MSUKUMA WE MPINA TULIA MTUHUMIWA WEWE | WAVURUGANA BUNGENI | ANACHANGIA AU ANANISIMANGA HUYU MSUKUMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 268

  • @maase2023
    @maase2023 4 месяца назад +21

    Mbunge kama msukuma anaongea mno tu lkn hakuna hoja ya maana kwa kweli! Mpina bravo bravo mtetezi wa wananchi

    • @Petro.John.
      @Petro.John. 4 месяца назад +1

      Sana, kwanza hawezi kujenga za msingi.

  • @isayashayo4777
    @isayashayo4777 4 месяца назад +9

    Team mpina niko hapa i love the person like mpina and makonda

  • @RunenkeThadeo
    @RunenkeThadeo 27 дней назад +2

    King musukuma safi sana

  • @stevencharles-di9yc
    @stevencharles-di9yc 4 месяца назад +7

    m nilijua kua tupo kwenye vita Moja kumbe mwenzetu amegeuza bunduki nyuma kweli ccm amana kumwamin mtu😊

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 4 месяца назад +10

    MSUKUMA...NIKICHWA HASARA NIRICHAWA TU JINGA SANA

  • @GeorgekimamuleKimamule
    @GeorgekimamuleKimamule 4 месяца назад +3

    Mpina mungu akubariki songa mbele tunaumia sana

  • @bullekisimikwe3852
    @bullekisimikwe3852 4 месяца назад +5

    Luhaga Mpina is very intelligent ni watu wachache wenye hoja za maana kama yeye sio hao machawa wengine

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 4 месяца назад +6

    Mpina ni kiongozi mzuri sana

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 4 месяца назад +5

    Wew kweli imaonesha wew ni wa DARASA LA SABA, HUJUI LOLOTE, MBUMBUMBUUUUU, MKUBWA,

  • @princeemac2016
    @princeemac2016 4 месяца назад +1

    Daaah yaan hii nchi tutafika tumechoka sana Mh Mpina kaongea ukweli chawa wameanza kumsakama

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 4 месяца назад +5

    MPINA SONGA MBELEEEE, BWEGE MKUBWAAAAA!

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 4 месяца назад

    Nimekubali bunge letu ni bendera fwata upepo saa iz mpina amekuwa mtuhumiwa kwa ajili ya kutetea wananchi hongera ccm

  • @MarwaMasurula
    @MarwaMasurula 4 месяца назад +11

    Msukuma nilikuwa nakuheshimu kumbe nawewe Ni chawa tu

  • @JosephKalegea
    @JosephKalegea 3 месяца назад

    Wazili hasaiidii watanzania niwajibuwake kufanyakaziya kufanya kazi aliotumwa.hongera mpina wewendio kioo cha jamii

  • @PetroBulabo
    @PetroBulabo 4 месяца назад

    MH.msukumu siku hizi na.wewe umepinda,sijajua ni uzee Ama Nini,.....!!!!.tangu kwenye sakata.la bandari.mh.mpina pamoja sana...
    .
    !!!!!

  • @NdebileMathias
    @NdebileMathias 4 месяца назад +10

    Mungu atamsaidia mpina

  • @VictoriaBenedictor
    @VictoriaBenedictor 4 месяца назад

    Hongera bashe chai kwenye mgahawa sh 100mitano Tena waache watukane wananchi tupo kimya

  • @michaelmwikalo971
    @michaelmwikalo971 4 месяца назад +3

    Chadema hawapo sasa mnakulana wenyewe kwa wenyewe God is great

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 месяца назад

      Dhambi ya kula nyama ya binadamu haitoisha...itaendelea kuitafuna tu ccm

  • @josephamos6636
    @josephamos6636 4 месяца назад +3

    Hoja za mpina ziko vizuri sana labda tu kwasababu ameongea na waandishi mmepataaibu kuumbuliwa sili zenu za upigaji

