CHII MPAKA juu kileleni tutabaki kua juu mbinguni kileleni nawapenda Sana ndugu zetu Mungu atujalie kila la heri na Baraka tuwe na imani na ndugu Amina
Mbarikiwe sana makamanda Mbasha na Bashando. Hakika tunataka habari njema badala ya habari mbaya za uzushi zushi na kuharibiana. Nimeipenda nyimbo yenu hii. Bila shaka video itakuwa bora kabisa. Big up men
CHII MPAKA juu kileleni tutabaki kua juu mbinguni kileleni nawapenda Sana ndugu zetu Mungu atujalie kila la heri na Baraka tuwe na imani na ndugu Amina
Fire fire na taka habari njema nisikie mbasha kaifanyia video hii ngoma ya kiumeni kwa watoto wa Kristo
Amina Aminaaaa. Sitaki habari mbaya. Nataka habari njemaaaaaa.
Nataka habari njema Hongera mtumishi wimbo mzuri
hallelujah hallelujah mzeee mmekamua kibabe sana duuu ni shida
Mbarikiwe sana makamanda Mbasha na Bashando. Hakika tunataka habari njema badala ya habari mbaya za uzushi zushi na kuharibiana. Nimeipenda nyimbo yenu hii. Bila shaka video itakuwa bora kabisa. Big up men
Sitaki habari mbaya mimi Mungu azidi kukuinua ktk viwango vya juu
Safi Kaka.
Habari njema tu👏👏
Nimeikubali sana Mbasha, congratulation broo
tishaaaa💣✔
Wir lieben unsere geschwestern brüdern und verwendte egal wo sie sind Afrika und diaspora
ubarikiwe sana Mtumishi tunaipataje lkn
Hongera mtumishi kwa nyimbo nzuri
Bonge la Traki watumishi mmetisha sana
Nc🙏💪🔥hizo habari mbaya sizitaki💘
Nyimbo za kiume hizo
gud news gudgud
Ubarikiwe sanaa
Wonderful
nyimbo nzur mnooo yaaan duu 🙌🙌🙌
hongra sana
Sitaki habari mbaya ...nataka habari njema.Bonge la tofali
Barikiwa mtumishi Wa Mungu
Umechana balaa
💥💥💥
Ameeeeeeeeeen
hongera mtumishi
Amina
Nice song very blessing
Kaka na omba jina ya kaka uliye mkaribisha kuparfom kwe swag band mmaa naandika nyata simpat
nice
Habari njema
SITAKI HABARI MBAYA
👏👏👏👏👏👏👏👏👏❤
hata mimi nataka habari njema
nice