"Rosa ree kwa hiyo battle ni Maguire kwa defense...Oooh my God katoto kashaanza fever...kalidhani sick rapper kumbe kana yellow fever...You could just pick your size uka diss lulu diva shukuru mungu ju kwa rap huwezi deliver"..DAMN!!!
I love how he delivers...but what makes him so fortunate is fact that he knows what we call word play..n he delivers in a so simple tho not simple ..hz genius man
Points hukuelewa 1, Ground tuliachia Eve mungai 2,Mkitaka hizo vocal vijana mbarumbaru - vijana mbarumbaru is a gang of comedians in Kenya 3, Bars mko nazo ni za kuuza Serengeti - yaani hamna bars ila mko na bars(club) za kuuza maji ya Serengeti 4,Maswala ya beef uliza john cena - Maswala ya beef uliza juu sina 5, Rosaline kwenu battle ni Maguire kwa defense 😂😂 6, Roseline shukuru mola uko na mtoto juu kwa rap huezi deliver 7,Maua nitampa Rose muhando - rose muhando is a Kenyan gospel artist 8,Akuna kitu wanaspit jokes tueke kando- jokes is meant to mean Juma jux 9,Tafuta ata darasa usikose next class - tafuta Darassa musician akufunze
Huyu Dogo hatari sana natamani nimuone Kwa collabo Na Young Killer Msodoki hio ngoma Itakua noma Sana Afrika mashariki Hawa vijana wako Na maneno maneno makali hadi wahenga wenyewe hawawaelewi Hadi wafungue kamusi..big up Tricky de
@@handsomejagabantv4601 Mtumie disstrack basi wewe unayejua Kurap zaidi yake alafu ukae chini usubiri majibu after two days na alisema ukimdiss usisahau kutaja jina.
Sasa wafananisha trick dee na young killer Kenya we are the best on the flow unganeni uimbe amapiano juu bongo flavour imeisha nowadays ni amapiano tuu😂😂😂😂
Wajua msodoki ama wamskia tu..sikiza sinaga swagga zote.....Tricks Ni Mkali sana lakini uwezi sema msodoki ati hajui kurap wako level moja wote nawakubali tofauti Ni vile msodoki Alianza zamani ako mbali
Eeh bwana nilisubiria reaction yako ya Trickydeeh.. Nashukuru kumkubali dogo huyu. Ila sijui kama uliupata ule uroro alipotema 'ukitaka na hizo vocals vijana ni barubaru'... Jamaa kamaanisha lile kundi la Vijana barubaru. Hebu check them out pia. Jamaa wana vocals unyama. ❤
Vanny akisema kuhusu Rapper with wrong vission kama Fetty anamaanisha yule american Rapper anaitwa Fetty whap ambae ni chongo... Subhanallah subhanallah...hayuko serious lakini kijana wetu Trickide
Poleni sana sana wakenya hizo lap Wana lap ni za enzi hizi makapa wa Tanzania walilap mbona mnaiga vitu vya watanzania zilipendea lap zilipendwa ndizo wanaimba wakenya pole sana na ushamba
ruclips.net/video/0To4lhaHvgo/видео.htmlsi=ZLQ7243RxzS38Csz @van isikaka hebu chambua hii,na umfikishie Bi Suluhu posa yake kutoka kwa mtoto wa Mau Mau Bwana Gachagua😂😂😂
"Rosa ree kwa hiyo battle ni Maguire kwa defense...Oooh my God katoto kashaanza fever...kalidhani sick rapper kumbe kana yellow fever...You could just pick your size uka diss lulu diva shukuru mungu ju kwa rap huwezi deliver"..DAMN!!!
shukuru mungu ju uko na mtoto ju kwa rap huwezi deliver.
Was Maguire necessary 😂😂
Van isikaka ajifanya hakuskia hiyo part aliilenga😂😂😂😂
Ma own goal i. eRosa ree
fucking lyrics with Eminem shit in it....Fuck it
So far this is the best diss with the best punch lines...The boy gat talent...
