Wasanii na Production kuweni wabunifu acheni mambo ya kuiga iga. Clam akienda kijijini na nyie huko huko, akirudi mjini na nyie huko huko, akienda shule na nyie mnaiga. Haya sasa Clam kaanzisha tabia ya video zisio na mwanga na nyie mmeingia huko huko na mmezidisha hazioneshi kabisaaa... BADIRIKENI
MNAO NIKUBALI MGANGA BAYSER AU SIR BAYSER LIKE APA NA MKANIFOLLOW🙏🙏
Sana mwene ✌️✌️
Rudi kwenye uganga huku hakukufai
Nakubali unafaa sinema👍👍🇨🇩
Naomba number ake kipepeo
Nakubali sana kazi zako🎉🎉
Sija kawiya jaman nawafwatiliya kutoka congo 💕💕💕🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Daah move tamu sana aiseee
Kazi nzuri penda sana latifa,,,ila kobelo 😁😁😁😁
Hahaaaaa sasa Balsa umenipa rahaaa sana
Nishammiss ummy jamani kwani ajajifungua bado jamani 🎉🎉❤
Wakukataa pesa ww sir baysa au sija sikia vizur
Movie kal sana nimekuwa wakwanza like zije kwa wingi
😢😢😢allah atupe uvumilivi katika kipindi hiki kigumu walifikiwa na janga la ajari la k,koo tumeuminzwa na hili😢😢 aliyeguswa na hiki gonga like 😢
Kwahiyo unatumia hiyo ajali kuomba like??
Jaman hiii mov kar sana boncena chukuwa mauwa yako wanaomkubar uyu mwamba gonga like
Mbona huu mzimu umevaa koti la lutaman 😂😂😂
Number one🎉
Nilijua tu atakuwa Baisa😂😂😂😂😂😂😂
Nami Pia nime waii naomba like zangu😊 movie neuro n'a mukubzli Latifa🎉
Sar baisa we noma aise
Ni Hatariii sanah jaman Kaz Kal sanah🎉🎉🎉
Nmependa sanah
Wasanii na Production kuweni wabunifu acheni mambo ya kuiga iga. Clam akienda kijijini na nyie huko huko, akirudi mjini na nyie huko huko, akienda shule na nyie mnaiga. Haya sasa Clam kaanzisha tabia ya video zisio na mwanga na nyie mmeingia huko huko na mmezidisha hazioneshi kabisaaa... BADIRIKENI
Napia aache kupost movie nyingi kw wkt mmoja atapoteza viewers kw sababu heri tumalize n Moja n tuendele n nyingine kuiangalia
Wa Tanzania🇹🇿🎉🎉 nawapenda sana mimi ni mucongo 3:57
Wakwanza leo kutoka TABATA KIMANGA naomben like zang jmn
Sir baisa unanifuraisha na😂😂😂nawapenda wote sana❤❤
MNAO MPENDA MADAMU NITI ,MADAMU QUEN NA SIR BAYESY LIKE HARE❤
Kazi nzuri sana
Nimewahi nimekua wa kumi na tatu😂😂😂sir baisa nakukubali🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunae mkubali gumbo na madam queen like hapa
Wakisumbua wanachapwa
❤❤❤ uyu mwalimu 🎉 ni muhuni sana
Ila baisa jamani😂😂😂 so kwa fimbo hizo kila mahari
😂😂😂😂😂ℎ𝑎𝑎𝑎 𝑠𝑖𝑟 𝑏𝑦𝑠𝑒𝑟
sema baisa hum unaupiga mwingi sana
Wakwanza Leo like kwa wingi wadau
4:13 nguo ya bonceana kwenye risk😂😂
Uyu aliyeshika iyi video ametuangucha sana, sababu video aingari hata kidogo
Tatizo wasanii wakibongo wanafata upepo. Tangu Clam Vevo aanze tabia ya kuziweka video ktk mfumo huu na wao wanaanza kuiga inakera sana
😂😂😂 mwalimu kawa mganga
Nice movie ❤❤❤
SIR BYSER
Mungu wangu nani kaniambia niangalie usiku hii movie naanza kuogopaaaa😢😢😢
😂😂pole
Kinachomuogopesha nini😂😂😂@@HadijaMzaramo
@@Awoshy anaogopa ao walovaa manguo ya ajabu😁😁
Kipepeo acha mdomo Sapna amekupa makavu yako❤😂
Wakwanza
Mwendo wa mbilimbili sabaisa
Muko vizur
Mganga baisa😂😂😂😂😂😂
Wanaomkubali kobero weka like
Nipeni likes hata tatu na Mimi jamani😢🎉
Hahahahaha why do you mean 😅😅 wabongo bhn. Oky what do you mean
Kazi yenu ni nzuri
Saa baisa naona upo kwenye ubora wako wa uganga
Kapenda fujo😂
Why do you mean!!!!😂😂😂😂
Nc san❤❤
😊😊
Wa pili leo nipitieni pia
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hivi nyoe camera men hamcheki mwendo wa sir baisa😂😂😊
Behind the scene lazima wanacheka ila baadaye wanajikaza
Ninaona Gumbwa akiMt●Mba Queen....😂
Walking style Mr baisa ulitoa wapi😅?
Mimi wa kwanza ku Like
From🇨🇩
🎉❤😢😢😮😅🎉
Teacher wa physics katisha sana humu
🎉🎉🎉🎉🎉
C͎a͎m͎e͎r͎a͎ h͎a͎i͎n͎a͎ K͎w͎a͎l͎i͎t͎i͎ k͎w͎a͎n͎i͎n͎i͎
Yoooooo😂😂
😂😂😂😂😂😂
Wa 20 Mimi leo
Wa 79 leo
Nimechelewa like yengu leo 200🎉
@@mwaupinailejeyetu pole sana kipenzii
Wa 13 leo
Kazi nzuri sana
𝑲𝒊𝒑𝒆𝒑𝒆𝒐 𝒂𝒏𝒂𝒏𝒊𝒇𝒖𝒓𝒂𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