Samahani nimesoma pft sanawari na sijafanikiwa kupata cheti mafunzo yalisitishwa kwa sababu ya ugonjwa was Corona na tukaahidiwa kutumiwa ujumbe mfupi kwa ajili ya kurudi kumalizia mafunzo lakini ndo ikawa kimya mpaka leo hakuna cheti Wala t-shirt na kwenda chuoni kuulizia nikaambiwa mmefunga hapo nikashangaa zaidi.natumaini utanisaidia
Mwl wangu,naomba msaada,nakufuatilia sana masomo Yako,umenifaa sana.ila natamani kuwa perfect zaidi,nisaidie vipimo vya sabuni kutokana na Lita 5 ya mafuta.natengeneza mara inakuwa ngumu,mara inakuwa laini sijui nakosea vipimo may be ,nisaidie tafadhali
mungu akubaliki kwa mafudisho yako mazuri alafu kuna mahali sijaelewa nikitaka kutengeneza 10litres ya maji nitaweka costic kiac gani na mafuta kiac gani pliz nijibu.
Sir nilisoma kwako ukiwa huku mbeya lkn ulisema tunaweza kupata vifaa vya kufyatulia sabuni lkn jins ya kukupata hujaweka namba yako ili tufate mashine hiyo maana kukata limekua tatizo
kostiki lazima ikae masaa24 ndo ifanye kazi na sabuniikiwa tayari itakaa kuanzia masaa 12 na kuendelea ndo itumike faida kwa wote kemiko kostiki ni kali sana kama akivosema

Kama unatengeneza Zaid ya hicho kipimo no kiasi gn?
@@esterest4338 uu
Kwakweli nimeenjoi mungu akubarku kwa kpimo Cha kuja kusukwa sukwa hata kumwagka
May God bless u for educating people
Asante sana kaka wewe sio mchoyo mungu akubariki
mungu akubariki sana kwa kutupa elimu nzuri
Dah jmn umetoa elimu nzuri ubarikiwe sana tunaomba uendelee kuwa msaada kwetu
Asante Sana mwl kwenye wito.
Ubarikiwe Sana,nimeongeza ujuzi kwa kwakweli
We need more Dr
Asante,, unafafanua vizuri Bila uchoyo
Asante baba
Nicely
Good job. Nitajaribu pia
Caustic nikishaloweka labda km imekuwa nyingi na imebaki inaweza kudumu kwa muda gani??
Naomba namba ako ili niapte material
Ubarikiwe
Asant sana mwalim
Aminia sana mwalimu wangu
Elimu nzuri sanna umetutupa mungu akulipe
Ahsante kwa ku2pa ujuz huo.Mbn caustic solution hkuiwek kwa mda baad ya kuiandaa? Nadhan kuna hatar ya sabun kuwasha hyo
Samahan nauliza hayo malighaf yanapatikana katika Maduka gan
Naomba namba Ako
Hiyo rangi yaitwaje
Asante sana
Unapatikanaje bro
uko fit
Majivu unatumiaje?
Mwl wangu,naomba msaada,nakufuatilia sana masomo Yako,umenifaa sana.ila natamani kuwa perfect zaidi,nisaidie vipimo vya sabuni kutokana na Lita 5 ya mafuta.natengeneza mara inakuwa ngumu,mara inakuwa laini sijui nakosea vipimo may be ,nisaidie tafadhali
Namba zipo tuwasiliane.
mungu akubaliki kwa mafudisho yako mazuri alafu kuna mahali sijaelewa nikitaka kutengeneza 10litres ya maji nitaweka costic kiac gani na mafuta kiac gani pliz nijibu.
sabuni ya maji unaweza weka castic kijiko kimoja na nusu mafuta ayawekwi kwenye sabuni ya maji
Naomba msaada
SAmahAn maduka ya hzo marigafi yanapatikana wap kwa hapa dar
Ahsanteeeee saaaaana swali lagu ni kwamba hizo chemicals zinapatikana wapi na kwa Bei gani?
ahsante sana mwl kwa somo lakini mafuta kolii hayana povu sawa na mafuta mengine hili unalizungumziaje ni faida kwa wote
Kwa uwiano huo faida inapatikanaje mwalimu?
Asante sana kaka
M nataka unisaidie jinsi ya kuweka vipimo sijakuelewa
Mimi nahitaji kujua
Je kama sitaki iwe yarangi yamaua naweza kuacha kuweka rangi nikaacha tu ikaganda yenyewe bila langi?
Jamaniiiii
Nairobi nitumie mafuta gani
Good
Katika Watu muhimu waliobaki nikama wewe nimeangaikasana kum be Elimu yako sio mchoyo unafaa sana
Sir nilisoma kwako ukiwa huku mbeya lkn ulisema tunaweza kupata vifaa vya kufyatulia sabuni lkn jins ya kukupata hujaweka namba yako ili tufate mashine hiyo maana kukata limekua tatizo
Mbn hujatumia soda ash mkuu
soda ash kwenye sabuni ya kipande?
Mimi hii ratio 1:4 siielewi kabisa,nahisi hii sabuni haitakuwa bora kabisa kwanini isiwe 1:2 + silicate+glycerine? Mkuu?
Samahani mwalimu mbna sijaona kuweka, sodium silicate
Dr ulisema unaweza kutumia majivu
Teacher namba yangu naombq unichek 0672188596
Nimekutumia sms messenger hujanijibu tafadhali soma sms yangu Kisha nijibu tafadhali
Sijaona sms
kostiki lazima ikae masaa24 ndo ifanye kazi na sabuniikiwa tayari itakaa kuanzia masaa 12 na kuendelea ndo itumike faida kwa wote kemiko kostiki ni kali sana kama akivosema
Asante sana
Good
Asante sana.