A hiphop legend in making💪💪💪
This boy gat it all🔥🔥🔥
He deserves a great support. Thanks Vanny for your reaction❤❤❤
I love how he delivers...but what makes him so fortunate is fact that he knows what we call word play..n he delivers in a so simple tho not simple ..hz genius man
Points hukuelewa
1, Ground tuliachia Eve mungai
2,Mkitaka hizo vocal vijana mbarumbaru - vijana mbarumbaru is a gang of comedians in Kenya
3, Bars mko nazo ni za kuuza Serengeti - yaani hamna bars ila mko na bars(club) za kuuza maji ya Serengeti
4,Maswala ya beef uliza john cena - Maswala ya beef uliza juu sina
5, Rosaline kwenu battle ni Maguire kwa defense 😂😂
6, Roseline shukuru mola uko na mtoto juu kwa rap huezi deliver
7,Maua nitampa Rose muhando - rose muhando is a Kenyan gospel artist
8,Akuna kitu wanaspit jokes tueke kando- jokes is meant to mean Juma jux
9,Tafuta ata darasa usikose next class - tafuta Darassa musician akufunze
Nimependa Summary you killed it 🎉❤
Rose muhando ni Tz ww Kuna punchline umezimiss hapa
Vijana barubaru ni band msee
Mkitaka beef mweke mbuzi "Greatest Of All Time" (GOAT) kwenye menu😂
Hio hukuipata pia😂
@@ChivatsiIbrahim ni wetu....sisi tunamhost,tunamuinua tz wakimbwaga
Ako na ngoma mpya ft Ssaru, Fathermoh
Verce ameuwa sana
Yah you should listen to this song ame ua mbaya tricked🤣🤣
ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=fwhWrwKSw6QKEln0
Clear Swahili from the coast. 😊😊😊😊❤
Huyu Dogo hatari sana natamani nimuone Kwa collabo Na Young Killer Msodoki hio ngoma Itakua noma Sana Afrika mashariki Hawa vijana wako Na maneno maneno makali hadi wahenga wenyewe hawawaelewi Hadi wafungue kamusi..big up Tricky de
Young killer hajui kurap
@@handsomejagabantv4601 Mtumie disstrack basi wewe unayejua Kurap zaidi yake alafu ukae chini usubiri majibu after two days na alisema ukimdiss usisahau kutaja jina.
Sasa wafananisha trick dee na young killer Kenya we are the best on the flow unganeni uimbe amapiano juu bongo flavour imeisha nowadays ni amapiano tuu😂😂😂😂
Wajua msodoki ama wamskia tu..sikiza sinaga swagga zote.....Tricks Ni Mkali sana lakini uwezi sema msodoki ati hajui kurap wako level moja wote nawakubali tofauti Ni vile msodoki Alianza zamani ako mbali
Hapo hakuna sheng,mambo ya pwani bada
Thank you so much @VanIsikaka for the reaction but I still feel you left some tables unturned....in this masterpiece
Watu wanajua mziki wanajua ile diss ya rosa ree ilikuwa ya ufala ni makelele tu huezi compare na tricks💯💯💯
Na siko serious mazee.... Chonyi to the World. #TricksDe
a legend in the making, big up bro
Love this guy.
🔥
Trikide''go go Wakwehu..254
/KILIFONIA NDIO KULEE😊💪
Big Respekt 🇩🇪
Kwa kirenje😂😂
+254, 003 well represented... trikide🔥.. na hatuko serious mazee
002 tunampata vinoma
appriciate you reacting to the song big up van
This is the future of hiphop this guy is a real poet, salute big man
Fetty wap .. mwenye jicho moja 🔥....(ndio maana hamna vision) tz try and catch up 😂
Kenya we don't want peace , we want problems always 💥💥
Maaaaaaaaad manzeee waahhh🔥🔥🔥🔥
Crown tunawachia Eve Mungai....Legacy twakimbiza kisubaru🔥🔥
"Hata simba wenu hawezi sol kwa sauti" meaning diamond is not at good as sauti sol.
Tricky Dee 🔥🔥 na hajakua serious bado.....kitanuka
Eve Mungai owns a TOYOTA CROWN 👑 thats what my brother meant...iko na MAANA FICHE.....that line is dope
254 🔥🔥🔥🔥
We ni mjanja
Kumuelewa huyu Dogo Ni ngumu Hadi uchambue Sana..Kuna ngoma yake search inaitwa First press anadai sipendi bangi ndio Maana nikiipata tu Naichoma
@@franklinakiba7880 ata mimi sipendi,naichoma sana🤣
@@audongoegeorge512 🤣
I like the way you accept talents from 254 and 255 irregardless of the hot fight of hip hop industry between the two
Tricks to the world 🌎
This guy is deadly
Atampa maua(yaani flowers) rose mhando.Huyu hayuko direct unafaa kutafakari sana😂😂😂
Trick deeee bro na huna majigambo
#mbele kuzuri👊
From 254 but I like all your sessions
I thank OG.... Umeamsha industry ya mziki wa rap yani sai ata umezima ubana pua🎉🎉🎉
He always made it 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Trickde to the world 👊🔥#Rapper
clean 🔥
From 254 napenda show yako,shembeteng tutakufuza
Haukusikia hiyo ya
Kaa ni vocals vijana ni barubaru😂
Vijana barubaru 🇰🇪💯❤️
Huyo n Moto sana usi pime fire 🔥🔥🔥 Moho
Boom SKU zote
Relly bloody forever 🩸
Vanny fanya reaction ya ngoma ya akina unruly xxl 😭😅 tafadhali
Na tutatamba kote pande zetu pande zenu tricks hr you got my respect broo 💯💯💯💯
Oyaaa Broh Van nashkru kwa kujbu ombi langu laa reaction ya hii ngoma
This was the best diss track from Kenya
Juu io ndio unaelewa English you damp
@@funimusa390 ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=fwhWrwKSw6QKEln0🇰🇪
Isikaka nakubali sana my bro trikide...CEO wa TembeaKilifi
Karibu kenya #003 brother
Very talented......dogo yuko fresh
from254 thanks alot bro napenda job yako yaani rahisi
Kuna bars nyingi sana zimempita Van isikaka ama kweli hii lugha ni language😂😂😂
This guy is one of the best lyricists with a pure rap flow in the world....Maximum respect to Tricks
Nangoja reaction ya ssaru -suluhu mkuu
Best ever so far 😂😂
Shukuru mungu una mtoto juu Kwa rap huezi deliver...barz
This guy has made the best diss song so far
TEAM TRICKY DEEH NA SIKO SERIOUS MANZE🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Trick!!! nimependa uandishishi wa huyu dogo
Mtafute kijana mdogo can't wait for the podcast
Eti kwetu tunachana, wanasonga marapa wenu.... 💥... Si wanawake ndio husonga nywele alafu wanaume zao wanazichana😂😂😂😂
Big up van bro , to my 003 boy keep on
Kilifi 🔥🔥
My county 😊
Umeona
Kazi safi bro,big up yourself.
