Alichokosea cassper ni kusema tu kua only has a tha car! Lakn katka kufight hiyo ni juu yake sie haituusu tunachojua kua kumbe sio pekeake ndo anamilik hyo ndinga bali wako weng Sema tu wengne awatak kujionyesha ndo kama huyo kijana! Na hata awe kanunuliwa na mama ake but ndo tayar anayo 😊😊😊😊😊😊
😂😂😂😂😂😂kaumbuka leoo,baada ya yeye kumuumbua YE kipindi kile baada ya YE kutamba kuwa yeye ndo msanii wa kwanza kuperfom kwenye Jukwaa linalo Hang Duniani,akati Casper alkua ashafanya hivo tayri so akamuumbua,nae leo ameumbuka,ofcoz Big S/O kwa Nyovest cuz ye kahustle ,huyu nae Mtoto wa Dady I'm goin I need to use your Car
Watoto wa kishua wana raha hawatoki jasho kutafuta wanapewa tu vipo sisi wa kimaskini umuombe ata mzazi milioni 1 mtaji atakufukuzaaaaaaa maneno kibao kisa milioni moja umeomba ya mtaji wa biashara kaaama ataki kukupa aseme lakini wakishua mtu anapewa milioni 140 kushooot video na anapewa
Mm Nampa Big up Nyovest Mana ndo kafait kupata hiyo mipesa!!!!
Mama yake Ana itwa mamkhize Wana pesa siyo zakawaida..... She won the award of business woman of the year
Siyo mwanasoka ...wanamiliki timu tu
Alichokosea cassper ni kusema tu kua only has a tha car! Lakn katka kufight hiyo ni juu yake sie haituusu tunachojua kua kumbe sio pekeake ndo anamilik hyo ndinga bali wako weng Sema tu wengne awatak kujionyesha ndo kama huyo kijana! Na hata awe kanunuliwa na mama ake but ndo tayar anayo 😊😊😊😊😊😊
mama yangu!!!!!..yaani life history ya huyo Andile imenipa presha.wacha niende nikunywe maji na ice nitulize roho
Hahahaaaa naona Casper xmas yake atailia bafuni kwa aibu,maana dogo kampiga na kitu kizito
Halafu ya huyo dogo ni kali kinomaaaa
DON'T BE A PROUD FOR YOUR OWN,THINK YOU ARE ONLY ONE.. NOP BRO .SOME KEEP A SECRET THEY DON'T WANNA SHOW OFF
caspar kapigwa nakitu kizito kichwani namtoto wakishua,
YEAH YU CANT COMPARE... I GOT MEGA RESPECT TO HUSTLERS MEEEEN!!!!!!!!!!!
Casper kapigwa na kitu kizito
😂😂😂😂😂😂kaumbuka leoo,baada ya yeye kumuumbua YE kipindi kile baada ya YE kutamba kuwa yeye ndo msanii wa kwanza kuperfom kwenye Jukwaa linalo Hang Duniani,akati Casper alkua ashafanya hivo tayri so akamuumbua,nae leo ameumbuka,ofcoz Big S/O kwa Nyovest cuz ye kahustle ,huyu nae Mtoto wa Dady I'm goin I need to use your Car
Cosper nyoverst 🔥🔥🔥🔥🔥
Ana ringia pesa za kula kwa shikamoo mama😂😂 tafta zako shenz
The hustler💪
Ndio wakome kujitamba maana wapo wtu napesa navitu vyao wametulia tu😄😄😄😄😄
Nilishamuonaga Walikuwa na Huyo artist wakuitwa madanone , Madanone anakaa sehemu moja Ya Kuitwa lamontvile huko Noma zinatumika Bunduki noma
Good
Hao ni watoto kwa South Africa ben Makati coach wa Cap tonw city
watu wajifunze tu kua wapole hata kama mungu amewabariki. sio kuongea sana
Wapo Durban Ni Noma wanapesa balaa, Huo mjengo WA Huyo mamkhize no Noma
Kumbe pesa za mama aaaaah asituchoshe bwana
😄😄
Shida ana miliki hamiliki
Hata zingekuwa za bibi ni kwamba ana hela, basi apambane na mama yake kama anajiona mwamba 😬😬😬😬😬😬😬
Namfagilia Daimond2 Nchi Yetu Uchumi Uko Chini Lakini Anamiliki Gali Lenye Samani Kubwa
Ukimiliki kitu usijisifu kua niwew pekee unacho sababu si kila anayenunua kitu Kama chakp atakuja kukutangazia kama amekinunua
Ndo Mana Kama huna pesa sema Sina pesa lkn usiseme hatuna pesa
It's her mom who is the first to buy the McLaren gt 🤣🤣🤣🤣 the kid has nothing flexing with mommies million dollar bill
Kumbe mkwanja wa maza nilidhani kahustle yeye kama yeye
South africa ndio nchi ya kishua africa ukiingia capetown unapishana na malamboghini rolls royce Bugatti km boda Boda ndio hio watu hawana
Na Baba Yake Huyo mpisane Ni Noma
🧔
Hahahaha
Mtoto wa mama
Kaka nakubal San unajuwa San kutangaza
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
Watoto wa kishua wana raha hawatoki jasho kutafuta wanapewa tu vipo sisi wa kimaskini umuombe ata mzazi milioni 1 mtaji atakufukuzaaaaaaa maneno kibao kisa milioni moja umeomba ya mtaji wa biashara kaaama ataki kukupa aseme lakini wakishua mtu anapewa milioni 140 kushooot video na anapewa
Ndio tutafute watoto waje kuzitumia
@@gamma9590 Hbr ndo iyo tupambne kak
🤣🤣