Acheni hizo alama ya mshangao, fukueni kaburi na DNA ifanywe sio eti hamja amini mpaka mtangazaji eti ameogopa 🙆. Mimi nina hakina huyo ni Jebali mwenyewe mpokee kwa njia nzuri sana, maswali mingi muachia Mungu.
Ikiwa niJafari awe Jafari daima ,na ikiwa ni kingine ambacho kinafanywa kwa namna ingine ,kitoke kisipate kudumu ktk nyumbani huko ,kbsa laakini ikiwa niJafari amerudi kwa uwezo wamwenyezimungu ,mungu amuhifadhi ,amurokowe kama anavomufufunuwa ktk kaburi ,au ikiwa walijidanganya wakamzika sio yeye basi mungu amemurejesha kwa uwezo wake.Hayaaka Allah yaa Jaafari
Tafadhalini sana wazazi wa mtoto Jaafar msijichanganye haki na batwili,mtegeemeni Allah peke yake na inshallah mtoto Jaafar atapoa hayo matatizo, na mambo ya waganga- wachawi,hawana lolóte zaidi ya kubahatisha,huyo babu ghafla anataka sh 50000/- kwa msaada gani ilihali mtoto Bado anahangaishwa na hawo wanga!? watakusumbueni sana hao wachawi lakini mkifanya Ruqya na pia kufanya adhkaari za asubuhi na jioni inshallah hayo madhila yatamwondoka huyo mtoto kipenzi Chetu Jaafar.الهم امين
Subhana Allah enyi washirikina muogopeni Allah nasiku ya mwisho dunia nimapito haya mambo yapo kiukweli mtihani hawa watu wabaya wapo na Allah atawahukumu
Pole sana mama jafari na familia ,lakin naomba mupeleke kanisani,namutajua nin shida,kimbilieni Mwenyezi MUNGU sio waganga,muganga ni mwanadamu kama wewe,naalicho taka ni pesa tu,naomba MUNGU awafungue macho kama wazazi,uyo mutoto asaidike.
Huyo ni msukule mpelekeni kwa kanisa yoyote ya UFUFUO NA UZIMA kwa Bishop Gwajima... Ndiyo mtajuwa kwa Yesu Kristo ni Mungu wa miungu.. Wachaneni ni waganga.. Waganga wanamtumikia shetani. Yesu anawapenda na anaweza yote... Last bus stop ni UFUFUO NA UZIMA kwa BISHOP MUHESHIMIWA GWAJIMA.
Poleni Sana Mama Nitakusaidiya Kimawazo Ninaelewa Vizuri Unapenda sana mwanao Umpeleke Kanisani Akaombewe. Yesu mwenyewe Anaweza Akamufanya mwanao kuwa muzima
Pelekeni mtoto kanisani, kanisa la kiroho lenye nguvu ya Kristo. Kwani Yesu ndiye mganga wa waganga, atamponya mtoto na kumkomboa tokana na nguvu za mapepo. Kupitia maombi na kwa Imani yenu kwa Kristo Yesu na wala si mohammed wala majini. Naomba Mungu aliye hai awafunguwe macho ya rohoni mkamjuwe kristo, yeye ndiye ngome imara wenye haki wamkimbilia wakawa salama.
Mganga ni mwanadamu, mwafwata nni hukooo, tangu lini shetani akatoa shetani mweziwe? Wakristo Yesu ni dawa tosha, pia Waislam maombi/Sala ni tiba tosha, wachawi hawana nguvu, mtumainie Mungu ndie mweza yote
Jamani mbona binadamu tumekuwa na rohombaya hivi unamnyima amani mwenzio unamuangaisha usiku na mchana Dahhh mwenyezimungu nijaalie mwisho ulio mwema insha Allah 🙏🙏🙏
Kabla sijampa pole uyu dada nawapa pole wanao bisha kuhusu ushirikina... Haya mambo yapo kabisa kama hayaja kukuta utabisha adi ujambe lakini kama ulishawai kukutwa uwezi bishia haya mambo
Uchawi upo kabisaaa wanaokataa hayajawakuta hawanawahi kuona vimbwanga huku duniani huyo japhary alichukuliwa msukule Yale maombi yaliyofanywa uck kuna Aina ya maombi yaliyofanywa Kule wanamshiñdwa
Assalamu alaykumu warahmatullah wabarakaatuh Huyo mtoto mungu anampenda ,kama mtangazaaji anasema inaonekana kama kinimacho laakini mungu alikuwapo yupo na atakuwapo ,yeye muweza wavyote ,hata ikiwa kuna kjnachojificha humo naombea familia ya Jafali mwenyezimungu awape iimaani thaabiti kwa hilo kbs, kama mtoto alivoombewa dua wakati waliisha mzika waendelee kumuombea dua baada yakufufuka kwake , nduguzanguni ktk iimani tumtwi Allah sbuhaanahu wataalaa nayoyafanya ktk miujiza nimengi huwezi hata kuyahesabuuuu!!!