Master kimbo anadude bana van isikala ilete hapa
Mnyamwezi yupo sawa
Kenyans we want problems 😂😂😂always😡😡😡
Mbuzi kwenye menu.. Mbuzi gang, hio ni shout out to his friend Fathermore
Dogo huyu mnyama,bro I respect you,no hard feelings
This our guy⚡🔥🔥🔥🔥He nailed it
Ila mlipotaja Kenya you played with my peace you turned me from a rude boy into a beast....
Ilikuwa niwatch hii adi mwisho but iyo T-sho imeandikwa Tanzania ndo ilini-turn off
Among the best tricks📌 you locked 🔒
Jamaa la home❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 tuwakilishe tupo nyuma
Reaction fresh Sana bro
Hii ni moto tu sana big up bro 🔥🔥🔥
Waa trickideee huyu ni motoo
Kenya is like u.s.a in Africa. United States of Kenya we are mixed
Tricks you nailed it
Eeh bwana nilisubiria reaction yako ya Trickydeeh.. Nashukuru kumkubali dogo huyu.
Ila sijui kama uliupata ule uroro alipotema 'ukitaka na hizo vocals vijana ni barubaru'... Jamaa kamaanisha lile kundi la Vijana barubaru. Hebu check them out pia. Jamaa wana vocals unyama.
❤
Trick deee nahayuko serious mazeee
Van isikaka keep it up bro 🔥🔥🔥🔥 watching from Qatar 🇧🇭🇧🇭
Vanny akisema kuhusu Rapper with wrong vission kama Fetty anamaanisha yule american Rapper anaitwa Fetty whap ambae ni chongo...
Subhanallah subhanallah...hayuko serious lakini kijana wetu Trickide
Trickydee more fire sana
Tz tuliwawarn😂😂😂😂
Tricks ni mnyamwezi vibaya mno🇰🇪
Hapo umeweza kaka kinyamwezi kabisa. Hii nilikua nangoja sana.😂😂😂😂
Rosa Ree kwa iyo battle ni kama maguire kwa defense 💯💯💯😁🔥🔥
Congrat👏 👏 👏 dogo nimeipenda❤❤❤
Hio ni moto sana🔥🔥🔥
Maswala ya beef uliza jone( kaligraph) sina ( yeye hana) hapo kamaabisha hivyo kaka van bway.....uandishi wake tricky kama jina lake hahahahahaha
Tricks ni waya ya umeme, achaneni na home boy #003
Na hayuko serious mazee😅😅
Mwamba huyu❤
Poleni sana sana wakenya hizo lap Wana lap ni za enzi hizi makapa wa Tanzania walilap mbona mnaiga vitu vya watanzania zilipendea lap zilipendwa ndizo wanaimba wakenya pole sana na ushamba
Sasa wewe mwenyewe hata kuandika hujui het kulap ndio nn sasa washamba n nyinyi Na shobo ndio mna jua tu
Het tuna IGA nn sasa sikiza mitari hapo acha mwivu wa kijinga Na ww n mwanaume
Huyu ni mnyama sana zee
Kwetu uko😂❤❤❤❤❤❤
ruclips.net/video/0To4lhaHvgo/видео.htmlsi=ZLQ7243RxzS38Csz
@van isikaka hebu chambua hii,na umfikishie Bi Suluhu posa yake kutoka kwa mtoto wa Mau Mau Bwana Gachagua😂😂😂
Thank you kwa hio kukubali vins ❤
Ety Rosa ree nikama Maguire Kwa defence..😂😂😂
Tricks lete Moja Na Master Kimbo
Tricks🔥🔥
Imeweza io dis track
My home trikide 🔥😂