NYIMBO ZA KATOLIKI: MTUNZI ALOYCE GODEN KIPANGULA TOLEO LA 2. KWAYA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 70

  • @stephenvoikapchanga-7435
    @stephenvoikapchanga-7435 Месяц назад +1

    Nyimbo nzuri kweli mbarikiwe

  • @stanslausmchonde7892
    @stanslausmchonde7892 Год назад +1

    Barikiwa ndugu Kipangula na waimbaji wenzako

  • @mercedesntilla7265
    @mercedesntilla7265 2 года назад +3

    Hongera sana mtunzi. Nyimbo nzuri sana zinabariki

  • @SylvanusMillanzi-w7h
    @SylvanusMillanzi-w7h 5 месяцев назад

    Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara

  • @sekelagatusekelege9325
    @sekelagatusekelege9325 6 месяцев назад +1

    Tunamshukiri Mungu kwa huyu muinjilishaji kwa njia ya nyimbo.Tunabarikiwa naye saaana

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  6 месяцев назад +1

      Asante Endelea kuniombea Ndugu Ili kupitia utume wangu wa kutunga nyimbo ili Kristo aeleweka kati ya watu

  • @sophiesophie6452
    @sophiesophie6452 2 года назад +3

    Baba uliye mbinguni naomba uniepushe, na tamaa za mwili zipinganazo na Roho,nienende sawa na mapenzi yako,nashukuru kwa kutupa ujumbe wa mungu kupitia nyimbo

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  2 года назад +1

      Tumshukuru Mungu anayesema nasi kwa njia nyingi na kwa sehemu kupitia mwanaye Yesu Kristo

  • @piamassawe1575
    @piamassawe1575 2 года назад +1

    Naamini kuimba ni kusali Mara mbili mungu akubariki sana nauzidi kusonga mbele

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 10 месяцев назад +1

    Kipande cha wimbo huu kinanigusa,Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu.

  • @eliudstationery4003
    @eliudstationery4003 Год назад

    Hongereni sana kwa utume endeleeni na myo huohuo Amina💖💕

  • @obedeobed4236
    @obedeobed4236 2 года назад +1

    That the songs is interesting for me and for us Go bless you Dj

  • @VenelandaKabura-bc8dk
    @VenelandaKabura-bc8dk Год назад

    Hongera sana unatukumbusha ujana wetu japo kuwa tumezeeka

  • @carolinep.maziku2922
    @carolinep.maziku2922 Год назад

    Barikiwa Sana baba Mungu akubariki mno akuzidishie umri

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Год назад +1

      Asante Sana Caroline Maziku. Tuombeane Ili utume wetu wa uinjilishaji ufanyike kwa sifa na utukufu wa Mungu

    • @MkapaEzekiel
      @MkapaEzekiel Год назад

      Mungu akutie nguvu kwa majitoleo yako kaka❤

    • @FlorenceKathina
      @FlorenceKathina 7 месяцев назад

      Amen

  • @enockkiptanui2548
    @enockkiptanui2548 2 года назад +1

    Hongera Kwa utunzi , mzuri sanaa

  • @adamelneus1549
    @adamelneus1549 Год назад

    mungu.akubaliki..kwakujitoa..kwa.mungu.🙏🙏🙏

  • @bernardmruma4510
    @bernardmruma4510 2 года назад

    MUNGU akubariki sana kwa utunzi ulioendana na andiko la Hagai

  • @faithmueni8770
    @faithmueni8770 2 года назад

    Wapitaji na wasafiri na msiape kabisa uwa inanibariki sana.mungu akubariki sana Aloyce Kwa utunzi kwako

  • @benedictokapere3641
    @benedictokapere3641 Год назад

    Tunamshukuru mola kukupa kipaji hiki unatuinjilisha vyema❤

  • @proscoviapastory3831
    @proscoviapastory3831 2 года назад

    Asante kwa wimbo nzuri. Hakika nabarikiwa sana.

