#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 98

  • @haoranyusuf6164
    @haoranyusuf6164 4 дня назад +2

    Assalamu alaikum mashallah Allah awabariki Dr zake nail na femeliya yake Allah awahifdhi

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 6 дней назад +2

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika

  • @sabdillahi3729
    @sabdillahi3729 6 дней назад +4

    TANZANIA MUNA JIPANGA MAMBO MAZURI SANA,ILA NI WENGI WATAHITAJI LUGHA YA KUFAHAMIKA SWAHILI ILI IKAMILISHE MBIO ZENU KUFAULU,WANAO PANGA MDAHALA HUU WAJIPANGE SIKU INAYO KUJA KUWE NA TAFSIIR MUTTAFAIDISHA WATU INSHA ALLAH KWA NIA ZENU

    • @am2323tze
      @am2323tze 5 дней назад +1

      @@sabdillahi3729 Mkalimani anaconda raha kwa wasikilizaji. Nafikiri ni kazi za TV stations ku tafsiri na kurusha tena ili waislamu wafaidike. Hata ZBC naomba wafanye hivyo.

    • @gennetdesta6060
      @gennetdesta6060 5 дней назад

      In shal Allah kwa huwezo wake Allah watafahamu hatawafanyia huwepesi kwa wale hawatafahamu Ameen

  • @haoranyusuf6164
    @haoranyusuf6164 4 дня назад

    Mashallah Allah akuzidishie ilmu

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 5 дней назад

    Masha ALLAH TABARAKA LLAH ALLAH LKN SAUTI NDOGO

  • @AyanFarah-y3q
    @AyanFarah-y3q 2 дня назад

    Ma sha Allah. Those fools will give negative comments. But people who have akili interagency will see the truth

  • @EL-LOFFY
    @EL-LOFFY 5 дней назад

    MashaAllah, what an honor to have Dr. Zakir Naik in Zanzibar, May Allah put blessings in these gatherings and open the hearts of our non-muslims brothers to accept Islam and increase our imaan

  • @meharjharna1411
    @meharjharna1411 5 дней назад

    Siers assalamualaikum goodness allah will ness voices alhamdulillah

  • @rakibuddinkhan918
    @rakibuddinkhan918 5 дней назад

    Mashallah mashallah

  • @jameelshaikhshaikhjameel4957
    @jameelshaikhshaikhjameel4957 6 дней назад

    Jazak Allah Khair

  • @IbrahimMachano-n4e
    @IbrahimMachano-n4e 5 дней назад

    Yesu ni wa isakka Muhammad ni wa Ismail

  • @jamaljamal9915
    @jamaljamal9915 6 дней назад +1

    Mashaallah

  • @shafiihussein9167
    @shafiihussein9167 6 дней назад

    Mashaallah.congratulations Islamic foundation for good job

  • @chnasramohamed6915
    @chnasramohamed6915 6 дней назад

    Ma Shaa Allah ❤ tabarakallah, Allahubariik

  • @KhamisiMtonele
    @KhamisiMtonele 6 дней назад

    Mashaa allah, Allah barik

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 6 дней назад +1

    Subhanallah

  • @abeidabdullah6048
    @abeidabdullah6048 6 дней назад

    MashaaAllah

  • @rahulameen249
    @rahulameen249 5 дней назад

    Allahu Akbar

  • @IbrahimMachano-n4e
    @IbrahimMachano-n4e 5 дней назад

    Wewe huja soma kumb hujui kwamba Muhammad na Yesu nindugu

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 6 дней назад

    Mashaaallah ❤❤❤❤❤

  • @mozaali1120
    @mozaali1120 6 дней назад

    Maashallah ❤

  • @sitihaji-y5o
    @sitihaji-y5o 6 дней назад

    maashallah

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 6 дней назад

    Allah akhbar

  • @makameSimai
    @makameSimai 6 дней назад

    Hongereni sana waisamu ila mjadala au kongamano hili lingekuwa nje ya msikiti lingependeza zaidi kwa zanzibar

    • @am2323tze
      @am2323tze 6 дней назад

      Ni kweli hawakujitayatisha naona. Kenya wamefanya nje

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 5 дней назад +1

      Wameogopa mvua

  • @AimanHazar
    @AimanHazar 6 дней назад

    Assalaam alaykuum my father..shk muhidini.... assalaam alaykuum my father.. the mufti wa Zanzibar..shk saleh Omar bin kaab

  • @KhamisiMtonele
    @KhamisiMtonele 5 дней назад

    Good

  • @mohdalijuma
    @mohdalijuma 6 дней назад

    Assalaam alaykum, my name is Muhammad Ali Juma, Dr.Zakir,I am not pleased to miss the chance of asking question to Dr.Dhakir ,I was in the que but before I take the mic,the question session come to an end ,
    However, my written question, I gave to Zanzibar Mufti's helper to give to Dr,Dhakir.

