MBWADUKE: Duuh! Gamondi atoa ujumbe mzito..!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 73

  • @MagrethJoseph-u2b
    @MagrethJoseph-u2b 3 дня назад +7

    Kocha wetu tunae na tunatamba nae kazi kwao makolo kuteleza sio kua guka💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 дня назад

      He's leaving bro mark my words

    • @GabrielMagambo
      @GabrielMagambo 2 дня назад

      Makolo anahusika na nn hapa pambaneni na Hali yenu mbwa

  • @BakariHassan-b1k
    @BakariHassan-b1k 3 дня назад +13

    Wachezaji hawa hawa wame tupa Raha misimu mitatu kocha huyu huyu katupa makombe kibao leyo atokee mjinga mmojatu anze kumuona hafai apana

    • @DominicMakamba
      @DominicMakamba 2 дня назад +2

      Shida Siyo Makombe Shida ni Improvement, usiogope kusema ukweli fumbua jicho kwa mapana uone shida iko wap

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 2 дня назад +1

      Nasisi mashabiki uvumilivu hatuna kabisa hii inaleta shida kwenye soka letu

    • @DominicMakamba
      @DominicMakamba 2 дня назад +2

      @@Carolina-sm5zt Kocha hawezi kuhukumiwa kwa kufungwa Nooooo kuna vitu vingi vinaangaliwa sisi tunaona uwanjani tu lakini huenda kuna vingi nyuma ya pazia.

    • @VcentPaul
      @VcentPaul 2 дня назад +1

      Kama shida kocha? Kwa nini tuhame uwanja? Anaewaza kocha afukuzwe , Nadhani Yeye atupishe Kwa mda, maana Yeye si muelewa hakuna Tim isiyo fungwa , wapongeze na wapinzani wako Kwa gemepalan iliyo tupa changamoto

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 2 дня назад

      Hiyo raha ya misimu mitatu alikuta nabi ameweka misingi yake, gamondi ni kocha wa kawaida sana huwezi kumfananisha na nabi

  • @MatokeoJoseph.Fonkol
    @MatokeoJoseph.Fonkol 3 дня назад +4

    Kk mungu akupe afya tere wewe sio mna fki kama watu wengine

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k 3 дня назад +5

    Hao ni Simba wanajitekenya na kucheka wenyewe kwaio sisi tunamtoa gamondi kwa kufungwa match mbili au

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 3 дня назад +6

    Wanamuogopa gamond ndiyo sababu wanataka aondoke😂😂

    • @fatmakhalid1399
      @fatmakhalid1399 2 дня назад

      Hakika 💚💛💛😊

    • @duaelly2206
      @duaelly2206 2 дня назад

      Wamuogope Kwa kipi. Anafungwa tatu na timu iliyopanda juzi ndyo ya kwanza kutia aibu ya kuwa bingwa mtetezi

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 День назад

      ​@@duaelly2206wanaomuogopa wanajua we huwezi jua ,we kupigwa 5× mchezo

  • @godwingobe1887
    @godwingobe1887 2 дня назад +3

    Umesema ukwe kabisa , yanga tutulie ligi bado mbichi yanga ni nani hata asifungwe basi hakuna haja ya kuwa na timu shindani

  • @alsonaly23
    @alsonaly23 3 дня назад +3

    Hakika you are the best Broo Mbwaduke.
    I wish to be more than you, Asks God for me❤

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 2 дня назад

      Andika kiswahili utaeleweka

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 3 дня назад +4

    Gamond Yuko Yanga

    • @fatmakhalid1399
      @fatmakhalid1399 2 дня назад +2

      Tunae na tunatanba nae 💚💚💛💛💛

  • @salumhamdu6633
    @salumhamdu6633 2 дня назад +1

    Mimi ni simba supporter damdam ...lkn sitaki Mr.Para kuondoka this time for the club.❤😂🎉

  • @maryammselem5091
    @maryammselem5091 День назад

    Nakuelewa sana mwamba

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily 2 дня назад +4

    Viongozi waone huo ufafanuzi kisha wakae chini na wachezaji pamoja na benchi la ufundi kuona namna yakurudi kwenye ubora wetu

