omkaile magenyiii 🙌🙌🙌🙌🙌bibi yange uwiii sindika saida ila otagwisa ila sijakuona kwny msiba wa Mdogo wako kaka ako Ruge maana najua ni MTU muhimu sana kwako...
Saida karoli I like yo music style though I don't understand the language, u are the great musicians who represent African, may the Almighty grants u knowledge so that u can go up with yo music,
Aka akaimbo kanula nkolubisi 💃😋😋 Wakola saida. Hizi ndizo nyimbo zako tunazozijua sisi wahaya na tunakupenda Sana unatuwakilisha vizuri Sana. I miss home haki 😥😥😥😥
There’s only one Saida Karoli and there will never be another. Grew up listening to your songs and all they do is bring me memories each time I listen to you sing. Pure art at work. Age like fine wine Mama Said. Uganda loves you
dada yuko kiwango cha juu sana sijui tufanye nini afikie mafanikio yanayostahili..hatakiwi kufanyiwa recording na studio za hapa nyumbani huyu namuona studio za south africa na amerika kaskazini
You are so wonderful mukwano. Simanyi luhaya batu I understand some because i was in Uganda most miaka 4 Ugandan language and luha just the sem.some words
Huyu ndio mwanamuziki aliyebakia anawakilisha utamaduni wa mtanzania Tupilia mbali hao wenye ubongo wa fuleva wanaiga iga tu mara nigeria mara south africa mara america wote feki
Napenda nyimbo zako Mimi mkimbizi kutoka Rwanda lakini sasa naishi USA napenda wahaya na wanyambo nawa Tanzania wote
Wahaya wote oooye utamaduni wetu huu❤❤ ❤❤ ❤❤
Tanzania nzuri , full bata! (Having good time). Gonga like kama unamkubali huyu Mama Yetu anawakilisha East Africa.
Tanzania oyeeee mama Bado tuna kuitaji
Huu wimbo utafanya nifike Bukoba. 🇹🇿🇰🇪💙
Mine andika kitabu cha sifa za mwalinu nyerere nitakuja Tanzania mki one.
Tuna maliza 224 karibu 225 tume barikiwa. Tanzania mama ludi kwa vijana endereza kazi
Any one listening to this song in 2024 🥰wapi likes
Saida karudi uwanjani..karibu sana mama twakupenda na twapenda mizuki wako...😘😘😘😘😘😘
dunia itakaa sana kabla iwahi kutokea mwingine mwenye sauti kama hiii.. aki walahi...ur voice.... ur voice... it is a blessing
Aisee saida wakola maan jeni hapa obugenyi bulungi
Mwakola muno, chonka nimpulila aliyo oluimbo ndwetwa omwana mwana nkantaulubonasi!!
Webale saida Karoli akishongoro aka🙌🙌🙌.Hariwo obugenyi💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
sauti tamu sana dada saida nisikie mtu akisema et diamond kumamake
omkaile magenyiii 🙌🙌🙌🙌🙌bibi yange uwiii sindika saida ila otagwisa ila sijakuona kwny msiba wa Mdogo wako kaka ako Ruge maana najua ni MTU muhimu sana kwako...
Saida karoli I like yo music style though I don't understand the language, u are the great musicians who represent African, may the Almighty grants u knowledge so that u can go up with yo music,
Naskia hila sielewe . Ubarikiwe Sana na style zako za kipekee saida
Mimi sijui kihaya lakini naipenda sauti ya Saida kweli tupende vya kwetu
Yaan me ni mtu wa mara nimesoma Uganda najikuta napenda nyimbo za kihaya am a haya Jaman 😅😅❤❤
Aka akaimbo kanula nkolubisi 💃😋😋 Wakola saida. Hizi ndizo nyimbo zako tunazozijua sisi wahaya na tunakupenda Sana unatuwakilisha vizuri Sana. I miss home haki 😥😥😥😥
Hii nyimbo iko vizur Saida uko vizur mama
byashemela muno saida ubalikiwe Sana nimesikia jina LA mama angu makemi
Yan kila wimbo wako naupenda sana, saf sana dadaa
Wakora munonga saida! Omukama katoka akwebembele boojo!!!!
Wahaya 👍
Usiependa unawivu. Kanyanyua kijiji nan kasiki Jane na shemej😂😂😂😂😂😂😂 wahaya siwaoni gonga like km unamkubali Queen traditional singer
Nipeni like ya 2021 please this songs inakubalika sana 🔥🔥🔥🔥🔥all the way from +254
Saida karoli unakubalika...wewe ndo mamayao
Saida koroli I salute you,thanks for the good music, from uganda 🇺🇬👌but currently staying in USA 🇺🇸😀😄
She is from Tanzania not Uganda
Saida kuja sasa na nyimbo za kumtukuza mungu tunapenda sana sauti yako ❤❤❤
Ahsante sana mama angu Bukoba unaiwakilisha vzr
Kasinge mawe akaziki karungi omanya kutuwakilixha abahaya twena mungu akubele
wahaya vidole juu wakola muno kama ujanisoma laki
mimi huwa napenda kazi zako sana tena zaidi ya sana
wahaya oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Aki sisi wana wa 254 twakusherehekea sanaa mummy...... Wapi likes za wakenyaa?
dada said nakubari nakubkia kwetu nyubni bisarara mukowa wa mara sergnti tunasipdga san ogera mama
mayo muno😆😆😆
Kenyan fans 2na k pnda dada kwa kazi nzuri
Vile sielewag kihaya but nampendaga sana hyu Dada Nyimbo zake tangu zamani, nimefurah karud tena asee
Saida Dada wa tz hongera magenyi viti hafikaliki👍👍👍
I am a south African that looks like it was an amazing occasion. What was all about madam karoli..
