MADHEHEBU KAMA MABASI YA UBUNGO, UNATAKA DHEHEBU AU YESU SENGA AWACHANA WATU HOI......!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 359

  • @EliaMrangi-n1i
    @EliaMrangi-n1i 9 месяцев назад +2

    Mungu wetu ana utaratibu wa kuambudiwa si kama mtu atakavyo bali atakavyo MUNGU

  • @mariyamdominik7735
    @mariyamdominik7735 9 месяцев назад +9

    pole muisilam kwa kujisifu ila kumbuka dini kuwa niimani kila mtu analizika na dini hogala sana watumishi wa yesu kwa wimbo muzuli mbarikiwe🙏

    • @JrBoringo
      @JrBoringo 8 месяцев назад

      Katika maisha ndugu muislamu mungu ndiye mchungaji ye mwenyewe anasema yesu ndiye njia ya kwendea kwa baba je unamuamini yesu au dini

    • @JrBoringo
      @JrBoringo 8 месяцев назад

      Soma yohana 14 mstari wa 6 utajua jee unapata nafasi ya mbingu au

    • @Revocatusdeus-e7u
      @Revocatusdeus-e7u 8 месяцев назад

      ukosawa kaka nimekukubali

    • @Revocatusdeus-e7u
      @Revocatusdeus-e7u 8 месяцев назад

      hello

  • @GeorgeMabala-v9h
    @GeorgeMabala-v9h 10 месяцев назад +6

    Pole sana unayejivunia dini yako, nijuacho Mimi Yesu ni yote katika yote, unataka uzima njoo kwa Yesu lakini kama unataka dini Baki nayo, Kaa ukijua hakuna uokovu katika dini yako.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 10 месяцев назад

      Na waliokuwepo kabla ya yesu walienda kwa nani? Hii ni bibilia 👉JE HIYO DINI YAKO SI NDIO MATARAJIO YAKO? Dini ni neno la kiarabu linamaanisha, NJIA au mfumo wa kuelekea kwa MUNGU, hao wanaosema wako kwa yesu ndio hawatopata uokovu maana yesu hajui wanaojiita wakiristo, pia alisema hivi 👉WATU HAO UNIESHIMU KWA MIDOMO LAKINI MATENDO YAO YAKO MBALI NAMI 👈

    • @IssaMsalama-k6x
      @IssaMsalama-k6x 9 месяцев назад

      Wakiristo wengi wanadanganywa sana Yesu sio Kila kitu,yeye mwenyewe ktk kitabu chenu yupo msalabani alikuwa anamuomba mungu,

  • @josephinebaran1099
    @josephinebaran1099 10 месяцев назад +12

    Yesu daima na milele,amekujaili kuwaokoa watu wenye dhambi,ulimuona m2 mlevi kesho kaokoka 2namshukuru mungu,dini haitakusaidia ki2 km matendo yko ya ivyo,dini itakufaa nini km ni mzinzi,au unaenda kwa waganga,au km unamiliki majini au km unaroga watu!! Hakuna dini iliyobora,ila ukimkiri yesu kwa kinywa chako.amen

    • @MaryamMaryam-e1w
      @MaryamMaryam-e1w 10 месяцев назад

      Amina nimekukubali.

    • @cvaginga9956
      @cvaginga9956 10 месяцев назад

      Hapo umenena maana ukweli humuweka mtu kuwa huru

    • @Juma-qd5eq
      @Juma-qd5eq 10 месяцев назад

      Soma amos 5: 23

    • @yustasaidi5765
      @yustasaidi5765 10 месяцев назад +1

      Hawa wewe unaesema hivyo hujui maana ya Neno dini unakariri ngoja nikueleweshe neno nikitambulisho ujulikane wewe ni wa Yesu au muhamani katika kuabudu ukishajibu nimkristo tayari ndo dini baada ya hapo huko kwenye dini yako ukatende mema .ukitenda mema sasa nafsi inabadilika Kua nafsi iliyookoka so Neno dini halina shida kwa Mungu wala kwa bwana wetu Yesu kristo . Tukazane tuzifuate amri 10 tu siyo maneno mengi.