+254 Ningependa kujua kama Baba Why alisema Mtoto Atarejea why aseme Aliona au kujua nin mpaka Aseme Jafary atarejea Mh jamani 93. 7 JITAHDINI MUMPATE BABA. BABA BABA BABAJAFARY NIMEKUHTA MARA 3 TUWEKEEEEE WAZIII KUNANIIII
Inabidi mama yake Jafari Atubu awe mcristo yaan Kama Yeye Ni muislamu Abadili dini Awe Mcristo Kamili Hilo ndo Mimi namshauri mama Jafari Asante 🙏🏼🙏🏼💗💗
Mama unatakiwa ufunge na kuomba fanya Toba kwaajili yako na mtoto wako nafamilianzima kwaujumla uvunje nguvu za giza Mungu ndio kimbilio lakila mtu na Kila amwombae kwa dhati hamuachi aangamie
@@estasage5506 Ili akazidishiwe uchawi. Hv sasa kuna ambae hajui uchawi uliopo kanisani? Kujidai wanatibu wagonjwa kumbe waigizaji tu. You won't find pastors in hospitals treating people b'se there are real sick people, all in churches are actors.
@@just_this_way ruclips.net/video/OzGpc_tJgVo/видео.html Ingawa una fursa ya kufanya chochote unachotaka, ila hiyo haimaanishi ufanye chochote kile. Ingawa unaweza kuwa na uwezo wa kufanya biashara yoyote unayotaka, hiyo haimaanishi ufanye yoyote inayokuja. Ingawa unaweza kuwa rafiki na yoyote unayetaka, hiyo haimaanishi uambatane na yoyote yule. Mafanikio katika maisha yamejengwa katika uwezo wako wa kuchagua UFANYE nini na kwa WAKATI gani. Story By Saidi_Tambwe Director By Tambwe_Remy As_Director By Ndayishimiye_Lucien Camera By Pops Editor By Pops Producer Tambwe_the_Great_Films Location By Harinoti_Bienfait Executive_Producer Tambwe_Remy For_more_contact: Tambwe Remy : +25768851491 Gmail : tambweremy4@gmail.com Bujumbura_Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Pole dada kwakupoteya kwa mwanao acheni kupoteza mda mupelekeni kwenye maombi tena mkaziye kabisa msipofanya ivo mtampoteza mazima fanyeni ivo kabra siku hajakuwa nyingi
Jesus Christ my son died in a mysterious death no sickness seen by doctor and only 6am to 6am and died just like that maybe he is not dead half to now nobody believes he is has died my God if my son is alive bring him back I will Glorify your name lord
Mlichukua maiti ya MTU mwingine. Ombeni kibali polisi mkafukue kaburi muone kama hakuna maiti ili kujiridhisha acheni imani za waganga na kumsahau Mungu.
Kama anasema baba mzazi kakagua mwili na ndio wakauchukua hapo hapo na kuusafisha y wachukue mwili wa mwingine Tena na mtoto kakaa mocharw siku nyingi. Lazma wahisi Kuna kitu
Polisi wafukue Kaburi na DNA ya maiti ifanyike ili kujuwa mtu halisi aliyezikwa kuliko kuamini moja kwa moja ushirikina. Inawezekana aliyezikwa bado anatafutwa na.ndugu zake. I
Jamani jamani mungu nisaidie namm mwanangu aludi nampenda NASRY wng jamani pia kanitoka kwenye mazingira yakutatanisha afu aliefanya ivyo namjua nayupo hai kabisa yy anaishi atakavyo daah mungu muweke mahara pema baba angu NASRY ISSA KINANA INSHAALLAH
Hayo mambo yapo msishangae uchaw upo na yyte atakae panik ndio mchawi mwenyewe jambo la msing muombeni mungu uchaw upo mungu kataka kuwaumbua wachawi wakome kuwaweka watu misukule
Watakuwa walizika maiti ya mtu mwingine mtoto hatakuwa alipotea tyuu ndo maana kaonekana.cha msingi hapo kukazana na maombi sababu maombi hayana dini Cha msingi hapo ni uponyaji wa mwili na roho
Duuu poleni sana mama wa jafari na bibi wa jafari pamoja na ndg wote wa jafari yaani huu ni ushirikina kabisa huyu jafari alikuwa amechukuliwa kichawi huenda hao wachawi wamemshindwa wakaamua kumuacha Mungu amewaaibisha wachawi hao.Usiwaogope wauao mwili wasiweze kuiua roho.
