MAWAKILI WA CHADEMA WAIBWAGA SERIKALI KESI YA MEYA JACOB, HATMA KUJULIKA OCTOBER 7

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 64

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka Месяц назад +6

    Boniface mdogo wangu njia nyeupeeeeee!!❤

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 Месяц назад +21

    Isaya 10 mstari wa kwanza. Yehova asema. OLE WAO WATUNGAO SHERIA ZISIZO ZA HAKI

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma Месяц назад +1

      Leta hoja acha za mawazo ya kijinga hayo mambo ndo yaliyofanya watanzia kuwa wajinga miaka yote mpk mwisho wa dunia

    • @starjay3052
      @starjay3052 Месяц назад +2

      @@Bonifaskagomakweli kabisa mzee

  • @nkorankoranigwa4058
    @nkorankoranigwa4058 Месяц назад +6

    Mungu ni mwema!!

  • @ElibarikiMahonge
    @ElibarikiMahonge Месяц назад

    Nimependa iyo kauli ya kucheka kidogo kisheria

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l Месяц назад +8

    Mungu mkuu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh Месяц назад

    Viva viva chadema oyooooooooooooooooooooooo

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi Месяц назад +20

    Nchi hii inahitaji ukombozi hii serikali. Imeshindwa kabisa kujenga Taifa kazi waliyonayo sasa ni kusingizia watu kesi za kijinga na kuuwa watu Amna kingine

  • @LensonMwaigombe
    @LensonMwaigombe Месяц назад +1

    Mawakili wa serikali wanasomea wapi Sheria? Na Hawa wakina kibatala nao wanasomea wapi?

  • @MSAMITENGO-p3g
    @MSAMITENGO-p3g Месяц назад

    Mutangulize mungu katikayote usizitegemee akilizako mwenyewe

  • @petromahava865
    @petromahava865 Месяц назад

    MUNGU MWEMA🙏

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 24 дня назад

    Pongez mawakil wetu kwakuwasaidia wanao nyimwa haki zao

  • @annamsaki3634
    @annamsaki3634 Месяц назад +8

    Eee. MUNGU ANGALIA HAKI KAA UPANDE WA BONIFASI/WANYONGE.

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Месяц назад +12

    WANAUME TUNAONGOZWAJE NA DEMU 😂😂😂TUTAKULA MPAK PUMBA MWAKA HUU

    • @rosepaul7901
      @rosepaul7901 Месяц назад +1

      Kwani ilikuaje mwanaume ukazaliwa na mwanamke? Si ungezaliwa na mwanaume mwenzio ili hili la kuongozwa na mwanamke li balance

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 Месяц назад

      Ukimdharau mwanamke ni sawa umudharau uumbaji na viumbe wote waliozaliwa

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +1

      @@rosepaul7901 hahhaa ww chizi kweli kama ingekua kisa kuzaliwa na mwanamke , hao wanyama wote unaowajua ww simba majike yanazaa , lakin Simba dume nd linalinda familia na kuongoza familia

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад

      @@rosepaul7901 kuhus kuzaa tu nd unaona kigezo 😂😂😂acheni usenge madem hawawez kuongoza nchi , labda watot wadogo wakiwazaa , sio wanaume na wazee alaf dem mwanamke aongoze hivi inaingia akilini

    • @ShaulizSeleman
      @ShaulizSeleman Месяц назад +1

      @@rosepaul7901 Alaf mnasema haki sawa , Mungu anawakomesha saiv wapo madem wanaota ndevu zinachomoza😂😂😂Mungu ashaamua mwanaume awe kiongoz wa mwanamke ili mamb yaende sawa

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 Месяц назад +2

    HAKI vs BATILI. Batili haijawahi kushinda popote pale.

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 Месяц назад +3

    Naona askari kwa idadi apo wako sita 😂 mtuhumiwa mmoja kesi yake kusambaza taarifa za uongo , akiletwa jambazi konki atakuwa na askari wangapi ,

  • @EmmanuelJembekali
    @EmmanuelJembekali Месяц назад

    Wakili msomi Peter Kibatala

  • @lucusshamte9161
    @lucusshamte9161 Месяц назад +1

    Free Jacob 😢

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Месяц назад

    ❤❤❤❤

  • @EmmanuelKazimili-ky1ss
    @EmmanuelKazimili-ky1ss Месяц назад

    zamana ni haki ya kikatiba

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m Месяц назад +2

    Chadema mumshukuru wakili kibatala vinginevyo polisi wangewanyanyasa sana na kesi

    • @AnaniaIsaya-z9g
      @AnaniaIsaya-z9g Месяц назад

      Ni sawa
      Lakini pia kumbuka Chadema Wana mawakili wasomi wengi sana

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Месяц назад

      Sasa police kuwanyanyasa Chadema bila sababu ni sifa njema au ni uzwazwa? police wanapaswa kumnyoosha mtu mwovu siyo anaye dai haki.

  • @KoleYasini
    @KoleYasini Месяц назад

    Akika kila mmoja ni mchunga tutsulizwa kwatuowachunga..

