Women Matters (2): Mtu aliyekufa anaweza kukutokea kiukweli ndotoni? Dr Elly atoa ufafanuzi
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Lillian Mwasha na Dr Elly wameamua kuzungumzia mada nzito kiasi - Kifo. Kuna mengi ya kujifunza japo yanaweza kukuacha kichwa kikiuma kutokana na uzito wake
If you like this show gonga like
Dr. Ellie is a genius person i have never seen before. God bless yoy
Subhaallah safii dct maelezo elimu nzuri nimeipenda
Huyu dada anazinguwa , atulie tusikilize, sio rahis kumwelewa Dr.
Yani doctor unajibu yarohoni pia yamwili Mungu akubaliki sana🙏🙏
Kuelewa inabidi utulie uconcentrate haswaa 🙌🙌.
Merci beaucoup Doctor de vos bonnes experiences et avec une tré haute explication
Nadhani Dk Leo umezidi kunipa madini na nikushukuru Sana kwa maana nimebadilika sana kifikra mpk sasa na we ndo ulikuwa chanzo na mpk sasa najitahidi kusoma vitabu kdhaa vya wakali kama ww ,Asante sana ,na Dada Lilian hebu Fanya kama wiki tatu mfululizo hapo watu waelewe maana hizi imani zimewaumiza sana watu
Very sensitive... Lilian wee wee Binadamu Tunayapenda Maisha Bwana Tunaposkia kifo Sote Ni Balaa Hatuchukulii poa kabisa Kiukweli All in all Sote Inatuhusu#WomenMatters#SnS•√
Subhanah Allah! you are right Dr Elly. mutu alie poteza ufahamu anasikia. I experienced that feeling
I have testimony for that. by the way it long story.
Tell us in shortly
Safii sana LiLyan kwa maswali mazuri nimekipenda kipindi
Huyu dokta anavutu vikubwa sana tunavyohitaji kuvifaham
Huyu jamaa kabra hajafa nitamfaidi sana kwa concept zake
Asanteee xan dokta Elie 🙏🙏🙏
Hakika wanao kupinga wanakuletea changamoto daa nzuri sana
Mtu hafi kinachokufa ni mwili asantee! Dr ellie
Shida ya huyo Dada muuliza maswali anakera Sana huwa anakuwa na papara Sana awe anaacha doctor anaeleza then anauliza lkn anarukia rukia tu kipindi ni kizuri but huyo Dada huwa anaharaka zimazoboa
Ukiona ivo anakua haelewi
Maisha marefu Kwa Doctor uyo ni genius
Ndoto za hatima yako ni zile taarifa ulizokusanya tokea unazaliwa..lily nakuomba umlete tena doctor aongelee somo la changamoto kwa upana wake aweze kuwasaidia waliokwisha kata tamaa na maisha.
Dr hebu mungu usimfananishe na kitu zungumza kifotu
Les francais (wafaransa ) tujuane hapa #TeamDrElly
Napenda,,sana anavyo ongea dr,,,anafanya kitu kikubwa sana
Anaongea vizuri mnooooo. He knows what he says
Dr. Vous maîtriser les langues internationales vraiment. Vos analyses sont très deep
Jamani wawekeeni hawa wageni wazungumzaji maji ya kunywa.
Sawa safi sana
Abarikiwe Dkt
Dar, mungu nimshindi
Asee I love it
Mpo juu🔥🔥
Fact
Uwiii jamani huyu Doctor
Mbona mwendelezo wa hii siupti Sis Lilly
From +254 I'm educated though it's a hard topic we need on being educated ndio tuweze kuelewa what is death.
Nakupenda lily
Docter, thanks to every thing, nilkuwa juma sana kuhusu mtu kufa.
Nazidi barikiwa na vipindi vyenu, naomba umlete tena dr aongelee kua je ni sahii ukiona mambo hayaendi uombewe ili ya kwende au kusomewa dua
Deja vue :exactement docteur
daaah hakika nimepata ahuweni ktk hili simo kwani nilikuwa naumia sana mke wangu kuacha mwili na mimi na watoto wake na nduguzake niliumia sana
Achana watu wenye phd zao dr🙌🙌🙌yaan du mpk nimeogop kifo da
Huyu Dr apewe uwaziri moja kwa moja.
asanteni
Hii neti ya kuishi ni hapa hapa au kwengine
Fact🙏
Eee..!
Hii ni akili kubwa MNO, natafakari.
Tatizo Dr anaeleza kana kwamba hakuna wachawi wala shetani
That's is Philosophy Brother.
Nikweli Dr juu nakumbuka mamangu alikuwa akiongea na nyanya yangu ila nyanya alikuwa kitambo. Nyanya alikuwa akimwambia mamaa mbona amepotea kumbe nyanya alikuwa nampa mama ujumbe aende kijiji akajenge. Tangu mamaa ajenge nyanya haja wai Kumjia tena . sasa nimekuelewa vyema Dr . ubarikiwe
Kenyan watching from qatar
Ongeeni kiswahili ili watu wote tufahamu vizuri
Kablla hujazaliwa ulikuwa wapi?
mimi nauliza mtu alie kufa unawezamuombea toba kwa mungu
Hivi Hugo docta ni mkongo ?
Huyu babajamani mi naomba niolewe nae nampenda mpka sielewi jamani yani no.reason anaakili mpka anatisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kashaoa bana tulia teh teh teh teh teh teh
Mko wengi sana mnaotaka kuolewa nae ila keshaowa tayari
🤔🤔🤔🤔
Kuwa mama aunt sadaka baby sky na wengine wanaokuwepo
Kuzaliwa mipango ya Nani?
Ilitakiwa apatikane alie na ufahamu zaidi ya huyu mdada hajui kila kitu huyu
Wapendwa ninashida sana, natamani kupata msaada , natamani kama, kuna mtu anajua ofis zake ziko wapi, huyo dr Elie waminian,
Mcheki Lilian mwasha atakuunganisha nae yupo hapahapa daresalam ana ofs zake
Binadamu akifa roho yake hateseki tena?
Huyu docta kiboko sasa naanza kuvuta taswira
🖐
Kukata roho haikuhusu
Kila nafsi itaonja mauti
j aimerais avoir le numero de ce monsieur dr Elie
Mafunzo mazur san
Madam jitaidi kubadilika unaboa
Jee dct mfano mtu kafariki halafu ukamota anakupa pesa jee nitakuwa maskini au tajiri naomba unifafanulie
Tafuta hela
@@yehoshafatimayala4563 Hahaha acha ukorofi
@@yehoshafatimayala4563 kabisa🤣🤣
Fanya kazi acha uvivu🤣
.
Duh huyu doctor anaongea kiswahili kabisa lkn nashindwa kumuelewa anaongea kiswahili kigumu balaa
Umezoea kinyakyusa tatizo
@@madetetv6576 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe msichana mtangazaji ..ur useless with ur haaaaa...haaaaaaa....haaaaaaaa
😂😂😂
Nazidi barikiwa na vipindi vyenu, naomba umlete tena dr aongelee kua je ni sahii ukiona mambo hayaendi uombewe ili ya kwende au kusomewa dua