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  2 года назад

      Asante endelea Kutufuatilia. Nitakuletea hapa nyimbo nyingine nilizotunga hivi karibuni🙏

  • @sr.jovithavincent4119
    @sr.jovithavincent4119 Год назад

    Uzidi kubarikiwa kaka kwa uinjilishaji wako

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  Год назад

      Asante Sana Sr Jovitha Vincent. Nakushukuru naomba uzidi kuniombea Ili nifanye haya yote kwa sifa na utukufu wa Mungu 🙏

  • @juvenarylukiza6371
    @juvenarylukiza6371 2 года назад

    Hongera sana kaka kwa utume mwema uliotukuka Mungu akubariki katika karama yako ya mumwimbia Mungu

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  2 года назад

      Asante Sana Ndugu Juvenary. Tumshukuru Mungu kwa Yote

  • @paulinemutua6937
    @paulinemutua6937 2 года назад

    Nyimbo nzuri saana💕💖💖💖💖

  • @sylvanusmillanzi
    @sylvanusmillanzi 2 года назад

    Hizo ndizo nyimbo za kanisa katoliki sio haya mambo tunayoletewa ya kilokole,tubaki katika itikadi yetu ya kikatoliki hasa masuala ya nyimbo,uimbaji na upigaji wa vinanda vipigwe kikatoliki,hili ndilo la kweli aliloliacha Yesu

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  2 года назад

      Amina Tubarikiwe sote. Na namshukuru Mungu aliyenipa kibali Cha kutunga Nyimbo hizi Pamoja kuzirekodi Ili ujumbe uweze kufika kwa wengi na Taifa la Mungu lipate kuinjilika

  • @VisentiKigomba
    @VisentiKigomba 8 месяцев назад

    Wimbo mzuri sana

  • @julianaluhendemaliponihapa6784
    @julianaluhendemaliponihapa6784 2 года назад

    Hongera mama mwenzangu hongera sana

  • @evamwambogolo3134
    @evamwambogolo3134 2 года назад

    Asanteni Sana.Kwa tafakari nzuri kwa njia ya uimbaji

  • @Triphonia-m1q
    @Triphonia-m1q Год назад

    Amina Amina Amina, 3:28

  • @getrudamwakalambile4345
    @getrudamwakalambile4345 2 года назад

    Hongera Sana mwl kwa utunzi wa nyimbo nzr. Mungu akubariki. Tunaomba nota za nyimbo hizi ili tuweze kujifunza wote na kumsifu Mungu kwa njia hii ya uimbaji.

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  2 года назад

      Tumshukuru Mungu. Nota zake utazipata naomba unitumie ujumbe kwa watsap namba zangu zipo hapo kwenye kava, zote Mbili zinasoma watsup. Karibu Ili nikutumie Nota za Nyimbo hizo ulizozisikiliza hapa RUclips

  • @PascaliaMutheu
    @PascaliaMutheu 11 месяцев назад +1

    ❤❤

  • @BonifaceDavid-ob8qm
    @BonifaceDavid-ob8qm 6 месяцев назад

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @JacklinewidoAguti
    @JacklinewidoAguti 10 месяцев назад

    Amen

  • @patrickmulei3812
    @patrickmulei3812 2 года назад

    Mapenzi Yako BABA yafanyike.

  • @AdelinaBruno-mz2rx
    @AdelinaBruno-mz2rx 11 месяцев назад

    Mbarijiwe mno ila tunaomb na hizo nyimb ambazo mlizipiga mwishon km kionjo baad ya albam hii ya nyimbkuisha nazo mrutolee tuzisikiloze

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  11 месяцев назад

      Kila wimbo uliousikia kama kionjo hapo mwishoni zote zipo RUclips tafuta huko utazipata

  • @clareatema8480
    @clareatema8480 2 года назад

    Bad!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @SylvanusMillanzi-w7h
    @SylvanusMillanzi-w7h 5 месяцев назад

    Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara

  • @JacklinewidoAguti
    @JacklinewidoAguti 10 месяцев назад

    Amen

  • @SylvanusMillanzi-w7h
    @SylvanusMillanzi-w7h 5 месяцев назад

    Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara

  • @SylvanusMillanzi-w7h
    @SylvanusMillanzi-w7h 5 месяцев назад

    Huu ndio uimbaji halisi wa kikatoliki na muziki uliokamilika big up,si muziki wa biashara