Bi Msafwari: Je,Wapenzi wanajitolea kwa dhati?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 13

  • @sallykanze
    @sallykanze 8 лет назад

    Shukrani sana Bi mswafari ,Kanze somo yangu na mkalla,hapa mumeongea mengi ambayo mm mwenyewe binafsi huyapitia, Kama swali unamuliiza mumeo alafu anakujibu vyovyote anavyotaka kwa kweli hua inauma sana.

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 8 лет назад

    Kanze my favourite you always make your show comes to life, mkalla and bi mswafari kudos! Laziness kama hauna pesa wewe unaonekana burden, selfishness too!

    • @zuhrahalima5987
      @zuhrahalima5987 8 лет назад

      you always say your show cames to true every week no other thing to comment on.

    • @yvonne4244
      @yvonne4244 6 лет назад

      Rahaa mtu hujipa mwenyewe ,,,ukigoja kupewa ata goja sana

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 8 лет назад +1

    life poa tenda wema tengemea malipo kutoka kwa mwenyezi Mungu ukiingia kwa ndoa na tumaini za umepata perfect woman /man Shauri yako nipoa kuingia kwa ndoa ama mapenzi ukimtengemea Mungu pekee akupe nguvu na uvumilifu wanawake wanaume wamegeuka kabisa sitetei mtu mimi Tamaa ikona kila mtu wenye wametulia ni bahati uwapate

  • @rosielusa2667
    @rosielusa2667 8 лет назад

    Lulu ako wapi leo jameni? Show powa lkn. ahsanteni

  • @mohamednasser2085
    @mohamednasser2085 7 лет назад

    Marriage is comfortable life and sweet

  • @babykwambs
    @babykwambs 7 лет назад

    Raja jipe mwenyewe!!

  • @miriamgodblessuwanderi2940
    @miriamgodblessuwanderi2940 8 лет назад

    kuna mahali mmeniguza jamani, coz mm Nathan nnaye mtoto na mali kuoleka ni mashaka

  • @rosielusa2667
    @rosielusa2667 8 лет назад

    Kanze una bonge la pointi! yaaay tujue hata mabibi za ma MCA.

  • @vivianjohn2430
    @vivianjohn2430 8 лет назад

    hahahah show iko poa xana

  • @rosielusa2667
    @rosielusa2667 8 лет назад

    yafaa* tujue.
    haya raha mpe mtu. usijipe, lol!