Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Allah amlipe kila la heri
😢😢😮😮😢😢😮 cha kwanza
Video yaliza mno hii.... nawaona marhum watatu maarufu ndani ya tukio moja sheikh zubeir bin yahya, sheikh omar abdallah mvuoni pamoja nae kipenzi cha watu Alhajj zingizi massanga Allah awarahamu na wafufue pamoja nae bwana mtume muhammad
Ameen.
Allah akuhifadhi Sheikh Abdallah Omary Mvuoni msomaji bora kabla ya vijana wa sasa
Allahumma ghufirlahuu warhamhuu fil hannah 😭😭
Allah akupe nuru katika kaburi lako
Allah amraham sheikh wetu qari wetu, Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiun
Allah amjalie makazi mema peponi #AMIIN
Mungu akurehemu sheikh wetu na akusamehe makosa yako Aaaaamin
Hivi unajiskiaje ukisema hivyo wajiona upo swahihi
Sheikh asoma qur an mwingine asema ajikamua kama anatoa hana kubwa hii haki kweli
@@ahmedmlele7103 hyo no mpumbavu na ana husda maana mawahabi in watu wa chuki na husda
Allah akulipe Pepo na akusamehe madhambi yako
Allah ajaalie kaburi lake liwe miongoni mwa viwanja vya pepo inshaallah
Mashallah
Allah amuhifadhi kama alivyoihifadhi qur an yake
😭😭😭😭
Innalillahi wainna ilayhi rajiun
yaallaah
Maaashallah
😭😭😭😭😭
Naaam
binaadamu sisi tunatabu kwl mtu akiondoka duniani tn kila mtu hutoa khbr zke kwnn msirushe akiwa hai
hyu shkh hajaanza Leo kusoma msomaji mkongwe na vtu vyke vng vipo kwnn msirushe kipindi chte cha uhai wke mpk kashafariki ndio mnaturushia
Hakuna ubaya kurusha kher zake hata akiwa amekufa acha kulaumu
Fundi
Tuoneshe ulizowapost ww
Mm cn rikodi zke ww ndio unaefanya kz hyo
@@abuuzunairahonlinetv5592 sasa unajuaje na mm km nilikua na rekod yake ama ckuwa nayo, jifunze hekma habib
@@abuuzunairahonlinetv5592 nimefatilia video zako nimeona umempost alhabib Albeidh miezi mitano iliyopita kwann usipost tangu akiwa Hai?
Abuu mbn unalalamika sana haya ni maneno ya Allah(s.w) hayahitaji majungu