Hii story ni nzito na inasikitisha sana. Ila tafadhali sana wanahabari tuwe na upeo wa jinsi ya kuuliza maswali kutokana na tukio husika. Kama Mdada huyu mwandishi hana upeo na hastahili ktk kuhoji watu wenye nyakati ngumu kama hii.
Jamani 93.7 naombeni Baba mzazi wa Jafari ahojiwe, yeye ndo anajua ukweli wote. Itakuwa alimuchukua mtoto kimuujiza lkn Mungu kamuumbua.Hakika Mungu ni mkuu.
Ebi Sollili : Mungu akusamehe kwa tamshi hilo maana hujielewi hata kidogo na ndie utakaemsujudia mbele za kiti cha enzi maana kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kua Yesu ni Bwana .
Huyo mtoto ajakua sawa kabisa ningeomba mpeleke kwa maombi ila kwa kuwa nyie ni waislamu basi ningeomba mletee huyo ustadhi asomewe zaidi kufukuza huyo mashetani hamuwezi kumlinda mkabidhini kwa Mungu amlinde
Wanadamu wamejiweka kwa mambo ya giza wanaangamiza dunia Mungu Kinga watu wako maana giza limetanda ulimwengu mzima Amani na uregesho kwa familia Mungu awaonekanie awalinde na kuwakinga na mabaya yote
Acheni hizo alama ya mshangao, fukueni kaburi na DNA ifanywe sio eti hamja amini mpaka mtangazaji eti ameogopa 🙆. Mimi nina hakina huyo ni Jebali mwenyewe mpokee kwa njia nzuri sana, maswali mingi muachia Mungu.
Iyohabari siokweli
Ikiwa niJafari awe Jafari daima ,na ikiwa ni kingine ambacho kinafanywa kwa namna ingine ,kitoke kisipate kudumu ktk nyumbani huko ,kbsa laakini ikiwa niJafari amerudi kwa uwezo wamwenyezimungu ,mungu amuhifadhi ,amurokowe kama anavomufufunuwa ktk kaburi ,au ikiwa walijidanganya wakamzika sio yeye basi mungu amemurejesha kwa uwezo wake.Hayaaka Allah yaa Jaafari
Wakriso tumuombeeni huyu kijana nawenye wako nahuu mpango wakumuangamiza mipngo yao isifanikishwe....wlcm to christianity muachane nauganga
Poleni sana. Ni miaka minne sasa, twaomba ukamtembelee Kijana Jafari, utujuze maendeleo yake. Inshaallah!
Kaeni naye karibu asiwatoroke, mwombeni Mungu azidi kumlinda
Lilian Luhasi
Tafadhalini sana wazazi wa mtoto Jaafar msijichanganye haki na batwili,mtegeemeni Allah peke yake na inshallah mtoto Jaafar atapoa hayo matatizo, na mambo ya waganga- wachawi,hawana lolóte zaidi ya kubahatisha,huyo babu ghafla anataka sh 50000/- kwa msaada gani ilihali mtoto Bado anahangaishwa na hawo wanga!? watakusumbueni sana hao wachawi lakini mkifanya Ruqya na pia kufanya adhkaari za asubuhi na jioni inshallah hayo madhila yatamwondoka huyo mtoto kipenzi Chetu Jaafar.الهم امين
Subhana Allah enyi washirikina muogopeni Allah nasiku ya mwisho dunia nimapito haya mambo yapo kiukweli mtihani hawa watu wabaya wapo na Allah atawahukumu
Insha allah yaraby
INSHAALLAH
ee mungu niepushie hili kwenye family yangu, maana kusikia Kwa mwenzangu NI rahisi lakini siwez kuyabeba.😭😭😭
Hhh
mh
Pole sana mama jafari na familia ,lakin naomba mupeleke kanisani,namutajua nin shida,kimbilieni Mwenyezi MUNGU sio waganga,muganga ni mwanadamu kama wewe,naalicho taka ni pesa tu,naomba MUNGU awafungue macho kama wazazi,uyo mutoto asaidike.
