JE, SURAT MASAD NI SURA GANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 260

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад +4

    Maa Shaa Allah Akhi Ramadhaan kwa kuingia katika Dini ya Haki ambayo ni Uislamu na ndiyo Dini ya Mwenyezi Mungu Subhannahu Wata'ala.

  • @rahmasalum7107
    @rahmasalum7107 4 года назад +12

    Mashallah yarabiy wajaliye wote waache kuvuta unga wawe waja wema yarabiy kwa sote

    • @adammarcos6582
      @adammarcos6582 3 года назад

      I know Im randomly asking but does any of you know of a trick to log back into an instagram account..?
      I somehow forgot the login password. I appreciate any tricks you can offer me!

    • @jamilajuma757
      @jamilajuma757 3 года назад +1

      Ammin

  • @ashasudi8802
    @ashasudi8802 4 года назад +9

    mashaAllah watabarakallah walinganieni vijana simakosa yao,Sheikh masawe usirudi nyuma wabebe vijana hao hiyo maskani iwe ya mashekhe kabla mwezi mtukufu wa RAMADHAN wabillah taufiq.

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 3 года назад +2

    Maashaallah mwenyezi Mungu awape maisha marefu ili kipindi chenu kizidi kuenea Tanzania yote

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 года назад +7

    Mashaallah Allah awazidishie nguvu ya kuupambania uisilam wetu Aamiin jazaka Allahu kher

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 4 года назад +1

    Dah Tabbatyada haijulikani km ni Surat Masad Allahu Akbar Allah azidi kutupa ufahamu tuielewe Quran na dini yetu ya kiislam Inshaallah

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 4 года назад +7

    Masha Allah nimempenda huyu Ramadhani kasema vizuri.

  • @fatmahemed2189
    @fatmahemed2189 Год назад

    Allha Awape shifaa waweze kupona waingie kwenye maadili mema yaucha mungu

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 3 года назад

    Inshaallah Allah awafanyie kher

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 года назад +11

    Mola awape Nuru na Ufunuo Jamii yote kuisoma na kuitambua vyema Qur an inshaallah,,, Aaamin

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 Год назад

    Mashaallah Allah Awape mwisho mwemaa

  • @wm9669
    @wm9669 4 года назад +5

    Huyu mwana habari ni very good reporter. Very spontaneous. Mashallah

  • @sabrdhikr7708
    @sabrdhikr7708 4 года назад +4

    Masha Allah , kazi nzito sana mlio kuwa nayoo .In sha Allah mwenyezi mungu awapeni subra naa hekma katika kuwaelimisha hao . sana sana ningependa mkaweka uzito naa nguvu katika vijana hao maanake vijana wengi sana wapo katika hayoo mazingira ndani ya nchi na njee ya nchi .. Jaazaakal Khairan .

  • @muslimaabdiwahid6983
    @muslimaabdiwahid6983 4 года назад +16

    Subhanna Allah 😔 may Allah help them 🙏 amin

  • @farhawaziri7045
    @farhawaziri7045 2 года назад

    Masha Allah,Tabarakallah fiq

  • @so12221
    @so12221 4 года назад +8

    Ma shaa Allah vizuri mmefanya kuwaelimisha Vijana. Allah azidi kukupeni nguvu muwaelimishe na wale kina mama wa vigoma mitaani

  • @aswedayahya1681
    @aswedayahya1681 3 года назад

    Mashahalah. Tunashkulu Sana kishki TV Allah awazidishie kheli mi naomba muendelee kutuelimisha pia naomba selikaliyetu itusaidie upande waelim ya akhela

  • @maryamidd4315
    @maryamidd4315 4 года назад +4

    Mashallah! Sheikh una upevu wa juu katka uanahabari, maryam nkiwa Kenya.

