ZINGATIA HAYA KABLA HUJASAFIRI NA NDEGE!✈️✈️✈️

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Haya ni mambo ya msingi sana ya kuzingatia kabla hujasafiri kwa usafiri wa anga #canada #greencard #health #safari #divineangel #Arrivaltv

Комментарии • 72

  • @JacqulinedeogratiusKahwa
    @JacqulinedeogratiusKahwa 2 месяца назад +1

    Nakutazama toka mwanza tanzania

  • @jaquelinetandu2462
    @jaquelinetandu2462 2 года назад +2

    🍾🍾🍾🎉🎉🎉🎉🎉🎉🍾🍾🍾🍾🍾Bravooo bravooo

  • @shabirryabdallah8714
    @shabirryabdallah8714 2 года назад +1

    Asantee kaka kwa kutupa elimu hii mungu akuzidishie na uendelee kutuma mwongozo zaidi

  • @fadhilijulius2793
    @fadhilijulius2793 2 года назад +1

    Great job bro

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 3 месяца назад

    Bro upo sawa

  • @shebbyID24.
    @shebbyID24. 2 года назад +1

    rock city mwanza big up broo

  • @andymungai6154
    @andymungai6154 2 года назад +1

    Watching from MombaSa. KAZI poa sana bro.

  • @annirush7388
    @annirush7388 2 года назад +1

    Mungu akubariki na akuzindishie

  • @mayagilajoseph728
    @mayagilajoseph728 2 года назад +1

    Kazi yako ni nzuri kaka. Keep it up

  • @MrMasterMathew
    @MrMasterMathew 2 года назад +1

    Hongera

  • @fathermwakisongo
    @fathermwakisongo 2 года назад +1

    Mambo unayotujuza ni kuntu, big up

  • @emelecianafrancis5655
    @emelecianafrancis5655 2 года назад +1

    Asante kwa elimu ,

  • @halfaningatwanga3776
    @halfaningatwanga3776 2 года назад +1

    Na watch from mtwara,Tanzania 🇹🇿,
    All the best

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 2 года назад +1

    New comer here, ✅️✅️✅️

  • @asengoadam1166
    @asengoadam1166 2 года назад +1

    Thank you

  • @mchinatz6867
    @mchinatz6867 8 дней назад

    Mm nataka kwenda kigoma

  • @MohamedJonston
    @MohamedJonston 9 месяцев назад +1

    Taarifa zimenisadia sana maana najiandaa kupanda ndege kwa mara ya kwanza thanks

  • @glorymoshi7793
    @glorymoshi7793 2 года назад +1

    Thank

  • @SolangeAziza-f1l
    @SolangeAziza-f1l Год назад

    Ahsante sana

  • @stellacosmas6047
    @stellacosmas6047 2 года назад

    Safi sana kutoka geita

  • @Voyageurapprenant
    @Voyageurapprenant 2 года назад

    Content zako ni nzuri sana Kaka,tuko pamoja,from DR Congo

  • @dinaabel5366
    @dinaabel5366 2 года назад +1

    Thanks alot🙏

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 2 года назад +1

    asante saana kwakutupa elimu buree

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 4 месяца назад

    Asante sana. Kwangu mimi tatizo masikio huwa yanaziba sana, hadi nameza mate kila wakati. Yanafunguka ukimeza mate, baadae yanaziba. Nashukuru sana.

  • @vitymteysemere4777
    @vitymteysemere4777 2 года назад

    Me nakuita #sirdivine

  • @boscoerasto5148
    @boscoerasto5148 2 года назад +2

    Mimi naitwa gelard erasto makolobela nimekuelewa sana kaka

  • @mauwamwinga6880
    @mauwamwinga6880 2 года назад +2

    Ivo vidude vya kueka masikion kuna ndege nyingne wanatoa km turkish air ila 'nilipanda Egypt Air awatoi' nilipata iyo shida ya masikio

  • @shabirryabdallah8714
    @shabirryabdallah8714 2 года назад +1

    Kaka mimi nataka kwenda marekani nikatakute maisha kwa sasa nimeshaandaa kiasi kidogo kama Tsh 4 milioni na Passport ninayo hivyo naomba unisaidie kunipa muongozo kwenye swala la kupata visa na gharama zote na niandae kama kiasi gani cha pesa ambacho naweza kuanza nacho Asante. From Tanzania Dar es salaam.

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  2 года назад +1

      Sawa unicheki kwa namba hizi za WhatsApp +1(682)3689282 nikupe malekezo

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  2 года назад

      Mdao sijakusahau

  • @trueone_tz
    @trueone_tz 2 года назад

    👍

  • @happinesscharles3457
    @happinesscharles3457 2 года назад +1

    Niliiçheķa sana safari yako ya marekani nimejifunza kitu. 🙏

  • @JacqulinedeogratiusKahwa
    @JacqulinedeogratiusKahwa 2 месяца назад

    Je ukiwa ujawahi utajuaje kuscan

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 2 месяца назад

    Mi nipo South Africa na nilikuja na bus kutoka tz naondoka na ndege kwa x ya kwanza please mongozo

  • @BarakaWenseslaus
    @BarakaWenseslaus 9 дней назад

    Me ninayo safari ya spain 🇪🇸

  • @minaezekiel1972
    @minaezekiel1972 2 года назад

    Big gap bro!! Mim nauliza inakuaje mtu anaondoka na visiting viza !!lkn inapoisha harudi Tena kwao !!Inakuaje cku anayotakq kutoka Ughaibuni !! Na Visa yke imeisha mda!!

