UJINGA BASI | Full Movie

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 337

  • @MohamedAbdirahman-qs4pl
    @MohamedAbdirahman-qs4pl 8 месяцев назад +18

    Wa Kwanzaa leo wakuu. Naombeni hata likes tano please !!

  • @sophiashamimah5895
    @sophiashamimah5895 8 месяцев назад +5

    Hii imeweza zaidi ya Sana duuh wnawake badilikeni jamani team strong hoiyeee❤

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 8 месяцев назад +5

    😂😂😂Bora nile sima dagaa ila series zako kaka najifunza mno hongera sana mdogo wngu ❤from kenya

  • @Seciliasteven
    @Seciliasteven 8 месяцев назад +2

    Adamu utakikuvumilia mwenzio auze kitumbua jamani nawapa pole wanawake wote hiii tabia mbovu nimecheka sana kuhusu kitumbua hongera kazi zuri sana tumepata funzo❤❤❤❤❤

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 месяцев назад

      Hahaha asante kwa kutazama jamani

    • @Seciliasteven
      @Seciliasteven 8 месяцев назад

      @@AdamLeoStudios Aya poa isiopoe toa nyingine ndugu yangu

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 8 месяцев назад +8

    kzi nzuri adam piga kzi kaka utafika mbali

  • @EvelyneNifasha-zc6jr
    @EvelyneNifasha-zc6jr 8 месяцев назад +3

    Jamen asanten kwamafunzo mazuri wanamwak ambao wanatabia hio mafunzo haya hapa kubadilika kabla halijakukuta kama huuu dada Adam ❤❤❤❤

  • @emillyajiambo4703
    @emillyajiambo4703 8 месяцев назад +4

    Asante kwa kazi nzuri filamu zako Adam zina mafunzo sana.

  • @jamillahassan3405
    @jamillahassan3405 8 месяцев назад +2

    Wanawake mpo👌hii message ifikie wanawake ambao wana hii tabia .na wajirekebishe haraka iwezakanavyo.ndipo siku nyingine ukione mume hasaidii mwanawe jua kuna jambo nyuma ya pazia .baba mtoto nakuunga mukono 🤝kwenye part yako ya mafunzo mazuri🙏 .hata mm nimejifunza kupitia hii moive👍❤❤❤❤keep going bro .much love❤❤ from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AsiaOmari-w8q
    @AsiaOmari-w8q 7 месяцев назад +1

    Masha allah kkngu move zako nzur za funza sana❤

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 8 месяцев назад +10

    Mimi sitaki like 👍 Ila like 👍 zangu zielekee brother Adam leo❤❤

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 8 месяцев назад +2

    Mitangazo kibao mpk inakera....sema movie nzuri❤❤❤

  • @Marim-sj7oi
    @Marim-sj7oi 8 месяцев назад +3

    Nakubali kazi zako kka big up 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariamMwachiberya
    @MariamMwachiberya 8 месяцев назад +2

    Nmechelewa ila nimefka,,vizur sana Adam 🎉🎉

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 8 месяцев назад +3

    Adam umetisha kaka much love you ❤❤❤❤😂😂😂

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 8 месяцев назад +5

    Twendee kazi.......🎬

  • @Salama-df2uu
    @Salama-df2uu 8 месяцев назад +2

    Kazi nzuri❤❤❤

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 8 месяцев назад +2

    Big up sana brother Adam haujawai niangusha ata siku moja ❤❤❤

  • @DJGIDS254
    @DJGIDS254 8 месяцев назад +3

    ❤❤👉🇰🇪 vizuri sana ADAM LEO😊

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 8 месяцев назад +3

    😂😂 Adamu bhana kumbe unafanyiwa besdei Sasa kimekuramba kazi nzuri🎉

  • @MuntaMudeer
    @MuntaMudeer 8 месяцев назад +1

    Mashallah kazi. Upo vizur. Mungu zaidi kukupandisha. Mbele Zaid ❤❤

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 8 месяцев назад +6

    Watu wanao taka like 👍 ni ujinga tu😂😂😂 series nzuri

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 месяцев назад +1

      Shukrani

    • @Naahlyan
      @Naahlyan 8 месяцев назад

      Ebu ebuwaulize zinakazi gani miwananikera ukiingia kwenye you tube zakikolea au wazungu movie zao ukuti kwenye comment mtu kaomba like