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko 3 года назад

    AMASHAALLAH KISHKI TV NURU YA WAISLAMU NAITWA AMINA NIKIWA OMAN

  • @del-mohaa7527
    @del-mohaa7527 4 года назад +2

    Mashaallah hakika hii ni hatua nzuri sanaa kishki tv mumeifanya nawapongeza sanaa kwa hili jambo niseme mashaallah mufanye kwa watu wengine pia wamitaani wanajua maplayer wa mpira lkni Qur'an hawaijui endeleeni ivo ivo inshaallah Allah awatilie taufiq inshaallah 🙏

  • @zaihumood365
    @zaihumood365 4 года назад +2

    Allah awafanyie wepesi waache kuvuta madawa ya kulevya ameen thuma ameen

  • @mifungaanyesi3547
    @mifungaanyesi3547 4 года назад +1

    Mashallah endeleyeni masheikh wtu Mwenyez Mungu awafanyie wepesi

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 года назад

    Subhaanaallah Allah ongoza wanetu kwenye ili janga

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 года назад +1

    Subhana llah hakika wauzaji wa madawa ya kulevya walaaniwe

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 3 года назад +2

    Subhannallaah wengine wanasinzia😭😭😭

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 4 года назад +1

    Subhanallah Allah athifadhi sisi na vizazi vyetu na vya wanzetu na hawa waliongia ktika hili janga awatoe yarabi.kwa kweli inasikitisha

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 4 года назад +1

    Masad subhanallah mateja hawa hawaja kisoma .cha Deen hata chembe...

  • @msafilially5616
    @msafilially5616 3 года назад +1

    mungu awajalie Wapone ndugu zetu

  • @anwarali-mi8el
    @anwarali-mi8el 3 года назад

    Allah awanurusu ndugu zetu wote waislamu yarab

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 7 месяцев назад

    Mashallah Mashallah Mashallah

  • @haloshmuni1095
    @haloshmuni1095 4 года назад

    Ameen Yarabb ameen

  • @shamilamo9159
    @shamilamo9159 4 года назад +1

    Maashaallah mungu awazidishie upendo kishki tv

  • @halimamuketi6738
    @halimamuketi6738 4 месяца назад

    MashaAllah Allah atuongoze

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    Amiin amiin yarrab 😰

  • @jawadkilima97
    @jawadkilima97 4 года назад +2

    Allah awafanyie wepesi kwa kila jambo, Atuepushe kwa kila jambo...

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 4 года назад +2

    MASHAALLAH, ALLAH AWALIPE KILA LENYE KHERI DUNIANI NA AKHERA

  • @mhuzimadodo8998
    @mhuzimadodo8998 3 года назад

    Allah awaongoze nahawa waliopembeni mana wanasinzia vibaya

  • @aminabdi7530
    @aminabdi7530 4 года назад +5

    SubhanAllah! Walahi watu watakiwa kusoma dini ili, tusiwe Mas-ul mbele ya Allah (S.W) inasikitisha sana.

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 4 года назад +3

    Audhubillah minna swaitwani eheee mwenyezi mungu tunusuru na fitna ya dunia ss na vizazi vyetu .😭😭😭

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 3 года назад

    Daaah nacheka huku nalia, Subhanallah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 года назад +4

    Nimelia jmn nikikumbuka mie mzaz naumia sana jmn sikupenda kwao😢😭😭😭

  • @sultansalehe4494
    @sultansalehe4494 4 года назад

    Mashaallah shekh Abdillah Massawe kindi ni kizur Allah awazidishie

  • @mariamhussein7554
    @mariamhussein7554 3 года назад

    Mashallah Allah awanusuru ndugu zetu

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 года назад

    Ikiwa nia ipo ishaAllah Allah atawaondolea kwa nguvu zake

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 3 года назад

    Allah atusimamie visazi vyetu ya hii sirikali ipige vikali utumiaji wa madawa yakulevya ....

  • @saumsiraji9870
    @saumsiraji9870 4 года назад +1

    Subhanallah 😭

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 года назад

    Mashaallah mashaallah mungu awape kheri na waepukane na mazito na waondokane na huu mtihani. Waongo ze ktk nia ya kheri.