Labda alikutana na jini ohh mungu amusaidie... Isha allah atakua poa🙏🙏🙏
kazaneni kuomba👀👀👀
Huyo ni msukule mpelekeni kwa kanisa yoyote ya UFUFUO NA UZIMA kwa Bishop Gwajima... Ndiyo mtajuwa kwa Yesu Kristo ni Mungu wa miungu.. Wachaneni ni waganga.. Waganga wanamtumikia shetani. Yesu anawapenda na anaweza yote... Last bus stop ni UFUFUO NA UZIMA kwa BISHOP MUHESHIMIWA GWAJIMA.
Majirani zetu watanzania...langu ni hili...tuweke tumaini na tegemeo letu kwa mwenyezi Mungu. Namambo tatakuwa sawa
Inasikitixha sana
Mpelekeni kanisani acheni mambo mengi God knows
Poleni Sana Mama Nitakusaidiya Kimawazo Ninaelewa Vizuri Unapenda sana mwanao Umpeleke Kanisani Akaombewe. Yesu mwenyewe Anaweza Akamufanya mwanao kuwa muzima
Binaadamu kweli wanayaweza duuuh...Mungu akisema haiwezekani binaadamu hana lake daaah
Mmmh uyu Dada amuogopi mungu maiti ikomochwali then inatokadamu nyingi🤣🤣🤣🤣
Pelekeni mtoto kanisani, kanisa la kiroho lenye nguvu ya Kristo. Kwani Yesu ndiye mganga wa waganga, atamponya mtoto na kumkomboa tokana na nguvu za mapepo. Kupitia maombi na kwa Imani yenu kwa Kristo Yesu na wala si mohammed wala majini. Naomba Mungu aliye hai awafunguwe macho ya rohoni mkamjuwe kristo, yeye ndiye ngome imara wenye haki wamkimbilia wakawa salama.
AMEN
Mohammed wengine mnabwabwaja tu maana hamumjui ongeeni mengine
@Florence Shikuku, amen!!
Ss mm niulize kwan muislamu akifa anaekewa msahada myiiiiii makubwa hayo pole ddngu Allha atuepushie atulindie vizazi vyetu inshaaaallha 🙏
jamani njie ayajawakuta ushirikina upo jaman
Mganga ni mwanadamu, mwafwata nni hukooo, tangu lini shetani akatoa shetani mweziwe? Wakristo Yesu ni dawa tosha, pia Waislam maombi/Sala ni tiba tosha, wachawi hawana nguvu, mtumainie Mungu ndie mweza yote
Umeongea ya maana sis
Amiin
Duuu
Acheni.mirayakwawaganga.munguyupo.
amin
Huyokijana munguamusaidie
Subhannallah yarab kwanini wachawi wasife tu
Mchawi hafi haraka
Tena Corana ingewapa wachawi wote.
Alhamdullilah Mwenyezi Mungu amerejesha mtoto wenyu .Allah Akbar 🙏🙏🙏❣️❣️❣️
nijambo lakushukuru allah hata ss waislam tunaiman kubwa sana
God bless your work Young leader of our father God
I appreciated your work
Duuuuuh Jafari Bado Unamaisha marefu Kaka Yangu 😭😭😭Allah Akupe Maisha Marefu Kwakweli
Waganga watawamaliza! Audhubillah. Ombeni maghfirah kwa Allah kwa shirk munazozifanya. Am do e watching...after hearing mganga
Gwajima akisema Aya Mambo yapo ooonh muongo Aya mjionee
Aya Mambo yapo jmn tumtegemee Mungu
Ya mungu mengi asio weza mwanadamu kwa mungu yana wezekana
Mungu nimuweza wayote nikweli uchawi upon duniyani
Mungu awaepushe na majaribu ya kila namn mkazane kumuomba mungu ni majarib ya shetan hayo msikubali awashindwe
Chukueni vipimo vya DNA...acheni kuangalia sura..watu wanafanana..tena waliona maiti alipokuwa mortuary..inawezekana alikuwa mtoto waaefanana tu.