  • @LillianPaul-c6g
    @LillianPaul-c6g 4 месяца назад

    Asante sana mupina achana nao awajielewi

  • @kingngojea
    @kingngojea 4 месяца назад +6

    Naona mlikua na asila toka mda na mpina sio kwa jazi a izo kawagusa haswaa

  • @shabanimasue6546
    @shabanimasue6546 4 месяца назад +2

    Mpina is excellent ❤

  • @SelemanMhana-ol7tk
    @SelemanMhana-ol7tk 4 месяца назад +4

    Mpina alistaili kupongezwa maana kasema yalipewa vibali makampuni yasiyotenda ya kuleta sukar ambayo hayajihusishi na sukari na pengine yana mtaji mdogo .Hivi kweli hawawezi wakajiuliza kwamba Mpina yuko Makini kwa kujua hayo yote na Bashe amekubali alifanya hivyo na hii yote aliyoyafuatilia Mpina kuujua ukweli aliyoyafanya Bashe Tanzania nzima hadi wabunge wanokaa na Mpina bungeni walikuwa hawajui hadi Mpina kufuatilia ukweli wa Bashe alichokifanya na amekubali Bashe, Mpina alichokiwasilisha kwa Spika ni kweli amekiri Bashe kwanini basi isichukuliwe kwamba Bashe alifanya Makosa kuagizia Sukari zaidi ya kiwango kilichopitishwa na kamati na hata hivyo kwanini wengine hawajaleta sukari kama wanajiweza kimtaji.Nahisi hii ndo Mashaka ya MPINA (MSOMI MFUATILIAJI) Kuwaelewesha watanzania na wabunge pia

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 4 месяца назад

    Wameungana Mungu simama mtetee Mtetezi wetu naaendelee kufichua madudu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 месяца назад +11

    Kumbe huna akili kweli shule nzuri

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 4 месяца назад

      Kenya wameanza kunyolewa na nyie wa Watanzania anzeni kutia maji

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 4 месяца назад +2

    Msukuma utakuja kuchukiwa hutasahau.Unapenda kujikweza ukipenda unaongraga vizuri,unanyooshaga mambo vizuri kuna wakati unaparanganyika.nilishapendekeza uwe mbunge wa kanda ya ziwa.

  • @leahmagaiwa9099
    @leahmagaiwa9099 4 месяца назад

    Jaman nimemmiss Polepole, saivi kabaki Mpina tu.

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 4 месяца назад +9

    We mama watz wenye akili timamu hatuwezi kuwasikiliza majambazi mnaotetea majambazi wenzenu sisi tunasimama na mpina mia kwa mia tuseme tu hatuna bunge

    • @omarali797
      @omarali797 2 месяца назад

      Huyu, hutamsikia kwenye michango mengine ya maendeleo. Hawa wakuteuliwa mara nyingi hujichomoza wakati kama huu

  • @alfredmathias8748
    @alfredmathias8748 4 месяца назад +5

    We mama nae hujui ki2 kalee familia2

  • @TanzaniavsKenyamaasaitradition
    @TanzaniavsKenyamaasaitradition Месяц назад +1

    Kumbe ukiwasemea wanachi ni dharau kwa wabunge wetu leo ndio nasikia hayo

  • @JaphetOnesmo-ef6qe
    @JaphetOnesmo-ef6qe 5 дней назад +1

    vaise mbunge kama huyu ange fika juongoza mkoa wa kigoma kwa kwer tungeshukulu saana

  • @leahmagaiwa9099
    @leahmagaiwa9099 4 месяца назад

    Msukuma nakuchukia Sana, kama nilivyokupenda Sana

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 4 месяца назад

    Mama hebu lichunguze hili wanalo fanya wanao bungeni wanatuayibisha

  • @christosphernnko3417
    @christosphernnko3417 4 месяца назад +4

    Kha kweli hii nchi inasikitisha. Tunahitaji upinzani.