  • @MandelaMdemu
    @MandelaMdemu 10 месяцев назад +14

    Sikiliza ujumbe na cyo kukashifu dini au imani ya wengine

  • @alfredpaulokijangwa1229
    @alfredpaulokijangwa1229 10 месяцев назад +6

    Mzee wangu Senga upo vizuri, wimbo upo vizuri, toa wimbo mwingine uwakimbize.

  • @joelmosses9395
    @joelmosses9395 10 месяцев назад +2

    Yani wewe utumwe na shetani kuukosoa ukristo useme unamshukuru mungu shauli yako na hicho unacho kiamini, mzee wetu senga twendelee na mungu wetu aliye hai.

  • @ErickEnock-kr9uj
    @ErickEnock-kr9uj 10 месяцев назад +5

    Kila walio mpokea aliwapa uwezo wa kuwa wana wa MUNGU so mzee wangu karibu kwa YESU anakupenda

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 10 месяцев назад +5

    pambana na iman yako kenge wewr

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 10 месяцев назад +2

    Nmependa sana hiki kitu Mr Senga,ubarikiwe sana kwa kumsifu Mungu imba imba tena na tena imba hadi atakapokuchukua

    • @BakariMtangenange
      @BakariMtangenange 10 месяцев назад

      Embu soma amosi 5: 21 alafu angalia na uyu anachofanya sawa tatizo hamsomi maandiko

  • @pendomtobela5238
    @pendomtobela5238 4 месяца назад

    Safi mtumishi

  • @GraceJacob-kf6yu
    @GraceJacob-kf6yu 9 месяцев назад +2

    Senga ni mwalimu wa kwaya tangu muda mlefu tena ni mpigaji gitaa mzuri tangu akiwa sumbawanga kabla ajajiunga na filamu.

    • @Afingege
      @Afingege 8 месяцев назад

      yes alianzia kwao kwaya ya vijana isange kkkt

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 10 месяцев назад +3

    ❤❤❤❤ kweli Mungu anateda tusipo zimiya roho

  • @BettyMsongole
    @BettyMsongole 7 месяцев назад

    Hongereni

  • @SifaelMpagike-gt1gz
    @SifaelMpagike-gt1gz 10 месяцев назад +2

    Kuifuata Kweli ya Maandiko Ni gharama sana... Lazima tuu utatafuta unafuu wako... Mungu atusaidie

  • @danctheyoung
    @danctheyoung 9 месяцев назад +2

    Kweli maisha ni magumu mpaka senga ameamua kufuata sadaka makanisani

  • @AnnaNelson-w8n
    @AnnaNelson-w8n 9 месяцев назад

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @rebeccabayo2988
    @rebeccabayo2988 10 месяцев назад

    Amina, mungu amtulize kila mtu ktk dhehebu lake kikubwa nikumwamini Ili tupate muujiza wetu pale tulipo

  • @mtumishijoshua
    @mtumishijoshua 10 месяцев назад +1

    ubarikiwe sana Mtumishi

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj 10 месяцев назад +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ huyu jamaa amewafundisha waimbaji wakubwa Sana hapa nchini Kama Joshua mlelwa wakiwa sumbawanga nimwalimu mzuri sana

  • @ShakiraKabuje
    @ShakiraKabuje 10 месяцев назад

    Wee muogope mwenyezi mungu usiukumu dini ya mtumwingine eti waislam Wana amini ushilikina we ulijuaje kama ujashiliki uwo ushilina pambania loho yako

