani sana
Mama you are always a blessing
Thanks
Mungu akuinue zaid such a wonderful voice ❤❤Mungu ana vyombo jaman .. Endelea kunyenyekea akuinue zaid my Mom❤❤
Amina
Listening to this song just smiling, one day my step mum threw me out of our house,nowhere to go,our God is a Faithfull .......Kama si wewe Mungu nani angenisaidia
MUNGU ni mwema sana
True,God rain to just and unjust and He has blessings for everyone.pongezi dada
Amina
This is more than just a talent.infact it's not a talent but a calling from messiah...may you be a blessing to many of us❤❤
Amina
Pigeni like,share na u subscribe naomba ,wengine tulikuwa wagonjwa ,wengine hali zilikuwa ngumi sana,mungu ametusaidia❤❤❤
Barikiwa sana
Mimi huyo!
Wow be blessed sana my favorite song 🎵 my daily song 🎵 .nmepita kwa kipindi kigumu since mwezi wa sita hadi wa saba wote ,ila mungu amenisaidia ,kama si yeye mungu walai sijui nani angenisaidia, be blessed sana❤ Glory to almighty God 🙏
Amen 🙏🏼
Kama sio wewe hakika Mungu 😢😢 nani angenisaidia ❤❤🙏🙏✅️✅️
Hayupo
Kama si mungu hakuna wakunisaidia
Keep going dear sister and be blessed 👏🙏🙏🙏
Thanks much
AM humble this song makes me feel blessed in life God bless you valieth the gift of singing
Amen
Ubarikiwe madam Vai. Songa mbele na huduma. Umetukumbusha kuwa haps tulipo si kwa akili zetu.
Amina
🎉 Congratulations Mummy Wimbo Unabiriki Sana Kazi Nzuri Video Iko Sawa Mungu Azidi Kukuminia Baraka
Amen ❤️
Ooh amazing...am always in love with your ministry vaileth be blessed always as you blessed us Mummy🎉🎉🎉Kama si wewe Ni nani angenisaidia 🎉🎉🎉❤
Amen
Oooh ...the song of my season ❤
Wimbo mzuri sana Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Amina
Huu wimbo jamani😢, kazi nzuri mama mungu azidi kukubariki
Shukrani
Balikiwa sana nyimbo zako zinafariji❤❤
Shukrani sana
What a song. Walai am happy to listen to your songs now and dhn ni mungu ametenda
Amen
Always your songs motivates me and especially when facing life challenges,,, ubarikiwe sana Madam Mwaisumo
Thanks much
Wooow lovely song, so touching mum, ninaposikiza nyimbozako nakua stress free more grace mummy❤❤
Amen
Haleluyha, kama si ww mungu nani angenisaidia
Hakika ni MUNGU tu
My mentor is here again mum mungu akubariki na akupe maisha marefu nyimbo zako unibariki na kunitia nguvu
Shukrani sana
Mwaisumo never disappoint....more love here in Kenya ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks
I always feel your songs hadi Kwa mifupa❤️❤️❤️ keep on going 💪🏿 be blessed
Thanks
Kama si wewe Mungu nani angenisaidia 🙏🙏wimbo mzuri sana pamoja na video🔥❤❤
Amen
Mziki mzuri sana umenibariki
Nimekuwa nikipenda Nyimbo za Vaileth sana🙏🏾🙏🏾🇰🇪
Shukrani
You are blessed!!!! Simama na Mungu ameweka kitu cha tofauti ndani yako🎉
Wimbo mzuri sana hongera kwa kazi nzuri na Mungu akubariki sana ❤
Shukrani sana
Vay my favorite ❤😊 thanks for the uplifting songs....
Thanks
my ringtone i love this song
mungu Ana kupenda sana dada kupitia hio nyimbo
Hakika wewe mungu NI Baba yetu WA kweli
Amina
Hakika!
From New York❤fan of this song
Thanks
Wow welcme to gospel ministry congratulation kujituma lady may God blesss you as you spread is word go go go 💪💪❤️
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana sana❤❤
Amina🙏🏼
Congratulations mama ,God continue blessings you in Jesus name 🙏🙏
Amen
Kama si wewe mungu Nani angenisaidia congratulations🎉🎉🎉🎉🎉my sister mungu ndiye mwema yote kwa maisha yetu🎉🎉🎉
Amen
My favourite gospel artist #KamaSiWewe 🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks much
My favorite songs ❤️🙏
Thanks
Waooooh hongera sana Mama ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukrani sana mwanangu 🥰
Kuna nyimbo zinajenga mtu at kma Yuko chini❤❤❤
Amen
From TikTok ❤❤..baraka mama
My favourite musician of all time love you more ❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks
Hakika hakuna kama sio Mungu...be blessed vai
Amen
Mum you are a blessing 💯😊
Be blessed so much for that a powerful song alm really blessed
Amen
Umenigusa sana huu wimbo madam Vailet.
Nilikata tamaa kabisa lakini Mungu amenusaidia nasonga mbele!.
Mungu akubariki kwa utunzi wenye mguso!
Amina
Ubarikiwe mama yetu kpenz tangia kwenye Yesu nigange moyo😊
Amen
Hakika kama sio mungu singelikua mahali nilipo asante mungu
Amen
Hallelujah 🙌🙌🙏🙏 wimbo mtamu
Amen
More grace 👑 sister ❤️ nyimbo zako zimetulia kama wewe mwenywe 🙏🙏🙏🙏
Shukrani sana
Kama si wewe Mungu wangu❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Hayupo
Congrats mama keep on moving by the grace of God 🙏
Amen
always my favorite and touching song 🙏🙏🙏🙏
Thanks
Hongera sana mywii, kweli Mungu amekua msaada mkubwa maishani mwetu, wimbo mzur sana, wewe unajua my
Barikiwa sana my wangu🙏🏼
@@vailethmwaisumo Aminaaaa🙏🙏
wounder full song my sister may God bless your songs
Amen
Kweli kabsaa...tungekua si kitu haki
Hakika
Hallelujah Hallelujah mam,nabarikiwa sana
Amen
Hakika kama si wewe mungu singeweza napenda Sana uimbaji wako dada ❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukrani sana
what a great song it's only God ❤❤
Amina
Nimepata tabu sana kuipata hii nyimbo
Wow! What a powerful song ....keep it up sister
Thanks
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🎉🎉wimbo mzuri sana
Shukrani sana
Nakupenda tu bure yaani ❤❤
Shukrani sana
Amen Amen mungu nanimwengine wakutusaidiya akuna bila yeye dada nakupependa san mungu azidishe upako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukrani sana 🥰
Nimeisubiri kwa Hamu sana hiii Barikiwa sanaa MAMA angu kipenz Hakika Asinge kuwa Mungu tusingefika hapa
Amen
Amazing song Wacha mungu aitwe mungu Kwa umbali huu
Amen
I wish you would win the best gospel music of the year
It's okay if I win souls
I feel blessed with the song thanks mum
Thanks