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 4 месяца назад +1

    Bunge hili mmmmh Mungu anawaona

  • @poliamgunda
    @poliamgunda 4 месяца назад +1

    Kujipendeza mmejua wabunge nyinyi duh yaani huwezi amini kama ni bunge

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 4 месяца назад +1

    Bora nicheze dream league kuliko kusikiliza msukuma huyu fala

  • @chamlilemhando7478
    @chamlilemhando7478 3 месяца назад

    Tanzania ina matatizo makubwa mungu atuseidie .

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 4 месяца назад +4

    Mfukuzeni mpina ataenda chama chochote na atashinda ubunge et kwenye nec yaan ninyi mmeishiwa sera kabisa

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 4 месяца назад +2

    Viva mpina

  • @margarethmwaibasa3697
    @margarethmwaibasa3697 4 месяца назад

    Bashe yuko vizuri

  • @SleepyBarn-ej9gg
    @SleepyBarn-ej9gg 2 месяца назад +1

    Msukuma ni mbunge anae ongea hoja San

  • @japhetaverin-ou9rp
    @japhetaverin-ou9rp 4 месяца назад +1

    Daaa yani hadi msukuma niwalewale unafiki umewajaa mnajali maslai yenu tu😢😢

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 4 месяца назад +1

    Bunge la aibu hili halijawahi kutokea duniani 😂😂😂

  • @petrolungwasha4630
    @petrolungwasha4630 2 месяца назад +1

    Wataanzania ndi nini sasa

  • @MarkoWMichael
    @MarkoWMichael 4 месяца назад

    Yaan hawa wabunge wa Tanzania hawapendani kabisaaa mwenzao akiwa kwenye Matatizo kama ivo wanamrarua atari niliona kwa GWAJIMA KIPINDI CHA KORONA NA KWA NDUGAI YAAN CCM SIJUI NIWAPE JINA GANI

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 4 месяца назад +1

    Mbona hayo maamuzi magumu na kama mna uchungu na watanzania, madudu mengi yanafanywa na hao mawaziri hajawahi kuchukuwa hatua , acheni unafiki,, Mpina Songa mbelee kuisimamia haki Kuna gharama kubwa.

  • @MohamedNamkanda-uy3fj
    @MohamedNamkanda-uy3fj 4 месяца назад

    Dah huyo mama anaweza sana

  • @eliasmarwa4085
    @eliasmarwa4085 2 месяца назад +1

    Wapinzani walisema ipo siku mtakukana wenyewe

  • @SeifuNassoro-po6rb
    @SeifuNassoro-po6rb 4 месяца назад

    Mpina oyeeeees

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 4 месяца назад

    Ikiwa Bunge halitaki kuhesgimu Sheria waliozitunga wenyewe Tanzania wa na sipelekabwapi?

  • @DaudiOkey
    @DaudiOkey 4 месяца назад +3

    Nenda shule kwanza huna point zenye mashiko

  • @aneth520
    @aneth520 4 месяца назад +3

    Viongonzi mnajisahahu sana ila tuna waambie hivyo viti hamtakalia mda mrefu hakuna mnachofanya Humo bungeni mnatetea matunbo yenu

  • @ReginaJoseph-cm3cx
    @ReginaJoseph-cm3cx 4 месяца назад +5

    Mpina songa mbele, Hawa wawe wamekutia moyo tu

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 2 месяца назад +1

    Musukuma hajasoma siyo kosa lake

  • @meshackpole
    @meshackpole 4 месяца назад

    Hapo kweli kmeumanaa

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g 4 месяца назад +3

    Kilaza wa bunge,sasa wewe wa darasa LA saba na Mpina nani kichaa?.vyama viko vingi wasikutishe na Neki.

