TAZAMA HUYU DADA ANAVO PASUA KICHWA WATU ILA HUYU DOGO ALIVO MPATA ONAA GIA ZA DOGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 71

  • @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
    @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 6 дней назад +21

    Yaan hawa wa Nigeria wataniuwa siku moja😢wanajuwa kuigiza mpaka wanaongoza Namba 1 katika Africa mzima

    • @Robotingwatv
      @Robotingwatv  6 дней назад +1

      kuzidi south africa😋 kweli

    • @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
      @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 6 дней назад

      @Robotingwatv Daah Yaani 🔥 🔥

    • @BrayEpimack-p7c
      @BrayEpimack-p7c 4 дня назад

      Unauhakika wanashika no 1 afrika au umelishwa matango por

    • @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
      @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 4 дня назад

      @BrayEpimack-p7c 😁😁😁 we huoni kama sisi sote tumesahau filamu za kitanzania Sasa Ngoma ni Nigeria

    • @BrayEpimack-p7c
      @BrayEpimack-p7c 3 дня назад

      @@FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m sijasahau bongo Kuna mission impossible migic school ghost of love sungwi maiti yangu unazipata nenda kazitizame

  • @davianojay4896
    @davianojay4896 День назад +2

    Unaitwa nan vibes...unatokea wap Geto..kaz yako mzik....kumAmayoo😂😂

  • @HedielJohn-xo9ec
    @HedielJohn-xo9ec 2 дня назад +1

    Kaaah et kumamayooo oooh😅😅😅😅😅

  • @GalhaiGumathi
    @GalhaiGumathi 2 дня назад +1

    Napenda nifanye Moja movie

  • @ZamdaShaibu-e2x
    @ZamdaShaibu-e2x День назад +1

    Tulia bas wakat unasimulia

  • @AslamPablos
    @AslamPablos День назад

    Sirikubwa ndiyo nikuowa ila kama ujabarikiwa kuowa nikutumiya kinga ju siku izi na wadada zetu wanadanga sana ju yamahishaa😊

  • @NjooStudioFlix
    @NjooStudioFlix 6 дней назад +2

    Kazi Nzuri Brother..!!!

  • @IsmailWaseme-c4g
    @IsmailWaseme-c4g 2 дня назад +1

    Napenda kutumia Kinga kwanza unilinda zidiya ma lathi naomba muenderee kuwaamashisha vijana wenzangu kutumia kondom

  • @Barakaalais-p8q
    @Barakaalais-p8q День назад +1

    Nikwamba kutumiya kondom ni kwamba ni ngumu san

  • @HamisiZahoro-bf5ye
    @HamisiZahoro-bf5ye 6 дней назад +2

    Hahahaa ety kuma mayo bro una vibe la kisenge 😂😂

  • @CoolvetyCoacha
    @CoolvetyCoacha 6 дней назад +2

    Tam sana ikiwa kavu

  • @methewmethod
    @methewmethod День назад +1

    Usiikimbize video bana

  • @Respect2087_
    @Respect2087_ 5 дней назад +1

    i like their movie so much because their is some learn❤❤❤❤

  • @mobilegame-e4b
    @mobilegame-e4b День назад +1

    dj nimekukubali kinoma yani tia vaibu ivyo ivyo

  • @ChanceRugohera-gz3lm
    @ChanceRugohera-gz3lm 6 дней назад +1

    🎉🎉mpeni DJ maua 🎉🎉yake kwa ushauri wake wakutumia kinga kwa vijanaa😂😂🎉

  • @AmandusKayombo
    @AmandusKayombo 6 дней назад

    Daaah.. mamayookoo tenaa😂😂😂

  • @abuuasma3616
    @abuuasma3616 4 дня назад

    Hongera kw DJ upo vzr upended wa ushaur kw vjan

  • @kapongoedwin2525
    @kapongoedwin2525 2 дня назад +1

    Movie title please

  • @FainnessiFainnessi
    @FainnessiFainnessi 3 дня назад

    nzuri san

  • @SuzanaChanzi
    @SuzanaChanzi 6 дней назад +1

    Kazi nzur ila usitukanee

  • @JohnNyakyoma
    @JohnNyakyoma 5 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂Et kumaaamayooooor🎉

  • @zuberympulo6564
    @zuberympulo6564 6 дней назад

    Sauti yako inatubamba kinoma noma Tisha Sana mkuu ❤😂😂😂😂

  • @sogabongo7716
    @sogabongo7716 15 часов назад

    JAMAA ANAMUIGA RAHUL WA MOVIE RECAP😂😂😂 KAKA NJOO NA IDEA NYINGINE USIIGE MPAKA VIONJO NA SAUTI KINGINE JIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA "R" na "L"

  • @EmilioKimathi-m5w
    @EmilioKimathi-m5w 6 дней назад

    Good wak

  • @IsayaMakoo
    @IsayaMakoo 5 дней назад +1

    Dj Acha kutukqna

  • @Chance-x3m
    @Chance-x3m 6 дней назад +2

    Utamu ni nyama nyama

  • @ZÄHRÄNËGALLERY
    @ZÄHRÄNËGALLERY 5 дней назад

    Ndugu kwenye nyeto hapo weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Noma sana😝😝😃😊 😅
    Umepatia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Nyeto nini iyo????