Andrew. Gadi Mrinji mpaka kovo
Mungu hakutaka kuwa pamoja nao wachawi. ...wacha mungu aitwe mungu .....mungu amjaalie aishi maisha Marefu amin amin
Jamani mbona binadamu tumekuwa na rohombaya hivi unamnyima amani mwenzio unamuangaisha usiku na mchana
Dahhh mwenyezimungu nijaalie mwisho ulio mwema insha Allah 🙏🙏🙏
Subhana Allah yaalabi nimtihani kwakweli yaalabi tunusulu na haya majanga ya dunia heeee 😳😓😓😓
Kabla sijampa pole uyu dada nawapa pole wanao bisha kuhusu ushirikina... Haya mambo yapo kabisa kama hayaja kukuta utabisha adi ujambe lakini kama ulishawai kukutwa uwezi bishia haya mambo
Hao wanaobisha wanapromote dini, na ukwelii wanaujua wanaobisha kipumbavu 2 Tz hii nani hajui kwamba kuna uchawi?
Uchawi upo kabisaaa wanaokataa hayajawakuta hawanawahi kuona vimbwanga huku duniani huyo japhary alichukuliwa msukule Yale maombi yaliyofanywa uck kuna Aina ya maombi yaliyofanywa Kule wanamshiñdwa
Assalamu alaykumu warahmatullah wabarakaatuh
Huyo mtoto mungu anampenda ,kama mtangazaaji anasema inaonekana kama kinimacho laakini mungu alikuwapo yupo na atakuwapo ,yeye muweza wavyote ,hata ikiwa kuna kjnachojificha humo naombea familia ya Jafali mwenyezimungu awape iimaani thaabiti kwa hilo kbs, kama mtoto alivoombewa dua wakati waliisha mzika waendelee kumuombea dua baada yakufufuka kwake , nduguzanguni ktk iimani tumtwi Allah sbuhaanahu wataalaa nayoyafanya ktk miujiza nimengi huwezi hata kuyahesabuuuu!!!
+254 Ningependa kujua kama Baba Why alisema Mtoto Atarejea why aseme Aliona au kujua nin mpaka Aseme Jafary atarejea Mh jamani 93. 7 JITAHDINI MUMPATE BABA. BABA BABA BABAJAFARY NIMEKUHTA MARA 3 TUWEKEEEEE WAZIII KUNANIIII
kennedy wanj
16.56
Mtazamo huo achana nao huyo baba yuko vizuri kama ww utashindwa kusaidiwa na watu ukiwa mapepe
Umeona ee wanjara kuna kitu hapo
swali langu pia
Dada Mungu mshukuru Mungu mm natamani mzazi wangu angerudi hataleo
Dunia ina mengi🙌🙌🙌...Mungu arudishe ufahamu wake haraka
Tusingekuw tunakuf na kuzikwa kama wap wafufuaj
Wew Naw unaamini kit kama ichi kama cy uchaw huuu
Inabidi mama yake Jafari Atubu awe mcristo yaan Kama Yeye Ni muislamu Abadili dini Awe Mcristo Kamili Hilo ndo Mimi namshauri mama Jafari Asante 🙏🏼🙏🏼💗💗
Mmhhhhhgh ati awe mkiristo wewe hutaki kua muisl
Amu
Marry Martha.... Mungu ni mwema habagui dini uwe muislamu au mkristo wote ni waja wake na anatupenda wote. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Marry Martha....... Tuwaombee sana watoto wetu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Imani mtoe kwa wanganga yesu ndio kimbilio peke yake
Duh mtangazaji una jicho zuri sana masha allah
Mngemtumia yule ustadhi alosoma dua ile ck ya 40,,,Ile dua ilikuwa tosha kwa kumlilia Allah,,,,Hapo ni dua saana hakuna kingine
Oky
kabisa kazi kubwa kaifanya ostadhi inatakiwa wamludie tena huyo shehe
Mama unatakiwa ufunge na kuomba fanya Toba kwaajili yako na mtoto wako nafamilianzima kwaujumla uvunje nguvu za giza Mungu ndio kimbilio lakila mtu na Kila amwombae kwa dhati hamuachi aangamie
Dada nakushauri usiende kwa mganga nendeni kwenye maombi
Weenimwehueti mganga ndokirakit nayesundokirakit🎉
Uchawi upo bwana wee hata hao wanaosema haupo waongo tuu kikubwa tumuombe mungu na omba yasikukute yasikie tuu kwenye mitandao.
