Kwa ambao hawajamuelewa ADUI in short ili ufanikiwe lazima kuwe na gharama za kulipa. Unataka mwili mzuri, lazima ulipe gharama za kufanya mazoez magumu iwe unapenda au hupendi, unajiskia au hujiskii. Hizo gharama unatakiwa uzilipe kabla ya kuenjoy huo mwili.
Kuhani wa masela 🔥🔥
My Favorite Channel ❣️ Well Spoken Bro
Calisah unajua Sana Leo umenifanya nitambue Goals zangu za msingi katika Life
Ufafanuz mzul braz
Adui mode..kuna watu Mali,heshima,mahusiano,na umiliki wa vitu vingi just because of small choices they made..hili ni somo kubwa sanaaa
Too Fact Bro, I need to A Handsome Bodybuilder 💪🏾
Mahamuz
Kwa ambao hawajamuelewa ADUI in short ili ufanikiwe lazima kuwe na gharama za kulipa.
Unataka mwili mzuri, lazima ulipe gharama za kufanya mazoez magumu iwe unapenda au hupendi, unajiskia au hujiskii. Hizo gharama unatakiwa uzilipe kabla ya kuenjoy huo mwili.
Nakubali🎉
11:42 11:43 11:46 11:46 11:47 11:48
Choices, nmerudia 2 times. Thanks so much bro!
Coach💪
4:38 4:38 4:38 4:39 4:39 😊
Too Fact 📌 Always You Motivate Me😊 Bro
🥂💪🏾
@@calisah8536 bro tupe podcas nyingine
unatuchelewesha bana
SO TOUCHING 😌