Asantee Sana brother nakuelewa vilivyo me ni nataka kupanda nivune ctaki kua ombaomba kwa walio panda unatufundisha mengi tutaifanyia kazi hiyo misingi 10 naamini IPO cku nitakaa na kukumbusha kizazi kijacho au kilichopo jinsi unavyo tuelimisha asantee Sana big brother Allahu bless you🙏🙏😍
Ww ni jeshi langu najivunia kukusikiliza master mind allah ndio dereva akupe miaka mingi insha_allah nami nijifunze kwako kila siku najivunia kuku sikia
"Kuwa mipango ya muda mrefu, madhubuti na kuifanyia kazi kikamilifu" nimeichukua hiyo, Be blessed bro, Namshukur Mungu sana Kwa kukufanya wew kuwa sababu ya sisi kufunguka zaidi kifikra, kiakili na kimawazo, We get out from mental slavery
umenibadilisha sana maisha yangu kwa elimu/digrii hizi nzito ambazo sijutii kukusikiliza na pia naona thamani ya bando langu. najua ipo siku tu, tutaonana ana kwa ana na nitatoa ushuhuda wangu juu ya haya unayonilisha akilini. Just stay stay blessed.
Asante sana kaka mimi naitua joao niko cabo delgado moçambique, zamani nilicua nachindua kua na milioni moja mfuconi lakini kwa somo ili sasaivi ninamiliki milioni 6 na ninazidi cusonga mbele kwa sababu umenifundisha misingi wa kujiwekea.
leo nimejifunza kitu kikubwa sana broo kwamba tajir anawekeza ili izaee cio ila sisi masikin tunaweka cjui ivi najiuliza tunaweka ili iweje mwisho wasiku tunapata mitihani tunaitumia ile pesa tulio weka tunaanza upya tna ndymana wengi wahali yachini hatuenderei kutokana na mifumo duni tuliyo jiwekea thanks bro
Nashukuru kwa somo zuri sana lakini naomba japo utuandalie somo lakutufunda namna yakuweza, kutunza na kuinvest kipato kilicho kidogo mpaka kufikia kipato kikubwa. Asante.
Bro you good naku fwatiliy sikuzote naimeni badili meng zaidi brother Asant kwaushauri unaotapa ushauri wamaana bro Asant tena bro you good zidikutu funz kabis ni Hilali toka Africa masharic. Asant tena.
hakika, unabaki kuwa mwalimu wangu mwema, kwa maana kuwa unaulisha ubongo wangu chakula kinachostahili kuupoza na kuweka wigo mpana wa maarifa. Nahisi kubalikiwa kuwa na mwalimu wa aina yako.
Asante sana 🕋SALAFI TV SALAFI TV🕋 kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
Asantee Sana brother nakuelewa vilivyo me ni nataka kupanda nivune ctaki kua ombaomba kwa walio panda unatufundisha mengi tutaifanyia kazi hiyo misingi 10 naamini IPO cku nitakaa na kukumbusha kizazi kijacho au kilichopo jinsi unavyo tuelimisha asantee Sana big brother Allahu bless you🙏🙏😍
Good
Asante sana ntanza huu mwezi ubarikiwe sana Dia nina imani ntafika ntakapo
Wewe ni mwalimu wangu na mimi kama mwanafunzi wako nimekuelewa sana nitafanyia kazi yote na nimeanza
Ww ni jeshi langu najivunia kukusikiliza master mind allah ndio dereva akupe miaka mingi insha_allah nami nijifunze kwako kila siku najivunia kuku sikia
"Kuwa mipango ya muda mrefu, madhubuti na kuifanyia kazi kikamilifu"
nimeichukua hiyo, Be blessed bro, Namshukur Mungu sana Kwa kukufanya wew kuwa sababu ya sisi kufunguka zaidi kifikra, kiakili na kimawazo,
We get out from mental slavery
umenibadilisha sana maisha yangu kwa elimu/digrii hizi nzito ambazo sijutii kukusikiliza na pia naona thamani ya bando langu. najua ipo siku tu, tutaonana ana kwa ana na nitatoa ushuhuda wangu juu ya haya unayonilisha akilini. Just stay stay blessed.