  • @IRENEMENGI
    @IRENEMENGI 8 месяцев назад +4

    Top 10😊

  • @MwasitiMsasu
    @MwasitiMsasu 8 месяцев назад +3

    O😮 wow like this ❤❤

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 8 месяцев назад +3

    Wanawake km hao wapo sana adi wakipigwa na kitu kizito ndio wanakumbuka kumbe walikua gizani 😂😂😂😂jmn wanawake tuamke Kuna muda mwànaume hakupendi ila anapenda kitelemko unachompa Nb Kazi nzuri sn bro Adam

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 3 месяца назад +1

    Adam apo umechemsha kaka unapenda bya bure fanya kazi 😊😊😊

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  3 месяца назад

      Ni kwelii aisee! Kazi muhimu🙏🙏

  • @nadianyamuraka
    @nadianyamuraka 8 месяцев назад +2

    Courage Adam mungu akujalie ufike mbali sana

  • @mathiasderick7995
    @mathiasderick7995 8 месяцев назад +3

    Adam hii move kali sana

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 месяцев назад +1

    Kazi nzur maashallah ❤️🥰

  • @SalmaSalma-e8g4k
    @SalmaSalma-e8g4k 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 Adam movie tamusana

  • @SarahKawala-g1j
    @SarahKawala-g1j 8 месяцев назад +3

    Adam kibenteni😂😂😂...wanawake wa ivi muache hii tabia ..wooooiii

  • @MwasitiLota
    @MwasitiLota 7 месяцев назад +1

    Adamu ni mwamba ❤❤❤

  • @apaelmbise635
    @apaelmbise635 8 месяцев назад +4

    🔥🔥🔥

  • @khalidimzamiru9406
    @khalidimzamiru9406 8 месяцев назад +2

    Adam leo hanag makuu anajib coment ya kila mtu mungu akubarik san kk

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 месяцев назад

      Shukrani endelea kuwa hapa tunathamini uwepo wako

  • @ShukuruMaulice
    @ShukuruMaulice 8 месяцев назад +2

    Sijachelewa bado nip makini na kazi yako adam love kutoka Zambia

  • @JanetSidi-g7f
    @JanetSidi-g7f 7 месяцев назад +1

    Adam hogera kwa kazi nzuri saana. ak wani Bamba💋😂

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 8 месяцев назад +2

    Kazi nzuri sana kamanda zangu

  • @nadianyamuraka
    @nadianyamuraka 8 месяцев назад +2

    Good job adam

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 7 месяцев назад +1

    Mashaulllah 🥰 kazi nzuri sana l say 😂😂😂😂

  • @VeronicaKalinga-r9d
    @VeronicaKalinga-r9d 8 месяцев назад +1

    kaz nzur sana 🎉🎉❤

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 7 месяцев назад +1

    Wanawake shikamoo. Wanaume poleni sana kwa haya yanao kukuteni.

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 8 месяцев назад +3

    sijamaliza kuangalia ila single mother tusemeni Alihamdhulilah for everything🙏🏻 😍

  • @23Maryamu
    @23Maryamu 7 месяцев назад +1

    Kweli kuna wanawake wanatabia kama hii😢 Daah me siwezi kufanya ujinga kumpa pesa mwanaume eti niishi nae😏😏😏😏 daah Ila hii nifunzo nzuli asante Adamu❤❤

  • @herimornchriston6083
    @herimornchriston6083 7 месяцев назад +1

    kaka kazi nzuri sana !!! sabi nayo vipi manake ile movie ilikuwa unyama sana kaka !!! kama ukiweka na muendelezo itakua unyama sana

  • @Ceciliamphande
    @Ceciliamphande 7 месяцев назад +1

    Kkk Adam nae unatengemea mwanamke kkkkkk ndipo fuzo kubwa saaan hat wanaume kwa sasa wapo ambawo wanafanyaga ivo ❤kutoka cape town