    • @fatmakhalid1399
      @fatmakhalid1399 2 дня назад +1

      Inshallah tutarudi tukiwa imara Zaid daima mbele nyuma mwikko💪💛💚💚💛

  • @NgunoSangano-w9s
    @NgunoSangano-w9s День назад

    Nakuelewaga Sana

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 День назад

    mwaduke chaneli yako sikuizi sauti inakua chini sana na tatizo sio simu maana chanel zingine sauti cler kabisa rekebisha upande wa sauti asante sana

  • @JonasAthanas-m5n
    @JonasAthanas-m5n День назад

    Wanamwogopa Gamond hao.makolo maana wanaona akiondoka watapata unafuu haondoki mtu sisi bado tunamkubali mbona Gadiola kafungwa mara nne amumwambii aondoke Man city

  • @gspofficial7977
    @gspofficial7977 2 дня назад

    kaka hupo sawa kabisa

  • @BakariHassan-b1k
    @BakariHassan-b1k 3 дня назад +1

    Viongozi wa yanga kuweni makini msije kukurupuka mkaja kuwapa faida maaduwi mka ivuruga timu yetu jamaniieee

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 дня назад

    Gamodi yupo sana tena sana mpaka msemeeee gamodiioiio

  • @BakariHassan-b1k
    @BakariHassan-b1k 3 дня назад +1

    tuache ujinga watanzania mbona hatuelimiki tume jawa na ushenzi uwongo na fitina na uzushi ndiyo mana hatu endelei kwa ujinga wa ujingani Yani kufungwa mara mbilitu shida na uwongo ume kuwa ndiyo chakula Cha asubuhi mchana na jioni uzushi hauna hata macho

    • @sylvestersoteli7997
      @sylvestersoteli7997 2 дня назад +1

      Ukiona maneno machafu hao ni wanao bet.Mikeka ni tatzosana.

  • @ZaydShafii-v2n
    @ZaydShafii-v2n 2 дня назад

    Viongozi ndo wana juwa zaidi, vp kuhusu kushinda kwa goli 1 1 tu maana yanga iki kutana na timu inekabatu bc kazi inakuwa ngumu

  • @richmkemia4822
    @richmkemia4822 2 дня назад

    Gamondi tutamkumbuka mmemchezea mbaya aya tuenndele

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 2 дня назад

    Simba wanapenda kueneza uongo maana ni asili ya umbea.

  • @GwamakaAmosi
    @GwamakaAmosi 2 дня назад

    Safii

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg 2 дня назад

    Kwa Vitalo ilifungwa moja bana

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 2 дня назад

    Wanao tupigia kelele mitandaoni kuhusu kuondoka kwa kocha wetu Gamondi ni Makolo. Sisi Wanayanga hakuna anayetaka Gamondi aondoke. Makolo wapambane na kujenga timu yao wasitake vurumai na sisi.

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 2 дня назад

    Minong'ono yote inatoka kwa makolo hakuna mwanayanga anayesema kama gamond anaondoka
    Tuliowafunga mara nne mfululu ndo haohao wamejivika kofia ya kuisemea yanga
    Nyambaaafu
    Bado yanga Bingwa utake isitake🤫🤫

  • @SaitotiLekinanga
    @SaitotiLekinanga 3 дня назад +1

    Ubaya ubwela imekamilika 😂😂😂

    • @khamisally9559
      @khamisally9559 3 дня назад +1

      Hamna lolote. Huu ujinga wenu sio muda mrefu itapotea.

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 2 дня назад

      Kwaio ubayaubaya umefanikiwa %88?

  • @Delickkihongo
    @Delickkihongo 3 дня назад

    Simba inataka tuwe kama wao hapo gamondi akiondooa yaliowakuta simba atatupitia na sisi
    Mtamaliza ma kocha
    Kuweni makeni

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo День назад

    HAKUNA TIMU ISIYOFUNGIKA.TIMU ISIYOMTAKA KOCHA,HUAMUA KUFUNGWA ILI KOCHA AONEKANE HAWEZI.WANAOKERWA NA YANGA ,KATU HAWANA MANENO MAZURI.VIONGOZI YANGA KUWENI MAKINI.ACHENI UTAMADUNI WA KUJIBIZANA NA WAPIGA DEBE.BE GENTLE.

