TAZAMA SAIDA KAROLI ALIVYO NOGESHA USIKU WA TUZO ZA MWANAMKE PAMBE GEITA.
HTML-код
- Опубликовано: 14 дек 2024
- Msanii wa nyimbo za kihaya Saida Karoli amewafanya wanawake kutoka mikoa ya Shinyanga,Geita,Musoma,Mwanza na Kagera wafurahie usiku wa mwanamke pambe kabla ya zoezi la utoaji tuzo kuanza.