MITIMINGI # 388 NDOTO ZA VIJANA WENGI NI NZURI SANA LKN Je, WANATIMIZA NDOTO ZAO?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Vijana wengi sana wanandoto nzuri na njema. Lkn leo swali ni kwamba wanatimiza ndoto zao? Maisha yao walipanga wanatamani wafanikiwe wawe fulani. Je ni wangapi ndoto zao hutimia? Tafakari Chukua Hatua - Changes is possible.
    SOMO: VIKWAZO VINAVYOKWAMISHA VIJANA WASIFIKIE NDOTO ZAO
    Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

Комментарии • 2