  • @mohdalijuma
    @mohdalijuma 6 дней назад

    Appart from this ,I will send my question and suggestions by what's up.thank.Allah bless you.

  • @AimanHazar
    @AimanHazar 6 дней назад

    Assalaam alaykuum the katibu mku

  • @haidarabeid6796
    @haidarabeid6796 6 дней назад +10

    Walipaswa waeke mtu wa kutafsiri ni jambo la msingi mmelipuuzia,lugha zilizo tumika na hao wageni ni kiarabu na kingereza,ilipaswa akiongea kila baada ya nukta tafsiri inaletwa wangenufaika wengi zaidi na Kwa kiasi kile kile na Kwa hisia Ile Ile....lakini kutafsiri Kwa namna hii walio iweka Ile ladha inapungua

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 4 дня назад

      Upo sahihi ndugu. Maelezo yasioeleweka yanafaida ndogo.

    • @Atymohd
      @Atymohd 4 дня назад

      Kweli wallah hatupati chochote wengi wetu

  • @user-op3sc6we5h
    @user-op3sc6we5h 6 дней назад

    Mkali sana anazungumza kwa ukali ni utu uzima nini hakuwa hivi hata namshangaw

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 4 дня назад

    Haki huleta Amani bilateral haki hakuna amani

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 5 дней назад

    Shida mnatuma vipande virefu sana

  • @diehansi
    @diehansi 4 дня назад

    Shida nikutafsiri maandiko kwa mitazamo tofauti, Elimu ni lazima lazima usome lazima ujue mambo, na ukishindwa kufahamu elimu ya mazingira kwa ujumla basi ujue elimu ya dini uifahamu

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 5 дней назад

    Wapi Mazinge??

  • @diehansi
    @diehansi 4 дня назад

    Ndugu zanzibar hii lugha wanaielewa kweli ?

  • @SwalehAbdallah-z6u
    @SwalehAbdallah-z6u 6 дней назад

    Jamaan mumekosea kutoeka mfasiri c wote wanaojua English

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 6 дней назад +2

    Tangu lini VMyahudi akawa Brotherhood na Mwarabu? Mbona Waislamu wa Palestine wanaapa kuwa Myahudi popote watajapowaona. Yesu alionya alipokuwa anaondoka akasema “Naawaambieni kuna watu Au Mtu atakuja na kusema ametumwa na mimi, hakika Msiwaamini watu hao”. Yesu aliacha Roho Mtakatifu na sio mtu mwingine wa kumwakilisha. Mtu aliyekuja kubadilisha mambo yaliyofundishwa na Yesu na kuanzisha ya kwake haiwezekani akawa na Ubritherhood na Yesu Masiah mkombozi wa Ulimwengu. Halafu huko Zanzibar hakuna Wakristo wa kuuliza Maswali, mngefanyia uwanjani na sio Msikitini ili wale wasio Waislamu waweze kuhudhuria kwakuwa sio watu wote wasiokuwa Waslamu wangependa kuingia Msikitini Kwa Mjadala.

    • @kabulamalima5179
      @kabulamalima5179 6 дней назад

      Kaa nazo comments zako nasi tuache na yetu, tangu lini ulisikia Muislam hamuamini yesu?? Sisi yesu tunamtambua kama nabii na Mtume wa Mwenyezi Mungu. Shida Iko kwenu baadhi ya Cristian hamsomi ila mihemuko na matusi na chuki zimewajaa. Hicho mnachokieneza kama ukristo yesu hakukiongea

    • @kifandenabil
      @kifandenabil 6 дней назад

      Udugu ni wa imani sio kuzaliwa.ndo ALLAH amesema waislam ni ndugu..ndio maana yesu alisujudu aliingia msikitin na amevaa kanzu.nyinyi yote hayo hamuyafanyi au yesu aliwahi kuingia charch😂😂jb