  • @huguetteigiraneza4760
    @huguetteigiraneza4760 6 дней назад

    Tuna furah❤

  • @bagengift3488
    @bagengift3488 6 дней назад +1

    😂😂😂kwamba Kumamayo

  • @DanielWambua-t9u
    @DanielWambua-t9u 3 дня назад +1

    Title of the movie

  • @GraceElius-t5d
    @GraceElius-t5d 5 дней назад

    Condom ni kinga nzuri km hujaamua kuibagua ila km mtu hawezi kutumia condom basi Kuna dawa kinga(Prep)hii ni dawa au kidonge cha kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa mtu atakaye Pima vvu na kukutwa hana maambukizi atatumia kidonge kinga hiko ili asipate maambukizi hata akikutana na mtu mwenye maambukizi lkn haizuii mgonjwa ya zinaa

  • @giveneleuther3839
    @giveneleuther3839 6 дней назад

    Nakuzingatia Mr robot 💥

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly 5 дней назад +1

    Wanasema wakitumia kinga eti wanakata utamu wanapenda nyama kwanyama bila kujuwa kila mtu ana magodjwa yake nailo linatumboza vijana wengi tunapata magodjwa bila kujuwa kutumia kinga nijambo djema ili twepuke magodjwa yakuambukiza from DRCongo 🇨🇩🇨🇩

  • @djanfarmoulay6865
    @djanfarmoulay6865 4 дня назад

    6:53 nauza mafuwa Kwa bei nafuu 😢tena ni Yale makalii 😢😢😢

  • @Ahmad-c9l1r
    @Ahmad-c9l1r 5 дней назад

    Mim Kinga kwangu muhimu kwa kweli

  • @HamisiNyanga-s1j
    @HamisiNyanga-s1j 3 дня назад

    Inamaliza utamuuuu😅

  • @ibrahimally1945
    @ibrahimally1945 6 дней назад +4

    Dj punguza usela hatuangalii ss tuu tunaangalia na watoto kabisa acha usela mavi

    • @riosingingandmore8224
      @riosingingandmore8224 5 дней назад +1

      Jina lenyenyewe anaitwa robotingwa unafikili atajali hicho unacho mwambia

    • @yousouph8792
      @yousouph8792 5 дней назад

      Mambo ya Nyeto mala Kuma mamae sio lugha za kuweka

    • @M-barakaRajabu
      @M-barakaRajabu 5 дней назад

      😃😃😃😃Dj wa mchongo

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 3 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂 ​@@yousouph8792

  • @seciliaswila6730
    @seciliaswila6730 5 дней назад

    Vijana wengi awatumii Kinga saiz kwa sababu wanachozani kua Kinga inazuia Tu ukimwi bila kujua inazuia magonjwa mengine ya ngono ,pia vijana wengi wanaaminiana kwa haraka bila ata kupima wanaingia kweny mapenzi

  • @Jacque-j5m
    @Jacque-j5m 4 дня назад

    Sababu ya kutafuta utamu😅😅😅😅

  • @Reylanny
    @Reylanny 3 дня назад

    Me ngoja nisome coment z wadau😅😅😅😅😅😅

  • @FarajaChristopher-zp2uo
    @FarajaChristopher-zp2uo 6 дней назад

    Oyoo kuna vitu tumeshakushauri lkn uweleweki

  • @DwishaMentor
    @DwishaMentor 6 дней назад +1

    Acha kutukana unapotafsiri siyo wote tunaosikiliza ni wahuni

  • @ShabaniBandini
    @ShabaniBandini 5 дней назад +1

    Acha matusi kenge ww wenguni tunaangalia nafamiliq zetu kenge ww

  • @mwakaali
    @mwakaali 6 дней назад +1

    Kutumia kondomu nisawa nakujipiga nyeto

  • @DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz
    @DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz 3 дня назад

    Sasa dj mambo ya kucopy saut za wenzio kwenye same career ndo nin sa?

  • @RachelMushi-t5n
    @RachelMushi-t5n 4 дня назад

    Kwann utukane tukane ovyo😢

  • @hamadsaidy8740
    @hamadsaidy8740 3 дня назад

    oya tunatumia mb zetu matangazo hayo

  • @AshuraShabani-wz8px
    @AshuraShabani-wz8px 6 дней назад

    We jamaa umeua et kuma mayo nimecheka kama mjinga

  • @XhebbyMandevu-b1s
    @XhebbyMandevu-b1s 6 дней назад

    🎉🎉

  • @Zenamboya-x7b
    @Zenamboya-x7b 3 дня назад

    Kwani usipo tukana move hainogi au😡😡😡😡😡😡😡😡😡

  • @SadatiJamali
    @SadatiJamali 6 дней назад

    🎉

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 6 дней назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @RukayyahJoseph
    @RukayyahJoseph 6 дней назад

  • @AslamPablos
    @AslamPablos День назад +1

    Sirikubwa ndiyo nikuowa ila kama ujabarikiwa kuowa nikutumiya kinga ju siku izi na wadada zetu wanadanga sana ju yamahishaa😊