Hali ngumu ya maisha yawalazimu wakenya wengi kukaa njaa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 76

  • @Redcatek
    @Redcatek 9 дней назад +18

    Woiyeee! Haki ya Mungu kaongo ameharibu nchi namna hii!!!!!! Mungu, tafadhali tuondolee huyu mtu for good!!!!

  • @jontecaros3194
    @jontecaros3194 9 дней назад +18

    Too spend 1000 is easier but getting 1000 is hard, its a sign of poor economy😢 kasongo ameiba sana ata haskizi ground

    • @Nicholas-yr2sq
      @Nicholas-yr2sq 8 дней назад

      Very true, Feb let's occupy our country""

  • @SadikMohamed-r6r
    @SadikMohamed-r6r 8 дней назад +5

    Ni kweli kabisa garama ya maisha iko juu sana

  • @jacobmutisyamboya7742
    @jacobmutisyamboya7742 8 дней назад +4

    Kasongo must go please god😢😢😢😢😢

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 7 дней назад +3

    Economy is growing as kaongo says, wakenya ndio waongo(50 M) na kaongo n kweli(1 person)

  • @halimaadan3412
    @halimaadan3412 9 дней назад +17

    Heri uhuru walai😢

  • @pauldadia3394
    @pauldadia3394 8 дней назад +3

    I believe 2027 Kenyans will vote using their heads not stomachs

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 7 дней назад +1

    Very true😢😢😢talking from experience😢

  • @sophiezakaria
    @sophiezakaria 7 дней назад +3

    Wanakaa njaa but wanafwata Ruto kumpigia makofi,inafaa mkae njaa ya kufuata Ruto pia ndio ajue wakenya wanateseka

  • @angle3600
    @angle3600 4 дня назад

    Nikweli wakenya wanateseka,,1000 zamani ilikua pesa yenye thamani ,,ila sasa ni mateso matupu.maisha ysmepanda ,,vibarua hakuna na ukipata pia ni stress,mishahara pia ni duni,,,ni kweli masikini atabakia kuteseka hadi lini

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 9 дней назад +5

    Halafu kelele kila siku eti uchumi mkubwa Afrika Mashariki, majirani zenu Magharibi na Kusini wameshiba bila kelele

  • @malickwetiko-1465
    @malickwetiko-1465 7 дней назад

    God tunaomba ubless ata pia na awa waliochini 🙏

  • @michaelnintunze8572
    @michaelnintunze8572 8 дней назад +2

    Mungu plz maluza uyo jama we are tired

  • @damariswamaitha9688
    @damariswamaitha9688 8 дней назад +1

    Saai ata mtu mmoja kula na kulipa rent aki mungu tunasue

  • @b.9811
    @b.9811 9 дней назад +14

    Afree advice better usiage mahindi
    Ul have more unga than buying from super market
    And save

    • @munaelmimohamed9912
      @munaelmimohamed9912 9 дней назад +1

      Na vegetable garden

    • @MungaiFacebook
      @MungaiFacebook 8 дней назад

      ​@@munaelmimohamed9912yes

    • @mikelary674
      @mikelary674 8 дней назад

      Shamba Iko wapi?

    • @johnkariukimungai5211
      @johnkariukimungai5211 8 дней назад

      ​@@mikelary674magunia ukiweza. That's what the did during recession in US during world war 2

    • @MungaiFacebook
      @MungaiFacebook 8 дней назад

      @@mikelary674 hii ni kama kupanda vegetables kwa ngunia,karais yani place convenient na hutakosa mboga throughout juu maji ni kidogo unahitaji kitu like that

  • @abdiali2842
    @abdiali2842 7 дней назад +1

    so many people are suffering in silence. May God help them.

  • @tetrachloride1000
    @tetrachloride1000 9 дней назад +2

    It's true 1000 have loose it's value

  • @Nicholas-yr2sq
    @Nicholas-yr2sq 8 дней назад +2

    We don't have otherwise, let's start weekly demonstrations, kasongo ameshidwa Hadi kutupatia chakula🤔

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113 6 дней назад

    IN SOMALIA 🇸🇴 IS THE SAME THING, THEY HAVE THEIR KASONGO AS WELL TRAVELLING TO SWITZERLAND 🇨🇭 AND OTHER COUNTRIES TO BEG AND ASK FOR LOAN.