  • @IbrahimuKapelula-n1d
    @IbrahimuKapelula-n1d 6 дней назад

    Ukiona hhalikuhusu kongamano hili, huna haja ya kucomment ujinga

  • @MosamMchulu
    @MosamMchulu 5 дней назад

    Tafsiri nduguzangu

  • @zahorosudi1814
    @zahorosudi1814 6 дней назад

    TUWEKEENI MTU WA TAFSRI HAPO HATUELEWI KITU

  • @fibercaremy
    @fibercaremy 5 дней назад

    Every Religion that came to this world has evolved from the past religion information knowing what is good and bad. And upgraded to new version.
    But There is no authentic or scientific proof for god nor devil.
    It’s only an assumption whatever we read from the written book 📖.
    1000, 2000 , 3000, years ago, humans was not a well civilized those days at that time, any human can call themselves a prophet and say god has chosen them to preach.
    But there is no authentic proof for god nor devil nor souls

  • @ramadhanally5402
    @ramadhanally5402 6 дней назад

    Lugha ni kitu kikubwa katika kuelewa nasi Lugha na anayotumia mhadhiri ni tofauti itakuwa Haina maana kama hakuna mkalima

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 6 дней назад

      Waislam wanajivunia lugha AMBAYO itawaunganisha popote pale DUNIANI SASA ndani ya msikiti lugha ya kiingeraza inachalazwa

    • @HusseinAli-fx1ld
      @HusseinAli-fx1ld 6 дней назад

      Watanzania na wazanzibar jifunzeni kiswahili

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 6 дней назад +1

    Kuna baadhi ya wajinga wanasema lugha ya kiarabu NDIO lugha Allah ameiweka ili popote muislam anakoenda imsaidie ktk Ibada ndani ya msikiti Leo ndani ya msikiti kiingeraza kinazungumzwa😂😂😂😂 maana kiarabu kitaawacha

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 6 дней назад +1

      @am2323tze sasa zile Tambo za SISI waislam Allah katujaalia lugha MOJA popote muislam akienda DUNIANI anafanya Ibada msikiti wowote ule ziko wapi?

    • @am2323tze
      @am2323tze 6 дней назад

      @ kwanini Quran ikatafsiriwa kwa Kiswahili au English au Germany au Malay na isiwe tu Arabic. Sio kila mtu duniani anazungumza Kiarabu. yakhe nakuombea Allah akupe uwezo utembee one kwa macho yako. Hao Maimam wakubwa wa Saudi Arabia wanazungumza English wamesoma ama Uingereza au USA.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 6 дней назад

      @am2323tze sasa kunaaja Gani ya wewe kujifunza kiarabu ktk uislam

    • @am2323tze
      @am2323tze 6 дней назад

      @ Alo wewe uko mbali sana wasijua kiarabu wengi wameslimu kwa hizi tafsiri za Quran ya Kiarabu kwa lugha nyengine. Wazungu wengi wanaslimu baada ya kusema tafsiri. Haiwezekani kwamba kila msikiti watu wazungumze kiarabu. Quran itabaki kwa kiarabu. Inapendeza kwa muislamu kujua kiarabu ila si waajib

    • @khadijahassan1844
      @khadijahassan1844 5 дней назад +1

      ​@@am2323tzeAlafu kujua lugha nyingi ni sunnah katika uislam ili uweze kulifikisha neno lake .napia mungu ndo kaumba hayo makabila na lugha. quran itasomwa kiarabu na tafseer inatumika lugha yoyote mpk kisukuma ukitaka unatfsiriwa tu .

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 6 дней назад +2

    Waislam kwa kulazimisha vitu, undugu wa Yesu na Muhammad wapi na wapi? Wamemsilimisha Yesu kuwa muislam hawajatosheka sasa ivi wanamlazimisha undugu. Kwanini UONGO ni uislam vinakaribiana sana, kwani uislam bila uongo haiwezekani? This is too much Guys

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 6 дней назад +1

      Yesu ukoo wake umetoka kwa Ibrahim kupitia Isaka na Muhammad asili yake ni Ibrahim kupitia ya Ismael.
      Sasa wewe ukoo wako unatoka kwa nani weka mtiririko wa ukoo wako tuone.