  • @saidmussongo1527
    @saidmussongo1527 4 месяца назад

    Msukuma sikiliza wakili radio UHONDO TV

  • @aidanexson1634
    @aidanexson1634 4 месяца назад +1

    Nakubali ya msukuma

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 4 месяца назад

    Bunge lenyewe la mchongo Hilo tunalijua

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 4 месяца назад

    Magufuli alikuwa sahihi sana kufukuza darasa la saba kumbe aliona mbali sana

  • @mackchacha4114
    @mackchacha4114 3 месяца назад

    Elimu inayonafasi kubwa sana

  • @petermhagama9952
    @petermhagama9952 4 месяца назад +1

    Ugali unatetewa, watanzania wanapigwa na MFUMUKO WA BEI ZA BIDHAA

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 4 месяца назад +2

    Adhabu eti 15 au 10 mtu anachangia , hata siku 1 ni adhabu na maumivu ni yaleyale kwa wenye akili , hata lisaa kwa mwenye akili inauna ,, hata ukisamehewa bado itakuuma tuu ukiwa na akili. Kwa mtuhumiwa mwenye akili .

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 4 месяца назад

    Msukuma njaa inakutoa kwenye mstari😂😂😂😂

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 4 месяца назад

    Akili tope.

  • @dianampogolewakovizurisana1424
    @dianampogolewakovizurisana1424 2 месяца назад +1

    Safisana msukuma wa dalasala7

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 4 месяца назад

    Najiuliza, hili dili mpina alikosa mgao au ?
    Maana wabunge wote wanamsema mpina.

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 4 месяца назад

    Kweli ccm mwisho inakaribia

  • @kingngojea
    @kingngojea 4 месяца назад

    Sasa mbona hukuleta kashifa iyo onao sema alifanya uhalibif kwenye samak

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 4 месяца назад

    Kiongozi katika nchi ya ujamaa sio uongozi wa amri wala uongozi wa mabavu.
    Wakati wabunge hawana haki ya Kinga Yao ni hatari.
    Kuna rushwa imetilewa.

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba 4 месяца назад

    Kasheku,usijisifu ninani atarudi?huku nje tunawaombea wote Bungeni liwe na Amani,na Mhubiri 3:3-8.

  • @ElipdiusGozebert
    @ElipdiusGozebert 4 месяца назад

    hiyo nayenyewe kaliii

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto 4 месяца назад

    Mambo ya unec yanakujaje kwenye bungee!. Msukuma wacha ujinga huo.

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto 4 месяца назад

    Nyie wabunge mnapokuwepo bungeni kuwemi makini mkijua kwamba mnachoongea watanzania sasa hivi wameelevuka. Ukizungumza Kwa uchawa watu watajuwa ukizungumza Kwa maslai ya watanzania watu watafahamu. Hivyo kuwemi makini saana hapo bungeni.

  • @DaudElias-wt5pw
    @DaudElias-wt5pw 4 месяца назад

    Wew nae unatetea haoja mbovu mpina Yuko sawa

  • @LillianPaul-c6g
    @LillianPaul-c6g 4 месяца назад

    We we mama nikilaza wa bunge kweli

  • @ShinjeMackenzie
    @ShinjeMackenzie 4 месяца назад

    Wewe msukuma ndiye unapaswa tukuite mtuhumiwa namba maja wa fikira chanya kwanza kabisa huna level ya kumshauri mpina kwa lolote tetea ugali wako tu maisha yasonge uchawa umekuhalibu bro ulikuwa vizur hapo nyuma hata mm nilipenda nondo zako lakini kwa utawala huu wabizile le ida chawa pro

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto 4 месяца назад

    Msikuma nilikua nakupemda ,ila Kwa hili umechemsha Wacha kukumbatia mambo yanayowaumiza watanzani, hata swala la bandari ulilitetea saana kuuzwa, kumbe ndio tabia Yako!

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 4 месяца назад

    Kwa nini vibali wapewe viwanda cb inavyozalisha sukari.
    Mmiliki wa viwanda huo ni nani?
    Walivipataje?