  • @elysefuraha4588
    @elysefuraha4588 8 месяцев назад +2

    Hatari san nikweli Hawa wanawake ambao wamezaliwa 2005 paka 2000 Nishida 😢😢 ❤❤from Burundi

  • @juddykilungya9278
    @juddykilungya9278 8 месяцев назад +1

    Ila uko vizuri Adam tunaomba ingine movie zako wazimu

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 8 месяцев назад +2

    Kazi nzuri sana

  • @SarhKinia
    @SarhKinia 8 месяцев назад +3

    Like yangu nkwa Adam leo

  • @akimanakathykelly1673
    @akimanakathykelly1673 7 месяцев назад +2

    Adam please tupe part 3 ya film Aibu yangu

  • @سعيدةأثيوبيا
    @سعيدةأثيوبيا 7 месяцев назад

    Maua yako kaka Adam🎉🎉🎉🎉🎉

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 7 месяцев назад +1

    Adam fanya kazi bana. Eti vitumbuwa gani 😁😁

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 7 месяцев назад +2

    We mama hovyo iiiiii

  • @HappyMsele-n8r
    @HappyMsele-n8r 3 месяца назад +1

    Napenda sana kufatilia move zako

  • @ChristopherLucky-m5h
    @ChristopherLucky-m5h 8 месяцев назад +2

    Love from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇿🇦

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 8 месяцев назад +1

    Nimechelewa jaman..wacha niangalia sasa❤

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y 3 месяца назад +1

    Big up kaka mafunzo mazuri sana ila kuna watu hufanyia wenzao hivyo jamani mtoto kitega uchumi 😂😂😂❤❤❤❤❤sana

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 Adam wewe kiboko yao.Eti auna mbinu😂😂😂😂❤❤❤❤❤ kazi nzuri

  • @MozaFoum-yg9he
    @MozaFoum-yg9he 8 месяцев назад +2

    Hafai kuigwa ktk jamii .

  • @Maureenjanga
    @Maureenjanga 7 месяцев назад +2

    Kipindi hiki kina mafunzo mazuri sana nimeipenda

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 8 месяцев назад +2

    Sema adam waigizaji wako wengi wanapaka mkorogo sana, haswa wadada jamani

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 месяцев назад

      Sasa niwazuie?

    • @mamakenajma3257
      @mamakenajma3257 8 месяцев назад

      😂😂😂watu wengine 😂😂😂​@@AdamLeoStudios

  • @ارينكيني
    @ارينكيني 7 месяцев назад +2

    Adam Asante kwa mafunzo

  • @JudithLewis-lc7ql
    @JudithLewis-lc7ql 8 месяцев назад +2

    Utafika mbali tu kaka angu

  • @DottoZawadi
    @DottoZawadi 7 месяцев назад +3

    😂😂 Adam jinga kweli eti mwambie mtoto wako ana pepopunda hahaha

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  7 месяцев назад

      🤣🤣jamani sasa nimekosea nini

  • @yonzyonz7343
    @yonzyonz7343 7 месяцев назад

    Adam ww n kiboko yao❤❤❤❤❤

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 8 месяцев назад +1

    good movie

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 8 месяцев назад +3

    yani kaka adam natamani kila wiki utoe muvi mpya japo najua haiwezekani muvi zako zinafunza jamii

  • @Sophieshaliz69
    @Sophieshaliz69 8 месяцев назад +6

    Wa nne kutoka kenya lakini pia nyie hamfanyi vyema views ziko karibu mia ila likes ni kidogo ebu kuweni serious jameni😢😢

  • @SinaiSlay
    @SinaiSlay 8 месяцев назад

    Nice move👌👌👌

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 8 месяцев назад +3

    Daaah huyo mwanamke mjinga kweli😂😂😂

  • @MamaMwanakame
    @MamaMwanakame 6 месяцев назад +1

    Adam wewe huna lakini mwenzako hawenanzo. Movie nzrv sana inamafunzo

  • @HijraDuma
    @HijraDuma 8 месяцев назад +2

    Mungu katuretea kanumba mwengineq

  • @SALIMHINZANO-f7m
    @SALIMHINZANO-f7m 8 месяцев назад +5

    Oyaaa nimefika wakwanza leo huwa mwafanyaje

  • @MwanamsRama
    @MwanamsRama 5 месяцев назад +1

    Mjiga sana huyu mwanamke

  • @AminaMjema-vf5nt
    @AminaMjema-vf5nt 8 месяцев назад +2

    Kwasababu ni igizo tu ila mimi maishani mwangu kulea mtu wa ivyo haipo mungu anilinde