  • @AMINABAKARI-h9y
    @AMINABAKARI-h9y 8 дней назад

    So sad😢😢

  • @TalkofMoneyDailyTMD
    @TalkofMoneyDailyTMD 8 дней назад +1

    Tulieni kwa kinyozi😢

  • @bensonngichabe946
    @bensonngichabe946 7 дней назад

    Si juju ni maombi😅

  • @colfaxdancun5577
    @colfaxdancun5577 3 дня назад

    😢uuui😢

  • @rophusmsinga6749
    @rophusmsinga6749 9 дней назад +2

    Some people are calling out the poor ,life is a race u might be leading just because u had a headstart if u we're u exposed to that environment with the same mentally u would be poor too .headstart can mean so many things.always look out for a brother n sister

  • @teddykamau2335
    @teddykamau2335 8 дней назад

    The government should do something

  • @gracemutinda6817
    @gracemutinda6817 9 дней назад +3

    1k........nikama 100 bob time ya kibaki

  • @stephenodhiambo6982
    @stephenodhiambo6982 9 дней назад +1

    We combine breakfast and lunch and skip other meals to make ends meet despite the low inflation rate of 2.7%

  • @jumaali7628
    @jumaali7628 6 дней назад

    maskini atazidi kuwa maskini naye tajiri atatajirika zaidi

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 9 дней назад +1

    Oh my God tunaenda wapi Kenya jamani so sad

  • @MilimuVictor-sz6du
    @MilimuVictor-sz6du 8 дней назад

    😭😭😭😭😭

  • @بنتعبدالرحيممحمد
    @بنتعبدالرحيممحمد 9 дней назад +3

    Na wengine wanaiba mabilioni ati tuna serikali useless

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 8 дней назад

    Itashuka vipi majambazi ni wale wale wako kwa kiti ,???? Hamuoni wameanza kuvamua kwa jeshi pia ati wasipewe chakula cha mchana hadi wajilipie,,,, hapa watu wawe kama Ibrahim Traoele

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 8 дней назад

    Tumelia ya uhur alienda tunalia ruto ataenda na vile sisi niwatu wa kusahau haraka tunataka kulia na matiang akiwa na uhur washashikana tena wajinga nisisi wenye kuapigia kura safar hii tuweken sura mpya mambo mapya

  • @yJe461
    @yJe461 9 дней назад

    Moses kuria; Amejaribu ruiru?

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 8 дней назад

    Kwan hara karatas ya kubeba vitu inauzwa?

  • @k.kswitzerland4168
    @k.kswitzerland4168 7 дней назад

    Let's think of family planning too

  • @DANIELMACHARIA-d5y
    @DANIELMACHARIA-d5y 9 дней назад +2

    Citizen Tv mko mdomo kubwa sana,life has never been easy since the World was created that’s the fact,maisha ni mapambano yasiokuwa na mwisho huo ndio ukweli.

    • @moumouesi4141
      @moumouesi4141 8 дней назад +2

      Kenyans have never stopped "mapambano". However, we were just told by the president that the economy was doing better. Not the case on the ground. I suppose prezo ndio ako na "mdomo kubwa sana"....ama?

  • @DanielKenneth-ys3oz
    @DanielKenneth-ys3oz 9 дней назад +2

    When sugar was 200 and unga was 230 did talk about it..ukiona sai ni ngumu enda Uganda ama Tanzania

    • @kenyshabellen3240
      @kenyshabellen3240 8 дней назад +3

      If Chris kirubi the billionaire never called the poor wajinga.wewe Ni Nani wewe..

  • @DanielKenneth-ys3oz
    @DanielKenneth-ys3oz 9 дней назад

    Show the price of unga... media with propaganda...

  • @Watt-er8or
    @Watt-er8or 9 дней назад +4

    If you are poor you are poor... Don't blame the cost of living... As if these people were rich two years ago.. Work harder

    • @jumjumsaid3552
      @jumjumsaid3552 9 дней назад +5

      Umeshiba ndio unatapika ujinga

    • @jumjumsaid3552
      @jumjumsaid3552 9 дней назад +2

      Umeshiba ndio unatapika ujinga

    • @achibelatotolakijaka4687
      @achibelatotolakijaka4687 9 дней назад +3

      Dunia duara hajawai kukupata na usiongee Sana ukamaliza hii ni dunia hujui ya kesho

    • @Redcatek
      @Redcatek 9 дней назад +5

      Na ukipata accident, utumie pesa yako yote kwa hospital, uachwe hadi na familia yako! Utalaumu nani hiyo siku?

    • @achibelatotolakijaka4687
      @achibelatotolakijaka4687 9 дней назад +1

      @Redcatek ya mungu ni mengi labda hujawai pata mtihani kumbe ww

  • @alextercisio
    @alextercisio 9 дней назад +1

    So 3yrs ago u were rich ??

    • @jontecaros3194
      @jontecaros3194 9 дней назад +1

      1k was valuable

    • @DANIELMACHARIA-d5y
      @DANIELMACHARIA-d5y 9 дней назад +1

      Ask them mucene ndio mingi,maisha haitawai kuwa rahisi ni kupambana tu,thanks bro for good advice