  • @missnamwambemomentstv7753
    @missnamwambemomentstv7753 2 года назад +1

    Tena saiz saa 6 kassoro ucku

  • @suleimanmohd9090
    @suleimanmohd9090 2 года назад

    Mungu akubariki kiongozi kwa elimu yenye manufaa sana zaidi ya sana unayotupatia. Naomba kuuliza kuhusu online flights ticket agents, je hawa wanaaminika kiasi gani kukata tickets kupitia wao hasa hasa multiple tickets (connecting flights)? Asante.

  • @JaphetJoseph-o9o
    @JaphetJoseph-o9o 25 дней назад

    Nawezaje kupata mizigo wanguu msaadaa jamani uko airport abeid karume umetoka London

  • @missnamwambemomentstv7753
    @missnamwambemomentstv7753 2 года назад +1

    Mm mgeni kwenye hii channel..Leo nmekamia kwel, naangalia video zako zote...aiseeh

  • @MinariyHassan-g9y
    @MinariyHassan-g9y 4 месяца назад

    Me nataka kujua mtu anae ondoka na Ethiopian airlines akifika addis ababa atajuaje gate la kwenda kwenye ndege ya kwenda omani masqact kwa shirika hilo hilo

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 2 года назад

    Nina ndoto za kuenda kuishi na kufanya kazi Seychelles brother nisaidie nipate uelewa juu ya nini natakiwa nifuate!asante.

  • @josephlokai4013
    @josephlokai4013 Год назад

    Ndugu na watu ambao wana shida ya kutapika?? Je ndege ni hivo hivo????

  • @ErickPeter-e4k
    @ErickPeter-e4k 3 месяца назад

    Kutoka Tz mpaka India ni beigani

  • @thevoiceofdeliverance6061
    @thevoiceofdeliverance6061 Год назад

    Kwenye hii video sauti iko chini kidogo

  • @MohamedJonston
    @MohamedJonston 9 месяцев назад

    Bro je nikiwa angani nawezaje kujua kwamba nipo kwe anga ya nnchi gani?

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  9 месяцев назад +1

      Mbele ya kiti chako kuna screen ile ya kutazama movie bonyeza mahali pameandikwa my flight ✈️ then chagua maps hapo utaona ndege ipo Kwenye Anga la nchi au bara gani .

  • @AndrewGingi
    @AndrewGingi Год назад

    Namba yako ya simu ili kwa maulizo zaidi maana nasafir kwenda California mwezi march

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Год назад

      Karibu na ticket za ndege pia tunafanya kwenye kampuni yetu +14253642418

  • @karimnzeyimana-uw9tm
    @karimnzeyimana-uw9tm Год назад

    Amani ya Mungu iwe ju yenu nyote alafu nilikuwa naswali moja mtu kama mimi niko Burundi unawezaje kutusaidiya nasi tuko na ndoto zakufika USA na Passeport tunazo

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  Год назад

      Yes popote ulipo Duniani tunaweza kukusaidia

    • @karimnzeyimana-uw9tm
      @karimnzeyimana-uw9tm Год назад

      @@ArrivalTv oo yes muda ukifika lazima niceki tusaidiyane kwa sasa nitaendeleya kutazama vidéo zako ili nipate kujifunza mengitu

  • @John_mt
    @John_mt 10 месяцев назад

    Niko Wisconsin

  • @juvenalkabunduguru5798
    @juvenalkabunduguru5798 2 года назад +1

    Divine hivyo vidude vya kuingiza kwenye masikio vinapatikana je?

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  2 года назад

      Hivi vinauzwa kwenye maduka hasa maeneo ya Airport

    • @viousa
      @viousa 2 года назад

      @@ArrivalTv vinaitwaje?

    • @ankojecha9753
      @ankojecha9753 2 года назад +1

      @@viousa Vinaitwa 'ear plug'

  • @SolangeAziza-f1l
    @SolangeAziza-f1l Год назад

    Kutoka Arusha mjini

  • @LutugeniAlkado
    @LutugeniAlkado 5 месяцев назад

    Ukiwa ndan ya ndege juu mkojo umekubana unakojoa wap?

    • @glorysungura3180
      @glorysungura3180 4 месяца назад

      Vipo vyoo ndani ya ndege. Huduma hiyo ipo

  • @classicmediaenter10ment44
    @classicmediaenter10ment44 11 месяцев назад

    Natakujua kuusu kwenda china garama na masharti

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  11 месяцев назад

      Masharit yapo nadhani Hivi karibuni tutafanya video ya kiangazia viza ya china

  • @abdultimoc4625
    @abdultimoc4625 2 года назад

    Broo tupige kampani bc na ss wenye ndoto za kuja uko utusaidie mana nasikiaga uko kazi ni nying mpk kweny restaurant

  • @bellalygeomecky1145
    @bellalygeomecky1145 Год назад

    P

  • @thevoiceofdeliverance6061
    @thevoiceofdeliverance6061 Год назад

    Nataka kuuliza hasa suala zima la interview Kama hujajuwa kuongea English kwa kina inakuwaje ??
    Wanaruhusu mkarimani wa lugha yako ???

    • @hasfaastore929
      @hasfaastore929 Год назад

      Ukitaka kiswaili utahojiwa kiswaili ni wewe tu

  • @JohnKalibwani-io8vu
    @JohnKalibwani-io8vu 7 месяцев назад

    Natumia dawa kila mwezi vidonge vya ugonjwa wa kifafa nawezakusafilinazo kwenda china

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  7 месяцев назад

      @@JohnKalibwani-io8vu unasafiri nazo ndio Ila utembee na maelekezo ya dactari wako