  • @NechLove
    @NechLove 9 месяцев назад +1

    Mie na jivunia kuwa wa yesu

  • @GodfridMbele-sb1ks
    @GodfridMbele-sb1ks 10 месяцев назад

    Pole sana wewe miislamu unamwitaji Yesu

  • @NathanShegun
    @NathanShegun 10 месяцев назад

    Usimshukuru Mungu mshukuru pepo umeingiwa na pepo amkanae yesu amelaaniwa

  • @fansitzmwakasungu5355
    @fansitzmwakasungu5355 10 месяцев назад +2

    Safi sana mambo ni🔥🔥🔥

  • @DominicBwanali-xl4wj
    @DominicBwanali-xl4wj 10 месяцев назад +1

    Nimeipenda hi jamani mungu Ambariki huyu mwamba

  • @estherjames3452
    @estherjames3452 9 месяцев назад

    Wanao jitapia dini wote wamepotea maanz Yesu hakuleta dini duniani

  • @byamungumapatano
    @byamungumapatano 10 месяцев назад

    Kweli usihukumu usije kaukumiwa senga anahokoka MUNGU nimwema❤

  • @SDCHURCHSINAI
    @SDCHURCHSINAI 10 месяцев назад +1

    kuokoka ni lazima sana na Siku yaja ambayo Yesu atamhukumu kila mtu ambaye alimkataa Duniani na akaishi maisha ya dhambi Dini ni nzuri ila haiwezi kumtetea mtu siku ya hukumu!

  • @TwahaRashidi-e2g
    @TwahaRashidi-e2g 9 месяцев назад

    Nimebarikiwa aisee ❤❤

  • @mkananiphilipo3057
    @mkananiphilipo3057 10 месяцев назад +1

    Mimi senga nakukubali sana Tena sana tu

  • @lucasmachibya6551
    @lucasmachibya6551 10 месяцев назад

    Senga bhana

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 9 месяцев назад

    #safii san mzee senga

  • @neemakisekulo-vm7xo
    @neemakisekulo-vm7xo 10 месяцев назад

    Jaman kilam2 aamin anacho amin Mbona nyinyi weng wenu wenu wagaga au mung wenu mganga aaaaa mckashifu din zawa2 bwana

  • @sheillalukuba4526
    @sheillalukuba4526 10 месяцев назад +1

    Amen Asenga uko njia sahihi

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 10 месяцев назад

    Mungu akubariki mzee senga

  • @RajabJr-r6y
    @RajabJr-r6y 10 месяцев назад

    Innalillah wainnailah rajiunn ,ni msiba yaan Uyo Mungu munamchukulia km Babu ynu :Amose 5 : 23 .....

  • @BraviusiBenedicto
    @BraviusiBenedicto 10 месяцев назад

    Yote tumwachie Mungu muumba wa yote. Aminaaa

  • @AlbatiNdaga
    @AlbatiNdaga 10 месяцев назад +2

    Haoo ni wanakwaya wake au wamejipitisha kumsapoti Senga😂😂

    • @gabrielmoses6860
      @gabrielmoses6860 10 месяцев назад

      Design wanampa support(ila sina uhakika na maneno yangu)

  • @CairoShampeny-ln1ye
    @CairoShampeny-ln1ye 8 месяцев назад

    Asante senga

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 10 месяцев назад

    Amina Senga🙏🙏🙏🙏❤❤❤

  • @FowlerNgwira
    @FowlerNgwira 9 месяцев назад

    Jamani hiyo mwislam ni Pepo makata

  • @erickdeogratias7718
    @erickdeogratias7718 10 месяцев назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AndrewEzekiel-jp7ed
    @AndrewEzekiel-jp7ed 10 месяцев назад +1

    Mungu wetu habagui wanawake watu wote ni wathaman kwake lakin pia hasikii Wala haabudiwi Kwa lugha moja tuu husikia Kwa lugha zote😅

    • @KIJUKUUCHAHILALI
      @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

      Wew hata uwe mmakonde siku ya kiama utaongea kiarabu, wanatakao kutoa roho ukiwa huna mawasiliano Tena na dunia pia utasemeshwa kiarabu sasa wew ukienda Belgium ukienda kanisani utabeba bibilia ya kiswahili, sisi waislamu hatubaguliwi na MUNGU hapa duniani mpaka siku ya malipo maana mbora mbele ya MUNGU ni mcha MUNGU, Muda unao wakuujuwa uwislamu ukifa na Imani Bado hujajuwa tu laifa lolote muislamu kitabu ni lugha moja kiarabu sheikh wa dar anaweza swalisha china je patri ataweza kuchunga kondooo na bibilia ya kiswahili akiwa kanisani china

  • @adamuselemani6173
    @adamuselemani6173 10 месяцев назад

    Ww Baki na lidini lako la majinini Hilo,,,usikashifu Imani za wengine

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 10 месяцев назад

    Amina kubwa senga songa mbele na Yesu

  • @ryandamarobert195
    @ryandamarobert195 10 месяцев назад

    Amen

  • @nixonmwanguni3094
    @nixonmwanguni3094 10 месяцев назад

    Innah lilahi wainah lilahah rajiuun.

