jinsi ya kumfanya akupende | jinsi ya kurudisha upendo | Mrudishe aliyekuacha

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 116

  • @eylahash541
    @eylahash541 3 года назад +26

    Kwa kweli asante dada nimejifunza kitu...nilimkosea mpenz wangu amenikasirikia nilitumia njia nyingi kumsihi tuyamalize Lkn ckufanikiwa mwisho alipoona kero akani block kote..kwa jinsi nimefatilia videos zako nimejikuta na relax na kufikiria mazuri juu yake na pamoja na ugomvi wote kuna kitu ndani yangu kinaniambia anarudi kwangu ...asante sana nimejifunza kitu

  • @lailathhussein4975
    @lailathhussein4975 2 года назад +4

    Mimi anaelekea kurud alikuw ukimtumia sms akujib au anaidharau yaan sasa hv anavyonichatish mpak saa nane wakat haikuw kawaid yak yaan mpk nashangaa jmn naomba tu arudi hata leo maan huwa namis momet zetu z zaman 😘😘

  • @MwendaNgao-uo5fw
    @MwendaNgao-uo5fw Год назад +1

    Nimekuelewa vizuri sana dada yani nayafanyia kazi najihisi kama nipo ulimwengu mwingine mpya🙏Mungu akibariki sana

  • @DenisJafarani
    @DenisJafarani 11 дней назад

    Duhhhhh Asante dada m Bado namsubiria anakuja kufa na kuzikana make nampenda sana mkewangu

  • @عليالوهيبي-ث5ذ
    @عليالوهيبي-ث5ذ 3 года назад +23

    Jamni Vipenzi Wa Mimi Mnao Teseka Namapenzi 😂Fanyeni Ile Mbinu Yakuandika Kitu Ukipendacho Afu Ulale Nacho Chini Yamto Wallahi Mtakuja Kunishukuru✌✌Lakini Mimi Tena Kumkosea Baby Mpka Kwenye Ndoa😢

  • @hawahawa4976
    @hawahawa4976 3 года назад +5

    Mashaa Allah my Allah akuzidishie maneno yako yamenipa faraja sana pia yameni jaza Iman upyaa 😍❤️❤️❤️❤️

  • @upendokasagala4035
    @upendokasagala4035 3 года назад +3

    Asante Sana dada yaan umenipa nguvu ya kusonga mbele

  • @raherimange-ck1hc
    @raherimange-ck1hc Год назад

    Asante dada kwa ushaur Yani umenigusa utafikili uko moyon mwang je akiwa anakuambia et una matatizo anakuwa anamaa Isha hanihiyaji tena au vp

  • @dorisbosibori8126
    @dorisbosibori8126 2 года назад +1

    Thanks so mochi my sister ushauri wamabenzi

  • @Scopion_tz.4887
    @Scopion_tz.4887 3 года назад +4

    big up xana nimeinjoy moo piah nimejifunza ki2

  • @SaraLely
    @SaraLely Год назад

    Jaman asante dada lakin je pale anakwambia nmepata mke mwingine na wewe bd unampenda sana na unataman uwe nae apo inakuaje🎉

  • @fatunduwimana6262
    @fatunduwimana6262 3 года назад +2

    Asante kwaushauri wako nina

  • @umirishasmgeni6360
    @umirishasmgeni6360 Год назад

    Dada mm alkua atak kuniona kabisa Yn mm ananiona kma karagos ajbu txt sm apokei ananjbu nyodo namuomba kuonana atak kbsa ad nlimuambia nanyege nmezidiwa kagoma lkn now nkieka stutus anarepry lkn mm czfungui naderete juu kwajuu mna ajapga cm bdo ila mpk leo karepry txt yngu stutus yngu nlkua naimba kaandka et unamuimbia nani!😳😭

  • @Kiyara0000
    @Kiyara0000 5 месяцев назад

    Thanks dear nakumanya vizuri saana❤

  • @fatunduwimana6262
    @fatunduwimana6262 3 года назад +1

    Nami nitafata ushauri wako nione, Nina Imani atanitowa kwenye broc

  • @jenifaamosi7454
    @jenifaamosi7454 4 года назад +1

    Nmepata ki2 kzr sanaa dia natamn 2wasiliane zaid

  • @frankanatory6801
    @frankanatory6801 2 года назад +1

    Asantee sana asee daaaaah ☔

  • @mariamkitina196
    @mariamkitina196 2 года назад

    Wallah nina kwanzia leo naanza kujiamini sinto umia tena leo moyo wangu umekuwa na amani kbs ata akienda jumla atajuwa yy

  • @hamisamiraji9974
    @hamisamiraji9974 4 года назад +3

    Kwl dada siwez kaa bila kusikia saut yake silali bila kusikia sauti yake na angaika kwl hapokei cm yang hajib txt zang najikuta nalia 2 najalib kila njia ina shindikana ety najalib kila njia nifanyaje? Naogopa akini acha ety

  • @fatumakitenge9150
    @fatumakitenge9150 3 года назад +2

    Umenisaidia mno asante

  • @hassanbululiga8745
    @hassanbululiga8745 3 года назад +2

    nmekuelewa sana dada angu

  • @fatumaurembo6089
    @fatumaurembo6089 3 года назад +2

    Ntajaribu mana ni situation nliyokuwa nayo .