@Neema Myango Shida wote ni wapagani jina lake yesu kristo hawajuwi. Oh lord, they need to take him to the church
@@estasage5506 Ili akazidishiwe uchawi. Hv sasa kuna ambae hajui uchawi uliopo kanisani? Kujidai wanatibu wagonjwa kumbe waigizaji tu. You won't find pastors in hospitals treating people b'se there are real sick people, all in churches are actors.
Kweli omba yasikukukte kabisa
@@just_this_way Very true! Usanii umezidi sasa.
@@just_this_way ruclips.net/video/OzGpc_tJgVo/видео.html
Ingawa una fursa ya kufanya chochote unachotaka, ila hiyo haimaanishi ufanye chochote kile.
Ingawa unaweza kuwa na uwezo wa kufanya biashara yoyote unayotaka, hiyo haimaanishi ufanye yoyote inayokuja.
Ingawa unaweza kuwa rafiki na yoyote unayetaka, hiyo haimaanishi uambatane na yoyote yule.
Mafanikio katika maisha yamejengwa katika uwezo wako wa kuchagua UFANYE nini na kwa WAKATI gani.
Story By Saidi_Tambwe
Director By Tambwe_Remy
As_Director By Ndayishimiye_Lucien
Camera By Pops
Editor By Pops
Producer Tambwe_the_Great_Films
Location By Harinoti_Bienfait
Executive_Producer Tambwe_Remy
For_more_contact:
Tambwe Remy : +25768851491
Gmail : tambweremy4@gmail.com
Bujumbura_Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mnasinya,tusingize simulinzi au mziki?
Au hawakuangaria vizuri mait wamechukuwa wamwinginetuu
Pole sana baba kwa kufanya polosesi zote. Pole mama jafari Daaa ila mtazame sana Mungu pole jafari Wewe ni lulu mbele za Mungu
"Polosesi" hapo umetisha
"Polosesi" hapo umetisha
Ndo alivyo sema lkn sio process polesesi
Huyo apimwe DNA, na....yule aliyefariki pia, apimwe... hapo ndio tutapata ushahidi wa kutosha. Huenda aliyezikwa sio huyo...
Hao wamezika mwili ambao sio wao Sasa mwenye huyo mtoto wao kazi anayo😂😂😂
Exactly
Miujiza yadunia Katika jina layesu tukemea ushirikina mwahuu watatutoa roho navituko da
Aĺahh😢
Duuuuh Ina tisha
Dada
MAMA PELEKA MTOTO KWA KANISA LAKIROHO AOMBEWE .HAYO NIMAJINI YAMESHIKA MTOTO NA HIRIZI .CHUKUWA IMANI NA UAMINI JINA NA DAMU YA YESU CHRISTO .
Acha usanifu wako, atembezwe kwanini? Angekuwa wako ungemtembeza? Jua dunia Ina mengi, mshukuruni Mungu kwa hilo
Ahajakukuta utatembeza upate uwakika unakua Kama umevulugwa
Mantokeo ya ndunia maajabu ombeni mungu sana
Pole mama kwayaliyo kukuta yote maisha ucjl
Inatishaaaa!!ALLAH tunusuru na shirk
Tujifunze kuhifadhi picha za wahuska,,mngemficha uso tu,,hio itamsaidia au itamuathiri atakapokuwa mkubwa,,,,allah aendelee kumpigania mtoto mzur
Absolutely true
Pole dada kwakupoteya kwa mwanao acheni kupoteza mda mupelekeni kwenye maombi tena mkaziye kabisa msipofanya ivo mtampoteza mazima fanyeni ivo kabra siku hajakuwa nyingi
jamani lipo jinmojatu YESU
Duh pole sana dada ubongo wamechukua wachaw ndio zao
Yani Watu wote kwa mji Huu ni mapagani hawajuwi jina lake yesu kristo wa Nazarethi
@@estasage5506 Ww unalijua? Au na ww ndo mpagan mwnyw
Nijambo la kumshukuru mungu kama mtoto yuko hai zingatieni maombi
Jaman mckurupuke,,, huwenda aliyezikwa cyo man mtoto alishazoea kupoteapotea,,, dunian watu 7
Kwann akili yake haiko poa
Polesana
Ple sna mma jafari kikubha duwa tu Shg yng nilikuwa sijui ila nitakuja kuwaona
Kumbe wamjua jmn mungu mwema lkn
There is power in the blood of Jesus ... divine protection
Amen 🙏🙏
Amen👍👍
Jesus Christ my son died in a mysterious death no sickness seen by doctor and only 6am to 6am and died just like that maybe he is not dead half to now nobody believes he is has died my God if my son is alive bring him back I will Glorify your name lord
Yesu Hana nguvu kumshinda mungu mungu ndie mwenye nguvu zote kumshinda yesu acheni ukafiri wenu
.TX-by
Motto apelekwe kanisani ataekwa huru ..Ni Yesu kristo pekee ndieye anao uwezo wa kumkomboa ...bila hivo ataangamizwa na Shetani.