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 10 месяцев назад +5

    Hayakuhusu , baki na dini yako nasi na ukristo wetu;

  • @gracebura7713
    @gracebura7713 10 месяцев назад

    Safi ujumbe umefika

  • @ridhiwankombo676
    @ridhiwankombo676 10 месяцев назад

    Mtafuteni mungu acheni kuigiza

    • @robbyartsproduction7606
      @robbyartsproduction7606 10 месяцев назад +1

      Kwahiyo mashetani yenu ndio Mungu au tutafute na majini ili tuwe kama nyie wachawi wakubwa

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 10 месяцев назад

    Eti ibada iyo .mambo ya hovyo kabisa.njooni kwenye Uislamu

  • @MaryamMaryam-e1w
    @MaryamMaryam-e1w 10 месяцев назад

    Muhimu ni kwamba Yesu ni Mungu ukitaka ni Mungu usipotaka ni Mungu ok tukana kasifu uwezavyo lakini walio wake hatushangai mana mlikuwepo mpo namraendelea kuwepo mbaka utimilifu.

    • @KIJUKUUCHAHILALI
      @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

      Yesu si MUNGU na siku ya hukumu ataulizwa na atakanusha kuwa hakuja duniani kujita MUNGU

  • @JoseMusa-nv2bj
    @JoseMusa-nv2bj 10 месяцев назад

    Wee mwisram injuwe kweri intakuweka huru paspo yesu hakuna unzima soma yohna 14-1-14

  • @Faustine14manyanda
    @Faustine14manyanda 10 месяцев назад

    Wote kwa pamoja tunamtafuta mungu tu.

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 10 месяцев назад

    Binadam mnahangaika sana

  • @albertkuzilwa7442
    @albertkuzilwa7442 10 месяцев назад

    Mungu wawenzetu ana dini maana nae anafanya ibada

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 10 месяцев назад

      Ibada hufanya hata nawasio amina MUNGU wakweli my dear, au hukumbuki Musa na Manabii waliokuwa wakiabudu Mungubaali so jambo lamsingi ni KUMKIRI YESU NAKUISHI NENO TAKATIFU .

  • @daniellourencojaime
    @daniellourencojaime 9 месяцев назад

    Aminaa

  • @shukrankifyasi1500
    @shukrankifyasi1500 9 месяцев назад

    mwanangu DNC nakuonaa

  • @VincentMizengo
    @VincentMizengo 7 месяцев назад

    Dini au dhehebu haliwezi kumupeleka mtu mbinguni Imani yako na matendo yako ndo yataamua uende wapi

  • @RahmanAbdur-fr8uz
    @RahmanAbdur-fr8uz 8 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AugostinoReginard
    @AugostinoReginard 10 месяцев назад +5

    Cku inakuja utaria na kujuta kwanini uliingia kwenye uisilamu

    • @KIJUKUUCHAHILALI
      @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂 fimbo 🦯yangu Iko wapi nipite kwenye comment hii maana imenipata upofu wa muda 😎

  • @mwakimedia9570
    @mwakimedia9570 10 месяцев назад

    Mungu Mwema

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 9 месяцев назад

    Senga umepewa kipaji baraaa😂😂😂😂

  • @KikwaleRashidi-e3y
    @KikwaleRashidi-e3y 9 месяцев назад

    Ukristo ni vituko

    • @jickboy24
      @jickboy24 9 месяцев назад

      Huna hakir nzir

  • @MariamMganga-ss9mm
    @MariamMganga-ss9mm 10 месяцев назад

    MUNGU tunaebuabudu wakristo, anawatumia watu mpaka Sasa,, jinc dunia inavyoharibikiwa ndivyo MUNGU anatumia njia nyingi kuhakikisha anawatoa watu wake ktk upotovu,, hawezekani dunia inazidi kuchafuka halafu unaesema una imani,, hakuna mabadiliko yoyote yanayo changia kupambana na DHAMBI,, huna maombi ya uhuru,, unakalili tuuu yaleyale, halafu asiyemjua MUNGU anabaki bila msaada