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 4 года назад +1

    Mashaallah tabaraka Allah

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 4 года назад +1

    Subhanallah allah atustiri tujaliye mwisho mwema ss na vizazi vetu

  • @latsister9846
    @latsister9846 4 года назад

    Amin

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 4 года назад

    Mashallah Allah awalipe kwa kulingania

  • @afric01
    @afric01 Год назад

    Aslm alkm ww...Taqbeer😊😊😊😊

  • @bintyhamisi8311
    @bintyhamisi8311 4 года назад +2

    Kwa nn waislamu tu ndo wanaoptea Yaa Rabb Tunusurie vijana wetu wa kiislam na mabinti zetu Yaa Allaah 😥

  • @saudanassoro7649
    @saudanassoro7649 2 года назад

    MashaAllah

  • @rahimasaid3674
    @rahimasaid3674 4 года назад

    Amiin

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Aaalllah awahidi maskin subhannalllah

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 года назад

    Subhana Allah
    Allah awafanyie wepesi waache kabisa

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 4 года назад

    Inshallah Allah awaongoze njia ilonyooka

  • @zakiaqasim5312
    @zakiaqasim5312 4 года назад

    Maasha Allah wa tabarrak rrahman amiin ust Alhamdulillah tu tunaendelea kujifunza na street questions pengine swala limewachanganya ksbb io surah ina majina mawili lahab na masad shukran

    • @zakiaqasim5312
      @zakiaqasim5312 4 года назад

      Inasikitisha lazima wafikiriwe ili wapate elimu sahihi yakuwatoa ktk giza ili waingie ktk nuru shukran kishki tv

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 4 года назад

    maalim kuna mteja apo kanifurahisha sana yan amemshangaa jamaa anaye soma Alhamduh

  • @mariyammariyam7209
    @mariyammariyam7209 3 года назад

    Mungu atWaongoza wabadilike

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 4 года назад +5

    Maa shaa Allah kishki tv nuru ya dini yako.Allah ailinde na aidumishe izidi kutoa elimu kwa jamii

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 года назад +1

    Allah awape heri nyingi Kishk Tv

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 года назад

    Ameen yarrab

  • @eddyjustin5890
    @eddyjustin5890 4 года назад +2

    Assalamaleykum warahmatulah wabarakatu
    Napenda kutoa pongezi za dhati Sana kwenu kishiki tv KWA kuanzisha kipindi hiki maana kinatufungua macho inatukumbusha sisi wazazi tusifuge watoto ,bali tuwalee ktk misingi ya kidini

    • @wardajoseph6909
      @wardajoseph6909 3 года назад

      Waleykum salaam warahumatullah wabarakat

  • @asiabeauty9851
    @asiabeauty9851 4 года назад +6

    Subbhanna llah, nacheka kama mazuri,

  • @wm9669
    @wm9669 4 года назад +4

    Subhanallah
    Tumemwacha Allah. Angalia heli zetu ?
    Samaki wekubwa! Allah awaangamishe

  • @a.856
    @a.856 4 года назад +1

    Allah atuongoze waja wake sote...amin amin

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 3 года назад

    Wallahi mtihani Allah atujalie tujifunze elimu

  • @fat-hiyaali4723
    @fat-hiyaali4723 4 года назад +1

    Allah akbar mtihani mkubwa vijana wa kiislam allah awaongoze ktk haki waache kabisa hili jambo kwakweli msiba mkubwa huu vijana wetu inauma

  • @ayushjhay1979
    @ayushjhay1979 4 года назад +1

    Ya Allah tunusuru waja wako.tena wote waslam mola tuongoze waja wako ya rabbi

  • @honestbwoyadam7563
    @honestbwoyadam7563 3 года назад +1

    5:00 hahaha the guy who is staring at the other guy is so funny😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anavyo muangalia duh balaaaa 🤣🤣🤣🤣

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 года назад +2

    Shehk kishik naomba uwe kama shehk yusuf abdi yeye anajichanganya kila kona muhimu dawaa ifike sasa hapo uende ukawape darsa inahuzunisha jmn kama mzaz tena mpka wanawake subhanallah 😢😭