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤🎉🎉

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan 7 месяцев назад +1

    Unakaa adam unasubil jasho la mwanaume mwenzio 😮polee

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 8 месяцев назад +3

    Hahahaahahahah, namimi leo nipo kwenye mia bora

  • @ondiek7698
    @ondiek7698 8 месяцев назад +3

    Yaani hapa nacheka yangu yote eti huyu mwanamka kazaliwa lini😢😢😢😢😢

  • @HawaRaphael
    @HawaRaphael 8 месяцев назад +1

    😂😂Adam 🙌

  • @jatunemafoto
    @jatunemafoto 8 месяцев назад +1

    Sio powa😂😂 mtaji huo😮

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo Месяц назад +1

    Jamani adam kumbe unalelewa

  • @FakhiChapozo
    @FakhiChapozo 7 месяцев назад

    Daaah uhalisia kabisaa huku mtaani mumeweza mnooo

  • @LilianIngasia
    @LilianIngasia 5 месяцев назад +1

    Daa makubwa haya jamani 😢😢💔

  • @jofreymzungu2874
    @jofreymzungu2874 8 месяцев назад +1

    kaz nzur kak 👍

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo Месяц назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZainabJamal-gc9kd
    @ZainabJamal-gc9kd 8 месяцев назад +1

  • @marianakamb-fg7sk
    @marianakamb-fg7sk 8 месяцев назад +1

    Mnaoombaga likes nyote hamna nyota 😂😂😂❤

  • @AminaMjeni-c7c
    @AminaMjeni-c7c 8 месяцев назад +1

    Adam mmm 😂😂😂❤🎉😅😅

  • @موسيمحمد-ه5ظ1ف
    @موسيمحمد-ه5ظ1ف 8 месяцев назад +3

    Nimecheka hapo kwa kuwa mtoto ndo kitega uchumi..ki mimi binafsi sijazalishwa lkn siwezi acha mtoto wangu kwa bbake kabisaa ataa ikiwa hanihudumiii...kihand bag changu😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  8 месяцев назад

      Hahaha jamani nimecheka sana😂😂

  • @tobiaselwak
    @tobiaselwak 7 месяцев назад +1

    Wow I went though the same pain but for me I chose to take my kid he was age of 1/years

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  7 месяцев назад

      Pole God bless you and ur son🙏

    • @tobiaselwak
      @tobiaselwak 7 месяцев назад +1

      @@AdamLeoStudios am really excited with the work u do to teach us all the time God bless you and protect you always

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  7 месяцев назад

      @tobiaselwak amen bro🙏🙏

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 8 месяцев назад +2

    😂😂😂wanamke mpumbavu nijikutee nafunga janadume nyoooo😂😂😂😂adamu dhambi jamani 😂😂

  • @margaretandei6186
    @margaretandei6186 8 месяцев назад +1

    ❤❤❤

  • @AbdulyBendela
    @AbdulyBendela 7 месяцев назад +1

    👍🤝

  • @MohammedHarubu
    @MohammedHarubu 7 месяцев назад

    Nimecheka sana

  • @RukiaMbarak-s2k
    @RukiaMbarak-s2k 7 месяцев назад +2

    Wanawake hao wapo na waume hao pia wapo na ndio wanao sababisha hayo ni wakome wenyenye menendo hiyo

  • @ayshanani
    @ayshanani 8 месяцев назад +1

    Hongereni filamu poa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 7 месяцев назад +1

    Broo adam umekuwa kibenten kwer😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MwadawaMayengo
    @MwadawaMayengo Месяц назад +1

    Kazinzuri

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso 6 месяцев назад +1

    Hahahah Adam usiwe ivyo Bana usikubali mwanamke akulee

  • @chanyhakizimana8324
    @chanyhakizimana8324 8 месяцев назад +1

    Eti kakoge nikukande😂😂unamkandaje nanjaa😮😮