  • @Suleiman-h8i
    @Suleiman-h8i 10 месяцев назад

    Mungu aabudiwe na kila anayemuamini
    Issa (As) alkua mtume Wa Mungu
    Kwaio alikuja kwa wote wanaomuabudu Mwenyezi wa ukweli .yte tisa kumi tutaonana sku ya hukumu kila mmoja afanye analoona ni sawa na imani yake
    Ewe Mungu
    Shukisha nabii aje atufunze

    • @KIJUKUUCHAHILALI
      @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

      Usiseme mengi ukakufuru mtume MUHAMMAD ndo mtume wa mwisho

  • @kisakanzotah5861
    @kisakanzotah5861 10 месяцев назад

    Tokeni kwake enyi watu wangu,Ufunuo 13

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 10 месяцев назад

    Senga ameamua aise😊

  • @AllanMenza
    @AllanMenza 10 месяцев назад +1

    Inatupasa kua makini kwakilaneno litokalo kinywani,kwani haya yote tuyafanyayo tuliyakuta sasa ukianza kuketi mahali na kukashif kwakujiona mkamilifu,basi unafaa kujua kuna kiama,siku yahukumu ipo na kilamtu ataubeba msalaba wake sawa na matendo yake .

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 10 месяцев назад +1

      Kabisa ndugu 😢😢😢 Atusaidie MUNGU tusiangamie kwakukosa maarifa maana siku inakuja nakila mtu atatoa hasabu yakila neno lakinywa chake

  • @JuliaMkura
    @JuliaMkura 10 месяцев назад +1

    Waegizaji wafwate.mfano

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 10 месяцев назад

    Hakuna mbingu bila Yesu.Dini ni utamaduni tu.Dini yoyote haina pepo

  • @MarkoLyimo-ny9ku
    @MarkoLyimo-ny9ku 10 месяцев назад +1

    Kumcha bwana ni chanzo ya marifa Bali wapumbavu huzarau hekima na adabu

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 10 месяцев назад +1

    Kila mmoja step yake.

  • @ayubukulwa
    @ayubukulwa 2 месяца назад

    jofureh come

  • @STEPHANONCHUMUYE-n7h
    @STEPHANONCHUMUYE-n7h 10 месяцев назад

    Yesu ni njia ya kutupeleka mbinguni,ndo maana tuna aman tunafrahi tunacheza ,kwenye dini bila yesu mnaelekea shimon

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 9 месяцев назад

    Senga kama senga😂

  • @kisakanzotah5861
    @kisakanzotah5861 10 месяцев назад

    senga hamia Sabato

    • @FammyMlowe
      @FammyMlowe 9 месяцев назад

      Sabato munamwabudu mungu yupi ambaye senga hajamwona mpak ahame nacho juwa mungu wetu ni mmoja tu

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk 10 месяцев назад

    Hakuna dini ( duniani ) inayo amini ushirikina kama waslamu sijui ni Tanzania tu au laa sasa sijui Mungu wao anamchango gani kwenye maisha yao, afadhari ya deni ya kikristo yaani hadi viongozi wa dini yao.lazima uwe mshikina

    • @KIJUKUUCHAHILALI
      @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

      Freemason imeanzishwa na waislamu pia maana majina Yao ni juma hakuna Albert Wala John kwenye freemason

  • @user-of2qt8nk7w
    @user-of2qt8nk7w 10 месяцев назад

    Ww umemuona Yesu? Unapo moment sikiliza kwanza

  • @KIJUKUUCHAHILALI
    @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

    Subiri tufe sote kwenye huu mgongo wa ardhi halafu huko ndo mtajuwa nani alipoteza muda hapa duniani

  • @davidmazengo626
    @davidmazengo626 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Jamaaaaaa anajuaaaa

    • @KIJUKUUCHAHILALI
      @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

      Anajuwa naamin atakuwa nabii siku si nyingi😂😂😂

  • @XaiTheFreestyler
    @XaiTheFreestyler 10 месяцев назад

    ♥️🙏

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 10 месяцев назад

    Prince moze gospeli YTb

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 10 месяцев назад

    Namshukuru Mungu kuzaliwa mkristo

  • @elialaulian7700
    @elialaulian7700 10 месяцев назад

    Unashukulu kuwa mwisilma baada yakushukulu Mungu kwakukupa uzima kwani Uisilam ndio kufika mbinguni