Asante nikweli kabisa mtukujipanga mungu akubariki naakuzidishiye uzidi kutuelimisha
thanks borther Ezden, napenda sana ushauli wako,
Asante sana kaka eze jumanne kwa masomo yako mazuri yenye kujenga. Mungu akuongoze ili uweze kutoa mafunzo zaidi
Asante sana kaka mimi naitua joao niko cabo delgado moçambique, zamani nilicua nachindua kua na milioni moja mfuconi lakini kwa somo ili sasaivi ninamiliki milioni 6 na ninazidi cusonga mbele kwa sababu umenifundisha misingi wa kujiwekea.
You Hit the Point Bro I'm in the race you've changed 60 percent of my life stay blessed my Brother #EachoneTeachone
Thanks kaka mungu akuzidishie, unatukumbusha ndugu zako,
Great brother Ezden, ten foundations of Money
Somo limeingia mahali pake👏👏
Nakubali sana mkuu elimu yako inabadili maisha ya wengi
leo nimejifunza kitu kikubwa sana broo kwamba tajir anawekeza ili izaee cio ila sisi masikin tunaweka cjui ivi najiuliza tunaweka ili iweje mwisho wasiku tunapata mitihani tunaitumia ile pesa tulio weka tunaanza upya tna ndymana wengi wahali yachini hatuenderei kutokana na mifumo duni tuliyo jiwekea thanks bro
Somo la leo nizuri sana nimejifunza kujituma na kufanya kazi kwa bidii yani kupanda mbegu za mafanikio ili uvune ayo mafanikio badae safi sana broo
Nashukuru kwa somo zuri sana lakini naomba japo utuandalie somo lakutufunda namna yakuweza, kutunza na kuinvest kipato kilicho kidogo mpaka kufikia kipato kikubwa. Asante.
Thank so much Ezden may allah protect you
Santeee kaka angu kwa somo zuri...hakika nimejifunza mengi kupitia elimu unayotupatia
Bro you good naku fwatiliy sikuzote naimeni badili meng zaidi brother Asant kwaushauri unaotapa ushauri wamaana bro Asant tena bro you good zidikutu funz kabis ni Hilali toka Africa masharic. Asant tena.
Nashukuru kaka umenielemisha kwa 64% ,mola akubariki
Asante sana kunifungua macho Allah akuzidishie mema
hakika, unabaki kuwa mwalimu wangu mwema, kwa maana kuwa unaulisha ubongo wangu chakula kinachostahili kuupoza na kuweka wigo mpana wa maarifa. Nahisi kubalikiwa kuwa na mwalimu wa aina yako.
you are a good teacher bro i m so happy to find you on youtube and i believe that i will meet with you
Shukran Kaka Ezden Allah akufanyie wepesi uzidi kutuelimisha in Shaa Allah
Thanks brother somolako nzuli sana mungu akubaliki akupe Maisha malefu ili vizazi na vizaz vije vikutambuwe
Big thanks Mr.Ezden Jumanne
kaka ezden ahsante kwa somo ukimsoma R.kiyosaki anakwambia the rich buy luxurious last and poor and middle class buy luxurious first
Asante sana kijana wangu
Nicheki hapa brother 0783915358
Shukran Sana Allah akubarik
I got you na nayafanyia kazi inshaalah allah atakulipa
Bro ukasahihi naanza kuyatumia masomo yako naimani yatanisaidia...Shukran saana kwa channel hii swahib wangu ndio kaniunganisha🙌.ubarikiwe kaka
bro asante kwa somo lako nimejifunza vitu muhimu sana vya kufanya matumizi mazuri ya fedha
Nakuelewa kilasiku Niki kusikiliza nisha jifunza meng sana kutoka kwako asante sana kwa elimu yako
Thank you dear brother. Sijutii kukufahamu
Hii video nimeiona leo na naanza mikakati hivi saivi InshAllah. Usually I don't subscribe in vain, but u've won my sub
Mashaallah beautiful recitation
God bless u kaka,,asantee kwa mafundisho yako yaan umenifungua ufahamu sanaa
Shukrani somo zuri sana
MashaAllah bro Allah akuzidishie..umenipa hamasa
Asande kweli kwa somo nzuri
Ubarikiwe kaka ,nmejifunza mengi kupitia masomo yako .
