![Mkulazi Holdings](/img/default-banner.jpg)
- Видео 23
- Просмотров 43 061
Mkulazi Holdings
Добавлен 8 фев 2022
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MKULAZI
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MKULAZI
Просмотров: 382
Видео
RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN APONGEZA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI
Просмотров 2635 месяцев назад
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongeza uongozi wa Kampuni Hodhi ya Mkulazi kwa kufanikisha Ujenzi wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi Agosti 7, 2024 wakati akizindua kiwanda hicho.
KIWANDA CHA SUKARI CHA MKULAZI CHAANZA UZALISHAJI WA SUKARI
Просмотров 1,9 тыс.7 месяцев назад
KIWANDA CHA SUKARI CHA MKULAZI CHAANZA UZALISHAJI WA SUKARI
KAMATI YA BUNGE YA UWEKEZAJI YARIDHISHWA NA UZALISHAJI WA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI
Просмотров 2,5 тыс.10 месяцев назад
KAMATI YA BUNGE YA UWEKEZAJI YARIDHISHWA NA UZALISHAJI WA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI
MUONEKANO WA SHAMBA LA MIWA MBIGIRI
Просмотров 20710 месяцев назад
Shamba hili linamilikiwa na Kampuni Hodhi ya Mkulazi Liliopo Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro.
MAFANIKIO MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA MKULAZI YAJIVUNIA.
Просмотров 36910 месяцев назад
MAFANIKIO MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA MKULAZI YAJIVUNIA.
MKULAZI YAINGIZA RASMI BIDHAA YA SUKARI SOKONI.
Просмотров 6 тыс.11 месяцев назад
MKULAZI YAINGIZA RASMI BIDHAA YA SUKARI SOKONI.
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UZALISHAJI SUKARI KIWANDA CHA MKULAZI
Просмотров 36711 месяцев назад
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii inayoongozwa na Mhe. Fatma Toufiq imetoa pongezi kwa hatua iliyofikiwa na Kiwanda cha Mkulazi kuanza uzalishaji wa sukari. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Kampuni Hodhi ya Mkulazi kilichopo Mbigiri, Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro.
KAMPUNI HODHI YA MKULAZI KUSAMBAZA SUKARI HIVI KARIBUNI
Просмотров 363Год назад
KAMPUNI HODHI YA MKULAZI KUSAMBAZA SUKARI HIVI KARIBUNI
MKULAZI YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KILOSA
Просмотров 189Год назад
Kampuni Hodhi ya Mkulazi inayomiliki Kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro imetoa msaada kwa waathirika wa mafuriko katika Wilaya ya Kilosa.
MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA NSSF MWAMINI MALEMI ATEMBELEA MKULAZI
Просмотров 519Год назад
MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA NSSF MWAMINI MALEMI ATEMBELEA MKULAZI
MKULAZI YAFANIKIWA KATIKA MAJARIBIO YA UZALISHAJI WA SUKARI
Просмотров 1,4 тыс.Год назад
MKULAZI YAFANIKIWA KATIKA MAJARIBIO YA UZALISHAJI WA SUKARI
MKULAZI YAANZA MAJARIBIO YA MITAMBO KWA AJILI YA KUANZA UZALISHAJI WA SUKARI
Просмотров 10 тыс.Год назад
Kiwanda cha Sukari kilichopo Mbigiri Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro kimeanza kufanya majaribio ya mitambo mbalimbali ili kuanza kuzalisha sukari hivi karibuni. Kiwanda hiki kinatarajiwa kuzalisha Sukari ya Majumbani(Brown Sugar) na Sukari ya Viwandani( Refined Sugar). Ujenzi wa Kiwanda hiki unatekelezwa na Kampuni Hodhi ya Mkulazi inayomilikiwa kwa ubia kati ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Ja...
MWONEKANO WA KIWANDA CHA KIPYA CHA SUKARI - MKULAZI
Просмотров 2,8 тыс.Год назад
Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kipo kwenye hatua za mwisho za maandalizi ya uzalishaji wa sukari. Kiwanda hiki kinatarajiwa kuzalisha Sukari kwa matumizi ya Majumbani (Brown Sugar) na Sukari ya Viwandani (Refined Sugar). Kiwanda hiki kipo Kijiji cha Mbigiri Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro.
MKULAZI KUANZA UZALISHAJI WA SUKARI MWAKA HUU
Просмотров 8 тыс.Год назад
MKULAZI KUANZA UZALISHAJI WA SUKARI MWAKA HUU
TAZAMA HATUA ILIYOFIKIWA YA UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
TAZAMA HATUA ILIYOFIKIWA YA UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI
MKULAZI YAFANIKIWA KATIKA KILIMO CHA MIWA
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
MKULAZI YAFANIKIWA KATIKA KILIMO CHA MIWA
UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI WILAYA YA KILOSA MKOA WA MOROGORO UNAENDELEA....
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
UJENZI WA KIWANDA CHA SUKARI MBIGIRI WILAYA YA KILOSA MKOA WA MOROGORO UNAENDELEA....