Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Choki dah unajua sana sauti yako inanikumbusha miaka 24 iliyopita
Bonge la nyimbo,maudhui hatari sana.Swahiba Choky wakuache.wewe ni level nyingine
Na kweli mkiikosa itakula kwenu... Kazi nzuri, kazi safi. Hongereni..
Sauti taaam,mdundo nyimbo ipo kimpangilio
Hii nyimbo ni ya DUNIA ukweli watu wamepiga kazi
Uzuri wa Extra Bongo inavyoanza tu huumiz masikio kujua hii Band gani. Choky hua analinda sana ID yake. Hongereni sana kwa kazi nzuri
Hongera sana kazi nzuri sana
Hiyo korasi hiyo....ubabe mwingi sana
Choki junior kaua sana wimbo mzur
Wimbo mzuri sana hongereni
Hapa sawa sio kulalamikalalamika tu.
Hii Extra BONGO ndio Baba Lao, Wimbo umepikwa ukapikika haswaaa. Choki ametuletea vipaji vipya kama Choki jr, Kibene, muhumba, Lucy nk
Imetulia sana
Khadija mnoga part two huyo
Balaaaaaa....bonge la wimbo..
Choki hataree
Hii hatari
Halafu huyu Lucy kama Khadija Mnoga