nzuri sana kwenye sherehe za harusi, Saida anakipaji sana
Real African Traditional music queen, Nakukubali sana mama, Wewe ni bora kuliko ahsante kwa nyimbo nzuri
Ninkwenda muno Saida waitu jaman❤❤❤
@saida kaloli nyimbo tam mama ila tuchanganyie na kiswahili kidogo mana nasikiliza nyimbo kila wakati nafurahia mdundo na sauti yako ila sielewi💪💪💪💪
Baraka Zacharia ongera Dada umenikumbusha nyumbani bukoba mungu akumbariki amin
Tupo vizuri sana Saida kwa utunzi mzuri
Daah sielew lakn nyimbo nzurii sana..yaan naskia neno moja tu mbo**
Noma sana
Masalia bango
wahaya tukovizuri. hiingoma niyakufungua mwaka
Sauti kama imetaka kukauka, ila ni tamu balaa!
From Kenya with love🔥🔥🔥🔥🔥
Denoh Kagiri .from nshomile tribe.
Much love to all African from Massachusetts USA 🇺🇸
❤❤❤ nakuamini unajuwa
Lulu hii...kama wa tz hawatambui baraka....
kama kinyarwanda, kama kiganda.... kihaya kinakaribiana sana na hizi lugha mbili.
actually, it is more of Runyoro/Rutooro, Runyankole/Rukiga. Where i come from , we used to find it suprising that she was Tanzanian
Kweli!
It goes to show we are all the same.
Muhaya mmoja aniambie maana ya huu wimbo
Wakola muno ma Saida, Omukama abei amoi naiwe!
kasige
Mungu azidi kukuimarisha kwani toka nimezaliwa nakua nasia said a kila kona hongera sa mama
Wenye atushikanishi lugha kaa 254 tufanye? Navile twakupenda Saida
Can Tanzanian Artistes try to emulate Saida Kaloli and release music in their local dialects, Please.
Hongera sana mama yangu kwa kanyimbo kazuriiii
We love you our dear sister here from Uganda (Buganda) go higher and higher.
Ingawaje sielew anachoimba ila anaweza huyu Dada saut ileile
aiseeee
#Wanangu_Wa_Bukoba 100% IJA mulebe saida Yagwakya omulilo aiseeew
👍👌👌😘
Ata sisi DRC tunaipenda sana
@@deodatusmushubirizi8157 ndugu lafiki yangu uyu dada music wake unani faridji sana ata nikiusikia njaa nafikra zina kimbiya
Nimemuona mke wa muhasibu wa tusuiime
Na kuku ba li. kweli dada
Kànyàngia hapo dada
I can't stop listening to your music. Well produced indeed. God bless you more.
This woman's voice makes me transcend spiritually.
Tuwachen wahaya tunaweza
huwa napenda sana kazi zako
7 yrs and it's still a hit,old is gold 🪙
Saida nakupenda sana dada
Mob love kwasisi huwa hatuelewi usemacho lakini tunapenda, kizuri ni kizuri
Nipenda hsante Sayyida
Mama Yuko vizuri ila walimdhulumu!!
Sindika wamawe omwana ashwere ase waiyuka wahaya 2po wap jamnnnnnn siwaon uwanjan
Anafunda mwali uyo,akajali na kueshm wakwe
There’s only one Saida Karoli and there will never be another. Grew up listening to your songs and all they do is bring me memories each time I listen to you sing. Pure art at work. Age like fine wine Mama Said.
Uganda loves you
A
dada yuko kiwango cha juu sana sijui tufanye nini afikie mafanikio yanayostahili..hatakiwi kufanyiwa recording na studio za hapa nyumbani huyu namuona studio za south africa na amerika kaskazini
Nakukubali sanaaaaaaaaq mayetu saida karori
Wahaya tupoo👍👍👍👍👍
Sielewi unachokisema lakini napenda mziki wako Saida
Am a luo from Kenya and I don't understand the language but I love the music it sound good and enjoyeble
Mama u remin number one much love from+256🇧🇪
hi
I like your sweet songs mama ❤❤🎉🎉😅
Daaaaah unajua mpaka bas jmn saida
Sawa,bwana,kula,maisha,hatukuingilii,
saida karoli nyimbo zake nzuri sana
kaz nzuri mama ww tupe mambo
Dada saida hongera sana
Wajukuu zangu wahaya hebu njooni mtulanslate.
Naipeipenda sana
From kenya.saida is there best
You are so wonderful mukwano. Simanyi luhaya batu I understand some because i was in Uganda most miaka 4 Ugandan language and luha just the sem.some words
Wahaya juu, juu zaidi....Saida UTABAKI kuwa juu Big up sana
This are the kind of songs we need unajikuta ukidance ata Kama huelewi lugha 😘😘😘
Mwana wange waiyuka
Asante Sana Wimbo mtamu Zaidi Naicheza Nikirudia..Mara Mia Asante:
Mamb
nakupenda sana japosielewi
Hongela sana mama nyimbo nzuli sana nimeipenda
Huyu ndio mwanamuziki aliyebakia anawakilisha utamaduni wa mtanzania
Tupilia mbali hao wenye ubongo wa fuleva wanaiga iga tu mara nigeria mara south africa mara america wote feki
Ndio
Huyo ndomwana music mama lao
Asante Saida kalori kwa kuwakilisha kabila letu la wahaya nyimbo nzur sana
@@witrackyona6269 mmmmmh
Nice one heko dadangu
Saida kaloli bukoba mipendo kutokabukoba wow 👍👍💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
Kama naww huelewi anamaanisha nn lakin umejikuta unacheza kwa bidii gonga like zako hapa faater