Uyu jamaa ni shujaa Sana na jasiri... mashalah...inaonekana hapaniki kwenye majambo kama haya ...hakika uyu mwanaume shujaa...hongera na pole Kwa changamoto
Nimpongeze kwa kuwaza kuwa na uongozi kwani kwa wingi wao wangekufa kwa kugombania ila kwakuwa kulikuwa na Kiongozi wa kutoa maelekezo yote yamewezekana.
Ashukuriwe Mungu kuona wengne mpo hai lakin pia tuwaombee majeruhi warudi ktk Hali ya kawaida pia na marehemu waliopatwa na mauti mwenyezi Mungu ndio ajuaye kesho yetu tuzdi kumuomba bila kukoma
Allah awanusuru wote walioathirika na ajali hyo kwakwel inahuzunisha sana, Ila kwa uwezo wake Inshaallah atafanya wepes kwa wale ambao bado hawajapata msaada tuendelee kuwaombea ndugu zetu
Dah...pole mwananchi...ona wana yanga walivo na akili!!! Mungu aendelee kuwatunza na kuwabariki...poleni wote mliofikwa na janga hili ambao bado hawajaokolewa Mungu awafanyie wepesi muokolewe mkiwa hai na waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani InshaAllah😭
Pole Sana kaka kwa ujasili uliouonesha kwa wenzako mungu Akubariki sana
Polee kaka angu mungu azidi kukuweka
Poleni sana ndugu zetu.
Uyu jamaa ni shujaa Sana na jasiri... mashalah...inaonekana hapaniki kwenye majambo kama haya ...hakika uyu mwanaume shujaa...hongera na pole Kwa changamoto
Poleni sana mwainchi wangu
Poleni sana kwa tukio hilo
Hawa ndo mashujaa sasa wanateua viongozi presha zinashushwa wanatoka wembamba kwanza wanapiga picha hongereni sana
Pole mwanayanga mwenzangu
Polen sana ndugu zetu mungu awatie nguvu
poleni sana nahongereni uriofanikiwa kutokaalama
Mungu atusaidie
Kaka pole sana
Kaka pole sana na polen sana wt wahanga wa tukio hilo😢😢😢😢
Nimpongeze kwa kuwaza kuwa na uongozi kwani kwa wingi wao wangekufa kwa kugombania ila kwakuwa kulikuwa na Kiongozi wa kutoa maelekezo yote yamewezekana.
MUNGU ni mwenye kuogopwa Sana,ili tukio linatukumbusha tumrudie MUNGU kwa kumfunga,kulia na kuomboleza tulilie nafsi zetu na nchi yetu
Mwamba haswa Mungu na azd kumlinda
Ashukuriwe Mungu kuona wengne mpo hai lakin pia tuwaombee majeruhi warudi ktk Hali ya kawaida pia na marehemu waliopatwa na mauti mwenyezi Mungu ndio ajuaye kesho yetu tuzdi kumuomba bila kukoma
Pole sana aise
Mmmmh kweli mwanaume ni mwanaume
Kwaiyo hamsini kwa hamsini tuwaachie wazungu
Poleni sana
Polen kwa mitihan inshaallah mungu atawapa subra
suala la uongozi bro nakupa bigup sana wewe unabusara.
Pole san😊
Mungu awatangulie
Pole san
Mungu ututetee tupiganie 🙏🙏
Allah awanusuru wote walioathirika na ajali hyo kwakwel inahuzunisha sana, Ila kwa uwezo wake Inshaallah atafanya wepes kwa wale ambao bado hawajapata msaada tuendelee kuwaombea ndugu zetu
Poleni sana jamani hakika wewe ni kiongozi haswa
Dah...pole mwananchi...ona wana yanga walivo na akili!!! Mungu aendelee kuwatunza na kuwabariki...poleni wote mliofikwa na janga hili ambao bado hawajaokolewa Mungu awafanyie wepesi muokolewe mkiwa hai na waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani InshaAllah😭
Upewe mama yako kwa jinsi ulivyoongea😊
Poleni sana wahanga
Ya Allah wanusuru watanzania 😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole sana ,
Brother kweri wewe nikiongozi hakika Groly to God
Mungu alitaka awe hai tunawaombewoote Allah awape shifaa hakuna mjanjabkwenyekifo
Mungu aitwe mungu .
Mwandishi acha kuuliza maswali unachosha
Mungu utusimamie kipind hki kigumu
Chidy vava wakunyumba. Natoa pole kwa wote wahanga na ndugu jamaa na marafiki wa wa hanga.
Pole
Maana halisi ya Kiongozi!! Kiongozi ni Mtumishi wa wote!!
Dah Allah karim hajaumia hata kidogo na kukaa muda wote huo
Kila jambo linatokea kwa makusudi na kifo kinalenga anayehitajika. Innalillah wainah ilayh rajiun 😭
WANAWAKE KWA MTERU NDIO ZAO.
MUNGU AZIDI KUWAPIGANIA
POLENI SANA JAMANI
Unafaa kuwa kiongozi
Tumefrah kumuona maana tulikuwa tunackia sauti tu
𝙋𝙊𝙇𝙀𝙉𝙄 𝙎𝘼𝙉𝘼 𝙉𝘿𝙐𝙂𝙐 𝙅𝘼𝙈𝘼𝘼 𝙉𝘼 𝙈𝘼𝙍𝘼𝙁𝙄𝙆𝙄
Pole sana
Pole sana