Waziri Kithure Kindiki awaonya maafisa wafisadi Nyayo House

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki amelaumu ufisadi kwa kucheleweshwa kutolewa kwa stakabadhi za usafiri katika jumba la Nyayo hapa Nairobi. Waziri Kindiki ameiambia kamati ya bunge kuhusu ustawi wa maeneo kuwa, Jumba la Nyayo, limekuwa jumba la uhalifu, akisema kuwa jumla ya pasipoti elfu 58 bado hazijatayarishwa

Комментарии • 39

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 Год назад +6

    Good job mr. Kiture

  • @SulaimanMohd-xl3jc
    @SulaimanMohd-xl3jc Год назад +7

    Jomba kazi yako ngumu na inaonekana fagia hao wote matapel

  • @lukesmith3172
    @lukesmith3172 Год назад +7

    We as the public are sick and tired of warnings and no accountability..people are corrupt as they know nothing will be done!

  • @rosewamuyu9709
    @rosewamuyu9709 Год назад +4

    Thanks. This is the biggedt thing you hv done. Those pple are extremely corrupt. Clean them all from the cleaner to the ceo.

  • @michaelmuthoni7008
    @michaelmuthoni7008 Год назад +5

    Fagia hao mabrocker wa nakuwanga njee ya nyayo house

  • @VroomVibe001
    @VroomVibe001 Год назад +1

    Maumbwa sana!
    Miaka tatu vetting stage?

  • @abdallahdoka9173
    @abdallahdoka9173 Год назад

    Good job Mr. Kindiki

  • @khalidmaalim-ry9be
    @khalidmaalim-ry9be Год назад +1

    Good job for kindiki also registrar

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 Год назад +5

    Jameni watu wanaumia wenye waliaply kitambo bado

  • @alicekariuki6490
    @alicekariuki6490 Год назад

    At least hii imefanya niitiwe yangu leo from March .Good job

  • @juliusthoya913
    @juliusthoya913 Год назад +3

    Very true

  • @virginiaMungai-kt7ir
    @virginiaMungai-kt7ir Год назад

    Waah kutoka last year hadi sahii jameni

  • @sonywajustus
    @sonywajustus Год назад

    Sema nikuje na fangio

  • @SetricKhamasi
    @SetricKhamasi Год назад +1

    Mimi goodcunduct yangu ya mwezi waa march Hadi sai sijawai pata

  • @steuerveronicah9416
    @steuerveronicah9416 Год назад

    Hongo. Tu

  • @tosh313
    @tosh313 Год назад +1

    Even logbook collection in ntsa is a night mare,Id collection in huduma center in city square is another hell

  • @erickjuma7643
    @erickjuma7643 Год назад +1

    Is CS immigration seeing the same thing?

  • @sonywajustus
    @sonywajustus Год назад

    CS KINDIKI PLEASE DO IT
    TUMECHOKA KUHOJA, KILA SIKU KESHO

  • @josephkimwele6888
    @josephkimwele6888 Год назад +1

    You should take immediately action sir hiyo office imeoza even us here in abroad kubadilisha passport ni shinda tupu yet other countries eg.. India Pakistan it's only days... ???🙄

  • @hesbonmakinda
    @hesbonmakinda Год назад

    Uuuuuuiiiii mungu wangu tusaidie, passport yangu now ni mwaka kisha bila kupata

  • @ChrisTheuri-ff2ec
    @ChrisTheuri-ff2ec Год назад

    Let him talk about good conduct I paid mine on paka Leo I have never seen it from May up to today

  • @rosewamuyu9709
    @rosewamuyu9709 Год назад +1

    Also remember the good conduct officers, clean them too.

  • @johnlobuin4212
    @johnlobuin4212 Год назад

    That is a saprano sound only.

  • @carolinemungai9511
    @carolinemungai9511 Год назад

    Hata pombe wanamakiza na midomo tu. Mwa ma TV but ground ni bure. Tumechoka

  • @khadidjabettahar4700
    @khadidjabettahar4700 Год назад +1

    Kenya bwoo corruption mnakataa kutoa passport since independence corruption corruption mara machine iko na shida bwoo k

  • @abigaellwanga8982
    @abigaellwanga8982 Год назад

    I applied mine last year 2022 on January all in vain when l contact them all they say is on process at Nyayo house Nairobi

  • @patrickpaul5265
    @patrickpaul5265 Год назад +1

    Unatuma onyoa ya nini ? Fire them clean ur house kindiki

  • @mallikgraphics.masculinity
    @mallikgraphics.masculinity Год назад +1

    My brother has had to pay someone 10k to get it and yet haijatoka bado.
    Act and stop these stupid warnings, yangu nangojea tu bado itoke.

  • @luci8764
    @luci8764 Год назад

    Corruption is very high, passport to be out 2 wks c enough.kuna those blockers watolewe hapo.

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 Год назад

    Wapigwe kalamu wote waende akalime mbaazi.

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Год назад

    Hapo unaeza kuta officer kadha wanakufukuza huko inje

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Год назад

    Huko ni pesa inaongea usipohongana utangojea passport hadi uchoke

  • @patrickmusiomi750
    @patrickmusiomi750 Год назад

    Those people are extremely rich from the amount they request from poor Kenyans . The money they receive is much more than the salary they receive

  • @amoskirui267
    @amoskirui267 Год назад

    Don't forget pale Hass Plaza kwa civil registration,,birth certificate ni sh1000

    • @luci8764
      @luci8764 Год назад

      Someone paid 2k😢

  • @njorobucci5566
    @njorobucci5566 Год назад +1

    Wafute wote...wakora hao

  • @Festusogwankwa-cd2wf
    @Festusogwankwa-cd2wf Год назад +3

    Awaonya.... awaonya.... awaonya... day in day out,month in month out,year in year out come on mehn.....
    Hii ni joke honestly.

  • @kingkashmirofficial6470
    @kingkashmirofficial6470 Год назад

    Watolewe wote hawa wtu wantreat wtu kma umbwa

  • @AndrewNgethe-ne9jd
    @AndrewNgethe-ne9jd Год назад

    Sabotaging gvt!!!!!