NAMNA NA JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA KUNENA KWA LUGHA
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- Kanisa la Efatha Mbeya, linaongozwa na Mchungaji kiongozi wa mkoa wa Mbeya Joshua Josephath Mwingira.
Kanisa lipo Mbeya Mjini: Forest Mpya karibu na Hospitali ya Mkoani Mbeya.
RATIBA ZA IBADA
Jumatatu: Semina ya wafanyabiashara na wafanyakazi
Muda: Saa 11:00 jioni adi 1:00 Usiku
Jumatano: Semina ya Kusifu na kuabudu
Muda: Saa 10:30 jioni adi 12:00 jioni
Alhamis: Semina ya Ukombozi wa Akili
Muda: Saa 10:00 jioni adi 12:00 jioni
Jumamosi: Semina ya Vijana
Muda: Saa 10:00 jioni adi 12:00 jioni
Jumapili: Ibada Maalumu ya Jumapili
Muda: Saa 2:00 asubuhi adi 5:00 Asubuhi
Karibu Upendwae sana tushiriki Ibada.
Mungu anakupenda!
Wasiliana na 0759310152/0762311750