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 года назад

    Duuh sura zao sas SubhanaAllah

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 года назад

    MashaAllah dada subira

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 года назад

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautojali

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 2 года назад

    sbuhanallah 🤣🤣🤣msiba mzito wallah dugu waislamu Allah atusimamishie ktk hakki na tuachane na mambo ya kidunia atuongozee ndugu zetu na vijawa wetu wa kiislamu allahuma khifly waliwali daiyya walli- muumina yauma yakumu ll hissab
    allahuma khfirlahum warhamhum
    waskinuhum maaka fil-janna
    ya arhama rrahimin🤲🤲

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 года назад +2

    Allah awaongoze ktk sratwa lmustakma ishalla

  • @salmaalisalim2462
    @salmaalisalim2462 2 года назад

    Allah awaongoze

  • @faju4real800
    @faju4real800 2 года назад

    Innalillah wainnah ilayhi rajiun msiba huu

  • @jkOmar2024
    @jkOmar2024 4 года назад +1

    Duh... Mtihani huu ALLAH Atunusuru na vizazi vyetu ila tuna kazi nzito km sisi wazee au walimu tulinganie taifa letu dah lakin huu mtihani ktk watu 100 watu 2 tu ndo wanamuelekeo duh tujitahidini watu wamekaa km mazombi kwa madawa, ALLAH awavushe ktk janga ilo la madawa ya kulevya lakin mtihani dah

  • @ayshaaisha7630
    @ayshaaisha7630 4 года назад

    Maishallah

  • @khadijatonge3636
    @khadijatonge3636 3 года назад

    Mashallah mashallah

  • @aishamaulidi4679
    @aishamaulidi4679 4 года назад

    Kwa kweli
    Allah awalipe
    Media hii ya shekhe wetu

  • @GhariebTech
    @GhariebTech 4 года назад +1

    Maashallah

  • @zainabmohammed1305
    @zainabmohammed1305 4 года назад

    Subhana llah😭😭

  • @nasrajumwwmitigatingsana7164
    @nasrajumwwmitigatingsana7164 3 года назад

    Maashaallah🤗🤗

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 4 года назад +1

    😢😢😢😢Allah awafanyiye wepesi yarabi

  • @kasigwamagai2895
    @kasigwamagai2895 4 года назад

    Allah Akbar

  • @سالمالمسروي
    @سالمالمسروي 4 года назад

    Asaalmwalekm, mashaalah

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 4 года назад +1

    Tena kuna mpaka wanawake SUBHANNALLAH Allah awaongoze wayaache hayo madawa

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 4 года назад

      Mtihan

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 4 года назад

      @@rehemasalim4590 yani mtihani kweli

    • @Awatee
      @Awatee 4 года назад

      Amiin ALLAH awaongoze ktk njia ilionyooka Subhana ALLAH 😭😭😭😭

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 4 года назад +4

    Ustadh Masawe leo umenichekesha na hao vijana 😂😂😂

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 года назад

    Jifunze quran kusom kyandik gusa picha yangu hapo kama hautojl

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 4 года назад

    Masha Allah Kishki aje tunamsubili sana

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 4 года назад

    Innalillahi wainna ilayhi raajiuun huu ni mswiba wallah

  • @jaliakamote5485
    @jaliakamote5485 4 года назад +7

    usitiri mola wetu na vizazi vyetu,Lkn nimecheka sana leo na alivyoweza kujibu swali yule baba nimejikuta naitika kwa nguvu hyo Takbiir nikasema Allah Akbar.

    • @najmaally7556
      @najmaally7556 2 года назад +1

      Subhananllah dunia hii mungu tuepushe unaolewa salama unaenda kufundishwa kuvuta madawa na mume

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 2 года назад

      @@najmaally7556 Atunusuru mola wetu kipenzi.

    • @najmaally7556
      @najmaally7556 2 года назад +1

      @@jaliakamote5485 aamiin thumma aamiin

  • @mwajomaessa7513
    @mwajomaessa7513 3 года назад

    Masha Allah 🙏🙏🙏

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 4 года назад

    Inalilah wainailayh rajighon 😱😱😱😱😭😭😭

  • @WentExtinct
    @WentExtinct 4 года назад

    Mashallah kishki tv,mko vizur

  • @saoda.11swada89
    @saoda.11swada89 4 года назад

    Ma sha,Allah