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 2 дня назад

    😮Kolo wanapiga kelele utadhani ni wao waliofunga hali wamefingwa na Gamondi mara nne mfurulizo. Acheni ngebe za kumtoa kocha wetu na mashabiki kwenye mipango ya ubingwa NBC na Champions leaque. Ingekuwa kolo ndo mmshinda, ingekuwaje! Tuambieni, pilipili msiyoila inawawasha wapi tuwasaidie ...?

  • @HangiNgholo
    @HangiNgholo 2 дня назад

    Sisi watanzania tunaziua timu zetu wenyewe, angalia Madrid kapoteza mech mbili mfululizo tena mbele ya vitimu vidogovidogo tu but hajasimangwa kipumbavu kama kwetu hapa na jana karejea vzr mno. Wa tz hatupendi mpira tunapenda timu

    • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
      @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 2 дня назад

      Madrid kapigwa na baka 4-0...kwahyo baka ni timu ya kipumbavuu siooo😂😂😂😂

    • @HangiNgholo
      @HangiNgholo 2 дня назад

      @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT hujaelewa kaa kimya

  • @kibuzosenga1123
    @kibuzosenga1123 2 дня назад

    ukweli kuna watu wapuuzi sana yani kupoteza mechi mbili kocha anaondoka nani asie kosea

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k 3 дня назад +1

    Ubaya ubwela hawana la kuongea Sasa hivi wanaishiaa kufrahi kwa wenzao wakitufunga itabidi wajiulize sana mana tunawapiga Tena Cha tano

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 дня назад

      Hadi mpigwe fain za kiuchawi, mchome misindano wachezaji wenu, mtoe mibahasha kwa akina kanyoko wakatae penalties za wazi na kupindisha sheria bado mnajisifia nyambaaaf!!! Hapo ndipo Manara alisema mashabiki wa Yanga hata wakiwa PhD holders kwenye suala la Yanga wanakuwa hamnazo 😂😂😂

    • @fatmakhalid1399
      @fatmakhalid1399 2 дня назад

      ​Bendera kufata upepo ndo wewe unaongea kitu hunaushahidi

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 2 дня назад

      @@fatmakhalid1399 ushahidi ni zile fain za tff kwa kukwepa kupita magetini na kuruka ukuta so rekebisha kauli sisi sio bendera fuata upepo labda mkawabishie TFF ila zile milioni 13 mlitozwa za nini?

    • @MwanaBaloz-ij6es
      @MwanaBaloz-ij6es День назад

      Labda anao​@@fatmakhalid1399

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 дня назад

    Jamani mashabiki hebu tujaribu kuwa wavumilivu mechi mbili tu tumevurugwa

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 дня назад

    Chomeni na nyie hamnapesa za sindano chomeni na nyie mkolo tatizo timu masikini

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 2 дня назад

    Zilikuwa ni sindano Wala hawakuwa na ubora wowote

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 дня назад

    Gamond bado yupo sana

  • @johnjoseph9596
    @johnjoseph9596 2 дня назад

    Gamond hana shida, shida ipo kwenye matumizi ya bahasha na sindano.

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 2 дня назад

      Kuma la mama yako.

    • @ramadhanmapunda2062
      @ramadhanmapunda2062 2 дня назад

      Unamsifu mwenzio namama ako je? Umempa sifanayeye kupitia hiyo sifa uliyoitoa hapo acha makasikiko nabado hapo!!😮

    • @floramathayo-pj9ly
      @floramathayo-pj9ly 2 дня назад

      mama kafanya nini mnatukana wazazi wenu bure, mtafakar kwanza mama ako na ulipita wap kuingia tumbon mwa mama yako na kutoka, tuheshimuni au hukizaliwa wewe

  • @mumbamuganda6834
    @mumbamuganda6834 2 дня назад

    Ushindi wa yangu hadi kuwe na maelekezo kwa marefa,bila hayo yanga ni weupe kabisa hawana kitu,wawe wanachezeshwa na kayoko na kina mwinyichui

    • @fatmakhalid1399
      @fatmakhalid1399 2 дня назад

      Jifundishe kuandika kwanza😅😅🤪

    • @ramadhanmapunda2062
      @ramadhanmapunda2062 2 дня назад

      Kwani umeambiwa yeye mwandushi hadi ajifunze kuandika😂😂😂

  • @johnjoseph9596
    @johnjoseph9596 2 дня назад

    Gamond hana shida, shida ipo kwenye matumizi ya bahasha na sindano.