    • @KIJUKUUCHAHILALI
      @KIJUKUUCHAHILALI 10 месяцев назад

      Sasa atawezaje kushukuru kuwa muislamu kama si mzima😂😂😂😂

  • @PooPetro
    @PooPetro 10 месяцев назад

    Africa amuna asili ya dini abi ukilisto na uislam wore wa kuja

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 10 месяцев назад

    Kaona comedi hailipi Bora aimbe kwaya tu😂😂

  • @abi-onlinetv4181
    @abi-onlinetv4181 10 месяцев назад +44

    Nashukuru mungu Kwa kunijaalia kuwa Muislamu. Dini yetu ni asili. Sio kama wenzetu akilala Kesho anaenda kutoa Utaratibu mngine wa kumuabudu mungu. Hali ya kuwa yesu hakuwa hivyo.

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 10 месяцев назад +6

      Kinakuuma nn ww?

    • @thehustlerafrica4368
      @thehustlerafrica4368 10 месяцев назад +6

      Kwa hiyo tukusaidiaje sisi tuache kila mtu afe na Mungu wake

    • @jonasynyasika6391
      @jonasynyasika6391 10 месяцев назад +14

      Wale waislamu wa sali suna wametoka wapi kama mko sawa kila kitu.
      Hata dini huijui wewe.

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 10 месяцев назад +17

      Chakushangaza ni kuwa hujui hata historia ya Yesu, Yesu alizikuta dini na madhehebu yenye itikadi tofauti mfano Mafarisayo, Masadukayo, Wazelote, Na Yesu akaanzisha Yake(Wakristo) yaani watu wa Kristo. Islam ni nakala ya Mafarisayo, tofauti ni Asili ya utaifa na Makabila na baadhi ya mambo machache.

    • @fainesKigahe
      @fainesKigahe 10 месяцев назад

      😂😂 @barakalawrence742

  • @cillerkawiche2196
    @cillerkawiche2196 9 месяцев назад

    Hakuna dini ya asili

  • @DaudiRajabu-v3p
    @DaudiRajabu-v3p 9 месяцев назад

    Wesengawewe

  • @Halima-wy7to
    @Halima-wy7to 10 месяцев назад

    Acha unafiki akweli wapi munauwa watu KAmA nini arafuunasema nikweli fyu😊

  • @Mariam-fb1no
    @Mariam-fb1no 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂jamen

  • @CatherineYohana-c2y
    @CatherineYohana-c2y 10 месяцев назад

    Dini ya ajabu sawa ila kaa ukijua na Mungu wetu niwaajabu so endelea kuchelewa APO ulipo ona bar@ Adi ukashfu dini za wengine

  • @JeradiTemba-ib7xphpp
    @JeradiTemba-ib7xphpp 9 месяцев назад

    Akina ukweli mbili wala uongo mbili

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 9 месяцев назад

    Sasa😂uslam nayo kitu chakutanbia kikundi cha majini yote

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 10 месяцев назад +3

    KUMBE MUNAJUA MUNGU
    AONEKANI SASA KWANN
    YESU MUNAMUITA MUNGU
    NAYEYE AMEONEKANA SANA
    NA MPAKA
    KUTAILIWA AMETAILIWA KABISA
    ACHENI KUKUFULU MUNGU
    SIYO MTU YESU ALISEMA
    AKIKA MIMI MTU Mbona munataka kuniuwa

    • @rodrickmpulila1259
      @rodrickmpulila1259 10 месяцев назад

      Tutajie pahali Yesu alisema kuwa yeye ni mtu.

  • @joramdiambe203
    @joramdiambe203 10 месяцев назад

    Nimegundua wakristo tulio wengi watusomi maandiko, Haya yote ni chukizo kwa Mungu
    Hii dini ya kilokole sijui imetokea wapi?
    Dini Mungu Aliyoiumba sio hii, Madhehebu yamekua mengi lakini yote ni wakala wa shetani
    Ndugu someni maandiko msiende kama ng'ombe anaeenda machinjioni
    Ibada ya Mungu ipo wazi ktk Biblia namna ibada inatakiwa iwe