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 6 дней назад +1

      @omaryjumas6327 acha bangi, hakuna jina la kiumbe anaeitwa Muhammad kwenye BIBLIA. Danganyaneni uko uko misikitini. Kila mnachoambiwa mnaamini, Muhammad akifumaniwa na dada wa kazi leo, kesho asubuhi aya inashuka. Ruksa kwa mwanamke yyte kujitolea kwa mtume wake na atapata swawabu.
      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😋

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 6 дней назад

      @Jamal22-o5n Yaani unachekesha kweli eti waislamu tunaamini kila tunachoambiwa wakati nyinyi ndio misukule, mnaamini kila mnachoambiwa.
      Mkiambiwa Yesu ni mwanadamu mnasema ndio, mkiambiwa Yesu ni Mungu mnasema ndio, mkiambiwa Mungu si mwanadamu lakini Yesu ni mwanadamu mnasema ndio, mkiambiwa Mungu hafi mnasema ndio, lakini Yesu alikufa msalabani mnasema ndio.
      Mkiambiwa Yesu ni Mungu mnasema ndio, mkiambiwa Yesu ni mwana wa Mungu mnasema ndio, mkiambiwa Yesu ametumwa na Mungu mnasema ndio, mkiambiwa Yesu alifufuliwa na Mungu mnasema ndio. Mkiambiwa Yesu alimuomba Mungu mnasema ndio........
      Yaani mmekuwa misukule hamfikirii hata mnachoambiwa kazi yenu ni kuitikia Eemen.

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 6 дней назад +3

      We muslims, do not argue with fools.

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 6 дней назад +1

      @@omaryjumas6327 sasa apo anaeuliza na kusema ndio nani? Si ni wewe mwenyewe, kama nilivyokuambia, acha bangi.
      Muhammad alienda mbinguni na kurudi ndani ya muda mfupi mkaamini. Mbona kaenda makaburini hajarudi?
      😅😅😅😅

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 6 дней назад +3

    Makurafi Bwana. Wanaona wamemleta Dr zakir naik jinsi alivyo pinda msiba. Mtu huyo amewai kusema Allaah awezi kufanya kila kitu. Astaghifallah.

    • @shackshd1512
      @shackshd1512 6 дней назад +2

      Sasaa ulikua uende ukamuuloze ili uhakikishe alichosema

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 6 дней назад

      ​@@shackshd1512wamemfungia msikitini unamuulizaje, mtu anauliza swali yuko nje. mhadhara ukumbini ambapo kila mtu wa imani yoyote anaingia, na sio huo upuuzi wa kufungiana ndani waislam tupu. Eti wakristo wako nje. Zanzibar mmetia aibu, na ata uyo mwenyewe hajapenda ndo mana kawa mkali.

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 6 дней назад

      UPUMBAVU MTUPU, UYO MUHADHIRI KWA IMANI ZOTE JAPO NI MUISLAM. BADALA YA KUMUWEKA SEHEMU YA WAZI MMEMFUNGIA MSIKITINI, WANAWAKE MMEWAWEKA NJE. ACHENI UJINGA, SASA APO ASIE MUISLAM ATAULIZA NINI NDANI YA MSIKITI. ONA MPAKA AMEWAFOKEA. UISLAM UNATIA AIBU KWAKWELI. AMUONI ANAVYOFANYA MIKUTANO YAKE MTANDAONI KWANI? MMEJAZANA WAISLAM TUPU NDANI. HUO MHADHARA MKUTANO AU IBADA? MDADA ANAULIZA SWALI AONEKANI INASIKIKA SAUTI TU.😅😅😅😅😅😅😅😅
      ILA WAISLAM 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
      KAMA HUJUI KIINGERZA HAKUNA KUULIZA SWALI 😂😂😂😂😂
      WAMEKAA KUSIKILIZA KAMA WANAELEWA VILE, KATIKA 10 WANAOELEWA ANACHOSEMA NI WAWILI.

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 6 дней назад +1

      Kusikia ni kitu kimoja na kuelewa ni kitu chengine

    • @abdulosman7342
      @abdulosman7342 6 дней назад

      ​@@Jamal22-o5n I am very sure you don't understand English 😂..that's y u misunderstood what he said.

  • @MOHAMEDKIOZE
    @MOHAMEDKIOZE 5 дней назад

    Sasa wewe unadhani mungu anafanya kila kitu kwa mawazo yako mpaka unampinga kwa kauli hiyo
    Au watu mukoje na imani zenu mbona mumeathirika vibaya kwa kiwango hicho
    Cha kumsingizia mungu kila jambo

  • @haoranyusuf6164
    @haoranyusuf6164 4 дня назад

    Mashallah Allah awazidishie ilmu