Amen Amen Huku BURUNDI TULIKUwa pamoja kwenye mkutano mkubwa Sasa bwana Bony Mungu akulinde kuzidi mawazo ya watu mtoto wangu alisituka moto kusikia ndugu take Bony kwasababu Uli mubeba Huku BURUNDI lakini Sasa tumemwambiya kuwa ni uongo.❤❤
Haowanaozusha juuyawaimbaji kisasi cha Mungu kiwejuu yao wenyewe mdogo wangu mwaitege usiche kubatilisha matarajio ya maajenti wa shetani aliesemahayo Mungu ashughulikenae
Nilistuka maana nimeamza kukufahamu mdasana enzi za mukemwema huko tunakupemda akuinuejuu zaidi kazi ya Mungu iendelee kupitia mwanawake pekee Yesu krisito imanaishimwe by kg town
Live long in Jesus name, you are my mentor I really love your songs, wishing kuongezeka Mungu akupe uzima baba
Amen Amen Huku BURUNDI TULIKUwa pamoja kwenye mkutano mkubwa Sasa bwana Bony Mungu akulinde kuzidi mawazo ya watu mtoto wangu alisituka moto kusikia ndugu take Bony kwasababu Uli mubeba Huku BURUNDI lakini Sasa tumemwambiya kuwa ni uongo.❤❤
To Lord be glory, gloire a Dieu notre Pere, Mungu Baba yetu asifiwe, aliemuokowa m'tumishi wake! nafurahi sana kusikia habari hii!
Pole kaka Yesu anakupenda uwe na maisha marefu
Pole sana mtumishi watashindana lakini hawataweza, Mungu yupo pamoja nawe ameen
God is good may you live long in Jesus name
Mungu akupe maisha marefu.muhimbaji wetu
Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunakupenda sana Bony Mwaitege❤❤
Ishi sana Bony YESU Akubariki
Me Hadi nmegombana na mdada mmoja wa Kenya... Ejoo bhakuleke kikolo piga injili baba❤
Haowanaozusha juuyawaimbaji kisasi cha Mungu kiwejuu yao wenyewe mdogo wangu mwaitege usiche kubatilisha matarajio ya maajenti wa shetani aliesemahayo Mungu ashughulikenae
Hapa kenya twakusifia Bonny 💪💪 ishi sana
Thank you Lord for preserving your son long life is your potion
For my side from Kenya❤❤❤❤❤
Ishi milele mtumishi wa Mungu ❤
Tunashukuru kama bonny iko hai❤❤❤❤🎉🎉
Pole sana kaka ❤sana mm nikikusimia unanifikasha mbari sana usisahau kukomenti kwangu
Pole sana na mungu azidi kukulinda na kukuweka nguvu 🙏🏼🙏🏼
Mungu akulinde bonny
Mungu ni mwema
Mungu asifiwe kwakuwa mwana mziki wangu yupo hai
Mungu amrinde kila leo kaka yangu 🙏🇹🇿🇹🇿🇲🇬
Live long mtumishi Jana I was so shocked Wacha tu
Jambo kaka. Mungu amilinde
Ni menza kutoka marereni pole sana kaka watashindwa kwajina layesu.
Mungu akupe maisha marefu
Mungu akupe maisha
I'm so relieved,glory to God
Nimefuatilia wimbo nikiwa kenya kwa majozi ishi mingi bony
Mungu akutunze,bado tunakuhitaji
Mungu akutunze Mtumishi wa Bwana
Nilistuka maana nimeamza kukufahamu mdasana enzi za mukemwema huko tunakupemda akuinuejuu zaidi kazi ya Mungu iendelee kupitia mwanawake pekee Yesu krisito imanaishimwe by kg town
Hatariiiii 😢😢wapuuzi hawaa hawana kazi za kufanya...
Anapata Faida Gani,kumzushia mwenzake kufa,,
Live long man of God.
Mungu akupe maïsha marefu
Live long na pole sana Bonny
May God fulfill your days
Hutakufa kaka utasimulia matendo makuu yamungu. Watakufawao wewe utasonga mbele kwa jinala yesu
Malawi tulichanga kwamba umafaliki , mungu akutete
Thanks to God
Mangu apewesifa ❤❤❤
Pole kaka
Aisee watu wana maneno nimeamini leo
Ila jamani watu.😮😮😮😮
Kakangu uendelee na nyimbo za injili,na mwenye anapost ety umekufa amelaaniwa huyo,ashindwe kabsa
Psalm 118:17
😂😂😂😂😂😂et kama wanaeza kuacha😂ila nyie dunia hii
Jmn watuuu!
Waliyuchanganya kabisa
Duuh walimwengu
Why pple are so evil
Duu
Mungu akupe maisha marefu