asante sana....nimeelwa from now on kinaeleweka,umeniboost bro,be blessed
Dyner nichek 0713747505
Nice
Keep it up kaka ezden hakika tangu nimeanza kufatilia vipindi vyako nazidi kuona mabadiliko ktk biashara zangu
Duh?! 🤔🤔izden umetisha na hili somo you are the best
Jamni kaka ubarikiwe sana toka nimewza kushuka simu nikakutana na video zako kam hivi sas hakika nimebadilika mno!!! Nimekukubali sana
asante sana kaka nitafanya ivyo ishi miaka mia mzee
Asante kaka..ww ni mwalimu
Safi sana mwalimu wetu nimekuelewa
Santeee kaka nakuelewa toka nimeanza kukusikiliza naona naanza kubadilika big up bro
Very powerful lessons ,
Neither borrower no the lender be, 👍 kukopa bila malengo pointless nakubali hapo bro.
Shukran kaka...tutajitahidi kwa nvuvu ili tufanyikiwe
asante nimeherimika na somorako maana
Asante..kaka..wachache..ndio.wanaweza .kusevu..ila sio .mlevi
Ikopoa Sana imeeleweka nimechukua point nyingi
Gud brother
Asante nimejifunga kitu
Asante Allah akulipe kheir
Nimeipenda na nitaitekeleza kuazia sasa, thanks!
Ahsante sana mtu wangu wa nguvu
thanks bro ezeden
Kuweka akiba ni moja ya njia ya kuinvest💯
Hongera sana unazidi kunifungua sana barikiwa
Ahsante sana kaka, Ezden the rocker mungu azidi kukupa moyo uzidi kutupa madini
Nimeipenda sana video yako ya utunzaji Wa pesa Mimi nilikua mvivu sana kutunza pesa Ila kwasa nitafanyia kazi ushauri wako kaka ezden ubarikiwe ndugu
Kweli maisha yanataka kujiwekeza sana
Nakuelewa kaka asnte sana ,kujitolea elimu bure .
Naanza sasa brother..
Nimeelewa sana kaka nitafanyia kazi.
ubarikiwe sana kwa elimu unayotupa.
Duh apo kweli cyo useme somo zr alaf ufanyi kaz tuna shukuru sn
Ahsante sana kwa masomo Yako ya elimu ya pesa,mungu akulinde endelea kufundisha usiache kutuelimisha kaka
Shukran bro Allah akuzidishie👏🤝
saf sana kiongoz nimepata somo kubwa sana
Good today. I like when you go straight to the point. You are improving, big up.
Dah
Asante kakaangu Mungu azidi kuku bariki
Thenks brother kwa Somo zuri
Good words God bless you
Shkran sanaaa may Allah bless you 🙏
Asante Sana kwa mafundisho
Shukrani sana kaka napenda sana mafundisho yako ...Mussa Dionizi from Mwanza
OK sawa somo nzurii
ahsante sana nimejifunza kitu
Sante kaka Ezden kufanya kazi kwa bidii.. Kupanda kwa kuweka akiba na kuwekeza.. subira ina leta kherii.. Allah bless you 🙏🙏🙏
Asante sana
nashukuru mr ezden jumaanne✊🏿🙏🏿
Asantee Bro be blessing
Asantee kw somo lako
Mwarim.upo vizuri umebadiri maisha.yangu.pakubwa
Shukran Ezden kwa ushauri mzuri uwa nakufatilizia na kukusikiliza kwa video zako kwa RUclips.Mi nmemkenya
Thanks. Asante kwa kufuatilia...please let others know about this channel. Share the links of your favored videos please
Nimejifunza kitu thanks
manshallah Allah akupe umri mlefu wenye manufa kwa kuelimisha jamii
Thenkx brouth bgup san
Mashaallah darsa nzuri sana
Asante sana 🕋SALAFI TV SALAFI TV🕋 kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
nashukuru nimejifunza mengi
Thanks brother
masha allah nimejifunza mengi tangu nilipo subscribe kwa video zako .
nimeipenda kuliko maelezo lakini pia nimesikia kuhusu suala la kushare kwa faida ya wengine je naruhusiwa kutumia zaidi hata kwa media
Napenda sana mawazo kama haya
Nakubaliana na wewe hasa kwa kanuni ya kuondoa mikopo katika mfumo wa biashara yako.Satuti
Asante kaka kunakitu nimejifunza
Thanks bro may GOD give you long life
Brother Ezden be blessed bro