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 2 месяца назад +1

    Huyo mbunge mmama mbona anaongea kwa jazba hivyo.....

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 4 месяца назад

    Wewe msukuma ni mjinga sans

  • @Lizzy-gh2ls
    @Lizzy-gh2ls 4 месяца назад +3

    Dah wananchi ndo aina ya wabunge mlio nao hawa hili bunge hadi linafanya wananchi wajute kuwa na wabunge wa haina hii

  • @MariamBakari-ox9qo
    @MariamBakari-ox9qo 4 месяца назад

    Huyu mama anaongea sana , alipangwa nini😅😅😅😅

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 4 месяца назад

    Mpina yupo sawa ccm hamtaki kuambiwa ukweli

  • @isayashayo4777
    @isayashayo4777 4 месяца назад

    Hata mkihukumu 2025 tutamchagua tena❤❤❤❤❤❤

  • @FrankMkwanda
    @FrankMkwanda 4 месяца назад

    Jamani elimu ni kitu bora sana. Sasa huyu zero anamropokea mtu ambae ni intelligent. Yaani anaungaunga maneno Ili aonekane anahoja na wamaana

  • @JumaElias-wn4zo
    @JumaElias-wn4zo 4 месяца назад +1

    Luhaga joelson Mpina

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 4 месяца назад

    Naendelea kukusanya data taratibu ila mpaka sasa hivi ninauhakika wabunge wengi ni wa hovyo sana hamrudi bungeni kabisa, uchawa unaiharibu nchi ifike sehemu watu wakubali kuzingatia ukweli sio ushabiki wa kupiga makofi mpaka uongo. Hii nchi hii..,

  • @nyanzayakobo9705
    @nyanzayakobo9705 3 месяца назад

    Msukuma Hana maana hili ni bunge la hovyo kweli

  • @drkalokola5861
    @drkalokola5861 4 месяца назад

    Tunamdhauri Mpina aende Mahakamani kudai haki yake kieleweke.

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 4 месяца назад

    Kumbe msukuma yuko namna hii? hatari sana

  • @tumainimapesa6870
    @tumainimapesa6870 4 месяца назад

    Shida ya msukuma anajiona mjanja sana hajuhi kama ana tumika

  • @isayashayo4777
    @isayashayo4777 4 месяца назад

    Hata mkimpinga mpina mjue atahamia kwa magwanda ni mwendo wa gwaride bungeni 😂😂😂😂

  • @hakiyangu
    @hakiyangu 4 месяца назад +1

    Naona chuki binafsi ktk hili jambo hili, bunge hili kwa sasa halitendi haki kwa wananchi labda kwenu wabunge tu. Eti kumdharau spika mbona nyinyi mnawadharau wananchi? Wezi nyinyi

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 4 месяца назад +1

    Bunge la wapuuzi hili

  • @nicholauspaschal5756
    @nicholauspaschal5756 4 месяца назад

    Duuu,kuna vitu vya ukweli sasa mrejesho wake ukoje

  • @kayumbasosthenes3596
    @kayumbasosthenes3596 4 месяца назад

    Mnaomtetea mpina mnatakiwa kumuambia ukwer, na mkiambiwa msiyoyajua mtanyamaza kimya,kakurupuka na anajaribu kumpunguza nguvu bashe yakuwaadabisha mabepar wa sugar

  • @RamadhaniMzara
    @RamadhaniMzara 4 месяца назад

    Acheni mipasho sisi raia tunataka hoja za maendeleo huku uswahilini,

  • @Davivancee
    @Davivancee 4 месяца назад

    mavilaza wote wanaomsakama mpina hatuwachagui tena awamu ijayo mpina ni shujaa na yuko sahihi anasimamia haki fikiria kwanza kabla hujalopakalopaka tu ovyo yatakurudia mwenyewe.