Asanteni Sana; leo nimebahatika kweli , kupata kipindi kinacho maneno yanao thibitisha au ya leta maswala katika Ndoa. Tume uliza tuka jadiliana na bado tumepotea. Hivi leo Ndoa hazidumu, na watu wapotea njia, kwa hivyo ni shukrani Kubwa vile mume yaleta haya maneno kwenye TV.
Kumbe analake yule dume aliolishwa samaki ni kipande la mtu kamtamani ba mume ni birkimo maskini ikabidi afunge naye ndoa na mwenye katupwa njeenjee jamani tahadar kabla mauti wanaume tujilinde
😂😂😂😂 mkalla umenikosha Leo,hii mada hii Ndio niliokua naisubiri sana Bo mswafari,Kanze somo yangu na Lulu Leo mwaongelea mada ingine tamu sana juu hayo mnayoyaongea Ndio tunayopitia kwenye ndoa zetu shukrani sana mzidi kutuelimisha.
Bi Msafari ni kweli kabisa hio mambo ya Uma kuna mmoja alimfanyia hivo mmewe akapigwa kofi kali saana na veli lake pale pale kwa hadhira. Kiukweli haileti shangwe
Show nzuri kabisa.... Bi msafari na mkalla asanteni kwa mawaidha yenu mazuri...
Asanteni Sana; leo nimebahatika kweli , kupata kipindi kinacho maneno yanao thibitisha au ya leta maswala katika Ndoa. Tume uliza tuka jadiliana na bado tumepotea. Hivi leo Ndoa hazidumu, na watu wapotea njia, kwa hivyo ni shukrani Kubwa vile mume yaleta haya maneno kwenye TV.
Hii Mada ni tamu sana Asante kunielemisha Bi.mswafari Na Mkala
Bi msafari umesema kweli wazazi hujinyima sana
The mapacha's nawapenda good job! Kanze I miss your jokes, kupigana kwa show the show is always awesome full of comedy courtesy of you!
Salaam kwa wote naomba muendele program yenu ni nzuri mi mbongo naishi Ghana accra
Kumbe analake yule dume aliolishwa samaki ni kipande la mtu kamtamani ba mume ni birkimo maskini ikabidi afunge naye ndoa na mwenye katupwa njeenjee jamani tahadar kabla mauti wanaume tujilinde
great show
😂😂😂😂 mkalla umenikosha Leo,hii mada hii Ndio niliokua naisubiri sana Bo mswafari,Kanze somo yangu na Lulu Leo mwaongelea mada ingine tamu sana juu hayo mnayoyaongea Ndio tunayopitia kwenye ndoa zetu shukrani sana mzidi kutuelimisha.
Mkalla wahenga husema ng'ombe Mzee hazeeki maini 😂😂😂😂
Bi Msafari ni kweli kabisa hio mambo ya Uma kuna mmoja alimfanyia hivo mmewe akapigwa kofi kali saana na veli lake pale pale kwa hadhira. Kiukweli haileti shangwe
hehehehehe..mkala leo kwisha..
😂😂😂 uma
Hata wazazi wanachangia tena wazazi ndo huwa wanatuongiza watt wao kwenye moto kabisa
hahaha hao paka wazee wamezidi fb
Ha ha ha mukala