MKULAZI KUANZA UZALISHAJI WA SUKARI MWAKA HUU
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro kiko mbioni kukamilika na kinatarajiwa kuanza uzalishaji mwaka huu. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Kampuni Hodhi ya Mkulazi.
Kazi iendelee, Hongera SSH kwa kuendeleza miradi yote kwa umakini, Ubarikiwe saana na Mwenyezi azid kukupa Afya njema
Kazi ya Magufuli the Great....viva the Legend.
Project kubwa sana
Hongera kwa magufuli, alikuwa jembe kwa kubuni miradi na kusimamia utekelezaji
Well done
Hongera Eng. Flavian
RIP mzee baba Magufuli we ndio RAISI WANGU WA MILELE 🙏😭😭😭
❤
Ktk siasa tunahitaji uwajibikaji kama huu
Hii ni neema kubwa tuwe na ufanisi mzuri kikazi hongereni wote mliohusika
Viongozi ignition mfano ni lazima tuamue na tuwe na mkakati wa kukuza viwanda...badu tunahitaji viwanda...ktk kila sekta
Tanzania inaweza lisha East Africa na sadic ila watu wetu wavuvu wanafikili kuwa matajili kwa miujiza wakati ni ndoto za ajabu.
.