Mpeleken mtt kweny maombi... Damu ya Yesu ni kiboko ya yote....
🤔🤔🤔
Mungu atusaidie jaman mpeleke kwenye maombi
Allah amraisishie huyo mama anamtihani mzito, na huyo mtoto mungu amuokowe kuna kitu kinacho jificha hapo
Hakuna mtu mwenye damu ya yesu. Yesu hajasulubiwa
Nana Denby Greco Nana Denby pole sasa
Maskiniiiiii jafari mungu azidi kukulinda yarab 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️
Mtafuteni Yesu ni suluhisho la kudumu. waganga wa kienyeji ni wanadamu kama sisi. Ombeni kwa Jina la Yesu mtapata suluhisho bila malipo.
Kwel tumheshm Alla kwa kila jamb
Mh,Dr Yohana Biby
Mlichukua maiti ya MTU mwingine. Ombeni kibali polisi mkafukue kaburi muone kama hakuna maiti ili kujiridhisha acheni imani za waganga na kumsahau Mungu.
Bro hili swala kwa maelezo haya hili Jambo limekaa kishirikina zaid
Be the 1 hakika hii sio imani ni ushirikina kabisaaa
Kama anasema baba mzazi kakagua mwili na ndio wakauchukua hapo hapo na kuusafisha y wachukue mwili wa mwingine Tena na mtoto kakaa mocharw siku nyingi. Lazma wahisi Kuna kitu
Polisi wafukue Kaburi na DNA ya maiti ifanyike ili kujuwa mtu halisi aliyezikwa kuliko kuamini moja kwa moja ushirikina. Inawezekana aliyezikwa bado anatafutwa na.ndugu zake. I
Mtu akifariki kwa ajali huwa anavimba vimba kwa hiyo ni rahisi kukosea kutambua mwili ilishatokea stori kama hiyo morogoro
Jmn jmn wachawi mungu anawaona kuwateza wezio mmmmh allahmdulillah kardi
Jmn wachawi wapo na maneno ya mungu yanasema usimuache mchawi haishi azabu yake kifo
Wachawi wabaya jamani, watafute dawa ya Corona kama wao wana nguvu za ajabu.
Jamani jamani mungu nisaidie namm mwanangu aludi nampenda NASRY wng jamani pia kanitoka kwenye mazingira yakutatanisha afu aliefanya ivyo namjua nayupo hai kabisa yy anaishi atakavyo daah mungu muweke mahara pema baba angu NASRY ISSA KINANA INSHAALLAH
@@morokichuna3527 Aamiin
Uyo mama mumutazame vizuri,njisi ameongea inaonekana ndiye alipana Mtoto wake Kafara
Kweli Mungu yupo
Hakika yupo
Kwani Walienda Kufukuwa Kwanza Iyo Kaburi Na Kutizama Kuwa Yupo Mule Kaburini Au Eeeeeh Yarabi Sitaki Kuamini Haya Mazinga umbwe😰
Uchawi upo ila wasimame na Mungu wakaze maombi
Kweli kabisa Mungu muweza wa yote
Asha Nestory polesana
hayo nikweli wachawi wanamjia mtu niwengi ALLAH amlinde huyo djafari nawooote waislam.
Nikweli kabisa
Wamuombee
Hayo mambo yapo msishangae uchaw upo na yyte atakae panik ndio mchawi mwenyewe jambo la msing muombeni mungu uchaw upo mungu kataka kuwaumbua wachawi wakome kuwaweka watu misukule
Watakuwa walizika maiti ya mtu mwingine mtoto hatakuwa alipotea tyuu ndo maana kaonekana.cha msingi hapo kukazana na maombi sababu maombi hayana dini Cha msingi hapo ni uponyaji wa mwili na roho
Duuu poleni sana mama wa jafari na bibi wa jafari pamoja na ndg wote wa jafari yaani huu ni ushirikina kabisa huyu jafari alikuwa amechukuliwa kichawi huenda hao wachawi wamemshindwa wakaamua kumuacha Mungu amewaaibisha wachawi hao.Usiwaogope wauao mwili wasiweze kuiua roho.