  • @عائشهعائشه-ض6د
    @عائشهعائشه-ض6د Год назад

    Asante kwaushahuli kbs dada

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 7 месяцев назад

    Asante dada nimekuelewa sana tu

  • @Fatma-qb7ve
    @Fatma-qb7ve Год назад

    Habar yko sister mm Nina shida nimegombana na mchumba Wang nlimkosea sana nlikua na chat na marafiki zangu lkn yalikua Ni maongez ya Mapenz lkn mm ckumtamkia km nampenda lkn mchumba Wang kakasirika sana yaan Hadi kasitisha ndoa lkn mm bdo namuhitaji sana yaan nampenda sanaaa nateseka sana please naomba unisaidie nataman tuoane mm bdo nampenda nifanye ktu gani Ili anielewe tena

    • @Fatma-qb7ve
      @Fatma-qb7ve Год назад

      Please naomba unisaidie nataman arudishi Iman yake kwake

  • @amenaamena8873
    @amenaamena8873 4 года назад +4

    Kweli kabisa

  • @yusraanaph1708
    @yusraanaph1708 3 года назад +1

    Habar dada nimesikiliza vizur sana shida inakuja pale ndo ushaolewa naye halaf ghafla kabadilika anakuchukia hakupigii cm yanii lamb yanabadilka hadi raha ya ndoa huonii

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  3 года назад +5

      Ndoa si kikwazo, hii inafanyakazi kwa wote.. punguza kumjali,kumhangaikia Sana, kumfatilia, jipende be busy na mambo yako halafu usifikirie aliyofanya yaliyopita THINK POSITIVE

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  3 года назад +1

      Nitafute 0656731892

    • @lailathhussein4975
      @lailathhussein4975 2 года назад +1

      Mimi wang alikuw kama zamani yaan saiz na deal na maish yang nip napamban kutafut pes wala hata simjali nishamsahau

    • @noahlameck1564
      @noahlameck1564 Год назад +1

      @@Ninamagnet hakika nimependa ushauri wako😘
      Tafadhali tunaweza kuwa marafiki kama hutajali

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 3 года назад +2

    Nashukuru sana

  • @felistergodbless7508
    @felistergodbless7508 3 года назад +1

    Unajua kweli big up

  • @petrotanzania1877
    @petrotanzania1877 3 года назад +1

    Nimekuelewa sana

  • @shadyabdallah3321
    @shadyabdallah3321 2 года назад

    Nakushuru dda lkn mbna hutowi vdeo mpya na skuon mitandaon mda au umebadilisha akaunt mmy

  • @pendomfinanga3744
    @pendomfinanga3744 4 года назад +2

    Asante

  • @NathanielRajab
    @NathanielRajab 26 дней назад

    Kweli

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 2 года назад

    Yaan ni shida Ila ninamuombea pia.

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 3 года назад +3

    Nimegombana na bby wangu toka mwaka jana mwenzi wa 11mpk leo yaan moyo wangu bado unampenda ila nimeamua kufuta kila kitu chake mpk sasa nainjoy ila najua atanifata tuu ata miaka ipite 😂

    • @neemabisungwa2608
      @neemabisungwa2608 6 месяцев назад

      Asante kwa ushauri , lakini nimeshatuma msg nyingi kwake

  • @dusabejoymton4364
    @dusabejoymton4364 2 года назад

    Sis kama je kama mtu mnaugomvi ila mnakutana kazn au kanisan je unafanyaje

  • @yrncactus
    @yrncactus 4 года назад +1

    Ilove your words

  • @ratifaabdul4884
    @ratifaabdul4884 2 года назад +1

    Samahani naomba namba ako sster

  • @mussakitundu194
    @mussakitundu194 Год назад

    Daaaah unajua sana Mom big up sanaaa😘😘😘😘

  • @louisemashinde9914
    @louisemashinde9914 3 года назад

    Asante dada nimekuelewa

  • @IbrahimMollel-q5y
    @IbrahimMollel-q5y 9 месяцев назад

    Dada kweli kabisa

  • @barakahosea4569
    @barakahosea4569 4 года назад +6

    nakubal sana dada angu

  • @RachelKulanga
    @RachelKulanga 3 месяца назад

    unatumia na pafyumu au kiaje

  • @sunnypro9146
    @sunnypro9146 4 года назад +5

    Live nimekuelew xan

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  4 года назад

      Asante

    • @lamadinews3124
      @lamadinews3124 2 года назад

      Habari Dada nimesikiliza nimekuelewa vizuri lakini nahitaji maongezi ya private dia