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 Месяц назад +1

    Mawakili wanakula hela tu mana kila siku chadema na selikali wa kesi kwahyo mawakili wanazidi kupiga hela tu maana hawawez simamia kesi bule nakesi kama hizi sio zakulipwa milio 10 ni 50 kwenda juu maana huyo anae msimamia akiishinda selikali analipwa yeye mkuuu huwez nielewa kama huna d 3 sio 2
    Kazini kuna kaz

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 Месяц назад

    Kwanini

  • @JohnSamwelsilungwe
    @JohnSamwelsilungwe Месяц назад +2

    Haki Inachelewe ila itapatikikana tu

  • @SilvanusThomas-b5j
    @SilvanusThomas-b5j Месяц назад +1

    Sasa mawakili kama hawanwajamhuri kama wanabwagwa kwenye kes za kuhusu nchi yetu itakuwaje? Yaan

  • @SamuelLainzar
    @SamuelLainzar Месяц назад

    Ilikuwa ni kesi ya uwongo iyo

  • @MASOUDMASOUD-p9l
    @MASOUDMASOUD-p9l Месяц назад

    Mbona hajapewa dhamana sasa mmeibwaga vipi? Sasa

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c Месяц назад +2

    Serikali ya Dem hiyo

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Месяц назад

      Siyo SAMAKI 😢😢😢😢😢

    • @nahlaaasidee1848
      @nahlaaasidee1848 Месяц назад

      Demu mama yako

    • @nahlaaasidee1848
      @nahlaaasidee1848 Месяц назад

      Demu mama yako

    • @kisrahcogar8538
      @kisrahcogar8538 Месяц назад

      ​@@nahlaaasidee1848umechukia na ww mzanzibar nn 🤣🤣🤣

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Месяц назад

      Kuweni waungwana kejeli za nini kukashfu wanawake...eti demu mama yako ni mwanaume??!! Mkisweka ndani mnalalamika

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Месяц назад +1

    Kwan huyu Jakob ameuwa au?

  • @Buhaya1tvtz
    @Buhaya1tvtz Месяц назад +1

    Wakwanza

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Месяц назад

    MAWAKILI WAO NI MAWAKILI VIZIBO

  • @ShevernadzeLenga
    @ShevernadzeLenga Месяц назад +1

    Kushangaa na kucheka kisheria😂😂😂

  • @edmundhenrykagimbo9776
    @edmundhenrykagimbo9776 Месяц назад +5

    Yote hayo ni "Ujinga wa kupoteza raslimali fedha, muda" kwa mambo ya hovyo kusingizia Wananchi!

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 Месяц назад

    Usumbufu tu

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman Месяц назад +1

    HII NCHI TUTAKULA MPAK PUMBA😂😂😂, UKIONGOZWA NA DEM KUBALI KUPIGA DEKI NA KUPIKA, TUTAELEWA TU AKILI ZA WANAWAKE ZIKOJE

    • @NeemaSamueli
      @NeemaSamueli Месяц назад

      Eeee kubabake mtaisoma namba na bado

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji Месяц назад

    Wanakuaga awanaga jipya awajui kufungua mashtaka wanafungua kesi kwachuki ndio manawanagonga mwamba

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 Месяц назад +1

    Sasa hapo kwani kuna kitu gani cha ajabu ni kwamba mpk trh 07/10/2024 ndio anaweza kuoata dhamana sasa hamuoni bado anasota gerezani?

    • @bujashidaniel5537
      @bujashidaniel5537 Месяц назад

      Siku ukijfunza kuandika vzur comment utakua na utimamu wa ku type vtu vya maana

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 Месяц назад

      @@bujashidaniel5537 bwege wewe kama hao unawasaport Doller hamtoisha mpk hii Dunia itaisha mtakuwa mnashindia mahakamani tu kila Miaka

    • @mkondomkondo4721
      @mkondomkondo4721 Месяц назад

      Serikali na wanasheria wake ndo waajabu

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 Месяц назад

      @@mkondomkondo4721 ukiwa unauelewa mdogo ni tatizo sana

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Месяц назад

      Malipo ni hapa hapa duniani...sabaya alipohukumiwa kwenda gerezani mlishangilia....sasa kiko wapi tulieni dawa ikolee😐😐

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 Месяц назад +1

    Mimi ninachokiona mara nyingi serikali inakua inashindwa kesi,kwanini wasiwapate mawakili wazuri kama Kibatala,kuliko kusikia serikali imebwagawa kesi fulani?

    • @Saidi-x4h
      @Saidi-x4h Месяц назад

      Ukimzushia mtu kesi husiyo ya kwel huwezi kushinda

    • @warlexnyamba2601
      @warlexnyamba2601 Месяц назад

      Kibatala hajawahi fanya kazi za kipuuzi jiulize kwann serikali haijamuajiri

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 Месяц назад

      @@warlexnyamba2601 wanamjua yupo upande wa upinzani

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md Месяц назад

    Gd😂😂