Oh lord! Family yote wapagani. Nenda naye kanisani yesu kristo wa Nazarethi anaponya.
Mpeleke mwanao kwa wacha Mungu aombewe hilo pepo litamsumbua kila mala pole sana kwa mtihani
Mungu alinde mtoto wenu amupatiye maisha marefu sana Mungu asifiwe sana
Mungu ni. Mungu tu.
Namba za na bibi nikupe uongee nee hakika Huyo moto Ata Lona kwelkweli
Kweli uchawi upo Ila mtihani watu hatumuogopi mngu
Baba Jafari anajua kila kitu.Kwanini amuaminishe mkewe kama Jafari atarudi?UKWELI ANAO NA NDIO MUHUSIKA MKUU.
Umeona ee
Kwa hyo baba jafar anajua kla k2
True
Hata Mimi Nina shaka na Baba wa mtoto, huenda alitaka kumfanyia jambo lkn Mungu alikuwa karibu na mtoto.
Labda baada ya kuombewa Dua
Waaah mungu n mwema sku sote
Hii story ni nzito na inasikitisha sana.
Ila tafadhali sana wanahabari tuwe na upeo wa jinsi ya kuuliza maswali kutokana na tukio husika. Kama Mdada huyu mwandishi hana upeo na hastahili ktk kuhoji watu wenye nyakati ngumu kama hii.
Jamani 93.7 naombeni Baba mzazi wa Jafari ahojiwe, yeye ndo anajua ukweli wote. Itakuwa alimuchukua mtoto kimuujiza lkn Mungu kamuumbua.Hakika Mungu ni mkuu.
Ni kweli kabisa anasumbua watu huyo baba yake
Wa2 mnakera labda mcomment na kinachohusiana mtu anaingiza mambo ya biashara kweny comments hampo serious nyny
ni kwer😔😔
WeUse the edit icon to pin, add or delete clips.Use the edit icon to pin, add or delete clips.
)
Kwa maoni yangu mchezo umechezeka hapo hospitali alitakiwa mama mzazi ndio akague mwili na atoe go ahed.
Yap hata Mimi naunga
Uchawi upooooo jmnnn.😔duh hadi naogopa
Mpelekeni akaombewe kanisani mungu anaweza yote
L
Dah inasikitisha sana mama pole sana kwa matatizo yaliokukuta muombe mungu sana akutie nguvu
Yesu ndiye kiboko wakumfanya awe mzima okokeni wapendwa
Nyie wafanya biashara
Yesu angekuwa kiboko agekamatwa na kuuliwa na watu
Ebi Sollili : Mungu akusamehe kwa tamshi hilo maana hujielewi hata kidogo na ndie utakaemsujudia mbele za kiti cha enzi maana kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kua Yesu ni Bwana .
@@حورالفهد-ف4ز, Goti hata wazee unapigia. Sujudu ndio heshima ya Mungu.
Acheni ubishi wanao mjuwa mamauyo wa mshauri apelekwe kwenye maombi atapona
Kweli ama maigizo
Lazima mubadilishe kanisa tena aonbewe maonbi mengine yakikristo Amen Amen
Kwamaombi gani sasa
Pole sanaa inasikitisha
Huyo mtoto ajakua sawa kabisa ningeomba mpeleke kwa maombi ila kwa kuwa nyie ni waislamu basi ningeomba mletee huyo ustadhi asomewe zaidi kufukuza huyo mashetani hamuwezi kumlinda mkabidhini kwa Mungu amlinde
Bora afanyiwe duwa kubwa atapona kwa.nguvu.za.mungu
Katika watu wore waliocoment kwenye hili tukio nadhani wewe (happy times) umeongea busara zaidi kuliko MTU yeyote, ubarikiwe sana.
Du!!, pole sana dada Mungu akutie nguvu
Jaman 2fanye mema dunia imeixh
Yarabi tunusur na aya mashetani mpaka naogopa kwakweli jamn
Wanadamu wamejiweka kwa mambo ya giza wanaangamiza dunia Mungu Kinga watu wako maana giza limetanda ulimwengu mzima Amani na uregesho kwa familia Mungu awaonekanie awalinde na kuwakinga na mabaya yote
mngemfisha surA...mana hilii tukio.nzito waende kwenye.Maombiiii..