  • @Fimacute
    @Fimacute 4 месяца назад

    Naomba ushahuri

  • @munauwwarbashiru8176
    @munauwwarbashiru8176 3 года назад +3

    sis,kma tumeachna af ana mtu mwngn now

  • @SaraLely
    @SaraLely Год назад

    Naomba namba ako dada tafadhali

  • @vailethcharles9004
    @vailethcharles9004 2 года назад

    Naomba nomba ako plz

  • @princeoswald5777
    @princeoswald5777 Год назад

    Naomba namba yako

  • @Fimacute
    @Fimacute 4 месяца назад

    Mimi hataki kunirudiya ameniacha sijuwi nifanye nini jamani nampenda San naumiya san

  • @AmisiEmmevideo
    @AmisiEmmevideo 2 года назад +3

    Leo ♌️ nilimukuta mupezi wangu ana mupenzi mwegine

  • @waterdtzchampion4637
    @waterdtzchampion4637 2 года назад

    Ahassnte sana nimefraishwa na hii mada

  • @mariamahmad1716
    @mariamahmad1716 3 года назад +1

    Asante dada kwa somo zuri🥰🥰

  • @bizanunikassim2408
    @bizanunikassim2408 3 года назад

    Naomb namb Yako man wakwang kashaazisha mausiano mpy

  • @sophzuber1676
    @sophzuber1676 3 года назад

    Asnt mpenx

  • @shedy_marie
    @shedy_marie 2 года назад

    Bwana angu anarud rudi jmn 🤣🤣🤣lkn sasa anasema hataoa ila tuwe marafik

  • @yonajemsi-j6n
    @yonajemsi-j6n 4 месяца назад

    kwel dada

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 Год назад

    Asant

  • @geofkajo6612
    @geofkajo6612 4 года назад

    Tuko pamoja sana na soma hili

  • @NASSANI-b1w
    @NASSANI-b1w 3 месяца назад

    Dada je mim ntafanyaje wakati mim ndio nilisababisha mpaka tuka achana

  • @mohamedshija7368
    @mohamedshija7368 3 года назад

    Asante🙏

  • @furahakonde6259
    @furahakonde6259 Год назад

    Kweli hiyo

  • @stellamartin2556
    @stellamartin2556 2 года назад

    Dear dada i need you private i have a lot to tell you, na nataka unisadie

  • @njinjitv9350
    @njinjitv9350 4 года назад +4

    ❣️

  • @joycedaniel3817
    @joycedaniel3817 4 года назад +2

    Nakupenda sana Nina

  • @fatmasalum8512
    @fatmasalum8512 3 года назад

    mmh nimeelewa

  • @godfreymaximillian2769
    @godfreymaximillian2769 2 года назад

    Yan aya mapenzi basi 2

    • @JescaRabson
      @JescaRabson 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @matha7750
    @matha7750 3 года назад +1

    Mm nmekaa kmy wk 2 then nkamtafuta akarespond akionyesha he missed me so much but from now I just thinking will he continues txting me!? But he love me 💪💪💪💪

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 7 месяцев назад

    Kweli kabisa kama mtu anakupenda atajitafuta tu

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 2 года назад +2

    Jitahidi kuongea upesiupesi.tunaenda kwa muda

  • @revokatusleonald4657
    @revokatusleonald4657 3 года назад

    Kwel asee

  • @dorisbosibori8126
    @dorisbosibori8126 2 года назад

    👍🍹👍

  • @bellepie3503
    @bellepie3503 3 года назад +1

    ❤️

  • @tonymsemwa4394
    @tonymsemwa4394 3 года назад

    Mdamwingi unatumia kupigaaaa tustor tunatumia bando mue

  • @fatunduwimana6262
    @fatunduwimana6262 3 года назад

    Nazani atamimi atanifunguwa katika simu yake

  • @geofkajo6612
    @geofkajo6612 4 года назад

    Ciao!

  • @hamisamiraji9974
    @hamisamiraji9974 4 года назад +1

    Natumia nguvu kumludish tena kama zamn

  • @jackieesuperstar8432
    @jackieesuperstar8432 3 года назад

    💝💝🙏🙏 luv

  • @sherrysule5998
    @sherrysule5998 4 года назад +1

    Nimekukubali miaka mia 6

  • @AmisiEmmevideo
    @AmisiEmmevideo 2 года назад

    Poa

  • @froridaanthony3278
    @froridaanthony3278 3 года назад

    punguza kuremba xauti

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  3 года назад

      Mh! Siirembi labda nijitahidi kuongea harakaharaka.. asante kwa ushauri

    • @froridaanthony3278
      @froridaanthony3278 3 года назад

      @@Ninamagnet poa

  • @annalyimo8462
    @annalyimo8462 2 года назад

    Nimekuelewa sanaa

  • @geofkajo6612
    @geofkajo6612 4 года назад +1

    Grazie

  • @dorisilukinja4507
    @dorisilukinja4507 2 года назад

    Poa

  • @QueenShamil
    @QueenShamil 6 месяцев назад

    Poa