mama unayoongea yamenitokea na mpaka leo namlilia mungu mke wangu wa ndoa kaniharibia maisha yangu na imani yangu ambayo niliapa sitaishi maisha ambayo siyo ya ndoa na nilifanikiwwa kufunga ndoa msoto nilioupata sitasahau katika maisha yangu isipokuwa kwa neeema ya mungu mungu anisimamie katika msimamo wangu wa kuishi maisha matakatifu
Dada jambo asant tena kutupatiyanguvu yamaombi asant mungu akubariki saana
Judy from Utawala kenya
Amen Amen and Amen
Ameen mama Ameen
mama unayoongea yamenitokea na mpaka leo namlilia mungu mke wangu wa ndoa kaniharibia maisha yangu na imani yangu ambayo niliapa sitaishi maisha ambayo siyo ya ndoa na nilifanikiwwa kufunga ndoa msoto nilioupata sitasahau katika maisha yangu isipokuwa kwa neeema ya mungu mungu anisimamie katika msimamo wangu wa kuishi maisha matakatifu
Mungu ni wa rehema atakurejeshea tena
Ameen ameen ameen ameen ameen 🙏
Najiunganisha na madhabahu hii kupokea mafundisho haya katika jina la Yesu
Hiyo Leo kali.
Very true be blessed
Asante kwa mafundisho naomba no yako ya simu
Nimejifunza kitu
ALWAYS HAKUNAGA KUPONA BILA MAUMIVU C’mon💪💪💪twende Kazii🔥🔥🙏🙏🙏
Amen amen ansante
Tuko dada amee
Amen mummy God bless you