Efatha Church Mbeya
Efatha Church Mbeya
  • Видео 13
  • Просмотров 3 300
NGUVU NA MAMLAKA KATIKA KUMILIKI
"Nguvu kila mmoja amepewa kwa kiwango flani, lakini mamlaka sio kila mmoja amepewa...."
Просмотров: 442

Видео

Tumia Mamlaka
Просмотров 14514 дней назад
"Ukiona vitu huko nyumbani havieleweki usilie, Umefukuzwa kazi usilie jihoji kwanza...."
Matokeo ya Maombi yako pale Unaposhindwa kusamehe
Просмотров 8014 дней назад
"Mpendwa mwenzako unaesali nae Kanisani, mlipishana juzi hamkusameheana umekaa hapa unaabudu na mikono umenyanyua..."
Mungu ni Pendo
Просмотров 9714 дней назад
"Pasipo Upendo hata ukitenda miujiza mikubwa na ya ajabu ni bure...."
TONGUES OF INTERCESSION
Просмотров 3126 месяцев назад
Ungana nasi kusikiliza ujumbe kutoka kwa Mtumishi wa Mungu (Mchungaji) Joshua J. Mwingira ikiwa ni muendelezo wa zile siku 31 za kufunga na kuomba Hii ni Siku ya saba ya Kunga na kuomba hapa Kanisani Efatha Mbeya, Forest Mpya Nyuma ya Hospitali ya Mkoa wa Mbeya (Mkoani)
Kwanini Tunasifu na Kuabudu?
Просмотров 3897 месяцев назад
Kwenye swala la Kusifu na kuabudu, usipojua nani wa kuabudiwa automatic by default utaletwa kwenye mfumo wa kuabudu kitu ambacho utakiabudu pasina kufahamu mfano simu yako, ambayo huwezi kukaa muda mrefu pasina kuitizama.......
KUNA KITU CHA KIPEKEE NDANI YAKO
Просмотров 2517 месяцев назад
Kila mmoja anakitu cha kipekee ambacho Mungu amempatia,
IBADA YA JUMAPILI
Просмотров 8798 месяцев назад
Tukukaribishe kutizama Ibada hii ya Jumapili ya Tarehe 23/03/2024 iliyofanyika hapa Kanisani Efatha Mbeya maeneo ya Forest mpya nyuma ya Hospitali ya mkoa (Mkoani).. [Recorded]
Ni kwa namna gani mitandao ya kijamii inachangia mmomonyoka wa maadili kwa kijana?
Просмотров 998 месяцев назад
Ungana nasi katika kufatilia sehemu ya kwanza ya mjadara huu mzuri utakao kusaidia kama Kijana lakini pia itakusaidia mzazi kuweza kujua nini cha kufanya ili kijana wako aweze kuwa bora.
Ni kwa namna gani mitandao ya kijamii inachangia mmomonyoka wa maadili kwa kijana? (SEHEMU YA 2 )
Просмотров 1118 месяцев назад
Ni kwa namna gani mitandao ya kijamii inachangia mmomonyoka wa maadili kwa kijana? (SEHEMU YA 2 )
BIASHARA SIO ZA KUIGANA
Просмотров 3508 месяцев назад
"Katika kazi unayoifanya mwambie Mungu akufungue macho ya ndani ukaweze kujua ni nini alichokiweka mbele yako.."
WAABUDUO HARISI
Просмотров 1358 месяцев назад
Karibu Tuabudu na Kusifu pamoja kila siku ya Jumatano hapa kanisani New forest nyuma ya Hospitali ya Mkoa wa Mbeya. Kuanzia saa 10:30 (Kumi na Nusu)
TEMBELEA MITANDAO YETU YA KIJAMII
Просмотров 202 года назад
Ili kuweza kupata mafundisho na Mahubiri Mbalimbali tafadhari tufwatilie Facebook, Instagram, RUclips n.k kama Efatha Church Mbeya